MWILI WA MAMA ALIYEUAWA NA BINTI YAKE ULIVYOPATIKANA BAADA YA MWAKA, M/KITI AFUNGUKA A - Z...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว +50

    Mtihani M'MUNGU Atusaidie. Maadili Yameondoka Imani Zimepungua Tamaa Zimeshika Hatamu. Nikhatari Sana MOLA Atuhifadhi.

  • @fatmahchambo3131
    @fatmahchambo3131 2 ปีที่แล้ว +56

    Dah sijui niandike nini jamani, Allah tujalie mwisho mwema

  • @bernadethajoseph4818
    @bernadethajoseph4818 2 ปีที่แล้ว +15

    Mungu ailaze roho ya Patricia mahali pema mbinguni watoto wetu wanataka mali tu ibinadamu haupo tena Mungu atusaidie

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว +36

    Jamqn kuua mzaz 😢😢😢😢
    Watu wana roho ngumu Sana
    Mungu Ninusuru hiii laana yaraby

    • @zunirasalim7660
      @zunirasalim7660 2 ปีที่แล้ว +1

      Amiiin wallahi mthihani mamako mzazi wamfanya ivyo je wa mwenzako

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 ปีที่แล้ว +7

    Nawapongeza viongozi na wananchi wa eneo hilo .mungu tusimamie tamaa zimetuzidi

  • @zunirasalim7660
    @zunirasalim7660 2 ปีที่แล้ว +26

    Mama kakubeba miezi tisa kakuza kwa uchungu kakunyonyesha miaka mbili au zaidi YA ALLAH TUPE MWISHO MWEMA😭😭

    • @cathlyeenjimmy1051
      @cathlyeenjimmy1051 2 ปีที่แล้ว

      Hii dunia tunapoelekea eeh!! Mwenyezi MUNGU uturehemu duuh!!

    • @laurenceuvambe8948
      @laurenceuvambe8948 2 ปีที่แล้ว

      Nikwel dunia imisha jaman du

    • @laurenceuvambe8948
      @laurenceuvambe8948 2 ปีที่แล้ว

      @@cathlyeenjimmy1051 kwel dunia inaelekes mwishon

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 2 ปีที่แล้ว +20

    Kwakweli mama ni mtu muhim sana katika maisha ya dunia na akhera, hata awe mbaya vip au awe na Tania mbaya vip usifikie atua ya kumuuua bora akuue wewe ambaye ni mtoto wake kuliko wewe mtoto kumuuua mama

    • @agnesbiswalo1593
      @agnesbiswalo1593 2 ปีที่แล้ว +3

      Mama kumuua mtoto Haina ubora wowote.

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 2 ปีที่แล้ว +1

      Mzee umepata likes nyingi mpk nmepata wasiwasi, coz ya huo mtazamo wako wa bora mzazi akuue wewe. Sisi ndio wazazi wa sasa au kesho, hiyo inamaanisha tunajihalalishia kupiga panga watoto wetu.

    • @krizofrancisco1287
      @krizofrancisco1287 2 ปีที่แล้ว

      Hata baba ni muhimu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +39

    Majilani na viongozi ongeleni Sana kwaupelelezi dam ya mama ilikuainamtafutamtoto Mungu Kamuumbua daaa mtoto anarohombaya huyo

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 2 ปีที่แล้ว +22

    Ni heri ya Ngamia kupita kwenye Tundu la sindano kulikoni tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mwenyezi Mungu.

  • @sabrinaurio365
    @sabrinaurio365 2 ปีที่แล้ว +2

    hongereni sana serikali ya mtaa,damu ya mama ilikuwa ikilia kutafuta haki,RIP mama

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 2 ปีที่แล้ว +27

    Ila hivi vifo vina historia yake yani mama kabisa wachawi acheni kuroga familya za watu yani binti apate ujasiri huo tena kwa mama kabisa pole binti mi najua siyo akili yako

    • @Mamkubwa
      @Mamkubwa 2 ปีที่แล้ว

      Shirki ni dhambi... kwa hiyo usiikaribie. Kitendo cha kwenda kwa mganga si akili yake ilikuwepo?

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah,mama mzur hivyo unamuuwa jmn duu hata km kakosa vip mama ni mama jmn 😭😭😭😭😭

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +18

    Mama makosa yake nini wendy?kaku beba ndani miezi 9 amekulea changa moto alizopitia huzijui leo unamuua😭😭😭😭Mungu wangu jamani MUNGU ninusuru jamani😭😭😭😭😭🤲🤲

    • @gloryisaack9133
      @gloryisaack9133 2 ปีที่แล้ว +3

      Yote ni kukosa hofu ya Mungu ,kupenda mali na fedha kuliko utu na ubinadamu ,,kupenda maisha tunayoona kwenye mitandao,, unamuua mzaz ubak na mali ,,Mung alivyomkubwa damu ya MTU haiend buree😥😥😥

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

      @@gloryisaack9133 tamaa😭😭😭😭😭😭

    • @gloryisaack9133
      @gloryisaack9133 2 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 malipo ni hapa hapa duniani

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

      @@gloryisaack9133 kabisa yaan😥😥😥😥

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว

      @@gloryisaack9133 kabisa wana wezaje Naogopa sana dunia imebadilika

  • @miriamsimwanza6371
    @miriamsimwanza6371 2 ปีที่แล้ว +1

    Usipozaa unamlilia Mungu. Ukipewa watoto baadhi yao wanageuka mitihani. Mungu tuhurumie waja wako. Wanakilimanjaro nimewakubali hongereni kwa ushirikiano wenu

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 2 ปีที่แล้ว

    Nihatari kabisa
    ALLAH atujalinmwisho mwema. Allahuma Amin

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 ปีที่แล้ว +6

    Tunaelekea wapi jamani mtoto wa kumzaa mwenyewe anakutoa roho kwa ajili ya Mali Mungu ninusuru

  • @randomadviser3159
    @randomadviser3159 2 ปีที่แล้ว

    Mungu utusamehe dhambi zetu uturehemu ewe mwenyezi mungu

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 2 ปีที่แล้ว +17

    Huyu Dada aliyeua mamá yake angeozeshwa yule Mmasy aliyeua Mamá yake kule Arusha, ingekuwa poa sana.
    Ila ndugu zetu wa Kaskazini mmezidi aisee, tamaa imewazidi sana,, dhuluma, utapeli, uuaji wote ni nyinyi

    • @neemaruben5427
      @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @maryamuabdul1535
      @maryamuabdul1535 2 ปีที่แล้ว

      DUh Moto ungewaka

    • @habbyhalawa5266
      @habbyhalawa5266 2 ปีที่แล้ว

      Yan tena n mtoto mdog t kwann hasiwaz namn yakutafuta mali zake ikiwa muda anao!? Yan wachaga daaah🙌

    • @lucymtui8680
      @lucymtui8680 2 ปีที่แล้ว

      😆

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha

  • @hasinarashid5059
    @hasinarashid5059 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌bas jamaan mungu imetoshaa tuhurumiee sisi🙏🙏

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 2 ปีที่แล้ว

    Mnastahili kuwa viongozi Kazi nzuri Sana ndugu watanzania

  • @dullahevara3349
    @dullahevara3349 2 ปีที่แล้ว +2

    Na yy auliwe tu mama apumzke kwa amani🙏

  • @saudamakole601
    @saudamakole601 2 ปีที่แล้ว +5

    Subhana llah 😭😭😭😭kausha pepo yake yarabby msamehe mama

  • @neemaemanuel4688
    @neemaemanuel4688 2 ปีที่แล้ว +4

    💔💔💔💔💔 mungu tusaidie. Jamani 🙏mama si mungu wa pili duniani. Tuzaee tuu atujui tunazaa nn

  • @subirasanga5276
    @subirasanga5276 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atutete kwa hir jaman! Mh! Saw

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 ปีที่แล้ว +4

    Nadhan ni ushawish na tamaa za kipuuzi, 😭😭😭 innallillah WA inna illaihi rajiuun pumzika Kwa amani

  • @asmasadallah513
    @asmasadallah513 2 ปีที่แล้ว +12

    Maskini jaman alafu mama ake ni mzur Allah ampumzixhe kwa aman na ampe kauli Thabiti 🤲🤲

    • @fridasky1019
      @fridasky1019 2 ปีที่แล้ว

      Mmh dada kweli?

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 2 ปีที่แล้ว

      @@fridasky1019 Kila mtu analake anaona.

  • @ThreeDtv
    @ThreeDtv 2 ปีที่แล้ว +2

    IVI Kweli mtu unamuua mama yako kweli daaah inaumiza sana mungu tulinde

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 ปีที่แล้ว

    Subhan'Allah 💔💔😭😭😭kihama hiki ya raby 😭😭😔

  • @joycemlwale5422
    @joycemlwale5422 2 ปีที่แล้ว

    Mungu tujalie mwisho mwema.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว

    MAUWAJI, MAUWAJI, MAUWAJI KILA KONA HAPA NNCHINI. EE YESU UTUHURUMIE.

  • @maikomahanji9411
    @maikomahanji9411 2 ปีที่แล้ว

    Heri matumbo yasiozaa . watoto mungu tusamehe sana.

  • @azizamvungi6203
    @azizamvungi6203 2 ปีที่แล้ว +9

    yaani inasikitisha sana..mtoto ni uchu wa mali hasa nyinyi ndugu zangu wa kaskazidi mmezidi sana dhuluma ndio maananakuwa matajiri nitafakarini

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 2 ปีที่แล้ว

    Hii inasikitisha sana Mungu atupe roho ya hofu

  • @avax5717
    @avax5717 2 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri viongozi wa kijiji

  • @Amylotu
    @Amylotu 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aiweke roho yake peponi.

  • @omarhome2260
    @omarhome2260 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu niokotwa bamba mmi mamako mzazi unamuua niokotwa bamba tena haki😭😭😭

  • @mamajaphety1624
    @mamajaphety1624 2 ปีที่แล้ว +5

    ninavyompenda mama yangu koo hunidanganyi kipumbavu bora nife mie mamaangu abaki hai

    • @sheriibrahim6753
      @sheriibrahim6753 2 ปีที่แล้ว

      Mm imeniuma Sana ninavyompenda mama

    • @ditaely7309
      @ditaely7309 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaan kila mwaka nalia kisa tuu natamani mama yangu angekuwa hai.Leo hii unauwa mama wakati nataman ata mungu angeniachia mama Jaman.😭😭😭😭😭

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +4

    Subhannallah,mtihani kwakweli shirki imeota mizizi kwa Binadam.

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo n hatar, 🙆‍♀️yani visa zingine aki unashindwa kusema waaaah!!. Mungu aki saidia mimi

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 2 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah wainna ilayihi rajiun subhanna llah 😭😭😭

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 2 ปีที่แล้ว

    Mwaka Wala huna waswas duuuh kila mt na roho yk jmn khaaaa 🙌🙌🙌

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +8

    Wew dada wew 😭😭😭😭😭

  • @flaviannywilliam8784
    @flaviannywilliam8784 2 ปีที่แล้ว

    Uwi mungu wang Jmn.!!!!!

  • @khadijamasoud8227
    @khadijamasoud8227 2 ปีที่แล้ว +1

    Rayabi hii dunia ya mwisho jamani mtt wko unamzaa anakuuwa mama ake ninani ,wakumuamini kwa dunia hii jamani innalillahi wainnailahi rajuun mung ailaze roho ya mama yetu Pahala pema ameen

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 2 ปีที่แล้ว

    Daah mungu ingilia kati hili pepo LA mauwaji lishindwe

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 ปีที่แล้ว

    Aiseee mwenyekiti uko vizuri ,

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu binti karubuniwa na mganga amuue mama yake apate utajiri.

    • @janet7740
      @janet7740 2 ปีที่แล้ว

      Mgaga niyeye alitafuta binri ama binti niyeye alitafuta mganga. Binti ni shaitani kabisa

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +2

      @@janet7740 huyu binti alimtafuta mganga Kwa lengo amtibie mama yake,lakini mganga ndiye aliyemshawishi amuue mama yake apate utajiri

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 ปีที่แล้ว +5

    Tuzaeni tu kwakweli tutoe uchafu tumboni ila c kwaunyama huu Watt wamekua maadui kwa wazazi wao

  • @salmanoorhashim5450
    @salmanoorhashim5450 2 ปีที่แล้ว

    Mungu kamuumbuwa

  • @seigneurdieu9351
    @seigneurdieu9351 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭MUNGU WANGU MY MOMY LOVÉ SO MUCH😥😥

  • @aishaa6114
    @aishaa6114 2 ปีที่แล้ว

    Duuuuh!!!!
    Mungu atupe mwisho mwema

  • @shadyashaaban6757
    @shadyashaaban6757 2 ปีที่แล้ว +1

    duh huyu ndo kawachafua kbsa wachaga yaan wamezidi kuonekana huuwa wazazi na waume zao ili warithi mali...me kakangu alipata mchumba mchaga akamvalisha na pete kakaangu alpopata hela akamuacha yule binti...akasema hawa huwauwa wanaume wakiona wanamali mh,...na huyu binti uolewaji wake sijui 2

  • @twallibkassim6023
    @twallibkassim6023 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah,mbwa huyo dada senge kabisa😰😰

  • @luludisniper2436
    @luludisniper2436 2 ปีที่แล้ว

    Dada wewe ulaniwe maisha yako na uzao wako wote roho ya shetani ulipata wapi ujaziri wa kumuwa mmko mzazi😭😭😭😭

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana wana kijiji

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl

  • @agnesmapunda5242
    @agnesmapunda5242 2 ปีที่แล้ว

    Wachaga na watu wa arusha mnatisha sana setinta hizo mpo vizur sana!

  • @loveremedy5348
    @loveremedy5348 2 ปีที่แล้ว

    Duh inatia uchungu Sanaa jamniii

  • @husnakindamba2737
    @husnakindamba2737 2 ปีที่แล้ว

    Jamn mama mrembo mungu ampunguzie adhabu za kabri

  • @elikamsovela9089
    @elikamsovela9089 2 ปีที่แล้ว

    Jamani, jamani huyu shetani na ashindwe. Inauma sana jamani.😭😭😭😭

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 2 ปีที่แล้ว +5

    Arusha moshi sioi ng'ooo wengi wajane na masingle mama wanaua waumezao wauaji sasa huyo mdada ukioa si umejichimbia kaburi

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwa jinsi mnavyooana hovyohovyo bila kujua historia ya mtu! Angalia asije kuwa mkeo, akihamia shinyanga je kwa bibi yake? Mkakutana huko😂😂😂

    • @pendorose8056
      @pendorose8056 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @crisndembwele4016
      @crisndembwele4016 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nantaembanusurupia5674 saivi hatuou wanawake wazuri maana ndo wakina Delila tuoe tuu hawa wenye sura yababa lakini roho yamama. Kuliko hawa sura yamama roho ya shetan

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 2 ปีที่แล้ว

      @@crisndembwele4016 😂😂😂😂

  • @aishashomali2716
    @aishashomali2716 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh wamemkata na pangq wakamzika nalo looh😭😭😭😭😭

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba kaongea kitu Cha busara wallah

  • @kyiuranasibu9450
    @kyiuranasibu9450 2 ปีที่แล้ว

    Jamani mbona sielewi kwanza hiyo kabur kaichimbaje mwenyewe

  • @elianaevarsty2325
    @elianaevarsty2325 2 ปีที่แล้ว

    Mimi siwezi kumtaumu binti kuna uchawi hatari Tanzania

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว +1

    Wachaga shikaaamooni duuuuh!😳😳😳😳😳😳😳😳

  • @celinanyongole5178
    @celinanyongole5178 2 ปีที่แล้ว

    Ukizaa mtoto ukatupa unalaumiwa ukizaa ukuze usomeshe ndo wanakuuwa akiii eee mungu tunusuru ss wazazi

  • @zuhuzuli.5150
    @zuhuzuli.5150 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mama mzazi kabisaa au wakambo🙆‍♂️

  • @lmashua
    @lmashua 2 ปีที่แล้ว

    Kuna mawakala kijijini?

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh!, binti alijua ameshinda

  • @euphmiprcalona2999
    @euphmiprcalona2999 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ninusuru na tamaaa za Dunia hii unipe nguvu yakutafuta

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว +1

    Atariiii hiiii

  • @taturajabu5977
    @taturajabu5977 2 ปีที่แล้ว

    Tamaa na mbaya jamani

  • @reneepaul3102
    @reneepaul3102 2 ปีที่แล้ว

    Jaman Bibi Mzunguu

  • @rebeccagikonyo5648
    @rebeccagikonyo5648 2 ปีที่แล้ว

    Yhooooooo this is serious.

  • @Zwangendaba97
    @Zwangendaba97 2 ปีที่แล้ว

    Safi lenyori

  • @latifajabil1707
    @latifajabil1707 2 ปีที่แล้ว +3

    Wenzako tunataman wazazi wetu wangekuwepo ww unaua jaman ww Dada jaman 😭😭😭

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 2 ปีที่แล้ว

      Latifa niko Australia 🇦🇺 msg yako imenitach

    • @latifajabil1707
      @latifajabil1707 2 ปีที่แล้ว

      @@rubenprince8990 🙏😭

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 2 ปีที่แล้ว

      @@latifajabil1707 pole sana mtoto wakike kauwa mzaz kisa mali izo mali xilikuwa za kias gan kuna makabila manovu sana Allah atuepushe hii inanifanya mm niogope kuagizia mke ubongon naona ntaish singo milele maisha yangu matamu kuliko chupi

    • @latifajabil1707
      @latifajabil1707 2 ปีที่แล้ว

      @@rubenprince8990 yani imeniuma sana kwakweli mungu atunusuru, wenzake tunalia kila siku tunatamani wangekuwepo yeye anafanya uharifu kama huu duuuu 😭😭😭

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 2 ปีที่แล้ว

    Laaa hii ni laana kubwa sana

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 2 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu tusaidie dah

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 ปีที่แล้ว

    Mmh sasa hiyo kusafirishwa na mawakala alitaka atuambie kuwa mawakala wamempandisha mama hewani bila passport wala kupanda ndege? Hao mawakala ni vibwengo au viumbe wa kwenye sayari gani😳

  • @mariamubonifac3775
    @mariamubonifac3775 2 ปีที่แล้ว

    Tunako elekea tamaa zinatuponza tutaishia pabaya mno naomba mungu atuokoe na matatizo yanayo jitokeza

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wetu jamani 😭😭

  • @shamsaismaily3476
    @shamsaismaily3476 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭hii dunia jamani mama huyu binti ni shetani

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 2 ปีที่แล้ว

    Mshaka Shi ndufu. Ni shoka Kabsa Kabsa. Mshaka kite sha mnyopi Kabsa Kabsa.

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 ปีที่แล้ว +2

    Lahaula walakuwat ila billah. Mama amekosa nini jamanii mpaka kumtoa uhai wake. Huyo bint nae anyongwe tu.

    • @aisharenatus1678
      @aisharenatus1678 2 ปีที่แล้ว

      Ingekuwa uarabuni angechinjwa kweupe

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota416 2 ปีที่แล้ว

    Dah! very sad

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 2 ปีที่แล้ว

    Dam ni nzito sana

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 ปีที่แล้ว

    Kesi ya huyu Dada na.ya yule wa.Arusha.Patrick serikali ije.na.majibu.kesi.zao.mbona.kimya

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 2 ปีที่แล้ว

    Mi natakankufaham walijuwaje alipofukiwa huyo mama ila mungu shujaa

  • @rubyring100
    @rubyring100 2 ปีที่แล้ว

    "Zoezi la kifo chake kutekelezwa"???? What??

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 2 ปีที่แล้ว

    Mmmm kilio huzuni inasikitisha mno

  • @AshaAsha-ng1ug
    @AshaAsha-ng1ug 2 ปีที่แล้ว

    Polen jaman mh mama anaumaaa😭😭😭

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว

    Jamani

  • @esther-doramachange9386
    @esther-doramachange9386 2 ปีที่แล้ว

    DrDrew

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 2 ปีที่แล้ว

    bora nife masikini kabisa..kuuwa wazazi au yeyote kwa ajili ya mali nooo

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa kama kaua mama angeolewa huyu mwanadada, mumewe si angemhifadhi kwenye friji ale nyama yake kila siku ? Ee Mwenyezi Mungu turehemu !!

    • @agnesmapunda5242
      @agnesmapunda5242 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kaka anaroho ngumu sana,mpaka unautoa mguu wako mpaka kwa mganga umepania kuua kwakwel.wengine wanasema sio akili yake Mimi nakataa kampania huyu chixi

  • @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
    @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM 2 ปีที่แล้ว

    Nyie kilimanjoro mnanini?

  • @paschaljoh5729
    @paschaljoh5729 2 ปีที่แล้ว

    Kaskazin Mnatatizo gan Jamanii dàah siwez kuoa huko Asee......

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

    Huyo sister du ni mtu mbaya sana hafai ata kidogo huyo nikumpiga tu risasi utosini kwani ata jela huko anaweza kunyonga mtu

  • @MarwaMarwa-kd1dm
    @MarwaMarwa-kd1dm 2 ปีที่แล้ว +1

    Siku hizi haina haja ya kumuamini hata mwanao kabisaa