Kimsingi kazi nzuri ilaa Kuna mabinti hapo wanatafuta umaarufu na sio wenza,,,,wazo langu mngekuwa mnawatoa,,,,,,hakuna kitu kibaya kama kumzodoa usiye mjua,,,waambieni kuwa tukiwakosa kwenye podiamu watatukuta mtaaani huku ndipo maisha yalipo,,,
Kwa kweli hao mabint sijui wanatk mwanaume wa aina gn mana kama huyu mkaka wa mwish yupo vzr t akiulizwa huyu bint alomkataa hana sababu za msingi sasa apo mmekuja kuwachora wanaume wa watu tu
Kubababake kumbe mnatafuta matajili hapo mmmmmh mungu tusaidie yan kwa kaline hii upate mwanaume wakukupgia magoti bado humpendi mtakwisha jmn wadada bas penda mwanaume mwenyepesa na ww huwe nakaz cyo utake mwanaume aliyenavyo vyete afu w huna yan hujishugulishi 😢😢😢
Sasa mwanamme unaenda kukataliwa hadharani na unapiga magoti kwa mwamke anakukataa mbele ya dunia nzima. kwani huko mtaani wanawake wamesha mpaka uje kujidhalilisha hapo
Wadada wanao chunguza xana mavazi na mionekano ya wanaume hao wamekuja kujionyesha2 hapo wafukuzwe wote waletwe ambao wako slys na kutafuta wenza wa kufanyanao maisha wanaziba2 nafasi hapo na huyo Eliza apate msaada kwanza wa tatizo la hisia,,
Broo unazingua hawa madem wa type hii wapo wengi tandika tena wengi huyu mimi siwez hata date nae kamekomaa kama mfup wa wa ugoko alafu kijan unalia kwa huyo choko
Wanaume tufanye Nini sasa Kama Hata Hela ukiwa nayo pisi zinakuletea Nyodo?? Mimi kama ni Kufa single Bora nife ila sio kuja kwenye hili Jukwaa la uzalilishaji na madharau
@@MariamTemba-qz5hy hahaha ila Huwa nafatilia hiki kipindi sana wadada walio wengi wanazingua Bora hata wa mwanzoni kabisa alafu ni wanataka mwanaume awe na pesa nyingi sana je walipo Toka kwao zipo au wenyewe wanawake hao wanapesa

Yes my sister Lolo diva you give them good advice🇿🇦🇧🇮
Uyo kaka yupo vzr sana
Shida ninayo iyona hapo kaka ni wanawake wengi wanaokuja hapo wanakuja kutafuta wanaume matajiri na Sio wa kuanzanao katika utafutaji
Mtu akitaka mke wa kweli amtafute anakoishi maana wapo wengi tu. Hao wa hapo wana maringo sana. Mke mwema mtu hupewa na BWANA.
Hizi issue za kutongoza kwa kuigiza wachaga hatuziwezi kabisaaaaaah
Hahahahah jamn gara b ety shagabara shekebere ety ndo kunena kwq lugha😂😂😂😂
Hongereni sana Kwa kipindi chenu ila mtafutieni Eliza mwalimu wa kumfundisha maswala ya mapenzi au mpeni maneno magumu Ili apate wa kwenda kuishi nae
Hii mr right ya msimu hii inakuwa mbaya kwa sababu ya hao wadada wanaringa sana hlf uzuri wenyew wala awana
Hapo hakuna manamke wa maisha wote Malaya wa buzza tyu
😂😂😂 wanatuchosha tyuu
Mbona demu kashazeeka uyo ,bruh umefanya kweli au unamakengeza
Kutongoza mbele z watu nacho ni kipaji😅😅
😂😂😂
😂😂kipaji haswa
Jamaa kajitaidi kupiga sera zake kwa kweli
Wangapi wamemuona Aalia yuko disapoint na haka kadem
Napenda sana mashushu yako Lulu Divaaa. Waambie hao mashauzi mengi yasio na maana
Kwa kweli hao mabint sijui wanatk mwanaume wa aina gn mana kama huyu mkaka wa mwish yupo vzr t akiulizwa huyu bint alomkataa hana sababu za msingi sasa apo mmekuja kuwachora wanaume wa watu tu
Lulu leo umeongea hao mademu wanazingua balaa toeni wote leteeni wengine
Kubababake kumbe mnatafuta matajili hapo mmmmmh mungu tusaidie yan kwa kaline hii upate mwanaume wakukupgia magoti bado humpendi mtakwisha jmn wadada bas penda mwanaume mwenyepesa na ww huwe nakaz cyo utake mwanaume aliyenavyo vyete afu w huna yan hujishugulishi 😢😢😢
😢Mhhhhhh mdada unajishauwa ww sur yenyew ya kibib
Heee chiddy 😂😂😂😂😂nimechekaaa
Jamani huyo Eliza anataka mwanaumee Gani na mbona ni mzuri sana
Mi walivyovaa tu kiheshima flani hivi,nimewapenda na mmenoga sana
Daa yan wadada wanaringa sana alaf wakawaida tu
Toeni mabint wenye wamekaa sana wakaombe mungu nnje,wanaboa sana
Luludiva una point
I love it women in tz they are so beautiful I will go to marry in tz
Mariam ukimuangalia kwa ukaribu mubayaaaa!
Hii ivi awa jamaa wanafeli wapi eti mwanamke mtu anasura ya baba kabisa 😂
Wengine tupo huku tunawahitaji watu wakutupenda jaman 😢
Mko wap
Kujeni huku bas
Brother fight about money Love Will come
Hao Malaya tu watengeneze wanaume wao wanakela
Ukweli ni kwamba hapo kuna makahaba tu. Mtu anashawishiwa kwa kiwango kikubwa yeye ananyodoa tu. Hao malaya tu wachunaji
Nyingi madem mnata wanaume wenye maokoto. Nyinyi hayo maokoto mnayo? Na wenye maokoto hapo hawaji hata kwa bahati mbaya
Namuomba huyo mariam jamani
Daah dunia ina wasenge skuiz,,, kolo nalia kwa huyo choko😂😂😂 daah kmk
Huyo mariamu hana lolote kwanza nikija apo vichambo kwanza mfano ilo lishangazi litoeni apo bhana linaziba nafas za watu
Gara B naomba Pepsi😮
AGNESSSSSSSS🥰😍🤩😘
Kazi inawashinda saiz warembo wanaxingua
Hii mr right la leo sio nzuri juu dada wankelw sana
Hii mimi hamna kbs
Wasichana wanataka mtu aina gani kwa kweli Mariam surely😮😮😮😮😮Waaaaa
Wanaboa sana hawo wadada alaf huyo mamu mbona hata vazi lenyew hajui kuvaa😂
😢Mariam iaxingua
Hawa wadada hawana haja na waume wanihitaji kujionyesha tu😊
Mbona mdada ana pua kama za babalevo na anajishebedua uwiiiih mdomo komaah😂💔🙌
Hako ni kamtu bro sema ni filam ingekua ni really mweh😅😅😅😅
Hao mabinti wanataka nini hapo? daaa!!!!!!!!
Alafu Anlia amependeza sana daah ❤😊
Sasa mwanamme unaenda kukataliwa hadharani na unapiga magoti kwa mwamke anakukataa mbele ya dunia nzima. kwani huko mtaani wanawake wamesha mpaka uje kujidhalilisha hapo
Pumbavu Sana mariam mbona
Hata sio mzur
Hapo hakuna wanawake huyo maryam mwenyewe mshamba 2
Mbona ni Mbibi sana huyo mshangazi
Ilokweli wanawake wa hapo wanataka umaarufu na matajiri tu yani hawana pwenti za kukataa wanaume
Huyo Mariam pua zenyewe kama exhaust ya bajaji 😂
😂😂😂😂kwann Exhaust
Wanachangua nini mbn wakiwa mitaan hawapati hajajielew gar b
Ila mariam mbaya kwakwel kazeeka😮
Mbna mkaka wawatu yupo vzr tu jamn unachagua saaan we mwenyee mbaya kama nin
huyo Dada hatakuja kupata mwanaume kama huyo mshikaji saivi amna mwanaume wa kumpigia magoti mwanamke
Mariam nime muelewa sana, hata ningekuwa hapo ningemchagua pia,. Ana sifa za kuwa mke,
Hv nikweli wanatafutaga wachumba au wanazingua to na kutafuta umaarufu
Wadada wanao chunguza xana mavazi na mionekano ya wanaume hao wamekuja kujionyesha2 hapo wafukuzwe wote waletwe ambao wako slys na kutafuta wenza wa kufanyanao maisha wanaziba2 nafasi hapo na huyo Eliza apate msaada kwanza wa tatizo la hisia,,
Na huyo dada Mariam ni age go
Viongozi chukueni hatuwa kwa hili mabint kuwakataa wanaume bila sababu za msingi
Garabii na lulu mnatisha sana kwenye kipindi kinachangamsha ila huyo mwingine mara moja moja ndio anachangamka
Kuna kutafuta umaarufu na kutafuta mume hao mabint wanatafuta umaarufu hiv huyu kijana ana ttz gan I'm sad😢
Hawapo serious hawa wadada
Broo unazingua hawa madem wa type hii wapo wengi tandika tena wengi huyu mimi siwez hata date nae kamekomaa kama mfup wa wa ugoko alafu kijan unalia kwa huyo choko
😂
Jamaa amezingua sana, eti na goti anapiga
😂😂😂
Mbona ugoko we kaka😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaume tufanye Nini sasa Kama Hata Hela ukiwa nayo pisi zinakuletea Nyodo?? Mimi kama ni Kufa single Bora nife ila sio kuja kwenye hili Jukwaa la uzalilishaji na madharau
Mariam mwenywe kichwa kama mokoena wa mamelody 😅😂 asee
😂😂😂😂
@@GraceKanu-lr6yv ni basi tu 😅
😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kwan hawa wadada wanataka nn
Zarish iko wapi
Hawa mabint wanaochagua Sana siku za mbeleni watakuja kuomba radhi wanaume wakiwa wamechelewa
Basi anajiona mzuri mamu mwenyewe na kichwa yake yenye makorongo hiyo
Hahahahahahahahahah hayaaaa bhan mbavu Sina makorongo tena jman daaah
Unapoga na goti 😂😂
Icho kimamu kinajikuta nani😂
Malaya wa vingunguti kutwa vindala vya manyoya na vijora wapo kutafuta umaarufu tu hapo
Wabongo wasenge sana
Kweli wanachagua Sana ila kila mmj na riski yake
Hawa wadada watazeekea hapa
Wasichana wa leo sijui wanataka nini ?
Uyu dada kama wale wanauza pombe za kilubunj kijijini
😅😅😅
ASA kukataliwa na demu Baya kama hili utampta nin tena.
Wanachanguwa San wanajion sana Kwan apo wamekuja kujiuza au kutafuta wenza. Hunje Kuna wanawake wazur sana
Wanajisahau....wacha warudi mtaani
Ivi hii choo infanika ga wapi napenda kuangalia live 💖 ❤
Ipo hivi hao wakaka wanaongea profile zao ukijivurug kdg t huondok na mke kwaio itabdi na sasa hiv wadada waongee nao profile zao
Wanataka kuwa maarufu tu
😮Mariam ua not attractive kahovyoo na unaringa mm hata nipewe bure sichukui
Aeleweki atakua wafisi uyu
👍👍👍👍👍👍👍👍🏾
Mariam n wakawaida sana SEMA tunaheshim maon yake😊
Uko sahihi sanaa...ila jamaa asingepiga goti hapo ndo amezingua
Muone wakisifiwa wanaona wazuuri
hataree
Doooh ila Alya umemuonea huruma huyo kaka
Sanaaa yn amekua disappoint sana adi bc. Kidem chenyew sasa kimekomaa kma hua kinatembeza tembele
@@MariamTemba-qz5hy hahaha ila Huwa nafatilia hiki kipindi sana wadada walio wengi wanazingua Bora hata wa mwanzoni kabisa alafu ni wanataka mwanaume awe na pesa nyingi sana je walipo Toka kwao zipo au wenyewe wanawake hao wanapesa
😂😂😂😂😂 yaani wewe@@MariamTemba-qz5hy
@MariamTemb😂😂😂a-qz5hy
Elisa atokeee waweke wengine
Eliza Bado yupo tu jaman dahh
Aka mariam kanaonekana mcharuko
😂😂😂🎉🎉
Wajinga san wanawake hakuna alie zaliw na pesa pesa zinapatikan haphap dunian mbon wote hatukuw na pesa lakin tumetafuta sai tunazo
Ilokweli wanawake wa hapo wanataka umaarufu na matajiri tu yani hawana pwenti za kukataa wanaume