Pumbavuuu pombe ni mama was madhambii wasemaje sio mbay??? Unawaza Nini bintii?? Mbona hufikiriii??! Pombe ni mam wa maasia ...acheni mungu akikataza kituu anamaanisha hakina sakama kwa viumbe vyakee..
Huuuuuuuuu, inauma ,inauma ,inauma inauma ninyi watu . Mie niko Kilimanjaro ila nimejikuta nalia , nimekuwa kwa shida bila baba nilitamani baba anisomeshe ,lakini sikupata hayo maana alitoweshwa mapema sasa hili jitu linauwa baba aliyekulea na kukusomesha 😭😭😭😭😭 uuuuuuuuuuwi,jamani mweeeeee
Ni huzuni mno tena inaumiza mnooo.ila JIBU PEKEE SIO MATAMBIKO BALI NI KWENDA KWA MUNGU ALIYETUUMBA KWA TOBA NA SI KINYUME NA HAPO NI KUOMBA MUNGU ATUREHEMU
Kwa nn nae asichinjwe, hapo utaskia police wanaleta ule upuzi wao eti tuna peleleza, mara upelelezi hauja kamilika, kilichopo hapo shikeni uyo kenge alo chinja mzee nae pia achinjwe tu
Pole sana Wana Familia,ndugu,jamaa na marafiki Utashangaa siku hizi baadhi ya maaskari kukosa maadili Hii ni kwa sababu Watoto wasumbufu kwenye familia,wamekuwa waki sukumiwa U Polisi na au JKT na kipindi fulani ualimu.
Kweli watu waache pombe na pombe ilishalaanika maana utafanya dhambi tu acheni pombe kweli vijana mliobaki,wewe umemuua baba yako wakati wenzako walipoteza baba zao wakiwa wadogo,wakiwa tumboni wanatamani wangewaona yaani wewe Sanga yaani wewe Sanga umetuliza,na kwanini hawakukumaliza tu hao waliokupiga km uliona kumtanguliza mzee ni sahihi yaaani yaani
Hadi nashindwa kuzuia machoz yangu Allah ampumzishe mzee wetu na atuepushe na ibilisi sisi watoto jmnn inauma xana
Uwiii nimejikuta namkumbuka baba Ang😭🥲
Pole sana mama tumbo lako lili babe shetani mungu akutie wepes.
Poleni Sana ndugu zetu pole mungu amlaze mahala pema inshaallah baba
Poleni Sana msameni Sana kaka yenu siyo yy no sheitwani
Kakuzaa, kakulea, Kakusomesha hadi kupata kazi halafu unamzawadia kifo?
Painful Indeed.
Baba amekuzaa na kukulea leo kweli anakuwa mchawi, amekutafutia kazi umepata kweli ww kijana uliyemuua baba yako mungu atakulaani.
Jamani inaumaaa😭😭poleni wafiwa wote.mungu awape sibira na awatie nguvu.
Wengine tunatamani baba zetu wangekuwepo duniani ila ndio basi tena tumebaki wakiwa ila nyie munaua wazazi ,😭😭so sad
Poleni sana ,mungu awatie nguvu
Pombe cyo mbaya ila wanywaji ndio wabaya, mungu anakuona kijana mwisho wako mbaya,pumzika kwa amani baba yetu
Ilagosa
Pumbavuuu pombe ni mama was madhambii wasemaje sio mbay??? Unawaza Nini bintii?? Mbona hufikiriii??! Pombe ni mam wa maasia ...acheni mungu akikataza kituu anamaanisha hakina sakama kwa viumbe vyakee..
Innalilla wainna Illayh rajiunah,, unalia kweli usidondoshe hio sim wee asee
Kweli ni huzuni kubwa mno haivumiliki wapenda.ila tuendele kuombea watto wetu sijui wamekumbwa na pepo gani mungu watie nguvu wafiwa wote
poleni ndugu zetu
Poleni sana mungu amlaze mahalipema
Mungu amtangulie
Daaaaa, binadamu tumekuwa wanyama siku hiz kuchinja mzaz😢😢😢😢😢subhanallah
Hadi nalia na mimi jaman tuwe na huruma kwa roho za wenzetu.
pole sana
Poleni Sana jaman wafiwa
Huuuuuuuuu, inauma ,inauma ,inauma inauma ninyi watu . Mie niko Kilimanjaro ila nimejikuta nalia , nimekuwa kwa shida bila baba nilitamani baba anisomeshe ,lakini sikupata hayo maana alitoweshwa mapema sasa hili jitu linauwa baba aliyekulea na kukusomesha 😭😭😭😭😭 uuuuuuuuuuwi,jamani mweeeeee
Polen Sana pumzika kwa aman mzee ndonde
Dada mage poleni sana tumeumizwa kweli
Poleni jamani msilie sana tuna imani yupo paradiso
Poleni sana wanafamili wate ndugu jamaa pumzika kwa amani
Poleni sana hadi nimelia na mimi jamani sijui dunia inaelekea wapi
inna illah waina illah rajiun Allah rehemakallh tz kumepatw na nn mugu ibariki Tanzania 😭😭
Wafiwa polen sana inauma sana
Mwezi huu Tanzania kuna matukio ya kutisha sana duu,poleni sana ndugu zangu wa tanzania
Poleni sana
mme wangu alikua jeshi hajawahi kunpiga wala kupga hata mtoto wake huyo ana mapepo aombewe atashi vpi na mtoto wamtu kma bbke tu amemchinja kma kuku
Kuanzia 2005 mpk sasa vijana wanaoingia jeshini wanavituko navisa vingi wengi wao
Hivi kwani tunaujini gani WA nafasi zisiizo na huruma Jamani Allah upunzishe Salama
Pole sana
Duuuh polen sana jamanii baba umeniumiza mm
Huyo mtoto atakua alirogwa Sió bure
Innahlillah wainnah illah rajiun poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu 😭😭😭
Poleni sana wafiwa inauma sana mtt amauwa bb ake
Siku ngumu kuliko zote USIOMBE UONDOKEWE NA BABA YAKO MZAZI
Inauma sana
Rip my dad 😢😥😥
Analia hadondoshi cm Ila wanyakyusa jamani ukiwaiga kwa kulia utajuta
Mwenyezi Mungu atusamehe kwakwlei daaah
Poleni Sana 💔💔😭😭😭😭😭😭😭
Daah Hii laana cjui vp
Mungu watie nguvu jamani
Duh aisee inahudhunisha mno kwakweli khaaaa
poleni ndugu namarafiki nawachama wore inasikitisha nisiku zamwisho
Jamani uyu dada amelia mpaka amenitoa machozi
Apumzike kwa amani
Mh!! Kama Ni inchi imewekwa laana watu wauwan wenyew kwa wenyew
Dah hii dhambi huyo alochinja cjui anajisikiaje sahvi ani hta aibu tu kumshika kwamba n baba yake
Mungu awape nguvu nduguzetu
Dunia cijui inaelekea wapi jamani
Pumzika kwa amani Baba
Poreni jaman
Jaman zaeni mi hapana
Kuzaa si kupata
Mama SAMIA JITAHIDI UFANYE MATAMBIKO HII HALI INAYOEMDELEA YA KUUWANA. WAZAZI WATOTO N.K NI MIZIMU
Tufunge na kumwomba Mungu yeye ndiye mweza wa yote
Ni huzuni mno tena inaumiza mnooo.ila JIBU PEKEE SIO MATAMBIKO BALI NI KWENDA KWA MUNGU ALIYETUUMBA KWA TOBA NA SI KINYUME NA HAPO NI KUOMBA MUNGU ATUREHEMU
Pumzika kwa amani baba 😭
So sad for real
Wasafi
Eeh Mungu mpumzishe kwa amani
Wazazi wache tabia ya kutapeli watoto MTU Yuko dafuu anatuma pesa ajengwe Mzee anatafuna mjeda anamchezo
Mbeya yetu
Innaillah wainallilah rajiun
Pumzika kwa amani baba etu
Dah 😥
Dah,jaman
Kwa nn nae asichinjwe, hapo utaskia police wanaleta ule upuzi wao eti tuna peleleza, mara upelelezi hauja kamilika, kilichopo hapo shikeni uyo kenge alo chinja mzee nae pia achinjwe tu
😭😭Nahofia asije achiliwa akaja mchinjaa na mmke
Kama ni Askari wa Jeshi sahau, uyo wanamchukua wao wanaondoka n. Mtu wao!
Aliwahi wa napolice lakini watu walikuwa tayari wamemuweka mtu kati nakuanza kumpiga
@@زيتونتنزانيا yule jeshi lnamchukua anaenda kufungwa kambini ruvu
@@joycendanundanu9218 n ndio hivyo Sasa
Mpaka wazazi tunaogopa kuishi na vijana wetu jamani inatisha
mwanga wa milele umwangazie...Apumzike kwa amani
Nilikuepo moja ya kitu kilichonikera hiyo siku ni rafiki yangu mmoja ambaye tulienda Naye hapo anasema watoe Ile bendera ya chama chetu
Haikuwa mpango wa Mungu atangulie poleni watoto ni huyo kijana sijui nani kamloga khaa!!
Apumzk kw Aman 😭😭
Kes kama iz ktk uislam hukumu yake ni simple tu, alkiswas haqqu
Yap achinjwe pia huyo hafai kwenye jamii tena
Sasa mahakama zetu hiyo kesi itachukua miaka 10.wakati ushahidi upo huyo naye achinjwe
mimi maoni yangu ningelitaka huyu sanga aulizwe na ajbu tofauti nini sababu yakumchinja Mungu wapili asfanywe chochote bila kujibu
Hapo nazani baba kala pesa zahuyo mtoto
Ukiona mambo kama hayo yanajitokeza tambueni kunazuluma hapo ndio akaamua kufanya hivo
Kijana huna kikao dunian ni heri ungeomba aridhi ikufukie
Pole sana Wana Familia,ndugu,jamaa na marafiki
Utashangaa siku hizi baadhi ya maaskari kukosa maadili
Hii ni kwa sababu Watoto wasumbufu kwenye familia,wamekuwa waki sukumiwa U Polisi na au JKT na kipindi fulani ualimu.
Pia yy achinjwe
Watoto wameuaje jmn??
Wazazi wakulee tangu mdogo mpaka utu uzima ndio waaze kukuloga si wangekuua tangu mdogo niheli usingezaliwa
Polen xana family
Nasikia uchungu hasira kwanini umuuwe baba yako mzazi?hapana auwawe tu na yeye
Watanzania sijuitunamatatizo gani mbona watu wanauwa wazazi wao
Polen
Daah
Askar kama huyo ndo mtt wko kafanya kosa ndo umpe yeye amuhoji kama baba yke ndo hivyo je mtt wng
Selikali ingeweka shelia ya kunyonywa tuu. Ili heshima ifate mkondowake
Kweli watu waache pombe na pombe ilishalaanika maana utafanya dhambi tu acheni pombe kweli vijana mliobaki,wewe umemuua baba yako wakati wenzako walipoteza baba zao wakiwa wadogo,wakiwa tumboni wanatamani wangewaona yaani wewe Sanga yaani wewe Sanga umetuliza,na kwanini hawakukumaliza tu hao waliokupiga km uliona kumtanguliza mzee ni sahihi yaaani yaani
Polen jaman😭😭
Mwanga wa milele umwangazie
Rest in paradise Baba
Analia uku smartphone Ipo mkononi Kazi kweli kweli
nmeshangaa ilitakiwa ampe mtu amshikie
R.i.p my dady
Rip mzee jaman pumzka kwa aman
Kumbe alikuwa mkubwa
Innalillah waina lillah rajuon
bangi yuaivuta na tembe zake mwehu
Kama angekuwa mcha kama anavyozani siangemuua toka mwanzo
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Huyu mtoto ni wa ovyo sana