Pastor Epa - Uinuliwe Yesu (Live) Official Gospel song 2020

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.7K

  • @Samuel-hc4og
    @Samuel-hc4og 3 ปีที่แล้ว +65

    Kama umeletwa APA na tiktok piga like

  • @MercyroseWahome_
    @MercyroseWahome_ 2 หลายเดือนก่อน +117

    Those from tiktok let's gather here and praise the Almighty God👇

  • @weelee4123
    @weelee4123 หลายเดือนก่อน +44

    Nyimbo ya 2020 lakini trending in 2024, This shows God's timing is right, Nani alijua hii nyimbo ni ya 2024 Kama Mimi??❤❤

    • @gloriousnp
      @gloriousnp หลายเดือนก่อน

      ‘Mi nipo hapa since 2020 na kila mwaka narudi😂

    • @wesleykai
      @wesleykai หลายเดือนก่อน

      Sure, I have just seen a fraction of the song on IG and I rushed fast to TH-cam

  • @ashafabian9085
    @ashafabian9085 2 หลายเดือนก่อน +28

    Here from TikTok na mtoto Naomi James

  • @mordekaikiwango3600
    @mordekaikiwango3600 2 ปีที่แล้ว +40

    Naombeeni likeee zenu watu wa Kanda ya ziwaaa Nimebarikiwa Kuwa Na Huyu Pastor Epa Kwenye Kongamano Arushaaa

  • @NavonMboya
    @NavonMboya 2 หลายเดือนก่อน +20

    Tuliotoka tiktok kuja kusikiliza wimbo huku tujuane jaman 👏👏👏💯

    • @johnsamuel8802
      @johnsamuel8802 หลายเดือนก่อน

      😂😂 tuko wengi kumbe

  • @elleparks1177
    @elleparks1177 3 ปีที่แล้ว +1201

    Wenye tumeletwa apa na status...this Song is just a blessing!🇰🇪🇰🇪

  • @ogwaldennis9681
    @ogwaldennis9681 ปีที่แล้ว +145

    Who is still watching with me as we enter in 2024 , as his name be lifted higher, glory to God

  • @boazdanken
    @boazdanken 4 ปีที่แล้ว +440

    Glory to Jesus Asante sana Hongera sana Mwanangu Ndio maana na Mpenda sana YESU MUNGU akutunze sana Kazi ni nzuri unanguvu Sana

    • @davidngailo7966
      @davidngailo7966 4 ปีที่แล้ว +9

      Inavyo Anza nilifkri ni ww mtumishi, by the way 🔥🔥 Utukufu kwa Yesu.

    • @mavundemmbaga4664
      @mavundemmbaga4664 4 ปีที่แล้ว +8

      Yaani hii ni moja nzito anaimba kama wewe kabisa

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  4 ปีที่แล้ว +43

      Asante sana Baba hii ni moja ya matunda yako,Asante kwa ushauri,maombi,maonyo n.k yamenifikisha hapa leo

    • @Daniellemakaaya
      @Daniellemakaaya 4 ปีที่แล้ว +10

      nafurahi kuona huu ushirikiano Watumishi

    • @gospelman3720
      @gospelman3720 3 ปีที่แล้ว +3

      This is your Copy kabisa yani 😊😊😊😊😊😊😊

  • @DorcasMonze
    @DorcasMonze 2 หลายเดือนก่อน +43

    Nimetoka tiktok kuja kusearch huu wimbo.may almighty God bless me

    • @Frankakere
      @Frankakere 2 หลายเดือนก่อน +1

      me too

    • @ruthauma-r2l
      @ruthauma-r2l 2 หลายเดือนก่อน

      Me too nimekutana nayo tiktok nikaja kusikiza.

    • @nellykirima5901
      @nellykirima5901 2 หลายเดือนก่อน

      Pia mimi 😂😂 nakwambia huu wimbo ni mtamu

    • @NavonMboya
      @NavonMboya 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mie haki, wimbo unatrend mnoo na Ni kwasababu yamtoto Naomi ananogesha hatali

    • @estherm1228
      @estherm1228 2 หลายเดือนก่อน

      Me too

  • @ChigadiKE
    @ChigadiKE 2 หลายเดือนก่อน +16

    Nimetoka Tiktok 15/10/ 2024

  • @MercieWambua
    @MercieWambua 20 วันที่ผ่านมา +3

    Nko hapa natazama tarehe 3 December 2024

  • @esthermusyoki6508
    @esthermusyoki6508 8 หลายเดือนก่อน +94

    Who is here 2024 april❤🎉❤...

  • @acci6516
    @acci6516 หลายเดือนก่อน +1

    Am leaving this comment so that anytime a person likes it I will come back and listen to this song again

  • @gyanpoul3978
    @gyanpoul3978 2 หลายเดือนก่อน +98

    Who is here 2024 October 🎉

    • @emmanuelgitau5986
      @emmanuelgitau5986 2 หลายเดือนก่อน +2

      🕺🕺🕺

    • @Karenkerubo5261
      @Karenkerubo5261 2 หลายเดือนก่อน +2

      Here I am. Praising Him for f His favour. I got a job after a long long suffering. He is faithful God.

    • @finestford007
      @finestford007 2 หลายเดือนก่อน +1

      Lets gather here

    • @Madaga-h8y
      @Madaga-h8y 2 หลายเดือนก่อน

      🥰 Am here that a blessing ✊🔥📌

    • @FLOH9876
      @FLOH9876 หลายเดือนก่อน

      Hii ndio tunaingia nayo November 🎉

  • @daisyjeanwonder777
    @daisyjeanwonder777 4 หลายเดือนก่อน +31

    Love this ☝️❤
    July 31st-August 2024 let me see your likes and comments
    KENYA 🇰🇪

  • @hellenkasyoka6745
    @hellenkasyoka6745 3 ปีที่แล้ว +26

    I love this song from Kingdom Seekers Fellowship nakuru but I did not know who sang it, am happy am being blessed today.

  • @nicholasgathigi
    @nicholasgathigi 3 ปีที่แล้ว +57

    Mimi status Na tiktok zilinituma uku. Unfortunately I didn't know the title of the song. I searched for Content within the status line. Finally got it. Such a blessing 💖

  • @upendoepafrodito6723
    @upendoepafrodito6723 4 ปีที่แล้ว +246

    Wooow, Keep it up my husband,all glory to God

  • @mariampatrick
    @mariampatrick หลายเดือนก่อน +4

    Who still watch this in 2024🙏

  • @sarikokiagape7685
    @sarikokiagape7685 หลายเดือนก่อน +4

    here november 2024 from tiktok kwa mtoto naomi❤❤❤...

  • @hoseakevin7502
    @hoseakevin7502 ปีที่แล้ว +5

    Amen! Have just seen it in someone's WhatsApp status and I had to search it in TH-cam. It's 2023 and the song is still 🔥🔥🔥.... If you are here in 2023 listening to it, give me likes.
    👏👏👏👏👏

  • @MatundaAfya
    @MatundaAfya 4 ปีที่แล้ว +29

    Ee Bwana Katika Miungu Yote
    Ni nani aliye kama wewe
    Utukufu katika utakatifu
    Mwenye kuogopwa katika sifa
    Ulivuma kwa upepo wako
    Bahari ikafunikiza adui
    Wakazama kama risasi
    Risasi Ndani Ya Maji Makuu
    Yanaimba Wakati Wote Haya

    • @fjojoly
      @fjojoly 3 ปีที่แล้ว +1

      asante sana

    • @catherinemaithya4290
      @catherinemaithya4290 10 หลายเดือนก่อน +1

      Thankùuùuuu..barikiwa,

    • @BupeJamu
      @BupeJamu 10 หลายเดือนก่อน

    • @norahnkirotekarani5497
      @norahnkirotekarani5497 4 หลายเดือนก่อน

      This stanza makes me cry 😭😭...you are faithfull God all the day

    • @euniceauma8450
      @euniceauma8450 2 หลายเดือนก่อน

      Wow from TikTok 2024 Oct and the song is direct from bible wonderful

  • @esthergloryshine322
    @esthergloryshine322 ปีที่แล้ว +10

    I love the part Mtukufu katika utakatifu.........na wakazama kama risasi...........Hallelluya, Uinuliwe YESU💃💃💃💃🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖🎶🎶🎶🔥🔥🔥🔥

  • @fridah6046
    @fridah6046 หลายเดือนก่อน +4

    Nani mwigine aliusikia kwa church akakuja kusearch🖐🖐🖐

  • @rossyfavor3980
    @rossyfavor3980 2 ปีที่แล้ว +73

    Heard it in Kingdom seekers Nakuru,
    This is the song of Moses in Exodus 15, after a mighty deliverance out of the hand of pharaoh and his host and walking in the red sea on dry land
    May it be our song of deliverance too in Jesus mighty name Amen hallelujah

    • @rossyfavor3980
      @rossyfavor3980 2 ปีที่แล้ว

      Amen and Amen

    • @marynjenga9692
      @marynjenga9692 2 ปีที่แล้ว +2

      I also heard it there and loved it...it's powerful.God bless u minister

    • @jacklinekawiche1827
      @jacklinekawiche1827 2 ปีที่แล้ว

      God bless your ministry man od God such a powerful song❤️❤️❤️

    • @jacklinekawiche1827
      @jacklinekawiche1827 2 ปีที่แล้ว

      Such a powerful song God bless your ministry Man of God❤️❤️❤️

    • @chepchirchirsang399
      @chepchirchirsang399 2 ปีที่แล้ว

      Me too

  • @nancywaithera8794
    @nancywaithera8794 3 ปีที่แล้ว +55

    Finaly am here courtesy of kingdom seekers Nakuru worship team🇰🇪🇰🇪be blessed for such a powerful song

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 4 ปีที่แล้ว +6

    Nimekuja hapa kumuinua Yesu , maana kupita siku 365 za mwaka 2020 haikua rahisi, wengi wemelala mauti
    Mimi ni nani hata nimepata fursa hii ya kurudi kusikiliza huu wimbo tena. I dont take it for granted ....UINULIE YESU, WEWE MWEMA🙏🏿🙏🏿🇹🇿

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  4 ปีที่แล้ว +2

      Wooow,Wooow,glory to God

    • @gideoncharles956
      @gideoncharles956 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni jambo jema kumshukuru Bwana..

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimerudi tena kumark Register baada ya siku 365 za 2021, KAMA SIYO MUNGU ni nani??
      ILA PR. Sijui kwann huu wingi mlifanya kuimba hiyo chorus mara 1tu
      Yaani dah 😂😂😂🙌🏾
      Heri ya mwaka mwingine tena🙏🏿🇹🇿

    • @gloriousnp
      @gloriousnp ปีที่แล้ว +1

      So long as napumua Lazima nitapita humu KUMUINUA YESU, mpaka ntapolala usingizi wa mauti
      2023 it is 🙏🏿🙏🏿🤗

  • @stephenmaesh7276
    @stephenmaesh7276 4 ปีที่แล้ว +124

    i don't know how i found myself here but what i can say is that i am blessed with the song🇰🇪🇰🇪

  • @douglasmayiani1010
    @douglasmayiani1010 ปีที่แล้ว +20

    Can't get enough of this song from America , ❤🇺🇸 Nakuru kingdom seekers kazi mzuri , wakenya tunamjuwa Mungu

    • @munjikongo5258
      @munjikongo5258 6 หลายเดือนก่อน +1

      Na tunampenda Mungu sana pia

    • @josephinemuthumbi9633
      @josephinemuthumbi9633 หลายเดือนก่อน

      Amen, but the artist is from TZ.

  • @EliyaMwantondo
    @EliyaMwantondo 4 ปีที่แล้ว +70

    🔥🔥🔥🔥 AINULIWE YESU...

  • @bizimanamike2885
    @bizimanamike2885 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nime toka tiktok nyimbo hiyi imenivuta inauwezo wamungu ndani

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 2 ปีที่แล้ว +91

    i thank God for saving me, i was on the verge of death...now i feel that nothing is sweeter than serving God

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  2 ปีที่แล้ว +4

      Oh,Glory to God

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 2 ปีที่แล้ว +5

      @@PastorEpa be blessed man of God, your ministry is helping thousands of thousands

    • @lilianmugyabuso8908
      @lilianmugyabuso8908 2 ปีที่แล้ว +3

      Waoo tupo wengi niliiona status ya Wifi yangu nikaupenda!

    • @reenahndungu799
      @reenahndungu799 ปีที่แล้ว +1

      Kweli yeye ni mwema...... Anastahili kuinuliwa,kuabudiwa na kutukuzwa..........

    • @konastone3957
      @konastone3957 11 หลายเดือนก่อน

      Its never over until it is in deed over.

  • @Johnnyambu
    @Johnnyambu 2 ปีที่แล้ว +61

    To you who is scrolling through the comments remember you're amazing❤

  • @lydiamwancha329
    @lydiamwancha329 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekimbia from tiktok to search this song,may God bless you for this

  • @254collins
    @254collins วันที่ผ่านมา

    2025 is here, who is thankful to God for this far? ❤🇰🇪 🇺🇬 🇹🇿 🇷🇼

  • @ruthmomanyi6549
    @ruthmomanyi6549 2 ปีที่แล้ว +5

    Team tiktok wapi likes 👌

  • @maureennafula7436
    @maureennafula7436 5 หลายเดือนก่อน +5

    It's like downloading the song wasn't enough, am back again to watch and comment, ukiona comment yangu ya some years back just show love Please ❤

  • @lydiamangowi3328
    @lydiamangowi3328 3 ปีที่แล้ว +6

    Ipo siku na mm nitakuwa muimbaji Kama postor epa naamini

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  3 ปีที่แล้ว

      Amina Amina Na upokee katika jina la Yesu

    • @florajacob597
      @florajacob597 3 ปีที่แล้ว

      Vile uonavyo ndivyo ulivyo

  • @gracekihoti5432
    @gracekihoti5432 3 ปีที่แล้ว +41

    Where are kenyans to come and see how other minsters from tanzania are supporting there own ata kwa comments .maceleb wakenya kiburi haiwezi ruhusu muinuane jamani.hongera this is lit

    • @davidvisia7664
      @davidvisia7664 2 ปีที่แล้ว

      Very powerful Praise.More Grace.

    • @perfectmachine4189
      @perfectmachine4189 11 หลายเดือนก่อน +2

      Whether Kenyan or Tanzanian or any other Nationality, glory belongs to God. So long as God is glorified, I will always support. Great praises there 🎉🎉🎉

    • @mureyarnoda803
      @mureyarnoda803 9 หลายเดือนก่อน

      I thought it was a kenyan

    • @AndrewDerrick-rs7nn
      @AndrewDerrick-rs7nn 8 หลายเดือนก่อน +2

      He is praising God not comparing himself with Kenyans....... kindly be certain with what you say
      😅anyway be blessed

    • @mureyarnoda803
      @mureyarnoda803 7 หลายเดือนก่อน

      ​Did you understand my sentiment ama umekimbilia tu kurespond for the sake 😢😢 i said' i thought' that means i was not sure ,besides you didn't bother to inquire why i said so ,what shame you potray kind of resentment towards kenyans whom you didn't create ​@AndrewDerrick-rs7nn

  • @gwamakamwakalinga6705
    @gwamakamwakalinga6705 4 ปีที่แล้ว +70

    Now I understand why vita ilikuwa kubwa...Kazi njema sana.The song Has content sana aseeee.Imeshiba nenoo aseee..

    • @neemakayanda5860
      @neemakayanda5860 4 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa kabisa lkn Vita si yetu ila ni ya Bwana,Atukuzwee yeye Yesu atupaye kushinda ktk yote

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  4 ปีที่แล้ว +1

      amen

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  4 ปีที่แล้ว

      kabisa kaka,Yesu ametushindia

    • @isayarisie2249
      @isayarisie2249 3 ปีที่แล้ว

      @@PastorEpa more grace to you brother

    • @joyceheriel2779
      @joyceheriel2779 3 ปีที่แล้ว

      The content👍🏽👍🏽👍🏽

  • @alexmwango
    @alexmwango 3 ปีที่แล้ว +126

    This song has been on repeat for a month
    LYRICS:-
    Uinuliwe Yesu, wewe mwema*4
    Uabudiwe Yesu, wewe mwema*2
    Utukuzwe Yesu, Wewe mwema*2
    (Ee Bwana katika Miungu yote,
    Ni nani aliye kama wewe
    Utukufu katika utakatifu
    Mwenye kuogopwa katika sifa
    Uliyevuma kwa upepo wako,
    Bahari kafunikiza adui
    Wakazama kama risasi
    Risasi ndani ya maji makuu)*2
    Uinuliwe Yesu wewe mwema X2
    Uabudiwe Yesu wewe mwema X2
    Utukuzwe Yesu wewe mwema X2
    Wowowowo wowo, wowo
    Great Work Pastor Epa..... Bwana azidi kukubariki

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +4

    Nani kama YESU WETU??? HAKUNA MWINGINE WA KUINULIWA SASA NA HATA MILELE ZAIDI YA YESU WETU 10/1/2021

  • @GodlistenKamnde
    @GodlistenKamnde 2 หลายเดือนก่อน +1

    Weli Neno la Mungu ni jipya kila siku, Mimi nimejua wimbo huu niwa mwaka huu kumbe toka 2020 nimemshangaa Mungu kwa kweli, Mimi ndio nimeusikia mwaka huu.

  • @peterlusesi2110
    @peterlusesi2110 ปีที่แล้ว +5

    Where have I been all these time?

  • @joanatieno1414
    @joanatieno1414 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda huyuYesu sana ,uinuliwe juu sana,nami nitakumikia ooh Yesu ,wimbo nzuri sana

  • @_i.am_sonnie
    @_i.am_sonnie ปีที่แล้ว +38

    I'm here because of kingdom seeker's praise and worship team..... Church without walls..... I had to search it through the lyrics .... Touching song 🙏

  • @irenekivalu5184
    @irenekivalu5184 3 ปีที่แล้ว +2

    Ee Bwana katika miungu yote
    Ni nani aliye kama wewe
    Mtukufu katika utakatifu
    Mwenye kuogopwa katika sifa
    Uliyevuma kwa upepo wako
    Bahari ikafunikiza adui
    Wakazama kama risasi
    Risasi ndani ya maji makuu....

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 3 ปีที่แล้ว

      My fav. part
      🤗🤗❤️🇹🇿🙏🏿

  • @irenejerru974
    @irenejerru974 ปีที่แล้ว +5

    My song 2023..GOD Has done great &Mighty things is doing & will do.This song ministered to me this year after going through a lot 2022...loses,sicknesses,breakups....
    Uinuliwe yesu may your will be done..AMEN & AMEN

  • @betnasmembok9692
    @betnasmembok9692 2 ปีที่แล้ว +2

    Who is blessed this year 2022 with powerful song?💃💃💃💃

  • @emmanuelnganga-kv7mo
    @emmanuelnganga-kv7mo ปีที่แล้ว +10

    Listening to this song is a blessing🇰🇪🇰🇪 eagerly waiting for your arrival in Kenya 🇰🇪to celebrate together 🇰🇪

  • @carlvinnah5988
    @carlvinnah5988 7 หลายเดือนก่อน +11

    Who's here 2024 May 🥰 From Nzilani's tiktok dance challenge 😊 I'm blessed

  • @naomishindai8712
    @naomishindai8712 4 ปีที่แล้ว +6

    Nimekua na huu kwenye simu Yangu bila kujua n Nan kaimba... Ninerudia kuangalia ile video Mara nyingi sana. Nakuja kugundua it's Eppa..... Daaah moyo wangu unamtukuza Mungu kwa ajili yako

  • @loicekweyu747
    @loicekweyu747 2 หลายเดือนก่อน +1

    I've been brought by my daughter, this is the song for their prayer day as they prepare for their final assessment

  • @MosesOkwokuEboso
    @MosesOkwokuEboso 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimebarikiwa sana,Glory to God passy ningependa support yako kwa nyimbo zangu kwenye huduma huu natamani kuhubiri neno la Mungu kupitia wimbo,ukinipata kwenye TH-cam ni charity eva in kenya

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jana tumeimba wimbo huu sana Kongamano la 16 Kitaifa Dodoma

  • @amungalucas801
    @amungalucas801 4 ปีที่แล้ว +55

    Am i the only one who is wondering why this song has not hit one million views in 1 week??? Such a powerful song 🎵 👏

  • @nurujulius1797
    @nurujulius1797 2 ปีที่แล้ว +2

    Nasikia kuinuliwa kupitia wimbo huuu🙋🙏

  • @godlovekusiluka5858
    @godlovekusiluka5858 3 ปีที่แล้ว +17

    @PastorEpa Please consider uploading this brilliant live recording to digital platforms kama Apple Music, Spotify, Boomplay na nyingine. I personally would pay to listen for whole day without being forced to use TH-cam. I know I speak for many!

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  9 หลายเดือนก่อน

      Praise God,Could I have your contact please

  • @CypreneImbogo
    @CypreneImbogo 2 ปีที่แล้ว +2

    Eh Bwana katika miungu yote
    Ni Nani aliye kama wewe
    Utukufu katika utakatifu
    Mwenye kuogopwa katika sifa
    Uliyevuma Kwa upepo wako
    Bahari kafunikiza adui
    Wakazama kama risasi
    Risasi ndani ya maji makuu

  • @hon.kabalo1960
    @hon.kabalo1960 4 ปีที่แล้ว +16

    Safiii sana brother.. Glory glory glory to God 🙌🙌 na hivi ndivyo Mungu wetu anastahili kusifiwa

  • @PlanetAudioSound
    @PlanetAudioSound 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio nimefika... 3rd Sep 2024,,powerful song

  • @scolasticawamuyu883
    @scolasticawamuyu883 2 ปีที่แล้ว +3

    This song wacha tu thez pastor Mike akiimbisha wacha tu

  • @tracyatukunda-lj8cj
    @tracyatukunda-lj8cj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Those are from TikTok gather here 🥰, glory to God 🙏

  • @barakasteven5481
    @barakasteven5481 4 ปีที่แล้ว +36

    Nasikia kuumia kwa wale ambao hawajakutana na huu wimbo. So so powerful 🧨

    • @lucywanjala8085
      @lucywanjala8085 2 ปีที่แล้ว

      Blessed song ,uinuliwe yesu kabisa🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Gospeloftrinity
    @Gospeloftrinity 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nazidi KUUPENDA huu wimbo baada ya kusoma kitabu Cha kutoka pale Wana wa Israel wameshavuka BAHARI watu wa farao wakazama kama risasi ndani ya Maji makuu walipovuka NDIPO wakauimba huu wimbo napenda sana kumshukuru Mungu

  • @lydiasilas5813
    @lydiasilas5813 3 ปีที่แล้ว +7

    Uinuliwe Yesu, wewee mwema,utukuzwe Yesu, wewee mwemaa jina la Bwana libarikiwe ameen

  • @gracegeemiles932
    @gracegeemiles932 ปีที่แล้ว +2

    This song🥹🥹😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nina mengi ya kumshukuru mungu wangu 😭😭😭

  • @rahabmwai232
    @rahabmwai232 3 ปีที่แล้ว +18

    From Kenya,this song has become our daily praise and worship song...love it

  • @lindabarasa4160
    @lindabarasa4160 ปีที่แล้ว +2

    Nimeletwa hapana status...this song has blessed my heart listening to it at 3:16am in the morning uinuliwe yesu

  • @lillianjackson538
    @lillianjackson538 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakika maneno ya wimbo huu na melod yake unanifanya kuuona ukuu wa Mungu kwa namna ya tofauti kabisaa. Ubarikiwe sanaa

  • @frolaby2724
    @frolaby2724 วันที่ผ่านมา +1

    This song gives me good mood😊❤

  • @cutepretty3619
    @cutepretty3619 3 ปีที่แล้ว +51

    The moment my two month marrieg was falling ,,my Arab husband went back to Lebanon,,I leisten to your song ,,and it really encourage me to go back to my knees,,,and now we are back together , planning to go to Kenya next year for church wedding

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  3 ปีที่แล้ว +3

      Woow, I give God all the Glory for what he has done to you and am praying to do more and more for his name's sake, More testimonies are coming stay blessed

    • @clarabellewilliam8497
      @clarabellewilliam8497 3 ปีที่แล้ว

      Powerfully testimony

    • @modeemojombo5662
      @modeemojombo5662 3 ปีที่แล้ว

      To God be the Glory

    • @FidelFusel
      @FidelFusel ปีที่แล้ว

      A GREAT BLESSING BABY GIRL

  • @KellenMwaniki-lk4hy
    @KellenMwaniki-lk4hy 7 วันที่ผ่านมา +1

    Glory to God 🙏🙏🙏 Blessed 🙏

  • @andrewkibwata974
    @andrewkibwata974 4 ปีที่แล้ว +22

    YESU atazidi kuinuliwa kila sekunde maana hakuna Kama yeye duniani kote...
    nice song brother...it's Soo 🔥🔥🔥

  • @JoyceMkojera-q2o
    @JoyceMkojera-q2o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Always God only to be bless but also the one who sung to be blessed by God Amen ❤❤❤❤❤❤

  • @mariangoi2569
    @mariangoi2569 ปีที่แล้ว +3

    Naamini na leo ntabirikwa sana

  • @DavidNyawira-ru5ij
    @DavidNyawira-ru5ij 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hii wimbo tunapenda kenya

  • @joelkaema
    @joelkaema 4 ปีที่แล้ว +20

    Hahahahahaaa! Nacheka kwanza... Nilimtukuza Mungu siku nausikia wimbo huu siku y tukio... Now this is my favorite song.
    Mungu amekuinua Bishop🙌

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  4 ปีที่แล้ว

      amen,glory to God ,bishop wangu

    • @nasambumasinde4420
      @nasambumasinde4420 4 ปีที่แล้ว

      I love it thank you Epafrodito I love it sooooo much! Nice ♥️♥️🙏🙏

    • @eunitaandia5498
      @eunitaandia5498 3 ปีที่แล้ว

      My favourite song😍❤❤

  • @priscanoah5314
    @priscanoah5314 28 วันที่ผ่านมา +1

    Glory to God 🎉🎉🎉🎉

  • @matikosenso5541
    @matikosenso5541 3 ปีที่แล้ว +19

    Niliutafuta Sana huu wimbo for couple of months, unsuccessfully!!, Finally nimeupata leo.. The song is surely blessing, and the lyrics are scriptural and powerful

    • @PastorEpa
      @PastorEpa  3 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @wanekeyamwanza242
      @wanekeyamwanza242 3 ปีที่แล้ว

      Mimi pia nashukuru nimeupata baraka tele ndugu...Mungu akuinue viwango vya juu kwa utukufu wake

    • @annettakhaemba4514
      @annettakhaemba4514 3 ปีที่แล้ว

      Wee finally got it nmeutafuta 😢

    • @keziahmbau3671
      @keziahmbau3671 3 ปีที่แล้ว

      Pia nimeutafuta sana...but finally am here

  • @godwinmongi5242
    @godwinmongi5242 3 ปีที่แล้ว +1

    Eee Bwana katika miungu yote ni nani aliye kama wewe? mtukufu katika utakatifu mwenye kuogopwa katika sifa, uliyevuma Kwa upepo wako, Bahari ikafunikiza adui, wakazama kama risasi, risasi ndani ya maji makuu...
    What a Powerful verse Jaman
    This verse tend to repeat in my head for a long time now, So wonderful
    I believe this verse has been reseased by Hollysprit who is within a man of God #Past Epa and doesn't come in his human Mind
    Glory be to God

  • @linamwadime8050
    @linamwadime8050 2 ปีที่แล้ว +4

    The demons must bow to this,
    Praise the Lord all my soul . hallelujah ,,

  • @judysilas2451
    @judysilas2451 ปีที่แล้ว +2

    2023 am here lifting up my saviour 🙌

  • @jynemyco9658
    @jynemyco9658 3 ปีที่แล้ว +3

    Huu mwimbo siuchoki jamni coz ni amazing song 😍😍

  • @issasaid9612
    @issasaid9612 3 ปีที่แล้ว +1

    Ainuliwe juu zaidi Ameni

  • @victorodero6503
    @victorodero6503 2 ปีที่แล้ว +3

    Great work of the Holy spirit. Nabarikiwa mno na wimbo huu Mungu akuinue kutoka utukufu hadi utukufu mtumishi @Epa

  • @godsown5514
    @godsown5514 9 หลายเดือนก่อน +1

    This song is a heavenly gift for edifying the body of christ. May God continue to use you in the ministry for His Glory, Amen

  • @marionwanjiku4226
    @marionwanjiku4226 3 ปีที่แล้ว +6

    The holy spirit led me here for real

  • @naomifrank81
    @naomifrank81 3 ปีที่แล้ว +2

    First time nilisikia huu wimbo kanisani ,so I had to search for it na sijui the title of the song,so mimi nimetype "ZAMA KAMA RISASi"

    • @FMUKAMI
      @FMUKAMI 6 หลายเดือนก่อน

      Same case here😂
      Risasi is lead in Swahili also means a bullet

  • @lynnekioko
    @lynnekioko 3 ปีที่แล้ว +9

    Can't have enough of this song...Mungu wewe ni mwema Sana..Katikati ya miungu ni Nani aliye kama wewe Yahweh

  • @laccake254
    @laccake254 3 หลายเดือนก่อน

    If you see this song in 2099 just know Jesus is the way the truth and life,no other way leads to heaven.
    Jesus loves you soo much❤❤

  • @angelgabriel8140
    @angelgabriel8140 3 ปีที่แล้ว +8

    This song nmejua kutoka church without Walls praise and worship... Umekuwa ukinibariki saana... Dancing for Jesus.... Words on point... Kwa Yesu raha yote...

  • @lilianmugyabuso8908
    @lilianmugyabuso8908 2 ปีที่แล้ว +2

    Eeeh Bwana Katika miungu Yote hakuna aliye kama wewe! Wimbo unanibariki sana huu jamanni Hakika Yesu Ainuliwe Yesu ni Mwema!

  • @ruthwangeci9500
    @ruthwangeci9500 ปีที่แล้ว +6

    This song is 🔥 🔥🔥 full of annoiting the devil is defeated all worship and praises belongs to Almighty God in Jesus Christ mighty name 🙏

  • @sarahmoraa7515
    @sarahmoraa7515 2 ปีที่แล้ว +1

    Ooh yes ,it sure is on another level ,
    Kindly please pst Epa,if you can redo a remix of the song ,then after the wowowo chorus ,you put in another chorus of Ee bwana katika Miungu yote,
    Ni nani aliye kama wewe
    Utukufu katika utakatifu
    Mwenye kuogopwa katika sifa,
    Uliyevuma kwa upepo wako ,bahari ikafunikiza adui,
    Wakazama kama risasi,
    Risasi ndani ya maji makuu,
    Because I feel like this is a very powerful song,and it deserves a powerful ending ,then we end it with the celebrations,
    Naomba tu iwe na mwisho kama ule wa Ninapenda Nikuabudu by Essences of Worship ,
    But apart from that ,the song is a super hit,it's just full of the glory of God,listening to it stirs up my spirit,
    Kenya twakupenda❤❤❤

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 4 ปีที่แล้ว +3

    *Spiritual song najikuta naimba kazin bila kujali hakika Mungu akubarikini nyote namtukuza Mungu, nimepata kuona leo tu huu wimbo ila umenibariki na utazid ni bariki
    Ndio maana nampenda Yesu

  • @LydiaFrancis-fz9dg
    @LydiaFrancis-fz9dg 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa nasubiria mwingine nimeamua kuuangalia huu kwanza na kumtumkuza Mungu. 😅😅

  • @emanuelmoses9951
    @emanuelmoses9951 3 ปีที่แล้ว +7

    I just came here, just because the song keep on singing in my heart and I don't even know the lines!
    I believe angels are singing, and the message on the song just speaks about greatness of God!
    Really Jesus has won my battles!!

    • @Salioization
      @Salioization 2 ปีที่แล้ว +1

      I wish to translate all lyrics for you. In general it is all about praising Jesus

  • @neemaglorykisoli2605
    @neemaglorykisoli2605 4 ปีที่แล้ว +1

    Ee BWANA katika miungu yote ni nani aliye kama Wewe, Utukufu katika Utakatifu, Mwenye kuogopwa katika Sifa,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏