WAMEPENDEZA | NAAHIDI KUKUOA | HUTOTESEKA | NAKAA MASAKI | SARITO APATA MWENZA WA KUDUMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 643

  • @celestinemakolo3954
    @celestinemakolo3954 6 หลายเดือนก่อน +42

    Ila Aaliyah una akil sana we dada nataman ungekuwa dadag am proud of you .sijawah kuwa na objection kwa unachoongea Mungu akutunze sana

  • @user-em8qt5kq8j
    @user-em8qt5kq8j 6 หลายเดือนก่อน +325

    Wanaochukizwa na uwepo wa eliza tujuane

    • @Fashionanddesign894
      @Fashionanddesign894 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 anaudhi atolewe hiyo soko Mimi niingie pembeni❤

    • @mwanamisi285
      @mwanamisi285 6 หลายเดือนก่อน

      Akera sana alafu maswali mengi ciku akipata anae mpenda nae ampendi ndio alia sasa

    • @tryphonemzee14
      @tryphonemzee14 6 หลายเดือนก่อน

      Ata mim eliza ananikwaza kwa sasa

    • @jackrinedugange2888
      @jackrinedugange2888 6 หลายเดือนก่อน

      Sjui kwannn hawamtoi

    • @levygasper7438
      @levygasper7438 6 หลายเดือนก่อน

      Eliza nimemchukia vibaya mno

  • @rehemaomary1739
    @rehemaomary1739 6 หลายเดือนก่อน +28

    Huyo salito Ana moyo sana ningekuwa mm ningekataa maana mwanzo haku taka, ingekuwa kwake😅😅😅

  • @saraissa9327
    @saraissa9327 6 หลายเดือนก่อน +16

    Hyo Eliza msenge sana

  • @isackmbade3181
    @isackmbade3181 6 หลายเดือนก่อน +43

    Hawez kupata mme huyo Eliza

    • @kitemerosanga109
      @kitemerosanga109 6 หลายเดือนก่อน

      Umeona mwenyewe mi natamani asiwe anakuja

    • @isackmbade3181
      @isackmbade3181 6 หลายเดือนก่อน

      Anazngua inabidi Gara b waliangalie namna ya kuwadhibiti hao wanaozngua

    • @user-ui6ut2qg4n
      @user-ui6ut2qg4n 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂eliza jmn kiherehere 😅😅

    • @SalvinJastin
      @SalvinJastin 6 หลายเดือนก่อน

      Nani amchukue sasaa😢😢

    • @ancyjoakim8308
      @ancyjoakim8308 6 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @emmyjuma5771
    @emmyjuma5771 6 หลายเดือนก่อน +52

    Eliza ana mdomo htr

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo maana amezeeka bila ndoa khaa! Shida yakuto olewa ujanani wallahi

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kazee alafu kashamba

    • @BennyMkongwi
      @BennyMkongwi 6 หลายเดือนก่อน +1

      hatoolew atazeekea hapo

    • @user-ui6ut2qg4n
      @user-ui6ut2qg4n 6 หลายเดือนก่อน

      Sidhan kam ataenda huyo😅😅

  • @benhanclove5997
    @benhanclove5997 6 หลายเดือนก่อน +26

    Yote 9. Sarito ni mrembo bhana🥰❤️

  • @veronicaagonga7415
    @veronicaagonga7415 6 หลายเดือนก่อน +13

    We mzuri unajua kuvaa mbona umekaa hapo sana wanakuja warembo wanakuacha hapo hapo hata Mimi nikija Leo nitakupita

    • @lucycareen2053
      @lucycareen2053 6 หลายเดือนก่อน

      Ana kiherehere mweee😢

  • @ElifAthanas-or1dt
    @ElifAthanas-or1dt 6 หลายเดือนก่อน +47

    Eliza ana kiherehere

  • @tawhidaabbasi8584
    @tawhidaabbasi8584 6 หลายเดือนก่อน +16

    uyo eliza mnamchekelea hem mtòweni hayup seriosely kabisa adi anakera kwa kwely

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 6 หลายเดือนก่อน +5

    Sarito mzuri kuliko uyongooden girl ❤❤❤❤ Eliza ana wivu saaana

  • @ellennkota6599
    @ellennkota6599 6 หลายเดือนก่อน +5

    Galab anasimamia nafasi yake kama mwanaume ku make sure wasio na nizamu wanatulia safi sana

  • @unicemwenda3664
    @unicemwenda3664 6 หลายเดือนก่อน +47

    Eliza unajikuta nani aseeeee

  • @Emanuel-hl2jh
    @Emanuel-hl2jh 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera salito

  • @AbdurazakiKisoma
    @AbdurazakiKisoma 6 หลายเดือนก่อน +22

    Ila Huyu Isarito Ni Mzuri Sana❤

  • @user-ik9wl7he4v
    @user-ik9wl7he4v 6 หลายเดือนก่อน +12

    Hv huyu elza anasoma sms kweli

  • @user-qv4wh2pb1d
    @user-qv4wh2pb1d 6 หลายเดือนก่อน +16

    Huyo eliza fukuza kwanza mzee

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 6 หลายเดือนก่อน +15

    Eliza ana kiherehere unatafuta mume na bado unaonesha Tabia zaajabu je huko ndani huyo atakaye kuoa ajipange

    • @christainc.5217
      @christainc.5217 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hanadabu😢

    • @user-gp7tr7it8u
      @user-gp7tr7it8u 6 หลายเดือนก่อน

      Eliza hana adabu kwakwel 😢😢

  • @Tyughcdrbdt
    @Tyughcdrbdt 6 หลายเดือนก่อน +14

    Elizaaa aendeee kitimtim tuu

    • @gifthlinus6017
      @gifthlinus6017 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂dada anakichaa Cha mapenzi huyu😂

    • @upendoshoo2635
      @upendoshoo2635 6 หลายเดือนก่อน

      Nililiona kitimutimu linatafuta Kiki tu kila mtu kwake ni mbaya akamtengeneze wake

    • @habi78121
      @habi78121 6 หลายเดือนก่อน

      anamatatz

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ahahahahahah jamn ivi kuna kaka ashapanda stej eliza asimtolee kasoro jamn haki apimwe akili hayupo sawa

  • @monicapeter9065
    @monicapeter9065 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman leo diva kapendeza sana
    Ukiona hii mesej fanyia kaz, nataman kila sku uwe unavaa design hyo ya nguo inaleta muonekano mzur wa heshima
    Hongera kwa leo dada yang
    Mavaz ya heshima yanapendeza

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 6 หลายเดือนก่อน +5

    Sijui kama watadumu😂😂😂

    • @saraissa9327
      @saraissa9327 6 หลายเดือนก่อน

      Hli penzi la mashaka mashaka 😂😂😂

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sema mr right ana usela wa Form 2😅

  • @KelvinSilas-fv3ek
    @KelvinSilas-fv3ek 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yah sarito nimependa ❤️

  • @ibrahimsimba7602
    @ibrahimsimba7602 6 หลายเดือนก่อน +18

    Eliza malaya tu

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 6 หลายเดือนก่อน

      Kama Malaya wengine 😂

    • @safiaimran6455
      @safiaimran6455 6 หลายเดือนก่อน

      @@najmasalim-rg6ow😂😂😂😂😂😂

    • @rayyanomary
      @rayyanomary 6 หลายเดือนก่อน

      Hahahah😂😂😂

  • @andreatutu6179
    @andreatutu6179 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah mshkaji awe mwaminifu sana kwa sarito daaah sarito❤❤❤

  • @Caleb-hv6ep
    @Caleb-hv6ep 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nice one

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Mr Right sijapenda the way bdy language ulivyoitumia, umeweka mikono mfukoni mwanzo mwisho, kwa upande mwingine hiyo ni moja ya dharau au majivuno.

  • @ZaifathMustafa
    @ZaifathMustafa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila salito ni mzuri ana rangi nzuri

  • @user-vt8do3sm8i
    @user-vt8do3sm8i 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyooo elizaa cjw kachanganyikiwa na nin😂😂😂

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 4 หลายเดือนก่อน

    God bless Sarito and her Mr. Right.

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 6 หลายเดือนก่อน +4

    Bravooooo Aliya hodari saaana mashaallah kamuweza Eliza 😅😅😅

  • @ameenaoman
    @ameenaoman 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mtoeni huy elz jama

  • @lucysylveste
    @lucysylveste 6 หลายเดือนก่อน +4

    Yani Eliza kwa huo mdomo na izo tabia unazoleta utakaa sana kwenye podiam my dear na bado

  • @meckydimpoz
    @meckydimpoz 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ from Mecky Dimpoz 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 always Maharaj Da King 👑👑 Hivi Eliza yuko hapo kwa Nia Gani kwa kweli??

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 2 หลายเดือนก่อน

    Sarito yupo cool. I love her.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wanawake wengine wemekuja kuonesha sula kwenye TV sio kuja katika program 😂

  • @danielndei5420
    @danielndei5420 5 หลายเดือนก่อน

    SABITINA, THE MOST BEAUTIFUL LADY AV EVER SEEN IN UR SHOW HUYU ELIZA BURE KABISA ANAKAA MWANAMKE MWENYE HASIRA SANA SIEZI TAKA MDADA SAMPULI HII

  • @user-tb3zn8lg1p
    @user-tb3zn8lg1p 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hata Mimi simupende Eliza hanamudono sana

  • @user-yh2wq4lr3d
    @user-yh2wq4lr3d 22 วันที่ผ่านมา

    Huyo eliza jamn mwambien mudomo auache choon

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 6 หลายเดือนก่อน +15

    Wawe wanavaa ata Braaa basi😂😂😂

    • @abubakariibrahim5375
      @abubakariibrahim5375 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂kwamba kitu Ndala au???

    • @user-yv4wd5ii8k
      @user-yv4wd5ii8k 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisa maan ziwa kilo na nusu yanapishana haipendz kabisa

    • @sarazacharia
      @sarazacharia 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 nimetafuta sana hii comment 😂😂😂😂💔

    • @EstherMathew-gg2eh
      @EstherMathew-gg2eh 4 หลายเดือนก่อน

      @@sarazacharia nami nilikuwa naitafuta🤣🤣🤣🤣

    • @user-mv1qs6vj1z
      @user-mv1qs6vj1z 3 หลายเดือนก่อน

      Jamani nimecheka nifeeee

  • @diva_20162
    @diva_20162 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Eliza anawaza soda tu 😂😂😂

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mwacheni Eliza bhn anafurahisha jukwaa anakuwa kama Maggie wa kenya😅😅

    • @tabithamitsanze9124
      @tabithamitsanze9124 6 หลายเดือนก่อน

      Umeona eeeh😂😂😂 Maggie wetu alienda

    • @PureSoul-rf4xd
      @PureSoul-rf4xd 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @najmarajab9315
    @najmarajab9315 6 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu wameendana tu wenyewe🥰. Huyo Eliza hatopata hata huyo wa viatu vichafu😏ye nyota yake ni kupendwa na vibabu tu shenz zake

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu eliza labda kuna matangazo anafanya maana sikwakukosa adabu uku😂😂😂😂😂😂😂

    • @joyce55727
      @joyce55727 6 หลายเดือนก่อน

      Mm nazan analipa hela hao wasimamiz maana anaujinga na hawamtoi

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 6 หลายเดือนก่อน +3

    Weww Eliza unashida gan Eliza weww ni mtu mzim jitambue

  • @user-ty9nf9dq1i
    @user-ty9nf9dq1i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mtu atazeeka hapo hata pata Mume 😂😂😂😂 namuonaa mm😂😂😂😂

  • @IddaJovent
    @IddaJovent 25 วันที่ผ่านมา

    Hv Eliza ana ugonjw wa akil au??? Naomb akapime ugonjw wa akil kwanz af naon Kam vle anawivu, ikimuuma achomoe bhas.duh ana kera tumechok uzee wak

  • @user-sq2vn9mu1x
    @user-sq2vn9mu1x 6 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo Eliza anataka mwanaume wa aina gani atoke apo

  • @kudoson_tz
    @kudoson_tz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Eliz anasubir wazir 😮😢😊

  • @ElizabethMgimba-lq9iw
    @ElizabethMgimba-lq9iw 6 หลายเดือนก่อน

    Heeee uyo dada anamdomo

  • @HenryMkalawaya-mk1pc
    @HenryMkalawaya-mk1pc 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza anajuaga san kuleta challenge hahahaha😅😅

  • @EdnahMutindi
    @EdnahMutindi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu Eliza anaaribu hii show

  • @Geofreymartinpeace
    @Geofreymartinpeace หลายเดือนก่อน

    Sitakuja oa mke mwenyejina la Eliza maishani mwangu

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 หลายเดือนก่อน

    Sarito ni mrembo jamani, ila huyo Eliza hatokuja apate mpenzi

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka gala B and wadada mnaosimamia hii event ,TOENI HIYO KISIKI ELIZA HUMU MNATUHAIBISHAA HANA ADABU NA ANAHARIBU SIFA YA KAZI YENU

  • @IddaJovent
    @IddaJovent 25 วันที่ผ่านมา

    Salito saaaaafiiiii umemuwez huyo boya .elizaaaaa

  • @MusondoliRobert-ve4wz
    @MusondoliRobert-ve4wz 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli sarito ana upendo

  • @ConfusedMicrophone-rp5ku
    @ConfusedMicrophone-rp5ku 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada kenge sana

  • @DorikaKipala-ds5vl
    @DorikaKipala-ds5vl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Eliza umechokwa mama😢,mr yoyot akija Toka nae mkifika nje abwage kulee ,uwende peke ako

  • @user-wj4yy1us3c
    @user-wj4yy1us3c 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi niliolewa na mume wangu japo Ni askali polisi lakini kwa wakati ule alikuwa Hana kitu.kwa sababu mshahala wake kidogo alikuwa akisomesha wadogo zake niliamini nanikamuomba mungu ipo siku tutapata.tulianza na godolo chini tukiishi kambini lakin hii leo tumejenga tuna viwanja tunamashamba watoto wako shule za Hera .tunamshukulu mungu kwa hilo.kwa hiyo asikae anazalau watu kiasi hicho mungu anaweza kukunyanganya ulichonacho na akampa asiyekuwa nacho.

    • @NaahZephania
      @NaahZephania 5 หลายเดือนก่อน

      Kwer jmn Maan had Anaboa khaa

  • @DorisDidas
    @DorisDidas หลายเดือนก่อน

    Eliza nataman Sana nione mwanaume atakaekuwa naeee muone Kwanzaa mwenyew mbayaaaaaaa

  • @user-it6to6ws5r
    @user-it6to6ws5r 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza anaaibikaaaa 😅😅😅 satito mzuri kuliko uyo uliyo mchaguwaa❤❤❤

  • @user-eq9ji8il6z
    @user-eq9ji8il6z 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman sindiria azipo. A kina dada uwiiiiiiiiiiiiiii😅😅😅😅😅😅😅😅 heeeee

    • @NaomieMasoka-xp4ob
      @NaomieMasoka-xp4ob 6 หลายเดือนก่อน

      Huuum ulikuwa unatupia jicho tu hapo wee😂😂😂😂😢😢

  • @CHAUSIKUMABULA-pg5tw
    @CHAUSIKUMABULA-pg5tw 6 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani muwe mna vaa sidiria👌

    • @salmakivo4073
      @salmakivo4073 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 kumbe umeona nilichoona mm

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 wanajikuta bado mabinti wakati wazee wenzangu

  • @happyyonahoutlook3081
    @happyyonahoutlook3081 6 หลายเดือนก่อน

    Ila gara b😅😅😅unashushia mwamba wao😊😊😊😅😅😅😅

  • @oppachoga2603
    @oppachoga2603 6 หลายเดือนก่อน

    Sema doctor love hapo umenafkiaa utamuuu 🤓🤓🤓

  • @zungukessy7127
    @zungukessy7127 6 หลายเดือนก่อน

    Uyooo mzee eliza hana jipya apunguzee kiherehere

  • @user-ns3so9wv1f
    @user-ns3so9wv1f 6 หลายเดือนก่อน

    jamanii sii bado Yuko singe huyo Kaka kipata MTU waku msafishia atajua smart❤ 3:19

  • @Dianyusph
    @Dianyusph 26 วันที่ผ่านมา

    Uyo bibi eliza vp jaman iv mnaweza mkanisaidia

  • @oldavidasemu2420
    @oldavidasemu2420 6 หลายเดือนก่อน

    Mpumzisheni Eliza wiki mbili mfufulizo wanaume wamekuja kutafuta wenza hapo si kunyariwa Eliza too much jamani 😂

  • @likombishitv3788
    @likombishitv3788 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo eliza na mdomo wake kila ck anaachwa wenzak wanaondk ye anabak anazeeka na mdomo wake kam ananusa mavi

  • @NellyMkongo-vi8of
    @NellyMkongo-vi8of 6 หลายเดือนก่อน +1

    Eliza hata pata mume hadi apunguze mdomo ndio maana atalia mpaka yesu arudi

  • @johnkikoth
    @johnkikoth หลายเดือนก่อน

    Naombeni kujua nawezaje na mm kushiriki katika hii mr.right niweze kupata msaidiz wangu?

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanini Hamufukuzi Huyu Msichana Nimtovu Wa Nidhamu Mukiharibi Kipidi Chenu Nakama Atatokea Mwanaume Kumchukuwa Huyu Mwanamke Allah Amnusuru Huyo Mwanume

  • @user-mv1oi3xq8x
    @user-mv1oi3xq8x 3 หลายเดือนก่อน

    Mm simpendi anajiona sana

  • @shakiralasway8821
    @shakiralasway8821 3 หลายเดือนก่อน

    Uchafu auna mashiko ndomaana anataka mwenza akamsaidie kumuweka sawa,hapo vizimbani leo asilimia kubwa leo niwadangaji tu nahawana haiba zakike mwanamke unambwekea mtu hovyo usiemjua kama unawazimu😮

  • @user-ze5os2mb2m
    @user-ze5os2mb2m 6 หลายเดือนก่อน

    uyo eliza akipata mchumba hapoo bs mm muniite dog 😂😂😂

  • @lambertchami4311
    @lambertchami4311 6 หลายเดือนก่อน

    Nahc Eliza hayupo Kwenye Mr right Kwa ajili ya kumtafuta mchumba,,anafurahisha shooo mtimueni tu

  • @user-sk7un6ls2t
    @user-sk7un6ls2t 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nataman nimpige huyo eliza kudadek zake 😂😂😂😂😂

    • @subiramarko1789
      @subiramarko1789 6 หลายเดือนก่อน

      Jamani nauliza hivi huh mchezo ni maigizo au nikweli wanaoana??

  • @Tumaini-qp3db
    @Tumaini-qp3db หลายเดือนก่อน

    Huyo eliza ni mtu mzima ila kama hajielewi vile😂😂ana utoto cjui ujinga

  • @ammydaniel8947
    @ammydaniel8947 6 หลายเดือนก่อน

    Sarito kitu kizito kipo njian! Mwanaume hapendw mahi 😄

  • @denniswachira1078
    @denniswachira1078 6 หลายเดือนก่อน

    Can You Guys Upload Without The Music On The Background? ThankYOU

  • @allenmwambuch3689
    @allenmwambuch3689 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hyo Ngoma Elizah😂😂😂
    Ifike mda apewe adhabu hyo Hana Nidhamu

  • @halimahassan1930
    @halimahassan1930 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu eliza anamdomo sana ndio maana apati mchumba😂😂mwanzo n mzee

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sarito ilo nyoyo moja bhn😅

    • @estherreuben2841
      @estherreuben2841 6 หลายเดือนก่อน

      Kazaa huyoo

    • @NaomieMasoka-xp4ob
      @NaomieMasoka-xp4ob 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂 comment jamani comment zitaniua huku 😅

  • @vicentpeter9907
    @vicentpeter9907 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza kwa kiburi chake na kujiona cake atazeekea on stage, labda abadilike

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu eliza au mnampanga??? Nini mbona vitu vingn n vya ww mwanamke kwenda kurekebisha khaaa

  • @irenemacha5661
    @irenemacha5661 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kwann wasimtoe eliza

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani Eliza yeye anataka nn ? 😂😂! Kwa huo mdomo atampata nani? Kaacheni kaendelee kuuza sura hapo

  • @AmeenaMOHD-es7uv
    @AmeenaMOHD-es7uv 6 หลายเดือนก่อน

    Ila eliz anaker kiukwel mimi Kash nichosha kwel wamtow man nikutupotezea md wetuu😂😂

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo Eliza mwenyewe mbona mbaya alafu mzee anafanya Nini apo anaalibu image

  • @bossykalewa
    @bossykalewa 6 หลายเดือนก่อน +2

    Eliza na mina atakaye wachukua hao wanawake huyo ameliwaaaa.....hao watazeeka labda waolewe na mambwa

  • @kavirachantal2374
    @kavirachantal2374 6 หลายเดือนก่อน

    Eliza weeee kaya kwakutuliya mama mdomo umezidi mumewako atakuwa nashida yakuzibiti huo mdomo we kasuku🤷🤷🥺🥱

  • @AmosMwamgogo
    @AmosMwamgogo 5 หลายเดือนก่อน

    Jitahidin bad kuweka sauti chini ya mziki ili tuweze kuwasikiliza vzr

  • @modricnoma3686
    @modricnoma3686 6 หลายเดือนก่อน +1

    Piga chini huyo Eliza anajikuta perfect kukosoa watu wakati yeye mwenyewe anavaa malapulapu tu

  • @katsuvakamatedaniel7893
    @katsuvakamatedaniel7893 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo eliza ata baki pale pale maana ana ji ona kama yéyé ni murembo kuliko wengine ijapo ni kibibi 😢

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi wa andishi wa habari wa kujiongeza wako wapi?ningetamani kuona mwandishi moja ameenda kuongea na jirani au familia ya Eliza kiukweli natamani kujuwa maisha halisi ya Eliza
    Naona kama haja lelewa au hajielewi

  • @rashiikaje3465
    @rashiikaje3465 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo Eliza simpendi kweli

  • @ollenshamba
    @ollenshamba 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi Eliza ana akili vizuri huyu kwanza sio mzuri