- 29
- 656 662
UPENDO CHOIR ST.JAMES ARUSHA OFFICIAL
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 26 ก.พ. 2018
UPENDO CHOIR ST.JAMES OFFICIAL
Anglican Church.
Arusha, Tanzania.
Since 1967
"Sisi tunamuhubiri Kristo aliyesulubiwa"
📀Furaha gani.
📀Ndugu zangu.
New 📀comming soon. kwa huduma tunapatikana +255 786 653 892
Anglican Church.
Arusha, Tanzania.
Since 1967
"Sisi tunamuhubiri Kristo aliyesulubiwa"
📀Furaha gani.
📀Ndugu zangu.
New 📀comming soon. kwa huduma tunapatikana +255 786 653 892
Mtu na atuhesabu hivi - live Arusha on Knees
Mtu na atuhesabu hivi - live Arusha on Knees
มุมมอง: 1 194
วีดีโอ
UPENDO CHOIR - KITABU (Official music Video)
มุมมอง 7Kปีที่แล้ว
UPENDO CHOIR - KITABU (Official music Video)
Upendo Choir - Hata Wajenzi (Official Video)
มุมมอง 13K2 ปีที่แล้ว
UPENDO CHOIR ST.JAMES OFFICIAL Anglican Church, Arusha, Tanzania Since 1967 "Sisi tunamuhubiri Kristo aliyesulubiwa na kufufuka"
UPENDO CHOIR- TUKILITAZAMIA(OFFICIAL)
มุมมอง 7K2 ปีที่แล้ว
UPENDO CHOIR ST. JAMES OFFICIAL Anglican Church. Arusha, Tanzania. Since 1967 "Sisi tunamuhubiri Kristo aliyesulubiwa na kufufuka"
UPENDO CHOIR - HAYA NI MAONO (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 30K2 ปีที่แล้ว
UPENDO CHOIR - HAYA NI MAONO (OFFICIAL VIDEO)
UPENDO CHOIR - BASI NINYI MSIHUKUMU (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 20K2 ปีที่แล้ว
UPENDO CHOIR - BASI NINYI MSIHUKUMU (OFFICIAL VIDEO)
NDANI YA SAFARI - UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH KALOLENI ARUSHA
มุมมอง 12K3 ปีที่แล้ว
NDANI YA SAFARI - UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH KALOLENI ARUSHA
NAMI NALISEMA- UPENDO CHOIR ST.JAMES KALOLENI ARUSHA
มุมมอง 21K4 ปีที่แล้ว
NAMI NALISEMA- UPENDO CHOIR ST.JAMES KALOLENI ARUSHA
AMKA WEWE-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH KALOLENI ARUSHA
มุมมอง 24K4 ปีที่แล้ว
AMKA WEWE-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH KALOLENI ARUSHA
SISI TUMETENDA DHAMBI-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLIKAN CHURCH KALOLEN ARUSHA
มุมมอง 14K4 ปีที่แล้ว
SISI TUMETENDA DHAMBI-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLIKAN CHURCH KALOLEN ARUSHA
Mungu mwenye enzi-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH KALOLENI ARUSHA.
มุมมอง 17K4 ปีที่แล้ว
Mungu mwenye enzi-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH KALOLENI ARUSHA.
ASANTE SANA-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
มุมมอง 84K4 ปีที่แล้ว
ASANTE SANA-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
OLE WAO SIKU ILE -UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
มุมมอง 119K4 ปีที่แล้ว
OLE WAO SIKU ILE -UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
MKUMBUKE MUUMBA WAKO-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
มุมมอง 25K4 ปีที่แล้ว
MKUMBUKE MUUMBA WAKO-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
ROHO YANGU IRADHI-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
มุมมอง 148K4 ปีที่แล้ว
ROHO YANGU IRADHI-UPENDO CHOIR ST.JAMES ANGLICAN CHURCH ARUSHA
MAANDAMANO YA MIAKA 50 UPENDO CHOIR ARUSHA
มุมมอง 1.7K6 ปีที่แล้ว
MAANDAMANO YA MIAKA 50 UPENDO CHOIR ARUSHA
Nilikuwa mwinjilisti wa KKKT usharika wa Makongolosi mtaa wa Saza Nakumbuka nyimbo hizi zilinifariji sana Nakumbuka nilipoteza mwanangu wa tatu kwa kukosa usafiri wa kwenda km26 Maralia yaliondoka na mwanangu😭😭😭😭
2025😂
Napenda Sana nyimbo zenu, mnanikumbusha mbali Sana, utukufu Kwa Mungu juu.
2025 ❤bado naupenda huu wimbo
❤ pokeeni baraka zetu toka Kenya 🇰🇪. Uimbaji wa kitaalamu kabisa. Sincere love to you all
Jamani huyu dada yupo wapi dada hivi alifanya watu wengi kulia katika wimbo huu
It is 24 /12/2024 am here
❤❤❤
10/10
The best Choir ever! Nawapenda sana!
Nasipenda hisi nyimbo ,yenye sichapata saulo mbona wanitesa
Very powerful ❤
Dec 2024
So lovely songs .enjoyed days when sayare and bhb were launched..God bless you choir ..
Memories 😢
One word: Nostalgia ❤
Moja kati ya nyimbo yangu pendwaa...What a song 😍😘 inanikumbusha mbali sanaa..
Amen
Tunakuomba baba tuishi maisha safi ili utukumbuke katika ufalme wako
Nawapenda sana nyimbo zenu zinanibariki sana
Mama yangu alikuwa anapenda sana kusikiliza hizi Nyimbo siku za Jumapili akitoka kanisani. Endelea kupumzika kwa Amani ❤️
Mungu anapendeza Kuimbwa, Anapendeza Kusifu! Mungu anajishughulisha Na Mambo yetu❤❤❤, Atujalie tuishi Maisha safi Ili atukumbuke katika ufalme wake❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Great work St James
Good work St James 👏
Me being here 2024 ❤️❤️❤️
Childhood song, always evokes fond memories 😊
Amen Amen
Hallelujah 🙌. Mbarikiwe sana St James Kaloleni. Master piece kali sana
nakumbuka mbali sana tulienda arusha 203, namkumbuka manase enock nawapenda sana
Amen, nice choir , be blessed in Christ, watching from Mombasa, ..
Amen, be blessed in Christ, watching from Kenya
Amen barikiw sana
Moja ya nyimbo kila dakika naisikiliza siishiwi hamu yakusikiluza yaani unahisi ndio Yesu anakuja❤❤❤❤
Mubarikiwe Sana
Mungu awabariki sana
Mbarikiwe
🙏👏❤❤🙏
Wimbo mzuri 🎉🎉🎉🎉
Mimi natokea Kenya ,.. Mombasa, ....babangu alioa Mama wakitanzia, ..(Mamangu mkubwa)..akazaa watoto 4...ni kitambo kidogo miaka hiyo ya 1970's....Babangu anaitwa Killian Kingi Mramba,....aliishi Arusha, ndio akaoa huku,...He was an Anglican church Chior,......Natafuta hawa ndugu zangu mko wapi...???...na mama mkubwa.??😢😢😢
Amen, ..nice song mubarikiwe sana,.....
Ni upako mubarikiwe
Amen 🙏🙏🙏
Mbarikiwee
leo nimeupata my favorite song
Enzi hizo ujumbe mzuri sana
Huu wimbo wanikumbusha mbali sana...😢😢
These songs give me 😢
Sayare Reminise
Mbarikiweee na bwanaaa yesuuu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ameeeeeeen
Leteni vibao kama hivi ila ssuti inakoloma lekebisheni hii flash wimbo unakoloma sana