wow!!!!!!! i jus found myself shading tears while smiling watching the show. am really filled with tears of joy. am always fan of this show but what i can say concerning this show is that: this is the BEST show ive ever seen. and thats why ive liked and commented on it. this is the only show that ive commented on. all the best to the couples. #kenyan boy @Juliey. love you soo much guys
Congratulations kabisa kaka nipe couple yako bro siku ya harusi niambiye ndakutoleya zawadi ya biza 🇨🇩from Uganda boda ya tanzania mutukula niko seriously bro nimeipe reaction
Jaman I see my future husband in this couple I was in bad mood but when I look on this am very very joyful now I believe my inner voice too one day it will be to me with my love hubby may God protect him for me ... Congratulation Mr.Fredy u make a good choice Ciara she is more than beautiful ,she is a strong woman she deserves you...Nawatakia ndoa njema Mungu awatunze awabarki na familia bora sana NAWAPENDA.
Kwani huyu jamaa Ni ndugu yake Stephen kanumba...jamani anamfanana😊sana ata sauti 😲Nani mwingine Kaona Kama Mimi???
Hata wewe umeona eeh
Sana yani
Mbona huyu ndie alimuoa yule Dada aliekua anatafuta mme kwa bango au macho yangu?
@@joanjosephat3776 ndie
Eeeh
wow!!!!!!! i jus found myself shading tears while smiling watching the show. am really filled with tears of joy. am always fan of this show but what i can say concerning this show is that: this is the BEST show ive ever seen. and thats why ive liked and commented on it. this is the only show that ive commented on. all the best to the couples. #kenyan boy @Juliey. love you soo much guys
Jamani Tanzania 😂😂😂😂 hakika watanzania tupo romantic mpaka rahaaa. Mungu awape royo ya uvumilivu katika ndoa yao.
Muda unakua Sio rafiki kwangu but na enjoy kipindi hongera kwake mbunifu ila hawa watu pia wapewe mwanga waishi sana i love this …
🏠👫💏👪
Beautiful. Mungu awabariki. Muishi vizuri. Maisha yenu yawe taa na Nuru kwa ulimwengu.
Jaman huyu kakaa ndugu wa kanumba au 🤤🤤🤤🤤Mashallah hb boy
Umeona eh 😹
Jamni na mimi natamani kujiunga na mr light
Congratulations watching from kenya 🇰🇪
I have seen Kanumba's genes somewhere😂 watching from Kenya 🇰🇪
Yeah anafanana na kanumba
😂😂👍👍🔥 that is true
Exactly
Mkaka mashaallah,,kwel Kila m2 hupata fungu lake kwa wakat sahihi,,naomba langu liwe linjian inshaallah,,
Nipo hapa
Hongera sana Fredy, yaani huyu mwamba yuko vizuri, wanaume wanaotaka wenza seriously wanataka wawe hivyo, mungu awabariki katika mahusiano yenu.
Daaah ,it's so amazing , I didn't know about Mr right
Mkaka amefanana jamn na Steve kanumba
Kabisaal
Kabisa
Kweli
C alipata mke yule wa bango huku tn vp
@@jescajulius8023 Mimi mwenyewe nimebaki kujiuliza tu jibu can!!
Love is a beautiful thing when u have the right queen...or king
Wow that' was amazing I really like watching your show you guys you are doing a great job congrats
That guy is so romantic manze😘😚
Shoo mbaya haina uhalisia AF watu wanaongea sana utasema bongo movie
Muda wa mungu ni sahihi kuliko mida yote
Amazing wow I really love it
Wow amazing this is real ❤️
Congratulation watching kenya saudi❤
Hii kali sana kuliko zote ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
I wish all te best.keep on trusting in God you will never leave you you will never forsake you
Congratulations kabisa kaka nipe couple yako bro siku ya harusi niambiye ndakutoleya zawadi ya biza 🇨🇩from Uganda boda ya tanzania mutukula niko seriously bro nimeipe reaction
Jamani hadibraha ❤❤ natamni n mimi❤
Watu wamejipanga! Watching from Kenya .... thika medical college...the song huhu
Uko medical college ? Do u do Mbbs ?
mm nko kmtc ... enjoying the show
Mr right Kenya will always be the best 🥳😂😂
Kumbe tuko wengi
Uyo kaka hata mm nimempenda jamnnnnn 🙌🙌🙌
Ameshapata Sasa chagua mwingine
@@samwelboniphace5791 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣thawa
Jaman uyo kaka ana ndugu yake😂😂
Very beautiful 🤩 beautiful 🤩 gorgeous wow all the best
Na mm natafuta mume nitapata
Nmependa manen ya mwmba 😊😊😊
Woooooh nice big up broo
Wauouhh tu es vraiment chanceuse ma belle, ton est trop mignon et bon
safi sana broo huo ndo wanaume
Wow hadi raha na mwafanana sana
Huyo bravo siye aliemvisha pete bby Nai na mwishowe akamtema
Eee ndiyo ndo yeye 2anatuektia hawa
Katk haya kuna ukwel? Mbona dada zetu wepec kukubali matokeo. Una hakika gan kam huyo mwanaume hana mke, alaf wengne watu wazm kbs na familia zao.
MTU hawezi kuwa namke akaja kufanya madudu mbele ya camera,asilimia kubwa watakuwa niwanaume mafilauni walioshindikana!
Amazing name siyara!!
Mungu nijalie na mm jamanii nipate ....
This is wowoo 👏🏼👍❤🙏
Maishallah nimeipenda hyo
Maisha yanakwenda kasi sana dunia hii yaani wanawake wanapigwa mnada?du tumuombe mungu
Ukitak n mzngu kunasehem Yao unaenda pia
Masha Allah 🤲❤️😘💕💕 alfu mabruki dear.... jamani mbona nasipate na mm
Mimi ❣️
Aki nimependa sana moja boom 👊
Jamani mnapatikana wapi
Wow that's amazing
Kaka ongera cn nimeipenda iyo tena hongera mkadum milele
Hello im from kenya.....naezaje nikapata mr right
Niko hapa
Duuh wanaume anaongea htr hapa mdada kapigwa na kitu kizito hamna mme hapo
Aaaah kweli kapigwa na kitu kizito sio bure
Upo sahihi anaongea mno
Hiiiii nimeipenda jamnii nlijiambia Moka nije nitafuteniangalie tena Kwa marudiooo kweli ulikuwa wakati sahihi WA mungu kuwakutanisha hapo
Nimeipenda hii ❤
Watching from kenya natamani......
Amefanana nakanumba
Hongera dadangu umepata mume bola nasi bola mume jamanii
Inamaana ni kwel au 🙄
Kanumba in the house 🏘️
Is this real au maigizo? Lakini naona kama kweli hivi. Gonga like niamini kama umeona kweli.Mungu awajalie.
Congratulations 🎈 watching from Kenya
Mwanaume mzur hata mim nimempenda❤
Watu Waongo Duniani 🤫🤫
Mwanamke unadanganywa hivi hivi
😂😂😂😂😂Bora umeonaaa mwenzang
😂😂😂😂bora umesema
Yani Pete bila wazazi kujua chochote tamaduni za kiafrika wapi jamani no mahari no wazazi yani ovyoooo
Natamani kua hapa na mke wangu nampenda sana
Huyu jamaa kamufanana kanumba kbs au niyeye 🥺
😂😂😂😂
Mi nahic ni yy mweeee!
Jamanii huyu boy siniyule mume wayule dem.wakutembea na bangoo jamanii...nayupo hapo.pia Amina..jamanii
Ndio hata mm nimeshangaa jaman
Ni yeye
@@mohamedaden5881 ndio wa bebi nai eti
Mm ndo nlikua naona najiuliza pekeangu na nlikua naona niukweli huwa watu wanapata Mr right hapa wa maisha
Amina wa buza
Huyu kamfanana Marehemu Stephen kanumba
Duuh uyu dada anabahati kweli mapenzi sio sura
Mr Right shows ya Tanzania iko more fire than ya kenya. Wakenya ni wingi wa kizungu na hawako romantic
Hadi raha jamani, hongera siyara
Yani uyo kaka kanifurahisha ❤❤❤❤
Nakubali xan bro umetixha
😂😂😂😂 jamn kumbe CIARA alivishwa Pete ilikuwaje Tena huyu Fred anatrend na Amina
Apo sasa
Hawa wahuni waigizaji tupu hamna ndoa yoyote hapa ni kipindi wameamua kutengeneza watazamaji wengi
Et huyu ni yule fred wa amina aliye tembea na bango au
Really jamaa anafanana Na Marehemu Kanumba
Jamn soooooo lovely ❤
Wow !!!!😮😮😮it was so Amazing,so Wonder full, congratulations again sister and brother 🎉🎉🎉😂😂❤❤❤❤❤.i wish you a long life
Mmepima ngoma au kajinywee kajitekee tu.
😃😃Nyie Aibu Naona Mie😃🙌
😂😂😂😂😂we
Haki na Mimi nimeona aibu etii
Mi nimeona aiju had nimeona bora nisome coment
Aibu yanini Sasa
😂😂😂😂😂😂Naona aibu mm
mimi naomba kuuliza huwa wanapatikana wapi hapa dar es salam
Jmn am so huppy❤
Nice selection 🙏
Jaman naipenda sana hii app
Canada we are enjoying❤❤
Amezingua kwa sisi wapenda MATAKO
Mmh walah hii moto saaana
I like it ❤
Ametisha sana brooo
Kumbe siku izi wanawake wanapatikana kama bidhaa!!!! Duhh!!! Kweli awa viumbe wa ajabu!
Amazing 🎉🎉🎉🎉❤
Iyo machozi mnatoaga wpy Sasa mm Ady
Nimependa sana kipindi chenu
Noma sana yani wanachaguliwa kama kuku soko la mapinduzi
Jaman I see my future husband in this couple I was in bad mood but when I look on this am very very joyful now I believe my inner voice too one day it will be to me with my love hubby may God protect him for me ... Congratulation Mr.Fredy u make a good choice Ciara she is more than beautiful ,she is a strong woman she deserves you...Nawatakia ndoa njema Mungu awatunze awabarki na familia bora sana NAWAPENDA.
Hakuna kitu walishaachana
I seen Steven kanumba on this guy
Good, I would like to know how does this event join?
@@wemaethan1489 jaman why?
@@yonastembela3363 jamaa alikuwa akipigiwa simu na wanaume wengne,,,kuwa achana na uyo mwanamke,,,buc wakaachana
Kumbe amina alizma taaa mda alikuelewa mda sanaa
Mashallah sana wamependezana sana
The way she sings😂💔💔💔
siku zote mimi namtizama IRENE TU...tabasamu lake na uzuri wake nalo daaaah🤩
Jamani hili pambe nimelipenda
ooooh waoooo sooo nice
Hiii Ndo ulikua pambe Ila saaiv Apana wadada mnaoleta Wana nyodo Sana.
Kanumba wa pili....anza kucheza Movie
Ikawe kheri😍
Amaizing 🎉🎉🎉🎉
Kanumba is back😳
Hii ni maigizo mapya toka uko dar 😂😂🙏
Kwa kweli
Iam feel so happy
Sizani kama itatokea show tamu kama hii🤩🤩🤩
Congratulations🎉🎉