Msukama - Ni Bora Kuishia la Saba Kuliko Kuwa na Vyeti Halafu Huna Akili
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024
- Subscribe / uwazi1
Bunge limebadili ratiba kwa Bunge kuendelea na shughuli zake hadi Julai 5 mwaka huu, ambapo bunge hilo litaahirishwa.
Alisema Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2017 kwa kuangalia upungufu uliojitokeza itafanyiwa kazi na Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria inayoongozwa na Mohammed Mchengerwa.
Ndugai alisema pia Bunge limeunda kamati maalumu itakayoundwa na wajumbe wa kamati nne za Nishati na Madini, Kamati ya Ardhi, Kamati ya sheria Ndogondogo na Kamati ya Katiba na Sheria, itakayoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini, Dotto Biseko ambayo itapitia miswada miwili ya Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya Maliasili za Nchi wa mwaka 2017.
Pia kamati hiyo itafanyia kazi Muswada wa Sheria ya Mamalaka ya nchi kuhusu Umiliki wa Maliasili wa mwaka 2017.
Akizungumza bungeni jana Mbunge wa Geita, Jopseph Kasheku Msukuma aliwaponda upinzani ambao hawakutaka mswada huo uanze kujadiliwa na badala yake wapewe muda wa kuusoma na kutafakari zaidi kabla ya kuanza kuchangia na kuupitisha kuwa sheria.
kwa upande wake, Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara alimcharukia Msukuma na kumwambia kuwa hana haja ya kuelewa mambo mengi kwenye huo mswada kwani alishajipambanua kwamba yeye ni darasa la saba.
Jambo hilo lilipelekea Msukuma kumjibu kuwa Ni Bora Kuishia la Saba Kuliko Kuwa na Vyeti Halafu Huna Akili
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Huyo hyo aloshindwa kutamka jina la boss wake mama samia suluu hasan😂😂
Wabunge wenye vyeti halafu hawana Akili....tena ndo wapiga kelele na kulala Bungeni...Msukuma Oyeeeeeeeee
😆😆😆
Oyeeeeeeeeeeeeeeeww
Mungu akutie nguvu mbunge wetu wa geita kijijin tunakupenda sana
Ww ni hatariiiiiii Msukumaaaaa,,, hatuangalii Elimu tunaangalia hoja za maana
Nakubari Msukuma kwakuwa unamsimamo ww unafaa kuwa rais kabisa
Mbnge wangu nakuerewaga sana hongera sana tuna kiongoz katika Jimbo la geit
PhD Msukuma, nakukubali, hoja ulizo nazo ni kubwa ndugu.
Nakukubali sana msukuma 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪👍👍👍👍👍
AMBAO WALIKIMBIA UMANDE WANAMUUNGA MKONO MSUKUMA
Ww yawezekana umeenda shule alafu akili hauna
nakubali sana haya majembe yangu msukuma boss wao lusunde namzee wawapinzan hawaeleweki kama popo pamoko sana
Ukweli ndo huo yupo vizuri snaa mbunge wa geita vijijini
Speech ya msukuma na agray mwanri na mh JPM huwa zinaukweli ndani yake mungu awe nanyi
Sawa sawa mbunge wetu
Msukuma oyeee penda sna msukuma
Mbona mnachambana sana
Ndiomaana Bunge halionyeshi
*Kama nawewe ujasoma Lakin akili unayo ngonga chiaz*
Mia
💯
Oyooooooooooooooo, msukuma hoyeeeeeee, sema baba msukuma.
Safii sanaaaaa mkuuuu
Shikamoo Msukuma uko sawa umeseme watu wenye Akiri si Watu wenye Elimu ya mavyeti
Shikamo msukuma naomba kaz msukuma
Asee Geita Mna Mbunge wa kweli,,,
Daah kweli
bunge la kusutana umbea,maendeleo nchi hii tutakaa sanaaaaaaaa
sema baba sema wape vidonge ungesoma zaidi daaah hadi raha
Msukuma pambe Sanaa ni la saba tuuu lakin mambo yako kiboooo, safiii
mm hua napenda tuu kumckiliza yaan anafurahisha kwl walikuwepo km yy na yy zam yake viva msukuma
Msumkuma una akili na sio elimu, safi sana
Nakubal Sana jembe lang
Honger sana
Msukuma nishida
Msukuma noma yuko vinzuri
NA KUWA NA VYETI HAINA MAANA WAO WANAAKILI NYINGI. MTU AKILI ANAZALIWA NAZO. KUSOMA NI KUONGEZA MAARIFA.
Msukuma oyeeee🎉❤
upo vyema sana msukuma one love
Binafsi naona mheshimiwa mskuma Ana kitu kichwan hivyo hii nchi nategemea aiongoze yeye.
shemeji yangu uko vizuri saaaana
Kaza roho baba nia njema hailoggwi
aisee nakuelewa sana msukuma akimaliza magu uwingie ww kazi nzur sana Mungu akusimamie
kumbe unaweza ukasoma na elimu isikusaidie
msukuma uko saw
Msukuma dah
Bunge Kishimba
Nakukubali sana msukuma
Msukuma ni noma sanaaaa
Kweli kabisa hapo kaziipo
Msukuma tusaidie tupewe nssf zetu wewe ni mteteziwawnyonge naomba naomba yk yasm
Upo vizuri musukuma
Xafiiiiiiiii msukuma
😄😄😄😄 Akili Huna
Mskuma perfect Sana
safiiii msukumaaaaaa
Jamaa noma uyu msukuma
Safiiii Sana msukumaaa hoja zuri sana
Exactly MP
Nabii mswaili
🙏 Enderea kuweka Sawa hao
Msukuma yp good sana mwee
Upo sahihi San msukuma
Hongera msukuma
Elimu haipimiki kwa vyeti wala idadi ya madarasa bali kwa matokeo chanya kwenye jamii au mabadaliko ila kisomo hupimwa kwa vyeti.
Ugonvi Tena jamn🙄🙄🙄
Hahahahaaa Msukuma Unatishaa Sana Angalia utapelekwa Kusikojulikana
Phenomenon Msukuma
Kama una degree sema na degree kama master sema na master kama kidato Cha sita hivyo hivyo don't fear
Wapo ambao wanauza sura vyeti hawana. Tatizo walisema cha muhimu kujua kusoma na kuandika hivi ni shida matokeo yake wapo wapo tuu, hawasaidii wananchi yote haya wajumbe wakipewa 10,000/= wanatuletea mazwazwa
bora ya wewe msukuma
Musukuma huyoo
Changanya we we noma
safi msukuma ayo Ndo mapointi
Msukuma nishida sana mjengon
Nakukubali miaka buku
Msingwa na waitara hamna hoja wanamuogopa msukuma
apo tunaangaria pointi atuangarii elimu unaweza ukawa na elimu ya juu kwenye point akakushinda wa darasa la saba ona msukuma darasa la saba lakini bunge lote linampigia saluti
Tanzania nchi ya demokrasia lakin viongoz mnataka kuigeuza kuw nchi ya kidictator angalien mamb mnayo Fanya siyo mazur kweli
Tunaangaliiia Elohim uh skidoo kaziii@@@@@@
Waeleze bwana ukweli apo
Kwer geita tunajembe
Huyu msukuma, wananchi wako wanakazi sana
Msukuma we n kiboko
msukuma nimeamin wew ukweli upo damni mwako hongera sana God bless u
Huruma kwa waliokuchagua elimu elimu elimu
Sawa mh
Upo sahihi kabisa
Hongera
Kweli nimakininikiwa vyeti sio tatizo
Wajimaleo
Wapumbavu tu wote hao
Kama tu mwenyekiti mzungu,, uzalendo utatoka wapi
Kwel kabisa kuna mijitu ipo bungeni eti ina vyeti imesoma haraf haina akili bora utumie akil ya darasa la saba upo sawa msukuma
Nakubar sana msukuma
Nakwelewa sana aiseee
msukuma nakukubal sana sana
😂😂😂🤣🤣msuku we noma duuu
Mzee chafuaaa
sawa
Xhow
Msukumaa anaa akili
Wawejaaa sana
yupo vzr huyo msukuma
msukuma ni nouma sana
Good after
uko vizuri
sawa ms
ukuma
Msukuma nakukubali
Hahahahahaàaaaa eti hela ikitoka tusiwape hela gani?
Tungepata mwanaume kama msukuma tungefika hao wanaompiga msukuma niwapigaji tu
Jafari charge mbuge rorya
We nomaaaa sanaaaa
duh home boy...
Hili buge linanibore sana
Msukuma sawa