Hakuna wa Kufanana Nae - Victoria Alto (LIVE MUSIC VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 เม.ย. 2023
- Yeremia 10:6-7
Hapana hata mmoja aliye kama wewe, Ee BWANA; wewe ndiwe uliye mkuu, na jina lako ni kuu katika uweza. Ni nani asiyekucha wewe, Ee mfalme wa mataifa? Maana hii ni sifa yako wewe; kwa kuwa miongoni mwa wenye hekima wote wa mataifa, na katika hali yao ya enzi yote pia, hapana hata mmoja kama wewe.
AUDIO PROCED BY MJWAHUKI ENTERTAINMENT
LYRICS
Mungu awezae aponyae
CHORUS WRITTEN BY PAUL CLEMENT
sijawahi ona Mungu anaeweza namna hii
Sijawahi ona
sijawahi ona Mungu anaeweza namna hii
Sijawahi ona
VERSE WRITTEN BY VICTORIA ALTO
Aliangusha Yeriko kagawanya bahari katoa maji jangwani uyo ni Yesu uyo ni Yesu
Akiahidi anatenda akisema anatimiza
Akiahidi anatenda
Uyo ni Yesu kweli sijawahi ona
sijawahi ona Mungu anaeweza namna hii
(Sijawahi ona)
Sijawahi ona Mungu anaeponya namna
(Anaponya magonjwa yote)
Sijawai ona Mungu anaejibu namna hii
(Sasa tupige makofi kwa Bwana)
BRIRDGE WRITTEN BY VICTORIA ALTO
Haufanishwi Bwana
Wewe ndiwe niko ambaye niko
Haufanishwi Bwana
Sijawahi ona mwingine kama wewe
Haufanishwi Bwana
Wala hakuna wakulinganishwa nawe
Hakuna wakufanana nae
Haufanishwi Bwana
Matendo yako ya ajabu
Haufanishwi Bwana
Nimetafuta sijaona kama wewe
Haufanishwi Bwana
Unayetenda makuu sana
Hakuna wa kufanana nae
PART 2 ( NYIMBO ZA INJILI)
Hakuna wakufanana na Yesu
Hakuna wakufanana nae
Nani alinganishwe na Yesu
Hakuna wakufanana nae
Yeye ni Mungu mwenye nguvu na baba wa milele
Hakuna wakufanana nae
Anaweza
Anaweza
Hakuna wakufanana na Yesu
Hakuna wakufanana nae
Nani alinganishwe na Yesu
Hakuna wakufanana nae
Yeye ni yote katika yote Bwana
Hakuna wakufanana nae
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza Hakuna wakufanana nae
Anajibu
Anajibu
Tukiomba anajibu
Anajibu
Kabla atujaomba anajibu
Anajibu
Anajibu Hakuna wakufanana nae
Anajibu
Anajibu
Tukimuita asikia
Anajibu
Anajibu
Anajibu Hakuna wakufanana nae
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Jambo gani limshinde
Anaweza
Anaweza Hakuna wakufanana nae
Anatenda
Anatenda
Anatenda
Anatenda
Anatenda
Anatenda Hakuna wakufanana nae
Yesu kristo, Hai
Ni Bwana
Yesu kristo, hai
Mwokozi
Yesu kristo, Hai
Ni ngome
Yesu kristo, Hai
Mkombozi
Hey taa, Ta
Ta, Tata
Yesu kristo
Mwokozi
Yesu kristo,Hai
Anaponya
Yesu kristo, Hai
Aaaah Ni Bwana
Yesu kristo, Hai
Yuko hapa
Hey taa, Ta
Ta, Tata
Anaweza
Anaweza
Mambo yote
Anaweza
Yaliyoshindikana kwa wanadamu
Anaweza
Anaweza yHakuna wakufanana nae
Kama amjawai kuona njooni muone
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Hakuna wakufanana nae
Anajibu
Anajibu
Kabla sijaomba anajibu
Anajibu
Anajibu
Anajibu hakuna wakufanana nae
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza
Anaweza hakuna wakufanana nae
Wapi shangwe
Wapi shangwe
Nani alinganishwe na Simba wa Yudah. Anafanya mambo yapitayo fahamu za wanadamu. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Kweli kabisaaa Hakuna Mungu kama Mungu wa Israel na mwokozi kama Yesu Kristo.. amazing.. congratulations to you.sauti Yako Iko viwango vya juu endelea kuimba nyimbo za kumtukuza MUNGU
Naaaani wa kulinganishwa na Yesu
Hakuna wa kufanana na YESU!
🔥💥🔥💥🔥💥🔥🙌🙌🙌🙌
MD, musicians, vocalists, Mtunzi kazi nzuri👏🏾👏🏾👏🏾
Akuna wa kufanana nae anawe asante unajibu
Promise keeper....
Nzuri sana 🙌🙌🙌
The name above all names
AMEN AMEN AMEN
MUNGU AKUBARIKI SANA NA SANA MY DEAREST TEACHER(MENTOR) & MINISTER OF GOD...
NAONA MWENYE UTUKUFU ALISHUKA KUUCHUKUA UTUKUFU WAKE...🔥🔥🔥
Hongera sana dada yangu.. Mungu alikuwa mwingii sanaa
Woow Hakika hayupo anayeweza kama Mungu wetu. What a powerful song🔥🔥🔥
Alto tz...
Amen amen Mungu ni mwema hakuna wa kufanana nae......🦾🦾🦾🦾🦾
Music director....
Bass
Drum
Solo
1st 🎹
Second...🎹
Backup...
Nyie ....
Respect sana ...🌠🌠🌠🎹🎹🎹
😭😭😭😭😭oooh Yahweh,who is like you Redeemer??hakuna kama wewe Mfalme ....uliyotenda ndani yangu siwezi hata kueleza Bwana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 uinuliwe juu zaidi 🙏🙏🙏🙏
Mungu akupandshe viwango vya juu zaid you deserve it
Hakika Nimebarikiwa sanaa..na nyimbo hii ni wimbo ambao unakuingiza uweponi mwa BWANA..una ujumbe mzuri sanaa ..kweli hakuna wa kufana Na YESU..Hongereni sanaa ..kwa wote mliyoiandaa ibada hii mbarikiwe sana ..na Rafiki yangu Mungu akubariki kwa maono haya ..Na akuinuwe zaidi..na zaidi ❤
Amen
Whhheewww🔥🔥 !!! Utukufu apewe Bwana!!!
Sijawahi ona Mungu awezaye Kama Yesu Wow..
Locked 🔐🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amina
Kweli hakuna anayeweza Kama mungu
Ameen mtumishi wa mungu alto huduma njema hakuna mwingine anaeweza zaidi ya mungu
Ni hapa hapa Tanzania.
Nyie nyie nyie ...🦾🦾🦾🎹🎹🌠🌠🌠
Woooooow.... Powerful...Love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤❤
Keep up the good work.May God uplift you 🙏
🔥🔥🔥🔥Anawezaaaaaaaaaa!!!!
Hongera Sana Mama Mungu anae jibu namna hi akuinue VIWANGO VYA JUU Sana 💞 na wewe uje ukumbuke ulikuwa chini ushike mkono mtu pia ww
Amen🙏
Amen amen ubarikiwe Sana ila je waeza kualikwa Mombasa Kenya
@@hellismtotowakifalme4009 Amen, Ndio inawezekana karibu vsilwimba@gmail.com
The Team🔥✨!
🔥🔥🔥🔥
Hakika dada Vick ubarikiwe Sana it powerful song kweli sijawahi Ona Mungu anaeweza kama YESU 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen, Glory to God
🔥❤🔥🔥🔥🔥
Hakuna wa kufanana naye🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dada Mungu akuinue sana ni ubunifu wa kipekee umo ndani yako
Amen
Hakika akuna wa kufanana nae ameen
Natazama kutoka Kenya Mungu akubariki Victoria
Amen
Mungu akuinuwe Viwango mbaka Viwango🙏
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥Kweli Hakuna wakufanana na YESU
#Bless up WOG Vicky
Hallelujah hakuna wa kufanana nae.
Sifa na utukufu kwa Bwana
Hongera sana Huduma ya Patakatifu 🙏🏿
Asante
The best swahili song...+254 share this +255 blessing
❤❤ love this
Sifa heshima na utukufu vina yeye Mungu mkuu Asantee kwa Baraka hizi kubwa ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Sister ametumiwaaaaa
Kwakweli Mungu awabariki sana kazi njema na mmevaa vizuri sana safi sanaaaaa 👏👏👏✅✅
Amen
This is awesome my dear Yesu akupeleke mbali dear wangu we are so proud of you❤️
Amen🙌. Thank you sister, Im humble 🙏.
Sijawahi ona Mungu anayeweza namns hii
Sijawahi comment but this wooh 🔥🔥🔥 made me to comment….Hakika hakuna wa kufanana na Mungu wetu aliye hai Halleluja
Glory to God
Wow the holy of holies ministry Mungu awabarki sana
Amen
Hakuna wa kufanana na Mungu wetuuu🔥🔥🔥🔥🔥
ubarikiwe sana enock from eldy
Amen
tunaeza fanya collabo na wewe kwa any song ni enock mwimbaji pia but sijaanza kurecord songs zangu nko 16yrs form three napenda songs zako
@@benjaminkimaiyo5290 Amen Mungu akitupa kibali
Watching from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Be blessed
Mko vizuri
Sister Vick umepewa kibali chakuimba so imba mbele za bwana kumfurahia kwan kakup hiko kibali chakuimba kipenzii chang God bless you ❤..... good songs sister angu Vick
Amen❤️
Huhuuuuuuu! Ni fireeeee! Keep up the good work💪
Strong voice…
Wow wow wow hallelujah 👐👏
Kweli sijawai ona Mungu anae weza namna ihi
Blessing 🙏🙏🙏 More Grace goooooooooooo
Amen
Wimbo wangu mzuri sana nauimba hata kwenye ndoto
This song should go viral
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe sana dada kwa ibada hii
God is not Yet Done with You Dear Victoria..This is just a start and because you have been faithful to This humble beginning God is going to uplift you into greater dimension,Nimebarikiwa sana na wimbo..Naamini kupitia huu wimbo shuhuda nyingi sana zitatokea..Ubarikiwe sana WOG.
Amen
Glory to God forevermore.
🎉Nimebarikiwa
Glory to God
🔥🔥❤️
Nice one❤
Glory be to God
Hakuna wakufanana nae
Hikika Mungu wetu si wakufananishwa,
Mbarikiwe nyote.
Amen
🙌🏿
What a blessed day. Everything is on point🔥🔥♥️
Ucc product 🙌🏾
AMEN
Eeeiii.🔥🔥🔥
must be great.❤
I'm in love with the energy.🤩
Amen
Alto, may GOD enlarge your boundaries and expand your territories.. you are the best 👏🏻👏🏻👏🏻
Amen
Amen
Great job thank you 👍
Praises to the Almighty jamani..
This is so huge 🔥🔥🔥🔥
I keep coming back to this song kila wiki. Hakika hakuna wa kufanana nae!!!!🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen❤️
Wow hongera sana mdg wangu kazi kubwa sana hii ❤
Amen
Nicely arranged and Heavenly anointed
WAH WAH WAH THIS IS WONDERFUL N POWERFUL, GLORY TO GOD I like the song
Hongera sana victoria, wimbo unaujumbe mzuri pia umechangamka na umeimba vzr sanaaaa, keep it up
Amen
Powerful.
Glory to God
Hallelujah! Hakika sijawahi ona Mungu wa namna hii!❤🙌🏾
Congratulations dear Alto 🔥🔥🔥🔥
Mungu azidi kukuinua 🙌🏻
Amen
Best
Mwimbo mzuri sana wa Kumsifu Mungu wetu mwenye uweza, God bless you Victoria!
Amen
Hongera sana Vicky, Mungu azidi kukufanikisha zaidi ili tuzidi kuhudumiwa nawe
Amen
The vocals🎉
All the way from Kenya I love how you sing ❤🎉❤
Thank you🙏, im humbled
Beautiful voice, song wonderfully sang. Perfect❤❤
I thank God I came across this😭😭😭😭❤💥
Glory to God
@@victoriaalto2015 it's a real ministration may blessings and grace abound unto you as and if you work on another project
@@ephraimstarmass593 amen🙏
Hongera sana dear Victoria mwenyezi Mungu azidi kukuinua
Amen
Amen.. Amen, hakika ni Yesu
Hakika hayupo kama Mungu wetu🙌🙌🙌, God bless you Victoria and the team.... mbarikiwe mno na Mungu azidi kuwaongeza katika unyenyekevu wa kumtumikia
Amen
So powerful, be blessed Sister 🙌 🙏
Wow owesome song
Good things come in small packs. How does that depth and spirit come from this beautiful lady. I am blessed.
Glory to God🙌
Hakika hakuna Wa kufanana na Yesu, Hongera sn Mdogo Wangu Vick Mmebarikiwa Mno Family Ya Mchungaji Swilimba
Amen