ELIZA AMWAGA MACHOZI | NIMEKAA SANA HAPA | SIPATI MPENZI | HUYU SIMTAKI | HELLO MR RIGHT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

ความคิดเห็น • 602

  • @faizhassan8423
    @faizhassan8423 6 หลายเดือนก่อน +64

    Eliza sio mke bora, alafu mnafiki saaaana kisha mbinafsi, huyo mwanamke ni Mtihani kwa kweli.

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 6 หลายเดือนก่อน +33

    Anajiona keki Sena kwenye maisha ACHA kujivun San utapa mume ukiwa mwenye hekim naheshim na umstarabu kuwa mpole ACHA ujuwaj Kila mwanaume anamapunguf yake chamuhimu kubalian na namapungufu yake utadumu kwenye. Ndoa kuwa mvumilivu.hakuna mwanadamu anaye kosa mapungufu kwenye hii Dunia My daer usisahau ku Muoomb Mungu kwayote Kila jambo Lina mwisho wake 😢😢 like you Elizabeth ❤

    • @ZitoJose-cl3pt
      @ZitoJose-cl3pt 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe mimi niko moçambique huku naona huna akili wewe ebu tujuane zaidi

    • @kitemerosanga109
      @kitemerosanga109 6 หลายเดือนก่อน

      Yani Eliza atasugua sana hapo kwa tabia tabia zake hakuna mwanaume atakae mchukua Mimi mwenyewe natamani atoke hapo

    • @gilibertmligo9175
      @gilibertmligo9175 6 หลายเดือนก่อน

      Umejua kabisa.

    • @habi78121
      @habi78121 6 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @abiaslimadyanse1842
      @abiaslimadyanse1842 5 หลายเดือนก่อน

      We Dada Akili sana I salute you 🫡

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 6 หลายเดือนก่อน +268

    Anaye muchoka Eliza kama mimi apa like apa twende kazi

    • @Elifazi
      @Elifazi 6 หลายเดือนก่อน +5

      Mm apa

    • @RayyanRayyan-rt9cg
      @RayyanRayyan-rt9cg 6 หลายเดือนก่อน +5

      Uyo dada anatafuta umaharufu tu hapo

    • @samehewaliokukoseya2605
      @samehewaliokukoseya2605 6 หลายเดือนก่อน +4

      @@RayyanRayyan-rt9cg tumemuchoka kwakweli 😪

    • @Khadijasalumu06
      @Khadijasalumu06 6 หลายเดือนก่อน +3

      Simpendi

    • @marymwatsum98
      @marymwatsum98 6 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu Eliza mtoeni hayuko serious anabagua sana sasa hana hisia amekuja fanya nini hapo 🤣😂🤣🤣🤣siaende ajitibu mwanzo nafatilia nkiwa Dubai

  • @fatmahaji7661
    @fatmahaji7661 6 หลายเดือนก่อน +13

    Eliza muongooo kajiwashia taa tu😂😂😂😂...huyu kaka c vitu vyake😅

  • @bcbestcartoon576
    @bcbestcartoon576 6 หลายเดือนก่อน +4

    may God bless her anaonkana hayuko sawa sema nkama alitaka kua open kuna vtu vna mtatza ila nkama wote washmktaa, somtines wanawke nkama watoto wakipata mambo yakuwaumza sana wankua watu kma eliza huyu dada anaitaji ushauri sana

    • @nasfaiyogo3228
      @nasfaiyogo3228 5 หลายเดือนก่อน

      Umewaza kama mm😢 pengine anahitaji kusikillizwa Zaid jaman

    • @MwaniPh
      @MwaniPh 5 หลายเดือนก่อน

      Sahh kabsa

  • @williammutabazi8971
    @williammutabazi8971 5 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂huyu dada Eliza duh….anatamani kupendwa na hana hisia… apambane na roboti basi love is a two way road… she needs therapy before getting in a relationship with anyone.

  • @barakathuva13
    @barakathuva13 6 หลายเดือนก่อน +1

    For real reason zake hazimaki sense.....she doesn't know what she wants.... damnit......am watching from Qatar 😢

  • @ashahassan7414
    @ashahassan7414 6 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu Eliza atoke tu hapo tumemchoka kiukweli 😅

  • @PeterBaton-v9z
    @PeterBaton-v9z 5 หลายเดือนก่อน +1

    Eriza Cyo Mwanamke Bora halafu Piah Anaonekana Pia hanamazalahu Sana hata Kwa Mwanaume hatakaye Mpk🤣🤣🤣

  • @JumaBabu-vp9sw
    @JumaBabu-vp9sw 22 วันที่ผ่านมา

    Mwambie kama Hana hisia aende kwa mganga sio hapo hakumfai😂😂

  • @LenashaNgulo
    @LenashaNgulo 5 หลายเดือนก่อน

    Make nichekee😂😂😂😂 kwanza😂😂 Eliza anachekesha😅😅

  • @RehemaNyongole
    @RehemaNyongole 6 หลายเดือนก่อน +1

    Eliza rudi nyuma jitafakari..kama ni kweli unahitaji mume..hapo sio sehemu sahihi kwa sasa..maana tabia ulizozionesha zimekwishakuharibia sana..na hata mwanaume akisema amekuchagua mi nahisi atakua anakutania tu...ushauri wangu ebu tulia pata ushauri wa kisaikolojia lkn kubwa zaidi wanawake tabia, wanawake kauli, wanawake utii hakuna mwanamke anapenda mwanamke anadharau wa kushindana..so badili hivyo vitu utapata mwenza wako..lkn pia mshirikishe Mungu kama kweli unataka mwenza wa kweli

  • @AHLSUNNA-yw8gg
    @AHLSUNNA-yw8gg 2 หลายเดือนก่อน

    8:14 😂😂😂 Mimi sina hisia 😢 ila natamani kupendwa 😅😂😂 Jemani nisaidieni nipate uyu mshangazi😂❤😂

  • @HassanKijoka
    @HassanKijoka 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mm nawakubali sana apo, ila kuna mtu nimemuelewa namuitaji kama ata nilizia ila mm siko tz kwa sasa.

  • @lazaroalex-b7l
    @lazaroalex-b7l 14 วันที่ผ่านมา

    Sijawahi kuona mwanamke dishi kama Eliza ivi anafanya Nini hapo mbona kama micholesho mingi si wamtimue

  • @raulentlishoni898
    @raulentlishoni898 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sasha alie mzalisha yupo wapi.amleemtoto wake iliaweze kumweshimu asisumbue watu

  • @j...876
    @j...876 6 หลายเดือนก่อน +1

    Isiya is typing......

  • @jeniphajohn2921
    @jeniphajohn2921 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Eliza aondoke hapo anawazalilisha vijana wawatu

  • @marthesifa-5803
    @marthesifa-5803 5 หลายเดือนก่อน +2

    Eliza jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AngleVenas
    @AngleVenas หลายเดือนก่อน

    Eliza hana hekimaa kabisa upati mme Kwa stail hyoo

  • @AlbinMsechu
    @AlbinMsechu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kanafiki sana haka Kaeliza😂😂

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 6 หลายเดือนก่อน

      Et ana miaka 28😂😂😂😂😂

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 6 หลายเดือนก่อน

      @@subrynerysegerow1323 🤪🤪🤪🤪

  • @kapilimaibra2540
    @kapilimaibra2540 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza mbaya ana domo la hovyo sana.pili anazarau kubwa kuliko yote anajiona yeye mzur kuliko wenzake nb anajifanya anajua sana kwakifup huyo akazeekee kwa wazaz wake akifka 40yrs atashiks adabu

  • @annamutarodwa669
    @annamutarodwa669 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kama kaja kuonyesha mavazi

  • @allyomary7630
    @allyomary7630 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa mnalazimisha aondoke na mtu ambaye hajampenda ???

  • @ElizabethPeter-si9rs
    @ElizabethPeter-si9rs 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo Eliza anamaisha gani mazuri mpaka achague mwanaume miaka yote yupo hapo podium.na atazeekea hapo

  • @LucyCornery
    @LucyCornery 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo Eliza anatafuta umaarufu, akiondoka apo cv yake itapotea,,kashapata kitimtim tayar naona anataka lamata amuone,...anakeraaa wamfukuzeeee

  • @aminanimbona1861
    @aminanimbona1861 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hana akili uyu Eliza anajiona mzuri kumbe hana lolote na mdomo wake ni mchafu sana kukosowa Kosowa bitu

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 6 หลายเดือนก่อน

      Atasubiri sana hapo....sidhani kama kuna Mr Right atamchagua

  • @ezralubava2040
    @ezralubava2040 5 หลายเดือนก่อน

    Duh, huyu dada anachagua mchumba
    Mwaka mzima, kaolewe na mizimu, fala weweeeee, kila siku wewe tu lookoh, chafuuuuuu, sababu za kipuuziiii kila suku, kwendaaaaaaaaaaa, tukusikilize ya nyookhoooooo,

  • @gloryellys1666
    @gloryellys1666 5 หลายเดือนก่อน

    atoke tu hapo kwanza kunamda anadharau sana kuna mda atumuelewi yani tumemchoka 😏

  • @dearchotay5569
    @dearchotay5569 5 หลายเดือนก่อน

    Au Eliza yupo kwa ajili ya kufurahish na kukela watu mbn Kam haitaji mwanaume

  • @ramadhaniabdallah2874
    @ramadhaniabdallah2874 6 หลายเดือนก่อน

    Janani Janani sehemu anataka kuingia nisehemu ya kuwa makini sana tafadhali kama inawezekana mpeni nafasi ili afanikiwe Kwa kile anacho kihitaji .kumbukeni sehemu ulipo umilia hupa pita Kwa makini ili usiumizwe Tena.

  • @Oman-z7j
    @Oman-z7j 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Eliza weeee

  • @saidylabarani8140
    @saidylabarani8140 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo Malaya tu, hamna mke hapo .. hajui anatafuta nini😅😂

  • @edwardkunyara1270
    @edwardkunyara1270 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza anatumia hilo jukwaa kama sehemu ya kuigizia.... na pia anakauli za hovyo ambazo mpaka sasa amepunguza sana nafasi yake ya kumpata Mr right wake kupitia jukwaa hili. Kuendelea kuwa naye hapo Hai make sense. Nashauri akapate tiba kwanza kwa therapist wa tatizo lake la hasira na dharau.

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 6 หลายเดือนก่อน

    Yan nimecheka uwiiiiiiiii yn mkimtoa Eliza siangalii Mr right hahahaha

  • @shadrackmwastaula6265
    @shadrackmwastaula6265 6 หลายเดือนก่อน

    Ila Uyo Eliza ni Changamoto kwakweli Daah kama ana Hisia kwaio tufanyaje hahahah hahahahahah

    • @umfarooqjumbe1702
      @umfarooqjumbe1702 6 หลายเดือนก่อน

      Anakiwa apendwe na sio ampende yy

  • @rasependopendo8096
    @rasependopendo8096 5 หลายเดือนก่อน

    Poleeeeee

  • @VivianGordian
    @VivianGordian 5 หลายเดือนก่อน

    Yani huyo dada hajitambui bado hajui nn hataki

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 6 หลายเดือนก่อน

    Bila eliza kutapowa hapo hahaha mi nalipenda lieliza kuna saa li comedian flan hivi hahaha jmn MSIMTOE JAMANI HAHAHAHA MBAVU ZANGU JAMANI

  • @YOUNGBROOG
    @YOUNGBROOG 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @elphinejoshua1914
    @elphinejoshua1914 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza kilamara anazinguwa kwendhaaaaa utazeekea apo.

  • @JeremiahSiafu
    @JeremiahSiafu 3 หลายเดือนก่อน

    Anapuyanga sana eliza

  • @suzanajackson1910
    @suzanajackson1910 5 หลายเดือนก่อน

    Kinachomuweka hapo Eliza ni maneno yake na Hana msimamo na Hana point kabisa

  • @HamisiMbatyani
    @HamisiMbatyani 5 หลายเดือนก่อน

    Ukweli eliza hana sifa za kuwa mke wa mtu, kwanza mbishi hawezi kusikiliza mjeuri, huyo ni wa kutumiwa tu na kuachwa. 😅😅😅

  • @ConsolataWilla
    @ConsolataWilla 6 หลายเดือนก่อน

    Memwelewa eliza tushapitia hayo na ninashukuru mungu mevuka hyo hatua kuna muda mtu unahitaji kupata mwenza bt ukiyakumbuka ya nyuma unahisi unaukatibisha moto mwingne zaidi

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 6 หลายเดือนก่อน

    Asituchoshe eliza

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 6 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi sio kabila umri sio kitu we kwenda huko Eliza uko na ngundu

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 6 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka nyie leo😂😂😂😂😂😂😂

  • @salamarashid3687
    @salamarashid3687 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli mnamnyanyapaaa mnamsema sana mpk sisi watazamaji tunajiskia vibaya.

    • @mokeya
      @mokeya 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaa we humjui tu huyo dada hafai hata kdg jinsi anavyowachambua wanaume hapo na hayo ndo malipo yake

    • @salamarashid3687
      @salamarashid3687 5 หลายเดือนก่อน

      @@mokeya mm ningemshauri km mwanaume hamtaki akae kimya asiongee chochote hadi kwa atakae mpenda. Maan mdomo wke sio mzur sana

  • @loycealute8283
    @loycealute8283 4 หลายเดือนก่อน

    Eliza Toka hapo Gara B Kwan umuoni hyo mjinga

  • @julianamalekela5131
    @julianamalekela5131 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza mwanzo alipnekana kam wife material ila hamna kitu na nishaona km mr right ya uongo maana huyu eliza yupo kwenye kitim tim anaigiza

  • @hus-keenwizer679
    @hus-keenwizer679 5 หลายเดือนก่อน

    Binti kizee Anatatizo la hisia😂😂😂

  • @daydaypapaa7709
    @daydaypapaa7709 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza is back 😂😂

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 6 หลายเดือนก่อน

    Sema huyu dada mtangazaji 😅😅😅 kamkaba kooni Leo Eliza 😅😅😅

  • @IbrahimHesseinissa
    @IbrahimHesseinissa 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo Eliza hafai anahashuo tu

  • @VailethShirima-n5m
    @VailethShirima-n5m 6 หลายเดือนก่อน

    Anaboa sana huyu dada

  • @hellenjulius7790
    @hellenjulius7790 5 หลายเดือนก่อน

    Eleza chefuuuuuu uyo ni comedian humo

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 6 หลายเดือนก่อน

    If you don't have a feelings why are you there🇿🇦🇧🇮

  • @elizabethcharles6527
    @elizabethcharles6527 6 หลายเดือนก่อน

    Mtoeni uyo dada mi naona ajui mana yaicho kipindi

  • @julietcute
    @julietcute 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza aendee jaman tumemchoka😂😂

  • @JoachimPhilipo-um7ny
    @JoachimPhilipo-um7ny 6 หลายเดือนก่อน

    dada Eliza usichague sana utaludi pazaman Fanya maamuzi ili maisha yaendele dada

  • @ElizabethPeter-si9rs
    @ElizabethPeter-si9rs 4 หลายเดือนก่อน

    Mi silipendi linajisikia sana

  • @nangasixmshamba
    @nangasixmshamba 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza toka toka toka

  • @JaphaliMwansembo
    @JaphaliMwansembo 5 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli eliza anakera kira siku yeye tu why

  • @JoelJulius-og1on
    @JoelJulius-og1on 5 หลายเดือนก่อน

    Eliza sio mkee kabisaaa kila siku yupo kwenye Mr Right lakini kazi yakee nichamba watu mtoenii asiwe anakuja

  • @HudaynaGervas
    @HudaynaGervas 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada Anakela sana

  • @JoyTrizzah
    @JoyTrizzah 5 หลายเดือนก่อน

    Eiza unaudhi jameni kama hupati huko kwenye Mr.Right tafta inje ya Mr. Right,,, your so dramatic😂😂😂

  • @salimabuuyusuf5316
    @salimabuuyusuf5316 5 หลายเดือนก่อน

    Mm nimemwelewa eliza na you na tatizo sio siri

  • @EmmyEliaman
    @EmmyEliaman 5 หลายเดือนก่อน

    Elinza utachagua mpaka utaenda kupata lori la mchanga hpo umekaa kama comedian 😏

  • @mwajumamahmoud6011
    @mwajumamahmoud6011 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa jins eliza alivokua na drama nyingi uckute anasema ukweli lkn ndoiv tena kashaondosha uamininifu kwa watazamaji so sad😢han hisia nimelia sannaa😅

  • @petermasanja834
    @petermasanja834 6 หลายเดือนก่อน

    Ila Eliza bn,😂😂😂😂

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 15 วันที่ผ่านมา

    Atoke hapo

  • @reginamlay5263
    @reginamlay5263 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli ni shobo mdundo ila msaidieni

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 6 หลายเดือนก่อน

      Profile ya wanawake mbona haiwekwi? wengine mnawatoto na hamsemi

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 6 หลายเดือนก่อน

    Anaigiza huyooo

  • @MamaMairaa
    @MamaMairaa 5 หลายเดือนก่อน

    Eliza anamaliza soda mtoen

  • @emmanueljagadi9191
    @emmanueljagadi9191 5 หลายเดือนก่อน

    Muigizaji mzuri

  • @mzeemselem1657
    @mzeemselem1657 6 หลายเดือนก่อน

    Ana jini mahaba huyu elizabeth bila shaka😂😅😂

  • @danielnkholoma3416
    @danielnkholoma3416 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani tumemuchoka saan

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 6 หลายเดือนก่อน

    Aaliyah anazingua asee 😢😢😢 this is not fair na Aaliyah amkubali huyu sister

  • @FrollahRusinda
    @FrollahRusinda 5 หลายเดือนก่อน

    Kama hunaisia sasa umefata nn apo

  • @raulentlishoni898
    @raulentlishoni898 5 หลายเดือนก่อน

    Mc.galabii,Nilikuwa na Maoni au mawazo au ombi kwanini msiwe mnaweka wadada wanao fata picha zao na namba zao zasimu .maana yangu niipi kuna watu wako mbali hivyo anaweza kumuona mwana mke na akampenda waka wasiliana .naona hiyo nayo ni nzury zaidi.

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza aondoke tu anakera hapo😏😏😏😏

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza Kaa chizii

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo Gara B mwenyewe ni Mhaya!! Hivi Eliza Gara B angekutaka ungekataa ww nyau ww.😂😂 huna nyimboooo ww mzeee saizi yako ni yule Baharia

  • @TatianaCharles-g4w
    @TatianaCharles-g4w 4 หลายเดือนก่อน

    Eliza Ana depression

  • @bonfacepetro6821
    @bonfacepetro6821 5 หลายเดือนก่อน

    Eliza ni kama nati imelegea

  • @lenickchaula1734
    @lenickchaula1734 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza asaidiwe kwa kuunganishwa na psychologist na councellor kisha arudi stejin atapata mwenza,

  • @preceenosent6324
    @preceenosent6324 5 หลายเดือนก่อน

    Eliza ana hisia Sasa mbona analia ujue kinachofanya mtu Alie pumbavu Sana elizah

  • @RobsonWisdom
    @RobsonWisdom 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza lishangazi analinga anajiona sana

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 5 หลายเดือนก่อน

    Kuanzia mwaka 1990 mpaka 99 ni mashangazi...ko sisi ni mashangazi

  • @Huncho_taitan_breezy
    @Huncho_taitan_breezy 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo amekua gundi hapo kwa podium

  • @aishathadei
    @aishathadei 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza huna hisia umeenda stagen kufanya nn saa😢😮😮😮

  • @jacobmelody
    @jacobmelody 6 หลายเดือนก่อน +22

    Eliza she's so Dramatic 🫴🏾😐

  • @SalmaKenyatta
    @SalmaKenyatta 6 หลายเดือนก่อน +15

    Diva umependeza dada hlo
    Vazi usiliache inshaallah mungu akupe subira hyoyo

  • @bossykalewa
    @bossykalewa 6 หลายเดือนก่อน +40

    Huyo eliza kwan hawez toka hapooo wakuuu...

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 6 หลายเดือนก่อน +15

    Kwa huo mdom utampat nan

  • @popoyo2474
    @popoyo2474 6 หลายเดือนก่อน +10

    It’s Aaliyah’s facial expressions after Eliza started crying💔😂

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 6 หลายเดือนก่อน +10

    Idis like eliza unakera kwa kweli kuna wanaume nje ya mr right show waache wenye nia wakae hapo wewe toka

  • @jovinathasavoie8018
    @jovinathasavoie8018 6 หลายเดือนก่อน +10

    This Aliza my God,all day wahaya hachana na sisi kaa.Jealousy ya maisha,wahaya for life we do better .watching from 🇺🇸

    • @dianerditto
      @dianerditto 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂kwani usingetuambia from us ungechubuka we muhaya

    • @jovinathasavoie8018
      @jovinathasavoie8018 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@dianerditto ,Ndo zakwetu wahaya ndo maana
      Eliza anatumind,but who cares.

  • @aishakimosa2492
    @aishakimosa2492 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mr. Right, am sorry huyo Eliza msimchukulie simple Sana na kumcrush hv. Nilichokigundua she is affected psychological, so mtafutieni mshauri nasaha ili apate matibabu ya kisaikolojia. Mtakua mmemsaidia kuliko kumuweka hapo mda mrefu Kuna siku vikimzidi atawaharibia hapo jukwaani. My opinion❤