That solo guitarist, entire band, the lead and the choir - all on point. My childhood was spent humming to these tunes. A big thanks to TZ for upholding the Christian faith through gospel music and to my dad for getting this DVD back in the day - you did us a solid one sir😊
Thia casette was bought while i was in primary school by my mum. Discussing how to listen to it aa it got ruined , decided to checknif it was converted to youtube.. Thank God for the individuals who thought about us and my mum has felt so happy. May thos ministry continue. May the Church be restored. 🙏🙏🙏
Aisee yani nipo naye karibu muda mrefu ktk mazingira ya kazi lkn sikujua kama ni yeye,leo ndyo nimegundua nimefurahi sana,na ana ulbum yake ameitoa miaka ya hivi karibuni…nitakutumia nikitoka kabisani.
@@mlelemafrancis876yupo anaishi Sinza na familia yake. bado anamtumikia mungu kwa uimbaji. kuna wimbo wake mpya katoa. hakika huu wimbo roho mtakatifu alimtumia sana
Waooooooooh!nimeutafuta huu wimbo huu muda mrefu hatimaye leo nimeupata❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hats Mimi yaani siamini macho yangu nilikuwaga nausikia tu redio uzima enzi hizoo☺☺☺
Wow ,Moja ya kwanya Makini sanaaa za Zamani
Huo wimbo ulikuwa ukisikiliza hadi machozi yanatoka
Moja kati ya nyimbo yangu pendwaa...What a song 😍😘 inanikumbusha mbali sanaa..
this music makes me feel Jesus is close, i started listening to them 2003, hope st james bado mko na baraka hizi ,
Muda unapita lakn maneno ya Mungu yatadumu milele.Ni wakati wa kuwa tayari Sasa kumngojea Yesu Kristo.
My childhood was nothing but a blessing because of such songs. Good old days. Am so grateful.
I have been looking for this song for so long. Thanks for uploading
be blessed
Today in 2021 bado ujumbe ni mpya kbsa
Miss the days we wud watch this beautiful touching song when sayare tv was launched.old times sweet times .God bless you
We are in the same page bro, Bishop Eli Rop
You must be my age mate. The only station we would be allowed to watch was sayare Tv
My Dad bought us this video cassette while I was so young,I have been searching for this masterpiece all over only to find it now 2021, blessed
2002 its very long time agoo
same here in kenya
same here in kenya
Watching in 2024....the warning is powerful..scoffers be aware...
Nakumbuka mbali sana miaka hiyo .Mungu awabariki sana.
Mungu awabariki nyote,abariki kazi ya mikono yenu
Jamn nakumbuka mbali sana katika maisha yangu mungu awabariki sana azidi kuwainua zaidi na zaidi
That solo guitarist, entire band, the lead and the choir - all on point. My childhood was spent humming to these tunes. A big thanks to TZ for upholding the Christian faith through gospel music and to my dad for getting this DVD back in the day - you did us a solid one sir😊
These are the songs which make you think about heaven nothing else.
Wimbo,mzuri kwa kizazi chetu
Dah nimekumbuka mbali sana mungu awabariki nimejisikia kububujika machozi
Me too dear
leo nimeupata my favorite song
Kwaya ninayoipenda sana kwa sasa.wako wapi hawa watumishi wa mungu?
Thia casette was bought while i was in primary school by my mum. Discussing how to listen to it aa it got ruined , decided to checknif it was converted to youtube.. Thank God for the individuals who thought about us and my mum has felt so happy. May thos ministry continue. May the Church be restored. 🙏🙏🙏
Waaah these songs remind me of my childhood
This songs makes me see myself going and sitted to heaven,they make me so spiritual
Nimelia Sana kukumbuka zamani 2005 asante sana kwa wimbo huu
Feeling the same
Great work St James
Daah huwa Nina sisimuka sana nikisikiliza hizi nyimbo aise
Nzuri sana mbarikiwa sana na bwana
Wimbo mzuri sana
Jamani huyu dada yupo wapi dada hivi alifanya watu wengi kulia katika wimbo huu
Huyu soloist anaitwa nani na yupo wapi ❤❤❤
Aisee yani nipo naye karibu muda mrefu ktk mazingira ya kazi lkn sikujua kama ni yeye,leo ndyo nimegundua nimefurahi sana,na ana ulbum yake ameitoa miaka ya hivi karibuni…nitakutumia nikitoka kabisani.
Anaitwa dada Elizabeth Mazengo,kama sikosei
Nikisikiliza huu wimbo nakumbuka mbali kipindi Niko mdogo mama alikuwa anapenda kuangalia hi kwaya
Wale tunaendelea kufurahia huu wimbo tunyooshe mikono juu😜😜👆👆
Vipawa vyenu vitaishi milele
Hii nyimbo inanikumbusha mbali Sana Mbarikiwe sana wapendwa.
Kwaya zuri sana huu wimbo naukubali sana
Bumbed into this song miraculously ❤❤❤❤❤. Thanks God 🎉🎉🎉
ninawaombea maisha mema ya umilele
Amen Barikiwa
Nakumbuka enzi hizo
Kumbukumbu adhimu sana zanikumbusha mengi....my old church
Memories 😢
Mlichelewa wapendwa nendeni na kasi kama tumaini tupieni vibao jumbe kama mwl leye vibao kea kasi
hii kwaya ambayo tangu utoton mpaka leo naimba neno kwa neno...daah mpaka nimtoa machoz
Tafadhari mnge aplod album nzima hizi nyimbo zilkuwa nzuri sn
Naposikia hiii nakumiss dad ulkuwa unaipenda sana hiiii
Mungu awabariki sana muendeleze huduma hii
Time travelling in it 💯💯.
Amen, nmekumbuka miaka ya 1998/99 nkiwa mtt nlikua naenda kuangalia kwa jirani
Asante Sana nilikuwa naitafuta Sana hii kwaya
Hallelujah hii wimbo unanitoa machozi kwa akika
Ahsante MUNGU ...
Wapendwa Mungu awabarikisana kwa sauti nzuri na nyororo hasa kwa zamazetu za kutuhimiza kwasafari ya kwenda Mbingu.
Mungu awabariki sana watumishi
Huyu sololist amekua bonge now
alichukua unene wa mama yake. familia ya mchungaji mayengo hii. Mungu awatunze sana
Nyimbo zangu 🥰🥰🥰
I like the song since I was young ❤️
Feeling Blessed
2022 nikikumbuka utotoni 1998 nikitizama kwa baba mdogo
Keep up the good Work God Bless you All🙏🏿🙏🏿
Nilijifunza kupiga gitaa kwa kufuatisha hii Kwaya.....and ilikuwa inatikisa sana. Sebulen kwetu pale
Napenda huu wimbo, kwa kuwa una ujumbe wa kweli kwa kila MTU. Nilikuwa na kanda yake zama hizo. Upako mwingi sana unao.
Vizur san
Nikumbuka sn kanda hii.
Mungu ni mwema
Ulivosema kanda ndo umenifanya nikumbuke mbali zaidi😂😂
Good song. Blessed all
Ce chant me rappelle beaucoup des choses
Perfect song, God bless you all.
Utunzi mzuri sana Mungu awabariki Watumishi wake. Hivi hii Kwaya inaendeleaje?
Ni kma stori hivi,lakini hii SIKU ipo
Sijui hawa waimbaji bado wapo wote?,waliujua wito wao hawa watu tobe honest
How can I get all the songs on this album
1996
Nema gosp
Mungu awabarki sana,☑️
Jamani huyu dada yuko wapi, aliutendea haki uhusika wake kwenye wimbo huu
@@mlelemafrancis876yupo anaishi Sinza na familia yake. bado anamtumikia mungu kwa uimbaji. kuna wimbo wake mpya katoa. hakika huu wimbo roho mtakatifu alimtumia sana