Ndugu waheshimiwa wajumbe somo hapa ni kupambana to the maximum kuhakikisha tunatafuta pesa imagine maisha ya mtu kwetu sisi entertainment 😂 ni hayo tu au nimefoka sana
Kwa yeyote anayesoma hii.. nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!

Huyu salam kazi yake pale ni gani ama nikula pesa za diamond....talent yake gani...kuna promoter wengine kama wawili hapo tayari..ama anakula deal ya davido mpaka leo
Hakuna kitu sipendi km watanzania kuhojiwa wakajichanganya kizungu na Kiswahili ni pia kila siku nawaza mjumba. Km huo halafu unauacha un arudi kwa udongo
Kwaivo hutaki kuishi maisha mazuri??? Nyinyi ni wale mloodanganywa na Waarabu eti matajiri hawaingii peponi ikiwa wao waarabu na missionaries wana-develope nchi zao kila mkienda kuhijji wao wanapiga $6+ Billion Dollars kujenga nchi zao. Piga hela usife masikini. Hata Waarabu nimatajiri na wakifa wanazikwa kwenye udongo.
Bas ukisema ivo ndgu yangu io smart phone unayotumia kuingia yuotube pia utaiacha huendi nayo ongea fact usikandie kwan ht yeye mimi na wew tutaenda chini
Hapo mtagundua kuwa sallam kaulizwa kuhusu project za wasanii wa wcb .. lavalava na darleen hata hawakutajwa... Heehe hao wawili cjui wamefikaje hapo wcb
So nice interview na nyumba ya Sallam Sk ni nzuri sana hongera sana
The best interview ever👌😘👏
Who else feels Diamond Platnumz when Sallam SK speaks???😳
Alooh i feel him platnumz
Anaongea swaga kama za diamond,
Duh Diamond na Sallam SK wanaongea kwa staili moja hadi sauti inafanana, kweli diamond katoka mbali, big up meneja.
Very good. Team work makes dream work. Well done guys for doing so well. Love from Oxford,UK. God bless Tanzania.
Amen
Kila siku uwa nasema kuwa mahali ambapo amefika diamond na WCB yake ni mbali na pakubwa sana ndyo maana huwa hawana sababu ya kuwakunjia wengine
Hapi safsana SK Salim, much love..🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we deep in USA but you inspire us, 👊🏼
Rayvanny ft Zuchu can't wait 🔥🌎🔥
Ndugu waheshimiwa wajumbe somo hapa ni kupambana to the maximum kuhakikisha tunatafuta pesa imagine maisha ya mtu kwetu sisi entertainment 😂 ni hayo tu au nimefoka sana
Umesema kweli😂😂
Awashemoto baba lao mwaka huu uishe kwa balaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii refresh ni nomaaaaaa unajifanya mtu ufocus kutafuta money
Boss mwenyewe🔥🔥🔥
Daah hahahah Diamond ni Level nyingine
Heheee hizo sofa zipo balcony, duuuu Mungu tusaidie jamaani sisi tuziweke ndani
😂😂😂
😂😅😂
Kabisa mama hata mie nimetamani ziwe sebuleni hahahaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
Inshaalah.kwa uwezo wake allah.
So amaizing interview salam sk
Wanaume tutafte helaaaa 🔥
We nae umezidi kujichubua
@@elvistv7601 wabongo shkamoo😂😂
Naona wewe umekalia kujichubua jitaidi unaweza ukapata nawewe
Man Mendez,,, new project ya diamond ,,can't wait,
Wasafi for life guys
Salam Yuko humble sana interview ya kizazi sana
Diamond planumz big4 🌍🇹🇿🇹🇿
Pesa muhimu aisee tusifanye masihala salam yuko vizuri
Kabisa
Ikiwa Sallam yuko vizuri, Baharesa yuko vipi.
All in all ukwel ni kwamb Salam -sk hatak unafk ukiend kinyum anakubwag congrats tumemuon comando wetu jayd
Sasa nimekuja hapa dear kukusaport tu
@@zawadhaidary6332 asant Baby 💞💞💞💞
Nimeipenda sana hii inta viu like kama na ww umeierewa
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
@@brobabuu sawa
@@joseboy1113 pamoja sana
Queen Leady Heyyy Mtani Go On♥️♥️♥️😘
Boss Mendez
Sallam anazidi alikiba hella unakubali angalia nyumba magari makali lifestyle everything is good WCB 🙏🙏🔥🙏🙏
Well said
Mwenzako anamiliki Dizzim fm na Dizzim Tv
Ali kiba hana kitu mbele ya sallam
@@chancehoffmann9083 acha nongwa kiba tajiri kuliko unavyo fikiria
Wasafiiii🔥🔥🔥
Nimependa iyo kuwakubali ata wasani wengine na kuweka picha zao
Kabsa c umeona ajaweka ya mmakonde coz mmakonde n mnafiki
yaaan nilicho learn hapa tutafute pesa tu all in all,
😅😅
😂😂😂😂
King 🤴🤴
Ingekuwa vizuri zile Pic za wasanii kuweka anti reflective glasses. Zinakuwa more attractive.
Sallam unamfeel alliyaah... Eti mtoto mzuri sijui ntakupata tena lini hehe
Na mimi like zangu jamani leo nimewahi...😋
Good man,
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Amiin
Salam Raslmin Mashallah 👍♥️
Vijana wenzangu point inayo ongelewa hapa ni sisi tutafute pesa tu
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
😂😂😂😂
😂😂😂😂
hahahaha ilA ni kweli
Na nikweli hapa nitutafute hela tu si kutegemea kubeti 😂😂
Nakubali sana asante Dada moyo wangu umelizika
mahojiano ya kizazi sana
MENDEZ ndo Baba mwene Gym mnene 😀😀
Bos mpya ndani ya jiji hahaha 😂🤣🤣😭
Haya sasa sallam kipindi kimeisha mtoto huyu anaitajika ofisini usimwonyeshe chumbani 😁😁
I realize Im kinda off topic but do anybody know a good site to watch new movies online?
@Logan Jonah lately I have been using Flixzone. You can find it by googling =)
@Noah Jagger yup, been using Flixzone for months myself =)
@Noah Jagger Thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there =) I really appreciate it !!
@Logan Jonah you are welcome :D
Mie napita tu bwana all in all hela za saivi nyingine Zina masharti yake ukiyaweza utaona maisha poa tu ila kwa muda Mfupi sijaona waliodumu nazo
Du hela hela weeee helaaa jamani helaaa mihela rakha
😂😂😂😂😂
😄😄😄
Gonga like kwa Boss Salam Sk
Jmn shikamoooooo hellllaaaaaaaa
Powa sana Dada
Wcb for life
Huyu salaam naona dalili zake akiachana na WCB hivi karibuni is a good Man don’t intimidate him you gonna lose big tym
Best interview
Unaweza kujifunza kitu ,maishaa ni kupambanaa
Huyu salam kazi yake pale ni gani ama nikula pesa za diamond....talent yake gani...kuna promoter wengine kama wawili hapo tayari..ama anakula deal ya davido mpaka leo
salam sk 😋😂😂 nundaz haya bhana
So lava lava his just a fan 🤣🤣🤣 damn it
Aaliyah mtafute Chibu kwa refresh... He has alot to share with us... Matukio ni mingi💰
jamaa nilikua namchukulia poa now i sense he got brains
Da' ukiwanaela"niraha njaa no
ravnyn chuii 😂😂😂😂
Nakubaliii sana cham la wanaaa
Bos bos nimetaman sana life lako WCB4LIFE
Hahahah daah usafini maisha rahaa napenda kuona hivo
Salamu sk.... Ngoja tusake hela
KAMA NA WEWE UMEIPENDA HII INTERVIEW GONGA LIKE.....🙏
I'm the first one guys
Leo wa kwanz kucomment
#madsoft
Sijawah kuskia mameneja wa alikiba wakielezea mipango ya lebo yao
Umeona Mendez c mnafiki c umeona ajaweka picha ya mmakonde
Hyo lebo za kijinga
@@hassanmapenzi6188 tafuta pesa acha wivu, kwani unalebo gani? Nakuhusu picha iko sahihi, mimi ata chooni hana nafasi, angalao Pierre
Kile ni chuo cha mziki sio lebo 🤣
😹😹😹
Sehem ambazo picha zangu zinaonekana... Editor una forward Sana watu wasinione. Hayabana
ana ringa saana ktk mazungumzo yake ya kujisifu saana pumbavu huyu wa maisha na dhani hajui mungu
Sipendi kusaidiwa 🤣🤣kazi kazi tu
Ilikua interview ya aina yake
He is a good people 😂😂😂salam banaaa
Hahaha utasema kalazimishwa kuongea kizungu yani wakishakua na pesa wanajiona wazungu ata kama waswahili
Bro tunaseme he is a good person sio people
Mm nawaza hapo kwenye balcon na hizo sofa, mvua ikinyesha wanafanyaje
Dah hata mimi jamani nawaza kama wewe
Tutaziingiza ndani baada ya unterview
The house is so dark
Kuna some weired feeling of the interview, from the mtoto mzuri mistari to the we’re out, ama ni mimi tu? 😀
Love Sallam
Hakuna kitu sipendi km watanzania kuhojiwa wakajichanganya kizungu na Kiswahili ni pia kila siku nawaza mjumba. Km huo halafu unauacha un arudi kwa udongo
Ukiwaza hivyo hautakua nabidii kimaisha bro alfu sijui kama ni kweli naona dalili ya wivu na comments yako.👀👀
Kwaivo hutaki kuishi maisha mazuri??? Nyinyi ni wale mloodanganywa na Waarabu eti matajiri hawaingii peponi ikiwa wao waarabu na missionaries wana-develope nchi zao kila mkienda kuhijji wao wanapiga $6+ Billion Dollars kujenga nchi zao.
Piga hela usife masikini. Hata Waarabu nimatajiri na wakifa wanazikwa kwenye udongo.
Bas ukisema ivo ndgu yangu io smart phone unayotumia kuingia yuotube pia utaiacha huendi nayo ongea fact usikandie kwan ht yeye mimi na wew tutaenda chini
Nyie niwale watu mnao Kufa masikin kwaujinga
Kwan ukifikilia hayo hutatafuta pesa kwakwel
Mbona mnapeleka fasta bwanaaaa
Nioe mm salaam
Wcb betrays harmonize otherwise angekua hayuko associated na wbc harmonize hangezengua sana
Lavalava mnamsahau sana
Kizazi sana
boss jim lipo ila Tiz bado naona mtambi wa kutosha
Mendez 🇹🇿
Sk kama sk usitufokee
Mashaallah beautiful house, sasa imebaki tafuta mke ili umpe moyo na Diamond nae aoe.
Dah jamaa munguu amp na mm naimn tafata nyayo Zak sitaki msaad
Nakubali interview imetulia kinoma
Angeongea tu kiswahili huyu salam kinge knampiga chenga
Uyu mdosi ww unadhan nikaanga bisi?
Kumbe shida bangi
Ok
Hapo mtagundua kuwa sallam kaulizwa kuhusu project za wasanii wa wcb .. lavalava na darleen hata hawakutajwa... Heehe hao wawili cjui wamefikaje hapo wcb
Lavalava vip mbona kimya
Mziki unalipa sana,kunawatu wanasema au lipi
Hyo media Mendez anamiliki ni gani jameni siijui
Dizzime online
@@hassanmapenzi6188 Dizzim Radio iko Morogoro na Dizzim Tv iko Dar
@@ndegejr4218 OK poa broo nmekuelewa
@@jut1161 kwani ni online TV c chanel
Kama unampenda sk gonga like ungependa ameneji msanii gani tena
Nice
Salaam na Kiingereza ni kama maji na mafuta. Hawashikani kabisa
Kwa matatizo ya michirizi, makovu, nyama uzembe, kuongeza shape, hips,kuwa soft,kupunguza matiti, n.k
Karibu ofisini, SMS/whatsap 0693_330284
Leta nijaribu nikipona ndo tunalipana
... Nakubali sana, ambao tupo pamoja likes tafadhali
Manager kama manager
Ok.