Boaz Danken_ WAKUFANANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 412

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 ปีที่แล้ว +67

    I'm a nurse here in the Philippines and I'm on my Covid ICU exposure today, since i am taking of Patients with Severe cases of covid we are being isolated and it is really tiring but listening to this and having a time worshipping God soothes all of the exhaustion thank you for this. And please keep praying for me and every health cre workers today God bless everyone

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +7

      God bless you. God will fulfill all your needs in the name of Jesus

    • @fabianalfredy5557
      @fabianalfredy5557 ปีที่แล้ว +1

      God's protection is upon you. In Jesus name. Amen

    • @robibange6768
      @robibange6768 ปีที่แล้ว

      @@boazdanken p0⁰

    • @sarahkele6812
      @sarahkele6812 ปีที่แล้ว +1

      May God Lord protect you. Be @ peace.

    • @RuthMbaga
      @RuthMbaga 5 หลายเดือนก่อน

      Naomba sana uniombee kama kukuona itakuwa nivigumu please kama hitawezeka 🙏🙏🙏🙏🙏​@@boazdanken

  • @optif8563
    @optif8563 5 หลายเดือนก่อน +6

    This song should be having a million plus views. It's such a masterpiece

  • @bienvenumuhindonyamukama2011
    @bienvenumuhindonyamukama2011 ปีที่แล้ว +2

    De puis Goma en RDC je suis béni chaque matin en suivant cette chanson. Que la gloire reviens à l'Éternel notre Dieu. Wakufana na YESU hakuna. YESU pekee anastahili sifa zote milele na milele Amina

  • @jccthikaroadmedia3533
    @jccthikaroadmedia3533 2 วันที่ผ่านมา

    verse 1
    wee unatisha kama nini
    wakufanana nawewe
    hakuna
    wewe ni Mungu wa kuogofya
    wakufanana na wewe hakuna
    nasikia sauti, malaika wanaimba
    wakufanana nawewe hakuna
    makerubi wanaimba
    maserafi wanaimba
    wakufanana na wewe hakuna
    Chorus
    Wa kufanana
    Wa kufanana
    Wa kufanana
    Wa kufanana na wewe hakuna
    verse 2
    hakuna kama wewe
    Yehovah, Yehoshua, Tsidkenu
    umetukuka
    wakufanana nawewe hakuna
    mfalme mkuu yesu
    wakufanana nawewe hakuna
    chorus
    Wa kufanana
    Wa kufanana
    Wa kufanana
    Wa kufanana na wewe hakuna
    Wa kufanana na wewe hakuna
    Wa kufanana na wewe hakuna
    bridge
    unafanya njia pasipokuwa na njia
    wakufanana nawewe hakuna
    sifa zako Mungu zapasua kuta
    Wa kufanana na wewe hakuna
    nasikia sauti
    wanyama wanaimba
    Wa kufanana na wewe hakuna
    hebu tazama juu, juu mbiguni
    nani aliyeumba nyota na kuzitaja na majina
    mungu wa miaka, jua na mwezi
    Wa kufanana na wewe hakuna
    chorus
    Wa kufanana
    Wa kufanana
    Wa kufanana
    Wa kufanana na wewe hakuna
    Wa kufanana na wewe hakuna
    Wa kufanana na wewe hakuna

  • @Joel_Man_of_God
    @Joel_Man_of_God 14 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah💕🔥 from kenya🇰🇪 love you Boaz. God bless you🙏

  • @Newtonkinyanjui018
    @Newtonkinyanjui018 4 หลายเดือนก่อน +6

    Lyrics
    Wewe ni unatisha kama nini...wakufanana we hakuna
    Wewe ni mungu wa kuogopwa...wakufanana na wee hakuna
    Naskia sauti....
    Malaika wanaimba....
    Wakufanana na wee hakuna
    Makerumbi wanaimba
    Maserafi wanaimba
    wakufanana*5
    Hakuna kama wewe yehova,yehoshua shikenu*
    Umetukuka,wakufanana na wewe hakuna.
    Falme mkuu yesu,wakufanana na wewe hakuna..*2
    Wakufanana*5
    Wakufana na wewe hakuna na wewe*5
    Unafanya jina pasipo na njia...wakunana wewe hakuna..
    Sifa zako mungu za pasua kuta...wakufanana na wee hakuna,
    Naskia sauti
    Wanyama waaimba
    Wakufana na wee...hakuna
    Hebu tazama juu ,juu mbinguni nani aliumba nyota na kuzitaja kwa majina..
    Mumgu wa mianga,jua na mwezi,wakufana na wewe hakuna...
    Wakufanana*5
    Wakufanana na wewe hakuna*5

  • @donniemirobo8047
    @donniemirobo8047 ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo malaika wanaimba muda wote....wakisema Mtakatifu......amen kaka Boaz

  • @boazdanken
    @boazdanken  ปีที่แล้ว +22

    Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel

  • @agnesesipila9429
    @agnesesipila9429 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo unanibariki sana, hakuna wa kufanana na mungu hakuna kabisa, he does things beyond our understanding

  • @phelixamolloh8310
    @phelixamolloh8310 ปีที่แล้ว +2

    kweli hakuna wa kufanana na MUNGU amenitendea makuu ambayo wanadamu wanashangaa nitaendelea kumtumikia.

  • @frankmgaya7096
    @frankmgaya7096 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akupe miakamingi yakuishi kalibu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿mi shabikiako milele mpaka kifooo

  • @oluochokanga8360
    @oluochokanga8360 ปีที่แล้ว +3

    THE DRESSING CODE IS VERY POWERFUL. THE WORSHIPPERS WELL ORGANIZED, HAKUNA DENZI MBAYA MBAYA. GOD BLESS YOU FOR MAINTAINING DISCIPLINE IN THE WORSHIP TEAM...

  • @yohanavicent2239
    @yohanavicent2239 ปีที่แล้ว +1

    God bless you alot mtumishi wa Mungu kazi yako Ni nzuri sana

  • @wanyamacomedy1387
    @wanyamacomedy1387 ปีที่แล้ว +1

    Jesus the way represented here....First one 🤗🤗

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Glory and Honor to Jesus please share to many

  • @edwinmulokozi9845
    @edwinmulokozi9845 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kabisa wa kufanana naye, hata wimbo huuu Roho mtakatifu kakupa uimbe ili umwazimishe OUR GOD JESUS , Mungu wetu akuongeze wewe na Huduma yako.Amina

  • @ministerboaznyabogaunachez8553
    @ministerboaznyabogaunachez8553 ปีที่แล้ว +1

    I love it @daddy Boaz namesake one day I will meet you

  • @AidanusLukiza
    @AidanusLukiza 20 วันที่ผ่านมา

    Kweli akuna w kufanana na mungu akuna❤❤❤❤

  • @gillianjared
    @gillianjared ปีที่แล้ว +7

    🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 libarikiwe jina la Bwana Mungu

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +2

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @eunicebenedict1797
    @eunicebenedict1797 ปีที่แล้ว

    Mungu atabaki kuwa Mungu mkuuu .be blessed mtsh wa Mungu ,Baba endelee kukutumia umenikumbusha BMC enzi hizo.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @thejoyoftruth6310
    @thejoyoftruth6310 5 หลายเดือนก่อน +1

    This is a glorious Song. I was looking for a song to help me glorify and exalt the Lord and bumped into it.
    The English lyrics have misinterpreted a major word in the song twice
    Umetukuka is not Holy but GLORIFIED
    I think God wants the song to bring out the aspect of the gloriousness and greatness of His name. It’s therefore important to make that change if possible.

  • @rowseymwakina5620
    @rowseymwakina5620 ปีที่แล้ว +17

    When I listen to your songs, all I see is a true worshipper. I like all your songs. I can repeat one for hours. Your songs bless me. More grace upon you

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Glory and Honor to Jesus

  • @floreswanyt5444
    @floreswanyt5444 ปีที่แล้ว

    Hakika.wa kufanana na Munguu hakuna.Kwa kweli nakuombea more grace Man of God

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi

  • @Palmtasteslove
    @Palmtasteslove ปีที่แล้ว

    Woiiii we worship Jesus ooh hallelujah oh Jesus we worship you higher higher!

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Halleluyaaah Glory and Honor to Jesus

  • @marymutisya8219
    @marymutisya8219 ปีที่แล้ว +26

    Boaz you have a prophetic and spirit sound...You always know How Kenyans loves your ministration🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @flavy_kipps4025
    @flavy_kipps4025 ปีที่แล้ว +1

    Yeye anafanya njia pasipo na njia hakika hakuna wa kufanana na yeye hakuna pale uwezo wetu wa kufikiri unapofikia mwisho yeye anaanzia hapo aliyonitendea Bwana kwa mwaka huu ooh nabaki kusema ni Neema yake tu sio kwa uwezo wangu.🙏🙏

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Glory and Honor to Jesus

  • @RuthMbaga
    @RuthMbaga 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli ni mimi Catherine Julius Kaaya again ninaomba uje utembelee kanisa lete Ngome ya Yesu Kristo lipo Kimara Temboni naombaaaaaa sana

  • @Cheznorah
    @Cheznorah ปีที่แล้ว

    Wa kufanana na Yehovah! Yeshua hakuna. Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @Geo_88
    @Geo_88 ปีที่แล้ว +34

    What a Song!!!!!😫🔥🔥🔥Boaz is God sent to this Generation🔥🔥God keep Increasing you annointed minister of the Gospel.#God is real.Blessings from Kenya🇰🇪🙌🔥

  • @mwamotojr2336
    @mwamotojr2336 ปีที่แล้ว

    Hakuna wa kufanana na Yesu hakuna more much God blessings to you brother Boaz

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @gogboykihereherewayesu1942
    @gogboykihereherewayesu1942 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe san mtumish jaman yan napend unyoimba mungu azindi kukupigania kira wakat

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @barikiwa-shitseswaoronje
    @barikiwa-shitseswaoronje 6 หลายเดือนก่อน +1

    Indeed you are God and God alone,you have no rival you have no equal,your position can never be contested and your crown is undisputed Lord.The emperor of the universe ❤❤❤who is like you Lord

  • @fayeeiss5613
    @fayeeiss5613 ปีที่แล้ว

    and yesterday i had the previlege to be present when God's minister was ministering along side victoria orenze

  • @festoamosi5956
    @festoamosi5956 ปีที่แล้ว +2

    Hakika hakuna wakufanana na wewe wewe unatisha kamanini BOAZ mungu azidi kukuinua zaidi kwa kazi njema unazo fanya

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

    • @festoamosi5956
      @festoamosi5956 ปีที่แล้ว +1

      @@boazdanken kwakweli yeye anastahili sifa na utukufu ni zake sisi atugusi
      Barikiwa sana mtumishi wa yesu kristo

  • @HappyHappy-iw4vz
    @HappyHappy-iw4vz ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi kweli hakuna wa kufanana na MUNGU matendo yake yanatisha.

  • @douglaswakhungu1043
    @douglaswakhungu1043 ปีที่แล้ว +23

    Amina. Baraka zote zikwandame mtumishi. Nyimbo zako zinafungua Roho ndani mwangu kila wakati. Kenya nakupenda.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +3

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

    • @ivounenyambu
      @ivounenyambu ปีที่แล้ว +1

      @@boazdanken nyimbo zako hunibariki saaaana

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha 😁 😁 😁 hakuna kama Wewe....wakufanana na Wewe ....

  • @sashalemmoh3264
    @sashalemmoh3264 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ kweli mungu akubaliki mpaka ushangae❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @alicewamaithamusic6098
    @alicewamaithamusic6098 ปีที่แล้ว +6

    This song brought healing today .woke at 5:am feeling sick my blood was very high I tried to pray nothing changed but this song kept going through my mind then I decided to listen it the blood ikaisha I thank God for everything

  • @ministertimmy254
    @ministertimmy254 ปีที่แล้ว +1

    Coron imekuja mambo mengi yamepita wa kufanana naye hakuna mungu wa majira yote mungu wa kila nyakati barikiwa sana nabii wa nyakati hizi mungu akuinue viwango na viwango zaidi

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 หลายเดือนก่อน

    Ni haleluya tu kwa Mungu 😊😊😊😊 ❤❤❤

  • @frankgitonga6632
    @frankgitonga6632 ปีที่แล้ว +1

    This song takes worship and praise to another level that displays the Greatness of God that nothing else is comparable to Him

  • @mbalaerick
    @mbalaerick ปีที่แล้ว

    Ukweli hakuna wakufanana na Yesu , yeye ni wa juu sana

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Amen utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @macywashera1437
    @macywashera1437 ปีที่แล้ว

    Mungu apewe sifa na utukufu .hakuna wa kufananishwa na wewe Yesu..Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 ปีที่แล้ว +2

    Heshima na utukufu kwa Yesu ubarikiwe sana mtumishi Boaz danken penda sana Mimi Mungu akutumiage sana sana kwa viwango vya juu ubarikiwe

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

    • @ambindwilehosea6837
      @ambindwilehosea6837 ปีที่แล้ว

      @@boazdanken Bwana wa majeshi jemedali wa vita azidi kukutunza mtumishi ❣️❣️❣️❣️

  • @YANGAHIGHLTS3073
    @YANGAHIGHLTS3073 ปีที่แล้ว

    Hakun wa kufanana na Mungu
    Mungu aendelee kukupandisha viwango ufike mbali

  • @jiselakikoti8931
    @jiselakikoti8931 ปีที่แล้ว

    Hakuna wakufanana na wewe Jehovah 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌Yale unafanya kwenye maisha yangu sijaona Kama wewe🙏🙏🙌🙌🙌Mungu akubariki Sana KAZI yako ni njema

  • @stewartsylvester2353
    @stewartsylvester2353 ปีที่แล้ว

    God Bless You Sanaaaaa KAKA Wimbo Huu Mzuri una uwepo wa Mungu

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 ปีที่แล้ว

    Utukufu kwza MUNGU BABA ALIYEHAI
    Muinuliwe zaidi na zaidi
    🙏🏾🙏🏾❤

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @ansiberthelman5864
    @ansiberthelman5864 ปีที่แล้ว +1

    Waooooo, thanks my father God,, hakika wa kufanana na wewe hakuna umetuka zaidi ya miungu yote
    Ubarikiwe Mtumishi,, kaka Boaz na timu yako. Mungu AWABALIKI na azid kuwainua viwango had viwango. Nimebarikiwa sanaaa
    Ohhhh waoo wakufanana wakufanana wakufanana na wewe!! hakuna!....

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @shallethmwangemi6879
    @shallethmwangemi6879 ปีที่แล้ว +1

    Am blessed....wakufanana na wewe kweli hakuna.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Glory and Honor to Jesus

  • @emanuelsanga6383
    @emanuelsanga6383 ปีที่แล้ว +1

    Jembe Mwenyezi Mungu azidi kukubaliki, kuwabaliki kaka Amen.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @newest-be2cq
    @newest-be2cq ปีที่แล้ว +1

    Nilikuona crusade sos vok i was blessed sana

  • @tabbywanjiru9651
    @tabbywanjiru9651 ปีที่แล้ว

    Boaz Dunken songs uplift my spirit.Mungu wetu na akuzidishie.Thank you Jehovah 🙏🙌🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Glory and Honor to Jesus

  • @queenmapunda7868
    @queenmapunda7868 ปีที่แล้ว

    Asante Mtumishi wa Mungu.Unatubariki sana.Roho Mt aendelee kukutumia.unatubariki sana.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi

  • @anishamgallah6449
    @anishamgallah6449 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna wa kufanana na Yesu Hakuna 🙌🙌,Mwimbo unaupako na nguvu za Mungu🙏🏾🙏🏾

  • @EmmanuelLagumaOfficial
    @EmmanuelLagumaOfficial ปีที่แล้ว

    Woooooooo !!!! 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @yajivngendo5282
    @yajivngendo5282 ปีที่แล้ว +3

    What a song!! ...what a song!!...🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kajogoo_tz2655
    @kajogoo_tz2655 ปีที่แล้ว +1

    Kaka napenda Sana unavyoimba huwa nabarikiwa San kunasiku nitakuwa Kama wew tu naamin katika bwan 🙏🙏🙏

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi ukiweza

  • @rehemamercy1134
    @rehemamercy1134 ปีที่แล้ว

    Hajakuwepo, hayupo na hatawaikuwa wa kumfanana Mungu wetu🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @alexmbilinyi9159
    @alexmbilinyi9159 ปีที่แล้ว +2

    Ooooh Haleluya aaaa

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @PaulDesigner-d2p
    @PaulDesigner-d2p 8 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zako nazipenda sana unaimba vizur sana Yan mpka naimba kwa hisia

  • @nchagwamichael5959
    @nchagwamichael5959 ปีที่แล้ว

    Wewe ni Mungu wa kuogopwa, unatisha kama Nini.

  • @lovogatimothy
    @lovogatimothy ปีที่แล้ว +3

    Wow what a song... Every release is heavenly.. thank you Danken for allowing heaven to use you.... I'm behind your great steps

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Glory and Honor to Jesus please share to many

  • @peterevelyne7360
    @peterevelyne7360 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hakika hakuna wa kufanana nawe Mungu.. umetulinda toka january tunakupa sifa Baba..

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +2

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op ปีที่แล้ว

      Amina kaka Unanibaliki Sana Nanyimbo zako Utukufu apewe Yesu

  • @mercykiarie567
    @mercykiarie567 ปีที่แล้ว +6

    ohh Lord we Magnify your Holy Name 🙏 kweli Hakuna Wakufanana na Wewe 😭 🇰🇪

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +3

      Glory and Honor to Jesus

  • @holinessmbonde598
    @holinessmbonde598 ปีที่แล้ว

    Hakuna wa kufanana na Yesu🙌🙌🙌🙌

  • @anthonykayanda6434
    @anthonykayanda6434 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde, utumu katika huduma hii, Akuepushe majaribuni.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Amen usiche kuniombea

    • @anthonykayanda6434
      @anthonykayanda6434 ปีที่แล้ว

      @@boazdanken Torati 28:6-10, then Yohana 14:12, na Mathayo 6:10. Mungu na atimize hayo yote, kwa Hesabu 23:19.

  • @ephraimwaswa5652
    @ephraimwaswa5652 ปีที่แล้ว

    Husikiliza nyimbo Ela hizo zako baba haaa kazi waijua ubarikiwe baba

  • @actsmwema5098
    @actsmwema5098 ปีที่แล้ว

    Hakika hakuna wa kufanana na Yesu. Nimefika December.😭😭

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @jamesmurithi3202
    @jamesmurithi3202 ปีที่แล้ว +1

    A blessed night of encountering Jesus through your songs
    From Umeinuliwa to Jemedari wa vita and Now to this..
    May God take all the Glory and May He continue manifesting in you..

  • @agnesmbone231
    @agnesmbone231 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Boaz barikiwa sana .nyimbo zako unibariki sana nakuombea kibali zaidi 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @shackbeizy8050
    @shackbeizy8050 ปีที่แล้ว

    Daaah! Kwel hakuna kama Mungu wakufanana 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @boniphacegospel6764
    @boniphacegospel6764 ปีที่แล้ว +1

    You're annointed one minister boaz danken, May God bless you more...
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Glory and Honor to Jesus

    • @boniphacegospel6764
      @boniphacegospel6764 ปีที่แล้ว

      @@boazdanken Ameeeeen my fellow Christ's servant 🙏🙏🙏🙏

  • @petersonmunene7615
    @petersonmunene7615 ปีที่แล้ว

    Kwa hakika hakuna wa kufanana na uyu Mungu,ata kwa udhaifu wetu,tumeshuhudia huruma zake,sijaona kama Yesu.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @agreysaria5906
    @agreysaria5906 ปีที่แล้ว

    There is none like our Lord Jesus....#wakufanana.
    Ubarikiwe kaka Boaz, utukufu kwa Mungu mkuu.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @benjaminmbuba9184
    @benjaminmbuba9184 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuzidishie mtumishi wangu.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Amen asante kwa Maombi

  • @Cheznorah
    @Cheznorah ปีที่แล้ว +4

    Mtumishi Boaz what a blessing. May God lift you higher and higher for his glory. I was at the Praise Atmosphere in Karen, Nairobi and God ministered to me through you.

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu

  • @elickenock2815
    @elickenock2815 ปีที่แล้ว +1

    Wakufanana na ww hakuna YESU mkuu sana

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @kemuntoongaki325
    @kemuntoongaki325 ปีที่แล้ว +4

    Words cannot explain how this song blesses my heart....

  • @kenkaka2862
    @kenkaka2862 หลายเดือนก่อน

    Tamu sana

  • @ivyodero6881
    @ivyodero6881 ปีที่แล้ว

    Hakika umetukuka na hakuna wa kufanana . powerful song

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @stevenkarrie1865
    @stevenkarrie1865 ปีที่แล้ว +3

    To God be all the Glory and Honour to Jesus

  • @rosamukunya519
    @rosamukunya519 ปีที่แล้ว +1

    This song has blessed me today.
    Karibu tena Nyeri 🇰🇪

  • @abbygaelsharon497
    @abbygaelsharon497 ปีที่แล้ว +4

    Yesu wakufanana na wewe, Hakuna 🔥🇰🇪

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @graceflo3307
    @graceflo3307 ปีที่แล้ว +7

    None like you Lord and no one can be compared to you my Father.This song is wonderful may the Lord be glorified 🙌🙌🙌🙌

  • @olylindsey
    @olylindsey 8 หลายเดือนก่อน +1

    My favorite song❤

  • @daudmsokwa
    @daudmsokwa ปีที่แล้ว +1

    Wakufanana wakufanana naww hakunaaaa....

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @rosenaheka5137
    @rosenaheka5137 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana. Kazi nzuri sana

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo asante

    • @rosenaheka5137
      @rosenaheka5137 ปีที่แล้ว

      @@boazdanken hakika. Ww upungue yy aongezeke 🙏🙏

  • @emmanuelde555
    @emmanuelde555 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa Sana Mtumishi

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus

  • @josphatkitenge1170
    @josphatkitenge1170 ปีที่แล้ว

    Amen Amen, hakika hakuna wa kufanana nawe Mungu🔥🔥🔥🔥,
    God bless you my artist Boaz

    • @josphatkitenge1170
      @josphatkitenge1170 ปีที่แล้ว

      Moyo wangu wakwabudu wewe Yesu😭😭

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Glory and Honor to Jesus please share to many

  • @mercykimani3558
    @mercykimani3558 ปีที่แล้ว

    Wakufanana na wewe Mungu wangu hakuna😭😭😭😭, more grace mtumishi, ninaposikiza nyimbo zako nasikianga mbingu ikiwa kando yangu😭😭😭😭😭😭, you're God's sent, nabariki Mungu Kwa upako na kibaji aliyoweka ndani yako

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi

  • @brianmutemi1
    @brianmutemi1 ปีที่แล้ว +1

    Hayupo wa kufanana na Mungu!

  • @Faith_joseph
    @Faith_joseph ปีที่แล้ว

    Wakufanana na Mungu hakuna na hatawahi kuwepo🙌

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @danielkariuki2730
    @danielkariuki2730 ปีที่แล้ว

    HAKUNA KAMA WEWE YEHOVAH💯💯

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @franklinmwinzi2
    @franklinmwinzi2 ปีที่แล้ว

    Hizi Sifa MUNGU WANGU💥💥

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @danicomedia6041
    @danicomedia6041 ปีที่แล้ว +2

    Sifa kwa Mungu🇰🇪🇰🇪 my best worshipper 🙏

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu

  • @fransisconyalema6802
    @fransisconyalema6802 ปีที่แล้ว +2

    Nasikia sauti Malaika wanaimba,,Wakufanana nawewe hakuna

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo

  • @AgnesMugo-f8p
    @AgnesMugo-f8p 3 หลายเดือนก่อน

    Wakufanana na wewe Mungu akuna

  • @faithlangat1158
    @faithlangat1158 ปีที่แล้ว

    Wow wa hakuna wa kufanana na wewe glory to Jesus for this song. From kenya

  • @elirehemaringo188
    @elirehemaringo188 ปีที่แล้ว

    Zidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu

    • @boazdanken
      @boazdanken  ปีที่แล้ว

      Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo