RUNGWE “wakuu wa WILAYA Wafutwe, MAGARI ya V8, HELA wanaziiba SERIKALI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 22

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri mzee Rungwe, yaani Nnchi ingeendeshwa na magavana 4 tu, Nnchi nzima ingekua na majimbo 4 tu, Tungeokoa ela nyingi sana, toka uhuru miaka 59 ata maji vijijini hamna,viongozi wezi sana tena wote wezi

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +1

    Mansoor kumbe umehamia huku, haya tumewasikia. Hongereni.

  • @musamusahshafi1496
    @musamusahshafi1496 ปีที่แล้ว

    Mzee yupo sawa kabisa

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 ปีที่แล้ว +3

    Huyo ndio mtu wa kwanza wa kupenda posho na matumizi ya juu hapo yupo na Propaganda tu za kisiasa

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 ปีที่แล้ว +1

    Accuracy 💯%% 🙌🏃

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 ปีที่แล้ว +1

    Perfect mzee

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +1

    Hapo hamna kitu. Watanzania amkeni wenyewe. Wanasiasa ni walamba asali.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe hata Ile vikao vya kupata Suluhu Kwa vyama vya siasa Mama anawapa bahasha ya asali.....
    Uko sawa baba... Heri wewe umesema ukweli... Akina Mbowe na wenzake wanatudanganya Wtz kuwa hawajalambishwa asali...

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 ปีที่แล้ว

      kwa hio mamayenu mpumbavu anahonga watu nyie machoko ya ccm akili 2025 zitawarudi tu.

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 ปีที่แล้ว +2

    Mtajua umuhimu wao wakati hawapo. D C ndiyo mwakilishi wa rais katika wilaya, acheni siasa za ubwabwa hazina tija kwa taifa hili.

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว +1

    Mwishoni ndio umeongea Sasa....Kodi kwenye swala la mafuta!!

  • @issajafarimzi2784
    @issajafarimzi2784 ปีที่แล้ว +1

    Imagine huu ndo raisi, life ingekuw yakula tu

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +1

    Nisaidieni namba ya Mwenyekiti wa Cha UMMA... Mzee Rungwe jamani

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +1

    Bahasha za kaki

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 ปีที่แล้ว +1

    Huyu akikosa ruzuku wakati wa uchaguzi tu, hataonekana tena kwenye siasa.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 ปีที่แล้ว

      wewe ni senge hata hujui ruzuku inapatikanaje, haya tuambie ni lini chama chake kilipata ruzuku na ni kiasi gani

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 ปีที่แล้ว

    Rungwe unatupotosha ,tunaomba ustaaf kwa heahima , Umeshindwa kutetea point yako ya matumiz, alaf unaita watu wezi mbona husemi umeibiwa nn, rungwe akil zinaanza kurudi utotoni,

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mzee akili yako haijakaa sawa...... kuhusu swala la DODOMA kumbe Hauna unachokielewa...mfumo wa vyama vingi ndio vinatumaliza huwezi Kuta inchi iliyoendelea Ina vyama kibao kama Tanzania!

  • @ameokichaka9456
    @ameokichaka9456 ปีที่แล้ว +1

    Rungwe bwana?

  • @charlesedson5538
    @charlesedson5538 ปีที่แล้ว

    Mm nimepewa bwana, Kwan hata ww ukipewa utakataa jaman

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +1

    kweli kabisa mfano ma dc wilaya zote nchi nzima na ma rc mikoa yote nchi nzima wanatumia kodi za watanzania kiasi gani imagine?