Ahsante sana MSUKUMA kwa kusema ukweli,hii nchi tunafelishwa na mijitu inayojiita misomi,hilo bunge limejaa mizezeta tupu,huwa sisikilizagi Utopolo wa mazezeta yaliyomo Bungeni ila anapoongea Msukuma ni lazima nimsikilize maana huwa anaongea point konki👏👏👏👏
Angalizo naomba msitengeneza matabaka bungeni Kati ya Ly na Digree. Msukuma jitahidi unapo toa waso usiwaponde wenye Digree maana siku nawe wakikuponda na LY yako utajisikia vibaya.
WAZEE WALIO TAWALA ENZI ZA MACHIFU, MANGI, WALIONGOZA VIZURI SANA, JEE WALIKUA WASOMI SANA, UONGOZI NI KIPAJI NA SIO ELIMU, NB. ELIMU IKIKUTANA NA KIPAJI CHA KIZALIWA KIONGOZI ANAKUA MZURI SANA NA ATAPENDWA SANA NA WATU ANAOWAONGOZA RIP JPM.
LY ni maana yake Elimu ambayo mtu anapata kwa njia ya vitendo kama vile informal education... Yani kama wewe mzazi ni mkulima na mwanao unammuandaa kuwa mkulima mbaka anakuwa anakuwa mkulima... Kwa shuleni zamani elimu ya Darasa la nne mbaka saba ilijulikana pia kama LY kwasababu wanafunzi walijifunza somo la Stadi za kazi kwa vitendo zaidi ndiomaana. Na kwavile Mbunge msukuma yeye elimu yake ni Darasa la 7.. Ndiomaana anajiita LY.
The best, musukuma, he speaks the truth , and downright correct. Very practical and knows how to get things going, keep it up, you have got many fans.
Very true
Msukuma unapointi za juu sana Yan unaufahamu na uelewa wakujuwa kuwatumikia binadamu wenzako Mungu akubariki unataka kuwa kiongoz
Asante msukuma nachokupendea huna woga
Ahsante sana MSUKUMA kwa kusema ukweli,hii nchi tunafelishwa na mijitu inayojiita misomi,hilo bunge limejaa mizezeta tupu,huwa sisikilizagi Utopolo wa mazezeta yaliyomo Bungeni ila anapoongea Msukuma ni lazima nimsikilize maana huwa anaongea point konki👏👏👏👏
Kwanza Mimi huwa siwaamini wasomi ,wasomi was nchi hii nikama walemavu,,, Asante msukuma
Kama huwasikilizi unajuaje kama wanafelisha?
Ukweli uyu mkaka nampenda sana kusikiliza uwa apotezi point yake anapo pewa nafas ya kuchangia
Saaana yani daaaah
Llkkkkjkkkikkkkk
Safi sana msukuma mm nakubali ww ni jembe, mjinga abishene na nondo za msukuma.
Msukuma ni mtetezi wa Tanzania wote,mungu azido jumps hekima ujasiri na upendo kea nchi yake.
Uko vizuri musukuma
Dah muhongo. Ni jiongo
Msukuma anaongea points tu
Mhshimiwa msukuma yupo sahihi ifike wakati tujue vitu vingine vipo impractical zaidi na elimu ya darasani kuisaidia tu msukuma nimemwelewa
Musukuma nima nimemkubali xo ana mwaga nondo
Ndugai lazima amtetee Muhongo kwa sababu ni muongo mwenziye!
mhongo ni jembeeeeee
Nakubali uchapaji kazi wake
Nadhani huyu ndo up coming president 💥💥💥 nyota njema uonekana asubuhi❤
Msukuma, mungu kakupa hakili ya kungonza watu vinzur sn,tunakuombea uje uwe rais,
Mtani upo vzr kwa kweli ....#JK@LW
Mtani wangu upo wapi nipo mwanza mie karibu
❤️❤️ msukuma
Now I understand Mr. Musukuma, kasheku.
Mtuamini sisi Ly
Hahahahaa msukuma mbunge wangu bora wa muda wote chezea ly
❤❤❤❤❤❤ mungu akulinde aseeeeeee❤❤❤
Safi sana musukuma umetema mapointi
Kweli kabisa dalasa la 7 ni vichwa kuliko maprofesa
Du,asante kwa elimu hiyo
Safi Sana Msukuma
Mheshimia Mbunge Msukuma amesungumza mawaso yenye Busara kubwa kuhusu wafanya Biashara wadogo wadogo hongera sana
Musukuma Upo juu bawirage baba bingwe.
Elimu nzuri uliyonayo blaza
L Y Nakumbuka hiyo Darasa la Saba last year
Jaman mmepata mbunge maana anazo point nzur namkubar Sana mungu akulinde msukuma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kweli kabisa elowai tupo makini 👏👏👏👏👏👏
Nakuelewa sana darasa la 7 La mkoroni
Wewe ndio profesa wetu
Huyo ndo King Kasheku std 7 A
Dah uyuu mwamba 🔥🔥❣️
Haters watasema ni "BANGE" ndo ilikuwa inazungumza... Lakin hata kama ni hivyo basi imeongea FACTS... Josefu KASHEKU musukuma My G..👊
Kabisaaaaa
Huyu ndio kiongozi sasa tunawaomba Sana Wamsapoti waziri wetu mkuu maana ndio kabakia pekee anatembea na miguu ya rais
Naona uchaguz ujao bora wabaki dalasa la 7 tu sio wabunge wenye digrii wabaki nnje Wenda tukapata mikataba yenye manufaa
Point
Taasisi za elimu zingeangalia namna ya kumtunukia Mh. Msukuma hata cheo cha heshima kwa mchango wake wa kuijali nchi yake
Musukuma oyeeee !!! Please how can i talk to this wise Man.??
Unagusa mambo ya mhimu tena ya kweli
Darasa la saba oyeeeee!!!
Oyeeeeeeee LY
Oyeee
Safi sana
Msukuma oyeee
Mijitu ya ovio ,inayoojiita wasomi hayana chochote
AISEE .... kumbe Bora ningeishia LA-SABA. maana lasaba mmoja ni wasomi 100.
Nadhani TUNAPONZWA NA KUPUUZA PRACTICAL
Ongera sana Musukuma
Magufuli akawakia kwenye gia wape kabisa wa madigilii pumbafu zao hao ziro kabisa Kasheku oyeeeee
Kweli rushwa itabadili imotion
Msukuma nakuelewa sana
Haha ha ha ha! Kwamba wasomi wana-devalue tanzanite ili itoke baadaye wapate chao! Jiwe la milioni 100 wanasema 30! Khaa! Msukuma!
Hayo madini Raisi wetu atayalinda? Au ndyo walewale
unafaa kujengewa sanam
Uyu muhongo alitakiwa astafu kenge linamigamba
Huy jamaa anhtj ulinz
Safi ssna
Umeongea vema Msukuma!!!
Una akili Sana. Sana.kushinda hap wasomi.hongera Sana.unazungumza uhalisia.
😂😂 mnapigwa na makamera yenu
Huyu ndie msukuma zao la Kanda ya ziwa
Kaka wambiyeeee 7 darasala sanaa wakona ujuzii wachi digryy zao zimefeliy
Safi msukuma
Cjawahi acha kukupenda msukuma, nakukubali milele, ukigombea uraisi unapata fasta kama hakuna kigezo cha elimu, unawazidi wasenge wanaojiita wasomi
Aibu
Hahahahahahaha unajua Sana bro
Eti atuchangamishe kidogo!
Kwahiyo anajulikana kwa kuchangamsha
Hy kaka ukosahihi digriy ndio inawafelisha
Kiukweli msukuma unafaa kuongoza wanatuchelewesha sana
Wabunge wa Zanzibar siwasikii kimyaaaa
Nyundo!!!!!!!!
Hahahahah msukuma mtu hatari sana
Any way acha ninyamaze wezi na wakwamishaji wa .maendeleo ni wale ambao wameaminiwa na serikali
Huyu ndo mbunge sasa
Mh akawakia kwenye gia alosikia hyo ngonga like
Rais wa sita,awamu ya tano kipindi Cha pili
Sawa kama mabando tu bado yapo vilevile🤔
Hivi wakiongea hapa halafu nini kinafata?
Wapi LY
Najua hili bunge litaonyeshwa live.... nadhani moja ya mabunge mepesi nilasasa yaani Ndio asilimia 100.
Sure
Angalizo naomba msitengeneza matabaka bungeni Kati ya Ly na Digree. Msukuma jitahidi unapo toa waso usiwaponde wenye Digree maana siku nawe wakikuponda na LY yako utajisikia vibaya.
Mbona wanampondaga sema wanajuanawenyewe kwaviremba
*“Ukinizingua Tutazinguana”*
Unaweza kuusikiliza hapa
👇
th-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/w-d-xo.html
AKHSANTE & BARIKIWA
Yaani Mimi sichoki kumsikiliza huyu darasa LA saba anaongea pointi tupu
Fact
Mpendwa wetu JPM wakati wa uhai wake Roma Mkatoliki alimtabilia kuja kuwa Rais nami huyu msukuma namtabilia kuja kuwa Rais awamu Ijayo.
Professor mbuzi uyo
Asikuzalau kabisa elimu hata mbuzi anayo la 7 kitu gan
Misingi ya ukweli ina bomoka kila siku ina bomolewa na wao wenyewe
KILA MAFANIKIO JPM hakwepeki MAFANIKIO YA MADINI NI MAKUBWA AWAMU YA TANO.
Kweli liongo kwakweli limeanza kupinga na ujenzi wa umeme ndo muami halifai
Dah huyu msukuma ni kiboko sana
Dah namuelewa Sana huyu
WAZEE WALIO TAWALA ENZI ZA MACHIFU, MANGI, WALIONGOZA VIZURI SANA, JEE WALIKUA WASOMI SANA, UONGOZI NI KIPAJI NA SIO ELIMU, NB. ELIMU IKIKUTANA NA KIPAJI CHA KIZALIWA KIONGOZI ANAKUA MZURI SANA NA ATAPENDWA SANA NA WATU ANAOWAONGOZA RIP JPM.
Huyu jamaa hana elimu lkn anazo akil nyingi sana
Umeongea mjuba
Katibu mkuu mstafuu au mstafishwa?
Eti unajiita daktari ona jamaa huyo
Hawa ndio wale 60%
Hawa ndo wanaume washoka wasomi wengi ndio wanaotumwa kuvuruga nchi ndio maana viongoz wenye akili hawawapi dhamana kabisa
Akili kubwa
Msukuna akili mingiiiiiiiiii
Kebaki
ly maana yake n nn ?
LY ni maana yake Elimu ambayo mtu anapata kwa njia ya vitendo kama vile informal education... Yani kama wewe mzazi ni mkulima na mwanao unammuandaa kuwa mkulima mbaka anakuwa anakuwa mkulima... Kwa shuleni zamani elimu ya Darasa la nne mbaka saba ilijulikana pia kama LY kwasababu wanafunzi walijifunza somo la Stadi za kazi kwa vitendo zaidi ndiomaana. Na kwavile Mbunge msukuma yeye elimu yake ni Darasa la 7.. Ndiomaana anajiita LY.
@@lubavaclassic7048 asante
Huyu jamaa anastahili kutunukiwa PHD tu maana anaonge point hakurupuki,,
Anaongea vitu vyenye uhakika,,