ROHO YANGU IRADHI-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 109

  • @benshark3212
    @benshark3212 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nataka moyo wangu uwe enzi yako

  • @delmaxbichanga8816
    @delmaxbichanga8816 4 ปีที่แล้ว +43

    Wakenya ni wangapi tunapenda huu wimbo pamoja na kwaya nzima tuinue mikono🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🕊️🕊️💐🌷🌹🥀🖐️🖐️🖐️🖐️

    • @anastaciakokinzyimi2675
      @anastaciakokinzyimi2675 4 ปีที่แล้ว

      🤚🤚

    • @catherinecherotich734
      @catherinecherotich734 3 ปีที่แล้ว +1

      @@anastaciakokinzyimi2675 excellent choir

    • @kapeto_tv
      @kapeto_tv 2 ปีที่แล้ว

    • @nchimbirobert5926
      @nchimbirobert5926 ปีที่แล้ว +3

      Bila kutaja taifa lako utakuwa hujaridhika. Acha ukabila na ubaguzi sisi ni wamoja katika Kristo. Ulíza tu wangapi twaupenda huu wimbo. Inatosha.

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 ปีที่แล้ว

      @@nchimbirobert5926 Barikiwa sana ndugu hapo umeongea kitu cha msingi

  • @nickos7415
    @nickos7415 4 ปีที่แล้ว +15

    Napenda Sana hizi nyimbo. Tafadhali weka pia Tazama Eliya. Nimeutafuta kwa muda mrefu Sana. Much love kutoka Kenya

  • @raymondmrutu5829
    @raymondmrutu5829 3 ปีที่แล้ว +6

    This song remind me far

  • @gladysotiende5643
    @gladysotiende5643 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu soloist nampenda sana kipa jichake na waimbaji wote pia .

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 4 ปีที่แล้ว +12

    Best of the Best.. yaani sichoki kusikiliza Upendo Choir.. sana sana hii album..

  • @lothasamora8541
    @lothasamora8541 3 ปีที่แล้ว +7

    Nilipenda sana kwaya yenu, nilikuwa napita karb na duka lenu nasimama kusikilixa hizi nyimbo nikitoka shule 2003 form four

  • @roymosirigwa4514
    @roymosirigwa4514 3 ปีที่แล้ว +6

    Izi ndo nyumba zangu,old is gold,old songs are more spiritual

  • @batsebasizya3092
    @batsebasizya3092 4 ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo nzuri tangu enzi za utoto nawapenda

  • @webingogo3633
    @webingogo3633 4 ปีที่แล้ว +7

    Songs which made many pagans turn to Jesus and became good people in the society

  • @jemamartin9669
    @jemamartin9669 2 หลายเดือนก่อน +1

    Old is gold ❤ nlikuwa primary 🎉

  • @mwasdon4535
    @mwasdon4535 2 ปีที่แล้ว +9

    I remember grabbing my mum's serving spoons trying to imitate the guitarists.....timeless music

  • @lakimdiu2547
    @lakimdiu2547 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kitambo hichooo ilikuaga raha sana nilikua nampenda huyo dada anaeimba solo hatari jamani

  • @sophiamwaipopo3072
    @sophiamwaipopo3072 ปีที่แล้ว +1

    Naombeni wimba wa dunia imeharibika kijana eee

  • @suzankamuguna9125
    @suzankamuguna9125 3 ปีที่แล้ว +6

    Sina cha kusema.Nimebaki nikilia.Nakumbuka 2003 - 2004 nikiwa A- level.Mungu awabariki daima kwaya hii

  • @bettykanda4262
    @bettykanda4262 3 ปีที่แล้ว +5

    Aki nimefurahia kuupata huu wimbo waa iam happy

  • @janethchotta1571
    @janethchotta1571 8 หลายเดือนก่อน +2

    2024 and this song is still a blessing

    • @dorothynjawa5589
      @dorothynjawa5589 6 หลายเดือนก่อน

      Amen! Amen! You are also a blessing with your comments. It encourages us in our service to God.

  • @bmorangabrian.moranga530
    @bmorangabrian.moranga530 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtu afanye tu justice upload the full album 💯❣️

  • @doricekadushi3924
    @doricekadushi3924 4 ปีที่แล้ว +6

    Yan hizi ndo zilikua kwaya kipindi hicho mtu huchoki kusikiliza

  • @innocentandrew7317
    @innocentandrew7317 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa kijana mdogo now nimekuwa mbaba such a great song…

  • @annaanyandwile9530
    @annaanyandwile9530 3 ปีที่แล้ว +6

    It reminds me of 2002, I was in standard one though 😀.. God is good

  • @danielnella6309
    @danielnella6309 3 ปีที่แล้ว +3

    dah..st james parish kaloleni miaka ya 2000...duh...

  • @julynchaila8818
    @julynchaila8818 3 ปีที่แล้ว +4

    Jamani nawapenda nyie watu nyie na huu wimbo aseeeee mbarikiwa kwakweli

  • @carolinejkipruto
    @carolinejkipruto ปีที่แล้ว +1

    Reminds me of my olden golden days. Draws me really close to God.

  • @rayginah3879
    @rayginah3879 4 ปีที่แล้ว +9

    This just reminded me of my childhood. Please upload Tazama Eliya. Bless you

    • @hajratiddy7434
      @hajratiddy7434 4 ปีที่แล้ว +1

      Barikiweni upendo kwaya nawapenda sana by Rehema Gomile from kitunda Anglican Dar es salaam

    • @raphaelmutunga999
      @raphaelmutunga999 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/xILY5outhcQ/w-d-xo.html

    • @bethtrylakinyi5098
      @bethtrylakinyi5098 ปีที่แล้ว

      I loved that song Tazama Eliya

  • @YohanaBariri-ng2sn
    @YohanaBariri-ng2sn 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada kwangu alikuwa ze best

  • @faithmunyole1419
    @faithmunyole1419 ปีที่แล้ว +1

    Am happy to have found this song, it reminds me of good memories when i was still young

  • @8pistons194
    @8pistons194 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka ilikua inapigwa redio sauti ya injili nikiwa darasa la pili today niko 30 years.I love God

  • @thewoo78tz
    @thewoo78tz 3 ปีที่แล้ว +3

    Old is good . Nyimbo nzuri Sana’a

  • @georgenathanael
    @georgenathanael 7 หลายเดือนก่อน

    My all the time favorite song from upendo choir

  • @davidlukumay2226
    @davidlukumay2226 3 ปีที่แล้ว +3

    Inanikumbusha mbali Sana , Mama izi ndizo zilikuwa nyimbo zake mpaka sasa.

  • @alicemwachofi6637
    @alicemwachofi6637 2 ปีที่แล้ว +4

    Listened to this song as a young girl and you can imagine how happy i am finding it here.
    It ministers to me specially. God bless you. Mob love from 🇰🇪

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah those days back when I was young

  • @RuthJoseph-ni4xv
    @RuthJoseph-ni4xv ปีที่แล้ว +1

    When listeni to this song, lazima nifungue kinywa kuiga sauti ya sololist😄😄😄.Mungu awabariki upendo choir

  • @rechomlay5420
    @rechomlay5420 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana nyimbo zenu .nabarikiwa sana

  • @robertsamwel3311
    @robertsamwel3311 2 ปีที่แล้ว +2

    I remember I used to dance the song at my young age now am 24 . I still remember ♥️♥️

    • @jacksonsulle6673
      @jacksonsulle6673 ปีที่แล้ว

      If now your 24yrs you was not dance this song at all,this was below 2thousands.Be Blessed .

  • @nsajigwasaimon3072
    @nsajigwasaimon3072 4 ปีที่แล้ว +5

    Mmenikumbusha mbali Sana na bado nabarikiwa Sana na nyimbo zetu.Nasubiria zingne kama;Tazama Eliya na Asante Sana Bwana

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 2 ปีที่แล้ว

      Dada aliye soro uu wimbo mbona simuoni kwenye nyimbo mpya tumuone akisoro Tena mungu awabariki

  • @user-zq8pv7gi3i
    @user-zq8pv7gi3i ปีที่แล้ว

    Duuuuuuh nilikua form two 99 namkumbuka mbali

  • @dominiquemushy895
    @dominiquemushy895 2 ปีที่แล้ว +3

    Jmn hii kwaya ni ya mwaka 1967 kweli?

  • @anastaciakokinzyimi2675
    @anastaciakokinzyimi2675 4 ปีที่แล้ว +5

    Sweet song.
    A real worship

  • @annekoki8445
    @annekoki8445 3 ปีที่แล้ว +3

    Great song.cant get enough of it.mbarikiwe sana

  • @mlelemafrancis876
    @mlelemafrancis876 ปีที่แล้ว

    Safi safi, huyu solo alitendea haki nyimbo hizi. Naomba mawasiliano yake wapendwa

  • @paulinenafula1067
    @paulinenafula1067 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri mno

  • @chomoezekiel964
    @chomoezekiel964 4 ปีที่แล้ว +2

    Upendo Choir Mbarikiwe saana

  • @douglasonduso9930
    @douglasonduso9930 2 ปีที่แล้ว +1

    I first heard this song when i was in class 2003 but it still sound like its released this minute mungu azidi kutamba milele Amen

  • @lucassaimon2177
    @lucassaimon2177 2 ปีที่แล้ว +1

    mungu naomba uwahifadh watumish hawa

  • @georgelusana2346
    @georgelusana2346 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏shukranii sana kwa alouproad wimbo huuu nakumbka nilkuwa mtoto saba

  • @valeriewafula5172
    @valeriewafula5172 3 ปีที่แล้ว +3

    I used to this when i was a toddler 😂😂I'm 21 proud to say i remember the lyrics 😇

  • @Mosetigichana
    @Mosetigichana 3 ปีที่แล้ว +3

    PLEASE CAN YOU KINDLY UPLOAD' WEWE NI MUNGU WETU' FROM THIS SAME ALBUM. MY BEST CHOIR OF ALL TIME FROM WAY BACK 90s. WHEN I BOUGHT A VIDEO CASSETTE TAPE IN THE STREETS NAIROBI.THE SONG IS ALWAYS A BIG BLESSING TO ME. ASANTE SANA.

  • @jipsonmwallo7887
    @jipsonmwallo7887 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika uwepo wenu unatubaliki sana

  • @IgnasWilson
    @IgnasWilson 5 วันที่ผ่านมา

    Mbarikiwee

  • @timotheourasa
    @timotheourasa ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki waimbaji

  • @emmanueldaudi3797
    @emmanueldaudi3797 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubari sana Upendo kwaya

  • @bethwelyego7941
    @bethwelyego7941 5 หลายเดือนก่อน

    Old school days when we would watch sayare tv ..it was realy a blessing..what a powerful choir.reminds of late mum lovely songs and sis who could immitate that soloist.

  • @viki2805
    @viki2805 หลายเดือนก่อน

    Sayare Reminise

  • @AlexisKabeya01
    @AlexisKabeya01 5 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏🙏

  • @godwinmassawe6137
    @godwinmassawe6137 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awbariki Sanaaa nazipenda sana hizi nyimbo..ongereni Jana nimeona mmezindua toleo lingine..

  • @BenjaminMdoe
    @BenjaminMdoe ปีที่แล้ว

    ❤nawapenda sn upendo Kwaya kitambo sn najumbuka mbali Sana ❤

  • @wakalamsolwa-hd2yo
    @wakalamsolwa-hd2yo ปีที่แล้ว

    Remind me so far

  • @neemamtangi368
    @neemamtangi368 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @pupdates2008
    @pupdates2008 3 หลายเดือนก่อน

    Woow

  • @daudikayinga5701
    @daudikayinga5701 7 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana nisikiapo wimbo huu Eee mwenyezi Mungu uwabariki sana hawa ndugu

  • @sophiamwaipopo3072
    @sophiamwaipopo3072 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana Mungu abariki huduma zenu ziweza uwepo wa Mungu na upako wa kiMungu

  • @noelmotto9994
    @noelmotto9994 4 ปีที่แล้ว +1

    Wp john mtangooop na kati na mzeee mlunga

  • @faithmumbi
    @faithmumbi ปีที่แล้ว

    Here after finding furaha gani has been converted .. Upendo choir keep going. 🙏

  • @boscodavd1817
    @boscodavd1817 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki san hawa waimbaji wa st James nyimbo znagusa san mbarikiwe Sana san

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 3 ปีที่แล้ว

    Wakati HUO inatoka nyimbo hii nolikuwa nimepata ajali mbaya mm na mtoto wangu tulitoka salama nikawa nashinda naangalia mikanda hii ASANTE SANA MUNGU KUNILINDA MM

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤Amen amen ba Binti y’a Buana Yesu

  • @theopistamwayeya1764
    @theopistamwayeya1764 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda!

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe Sana waimbaji wetu mmenifanya nikumbuke mbali sana.

  • @emanuelmoshi7414
    @emanuelmoshi7414 4 ปีที่แล้ว +2

    Awesome

  • @mcmwalimumakena8321
    @mcmwalimumakena8321 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyie ma bwana mdogo bana. Naomba mjieleze kabisaaa mko wapi? Hata kama mmezeeka si msiseme tu? Solo guitar na Bass guitar ndo vepeee sasa. Nina lunch zenu hapa Dsm....

  • @bethtrylakinyi5098
    @bethtrylakinyi5098 ปีที่แล้ว

    I grew up listening to these songs as a child.
    Please upload Tazama Eliya

  • @alexissangali8650
    @alexissangali8650 4 ปีที่แล้ว +3

    UPENDO MNATULET DOWN SANA KWA KWELI WAPENDWA,ULIMWENGU UMEBADIRIKA SANA JARIBUNI KUENDANA NA KASI,TUNAHITAJI TUONE NYIMBO ZENU ZOTE KWENYE YOTUBE,TUMEMIC SANA NYIMBO ZENU

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 ปีที่แล้ว +1

    Huyu lead solo lady ako wapi? Very beautiful singing

    • @anuad6041
      @anuad6041 หลายเดือนก่อน

      youtube.com/@lizzybethmayengoh?si=uaMe3y0d1gzrdIIp

  • @DanielOtieno-jr6rm
    @DanielOtieno-jr6rm ปีที่แล้ว

    Oh i love this song so much

  • @stacyfarah7458
    @stacyfarah7458 9 หลายเดือนก่อน

    Feels good to reminisce on such amazing songs🤗

  • @godygody6258
    @godygody6258 2 ปีที่แล้ว

    Mbalikiwe

  • @octavinaalphonce6898
    @octavinaalphonce6898 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu soloist yupo wapi atakuwa mama sasa

    • @anuad6041
      @anuad6041 หลายเดือนก่อน

      youtube.com/@lizzybethmayengoh?si=uaMe3y0d1gzrdIIp

  • @mlelemafrancis876
    @mlelemafrancis876 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 ปีที่แล้ว +1

    Naomba muupload wimbo unaosema chorus
    Pokea shukurani zetu bwana
    Kwasababu wewe pekee yako
    Ndio unastahili kuabudiwa
    Pamoja na kwamba tulikutenda dhambi
    Lakini bado ukamtuma mwana wako
    Aje kutukomboa