Hizi ndizo nyimbo za injiri unasikiliza unahisi uwepo wa Mungu, sikuiz unasikiliza wimbo wa injiri tafkiri unasikiliza bongo fleva na wanajitahidi sana kufanana na wanamziki wa kidunia. Mungu atusaidia
Kuna wimbo naomba mueke. Chorus yake Pokes shukurani zetu Baba Kwa sababu wewe pekee yako Ndio unastahili kuabuduwa Pamoja na kwamba tulikutenda dhambi Lakini bado ukamtuma means Wako pekee aje kutukomboa
Miongoni mwa Choir ambayo ilibariki sana enzi hizo chini ya Mch. Marehemu Elisha Mtangoo
2024 Yesu ni mwema.
..nimeukumbuka utoto wangu miaka hiyooo.. ahsante sana 😭
2022 Ndugu Njia ni Yesu…. Ameeen. Mob love from 🇰🇪
Hizi ndizo nyimbo za injiri unasikiliza unahisi uwepo wa Mungu, sikuiz unasikiliza wimbo wa injiri tafkiri unasikiliza bongo fleva na wanajitahidi sana kufanana na wanamziki wa kidunia. Mungu atusaidia
This song reminds me those days when gospel music was real and true... Loving this all through
Mungu aendelee kuwalinda jeshi la Yesu mnanikumbusha mbali Sanaa nilikuwa nawaangalia kupita Tv ya jirani..mnanibariki sana
thanks so much for making our childhood awersome. in deed those were the days 🙏🙏🙏🙏 2022 and still listening
The best choir,full of love and unity.so powerful
Nautamani saaaana ule HAYA NI MAONO
Hata pia nimeitafuta sana....
Nimekumbushwa Jana yangu ,,.walifanya nijue maana ya choir,,,thank you and God bless you
Nimetafuta this song for so many years,inanikumbusha nikiwa primary,jioni nikitoka shule,so sweet and educative, When Gospel was Gospel
Nyimbo nzuri sana,imenikumbusha ujana wangu,
Old good days 2002
Yaani nabarikiwa sana na nyimbo zenu.
Still watching 2020 nakumbuka mbali sana hizi songs
Saaana aisee marehemu mama alikuwa anaipnda sana
Enzi hizo ujumbe mzuri sana
These songs give me 😢
2023 still listening to this song🤩🥰
Hellow 2021/01/01 baraka Tosha.
2023 listening
Kanda yangu ya kwanza hii enzi za 2003 natumai
Ninaposikiliza nyimbo hiz nabarikiwa sana hongelen sana huu ndio uinjilist mungu awakumbuke wapendwa
asante sana mtumishi na Mungu aendelee kukubariki na usiache kutuombea
Upendo choir naomba kusikia nyimbo zenu mpya mwanimbaliki kweli.
Yes 😂😂😂chukua maua yenu❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huu wimbo ndo kabisa ulikuwa pendwa na Marehemu mama yangu
2023 hadi machozi yananitoka...
Mb best song❤
2022 Mungu ni Mwema sana, Upendo Choir- St James Anglican Kaloleni Arusha🙏🔥
Nyimbo tamu
Da nyimbo za zamani zilikuwa ba upako barikiwa sana
Old is gold
kazi njema
❤❤ Good job
Mbarikiwe sana
Krismas RIp mama
Mbarikiwe sana wapendwa Nyimbo zinanikumbusha mbali kiukweli 🙏
Mungu akubariki sana na endelea kutuombea
Woóoowww
Nakumbuka mbaliii 😀 kweli teknolojia Ina faida zake 🤭
Mungu mwema aisimamie huduma yenu
Hakika yakale ni dhabu tunatoka mbali
Ndege kubwa zilikuwepo kitambo Boeing 😂 ila tuliona kawaida siku hizi Boeing imekuwa na maajabu utadhani miaka nyuma nchi haikuwa na ndege
Amina ,Hakika Yesu raha tosha.
Was in class 6
Amen... The song was so nice and still it is.
Mungu azidi kuinua huduma yenu.
Kwakweli Cha kale nidhahabu
Kuna wimbo naomba mueke. Chorus yake
Pokes shukurani zetu Baba
Kwa sababu wewe pekee yako
Ndio unastahili kuabuduwa
Pamoja na kwamba tulikutenda dhambi
Lakini bado ukamtuma means
Wako pekee aje kutukomboa
❤️