I had brain surgery last week taking all of my right hearing. Going deaf on left. I'm offering this for 3 reasons 1) vocations to Passionist Nuns, 2) Church in Africa, 3) a personal intention. Praise God in His wisdom. I played cornet and French horn. Now cannot. This too is offered for the same intentions. So brothers and sisters in Jesus, pray God accepts this poor gift.
Nothing good in this life other than your health no sickness in your family ,no matter what small you have you never beg ,you miss lunch but God provides super, you don't have money but nobody becomes sick , with such music only you say glory be to God 🙏
Brain Surgery November 7, 2024 went so well they sent me home the next day! I count everyone's prayers for this. May God bless one of you and all you love in the most special ways you need. Thank you.
Yaani, hii ndio maana ya mziki mtakatifu ndani ya uinjilishaji! Hongereni sana WanaMelodic👏, mmetia fora kweli... utunzi bomba, ujumbe mzuri na uimbaji wa kipekee. Tegemeo letu ni Yesu🙏
Sauti nzuri ,mmebarikiwa , kwa hakika Jeuri yetu ni katika Kristu Tumaini letu milele katika uhai huu na ule wa milele . Hongera ❤ nyinyi ni wa Nguvu katika Kristu .
Hakika huu wimbo unanibariki sana tena sana, uimbaji wenu nauchezaji pia ♥️♥️ Kwakweli mko vizuri 🌺🌹🥀 MBARIKIWE SANA. ✝️CATHOLIC JUU.💪💪 Wapewe tena maua yao 🌺🌹💐🪷🏵️🌸🙏
My mother loved this song so much , would wake up to her voice singing this beautiful song. She sang from the bottom of her heart and you could tell that she meant everything word of it. My dear mum continue resting in peace 🙏🏽 Keep us in your prayers fellow believers.
that brown brother,,,,,,wueeeh, his voice needs to be entered in the guinnes book of records. brother mwenye amekonda,,, na yule wa kunona,,, they are quite a vibe 🤣🤣 To all of you,,,, i do not know what to say, only God knows. lots of love all the way from Kenya.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤jamani jamani nausikiliza hu Wimbo mpaka nahisi nakuwa kichaa vibe kama looote kaka laurenc wew mungu akuweke daima sitaman kukosa wimbo wako haha mmoja daah catholic haha sana😅😅❤❤❤❤❤
Mimi mtunzi wa nyimbo sana ila sijapata yeyote wa kunikubali......you are my favourite...Acha nibaki na utunzi wangu tu ...... so much love from ME, kenyan.
I had brain surgery last week taking all of my right hearing. Going deaf on left. I'm offering this for 3 reasons 1) vocations to Passionist Nuns, 2) Church in Africa, 3) a personal intention. Praise God in His wisdom. I played cornet and French horn. Now cannot. This too is offered for the same intentions. So brothers and sisters in Jesus, pray God accepts this poor gift.
Quick recovery n for sure we pray for God to accept our petitions
Sorry, I wish you quick recovery, may God grant you divine healing
May it happen according to al God's will
Quick recovery to you and may God accept our petitions. Thank you for your support
Qr to you and your wish is noted
Nabarikiwa sana kwa wimbo mzuriiii kutoka kwenu 🙏🙏
Ndugu zetu wa nairobi kazi nzuri. inua pendera ya Yesu katika uimbaji
amen
Nothing good in this life other than your health no sickness in your family ,no matter what small you have you never beg ,you miss lunch but God provides super, you don't have money but nobody becomes sick , with such music only you say glory be to God 🙏
Road to 1 million viewers ❤ kama Mungu anakupa jeuri ya maisha tukutane hapa🤗🤗🤗❤
Amina dada
Wow wow wow ....thanks rose kwa kututabiria na kutuombea hayo ....Mola na afanikishe ombi hili
Amina . Already mmefika 1 million viewers 🎉🎉🎉🎉Mungu na awaongezee neema ya uimbaji🙏@@josephmathendu3830
Amina we are now 2 million viewers...May God bless this work@@josephmathendu3830
Wow a nyc one
I'm watching from Kenya, congratulations,I like this choir, Mungu awabariki sana Sana sana
Sio kwamba ninaringa kwa sababu nina kila kitu, ni Mungu wangu anipaye jeuri ya maisha dio maana❤❤❤. Mbarikiwe sana🙏
Be blessed too
Amina
Amina 🙏🙏
Haleluya kuu
Nyimbo zinu n Tamu Sana👏👏👏👏
Hakika jeuri langu ni yesu❤🙏🙏
Nice song mungu pekoe ndo anatosha
Nawatakia Kila heri njema kwa utunzi wenu....nyimbo zenu za pendeza
Mungu kweli ushukuriwe Upewe sifaa🙏🙏🙏🙏😍😍am in love wz the song
Usione nmekondaa🤣🤣🤣🤣 nice hongereni sana
Mungu anitosha jameni❤❤❤
Thenks so much wimbo mzuri sana nimeupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu awatie nguvu ❤❤❤❤❤
Brain Surgery November 7, 2024 went so well they sent me home the next day! I count everyone's prayers for this. May God bless one of you and all you love in the most special ways you need. Thank you.
Jeuri yangu ni Bwana Yesu ndie anipaye nguvu ❤❤
Here again ❤❤❤🎉🎉🎉
Kama unaringa kwa sababu ya mungu tukutane kwenye like comment
Ahsanteni kwa wimbo mtamu🙏🏼💞🙏🏼Mm naringa kwa kuwa Ninaye Kristo
Barikiweni kwa wimbo mzuri...
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉wimbo mzuri sana jamn hngereni sana paskalina leopoldi uje hapa uone wimbooo❤❤❤❤❤❤❤
Heavenly hymns ❤ from Nairobi Kenya 🇰🇪 enjoying your songs 🎵
Yaani, hii ndio maana ya mziki mtakatifu ndani ya uinjilishaji! Hongereni sana WanaMelodic👏, mmetia fora kweli... utunzi bomba, ujumbe mzuri na uimbaji wa kipekee. Tegemeo letu ni Yesu🙏
Asante sana mkuu
Shukran Sana. Thank you for your support
Tunashukuru ndugu Esafu
❤
I can't get enough of this...jeuri yangu ni bwana Yesu anipaye nguvu🙏🙏🙏
Well done ndugu kameja your songs are so sweet ❤❤❤
Kazi nzuri mkuu wa kwaya 🎉🎉🎉mr Lawrence God bless you❤
Sio kwamba nina ringa kwa sababu ninavyo vyote bali ni Mungu wangu anipaye jeuri ya maisha❤️🥹
Ringa juu uko hai kaka/dada juu haya maisha hayataki makasiriko,niko hapa Kenya nawasikiliza❤❤
Wimbo huu una ujumbe mzuri,
Wa kujipa matumaini wakati hali sio nzuri,na kumtumainia Mungu wakati wowote.👏👏👏
Naipenda sana hii nyimbo jmn niombeeni nikaimbe kwaya❤❤❤
Wonderful dear one's good work 👍👍👍🙏🙏🙏
"#jeuri yangu ni Bwana Yesu ndiye anipaye nguvu " means alot
I love the song ,wow very educative song ,be blessed all 🙏🙏
Good work❤Mungu awatunze daima Kaka Lawrence na kundi lako
Thank you Jesus Christ for the gift of life and of this wonderful Choir 🎉🎉🎉
Sauti nzuri ,mmebarikiwa , kwa hakika Jeuri yetu ni katika Kristu Tumaini letu milele katika uhai huu na ule wa milele . Hongera ❤ nyinyi ni wa Nguvu katika Kristu .
Hongereni sana wumbo mzuri sana mbarikuwe, hakika jeuri yangu ni bwana Yesu
Naona mnitafutie bwana kutoka TZ ❤❤na iwe harusi kutoka hii kanisa,am vipi😂😂
Ilikuwa kwa kukonda mtuekee mfano kamili na pia kunenepa? So creative though 😅😅😅😅
Hahaaa
🤣🤣🤣🤣
True story 😂😂😂😂😂😅
❤❤❤ sijawah kuchoka kuusikiliza huu wimbo, mbarikiwe kwa kazi nzur sana.
Wimbo ni mzuri sana unapendeza 🎉 Keep on keeping on 💯
Hakika huu wimbo unanibariki sana tena sana, uimbaji wenu nauchezaji pia ♥️♥️
Kwakweli mko vizuri 🌺🌹🥀
MBARIKIWE SANA. ✝️CATHOLIC JUU.💪💪
Wapewe tena maua yao 🌺🌹💐🪷🏵️🌸🙏
Nimeenda hii wimbo sanaaa ❤❤❤❤❤❤
Tunashukuru
Ni kama vile mtunzi alikua na mawazo yanguu 🎉,nice work hapo kwenye ujumbe💯
Mungu atosha wapendwa❤❤
Kameja mwenyewe I like your music 🙏🙏🙏🙏🙏Mungu akubariki
My mother loved this song so much , would wake up to her voice singing this beautiful song. She sang from the bottom of her heart and you could tell that she meant everything word of it. My dear mum continue resting in peace 🙏🏽
Keep us in your prayers fellow believers.
❤may her soul rip ❤
Wow very nice song congratulations kweli ni mungu tu anatosha💃💃💃💞💞💝
Amen 🙌🙏
Nimebalikiwa Sana mungu awepe nguvu siku zote katika maisha❤
Kazi nzuri Sana 🤗🫶 Jeuri yangu ni Bwana Yesu Ndiye Anipaye nguvu 👌👌💪💪
Asante sana. Be blessed
Aminaaaaa❤❤❤❤ hongereni ...sanaaa
Kameja never disappoints❤❤❤🎼🎼🎼💯💯💯🤝🏼
Together with Ray 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉 Giving me strength.. knowing that Christ is there for us.
that brown brother,,,,,,wueeeh, his voice needs to be entered in the guinnes book of records. brother mwenye amekonda,,, na yule wa kunona,,, they are quite a vibe
🤣🤣
To all of you,,,, i do not know what to say, only God knows. lots of love all the way from Kenya.
Thanks stellamaris
😂😂😂aliyenona............u made my day jamani😅
Waah,moyo wacha kiherehere nilikuwa nataka kuongea kuhusu dressing cord but moyo wangu sukuma damu😂😂😂😂,,,much love my brothers and sisters..Amen❤❤❤
Hongera sana our own. May God see u through
Amen
My sister brought me this side 🎉🎉🎉🎉🎉
My favorite song ever ❤be blessed my good people 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼
Amen Amen Amen bwana awabariki wote.Nime barikiwa na wimbo huu
Kweli kabisa. Mungu anatosha. Tuendelee kumtumainia ❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤ hii nyimbo naipenda sana maana inanibariki sana. Mbarikiwa sana jaman
Wow my favorite song yanikumbusha nilivyo batizwa 2007 our lady of Guadalupe parish congratulations mungu
Awbariki azidi kuwapa kipaji zaidi ❤❤❤
Woooohhh!!!!!!hongereni sana🎉🎉🎉❤❤
Awesome....Ni Neema....Neema ya Mungu yanitosha.
Thank you 🙏
Ooh my!!!!!! Can't get enough of it, sina Kila kitu ni Mungu amenitosha. ❤❤❤❤
mm ni mwana choir lakini Io music yenu yapedeza na nitamu sana❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤jamani jamani nausikiliza hu Wimbo mpaka nahisi nakuwa kichaa vibe kama looote kaka laurenc wew mungu akuweke daima sitaman kukosa wimbo wako haha mmoja daah catholic haha sana😅😅❤❤❤❤❤
Moyò wangu na umuhimidi bwana huu wimbo unanitendea neema hakika jeuri yangu ibaki kuwa ni bwana yesù milele🎉
❤❤❤❤
Nice song❤ Bwana Yesu ndiye anipae nguvu 🙏🙏
I can see Victor in this choir. Weldon victor and to all the members ❤❤❤❤
Bwana Lawrence kameja Gods blessings ,sauti mungu aendelee kuzipea guvu ,combine ii wimbo na moyo wacha kiherehere
Wimbo mtamu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
🔄🔄🔄🔄🔄🔄Replay.
It's an amazing song. 🔊🎺🎺🎺Ah!
Best song ever❤ yanitia nguvu kila siku
Nice voices,,we were given voices to sing and praise God
Je vous suis depuis RDC 🇨🇩 nous vous aimons beaucoup que Dieu vous bénisse abondamment
A very sweet song sung with melodious voices.Congratulations Kameja.
Sio kwamba naringa Kwa sababu nina vyovyote ni mungu wangu anipaye jeuri ya maisha ndiyo maana❤❤....wow!
Yesu ni zaidi ya kila kitu asante Mwokozi wangu kwa neema zako
Thank you 🙏
Amina
Muungu awabariiki woote mlioshiriki kutupa chakula cha kiroho amen.❤
kazi saafi saana hongereni👏👏💪
Mimi ni lnnocent wa Rwanda Kigali nafurahi sana. Mubarikiwe
❤❤
Mungu awape wepesi ktk yote.
Mbarikiwe sana wimbo umenipendeza❤❤❤
Shukran na ubarikiwe zaidi
Unalala na kuamka katikati ya usiku kuskiza huu wimbo.... Kazi nzuri wenzetu. Injili isonge
Wow so humbled....shukrani kwake Rabuka
Amina
Watching for the first time 😍
Kazi safi hapa maridadi kabisa 🥰
Hongera sana Melodic Chorale, Khakstudio,Buga production 🎉
Asante sana
I love to listen this whenever I feel I'm down😊
Mimi mtunzi wa nyimbo sana ila sijapata yeyote wa kunikubali......you are my favourite...Acha nibaki na utunzi wangu tu ...... so much love from ME, kenyan.
To support yua talent just do it at yua church wakipata arts zako zko sawa utashtukia ukitafutwa just start from home
Holy Mary mother 👩 of God bless 🙌 our family ❤
Another one and best one from one and only Mr Lawrence kameja..kongole sana mwalimu
Wow 💃💃💃💃I like the song blessing me every moment 🙏🙏🙏🙏
Jesus Christ no one like king of kings I like Catholic song's ❤❤
Mungu awabariki sana. Kazi nzuri❤
This is song so sweet...mbarikiwe sana.
Leah ,Leah .. thanks dear
Thanks for sharing!
Mbarikiweni sana.Wimbo huu unatuhimiza kwa kweli.
Any song i see name Lawrence Kamenja and Ray Ufunguo it has to be lit...May God bless you abundantly as you preach world of God through songs...
For me anything I see Ray Ufunguo na Kalenda I have to listen to it😂
This is incredible 💞😍 we thank God 🙏
Sijui niseme nini...asante Mungu wangu.so beautifuly sang.
Thank you
Much blessed that part of jeuri yangu ni yesu anipaye maisha. Nina furaha na amani kwa kuwa ni mungu ananitosha.