Kwakweli Msukuma uko vizuri sana Mweheshimiwa Mbunge. Huwa nakufuatilia kwenye mchongo wako siku zote zinatija sana Aksante sana Mweheshimiwa.Dr.Msukuma
Uyu jamaa tumuombee sana kwa Mwenyezi Mungu aje ashike sehem nyeti sn za nchi hii, hana njaa ata kidogo hivyo kwenye ukweli anasimamia ukweli, na waliokosa haogopi kuwaambia adharani, pia anawasiifia waliofanya vyema ktk nafasi zao, UYU NI MZALENDO WA KWELI, anaitakia nchi hii mema sana
Asante sana Dr. Msukuma...wewe ni Dr. wa kweli...ni kweli tunakusubiri kwenye kiti hicho 2026...hujakosea...ili kupiga hatua ya mbele zaidi Tanzania tunahitaji wabunge wa aina yako. Hongera sana.
@@pauloryoba8462 ipo siku kitaamka bungeni maana so poa sema msukuma mjanja sana anaongea kama masihara kumbe anasema kweli anajihami kujiganya kama hamnazo 🤣🤣🤣
Kama umegundua king ameonja kidogo gonga like
😂😂💯
Ningekua na mamlaka Msukuma ningempa Urais kabsa🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mh.msukuma unaona mbali Mungu akupe maisha marefu
Huyu mbunge nampenda sana huwa namuombea mungu aishi miaka mingi
Kwakweli Msukuma uko vizuri sana Mweheshimiwa Mbunge. Huwa nakufuatilia kwenye mchongo wako siku zote zinatija sana Aksante sana Mweheshimiwa.Dr.Msukuma
Wasomi bila uchungu na nchi ni upumbavu hakuna chochote
Kichwa hiki safi San Mama asiangalie elimu ampe wizara aongoze aone ananini mbeleni big up Msukuma
Uyu jamaa tumuombee sana kwa Mwenyezi Mungu aje ashike sehem nyeti sn za nchi hii, hana njaa ata kidogo hivyo kwenye ukweli anasimamia ukweli, na waliokosa haogopi kuwaambia adharani, pia anawasiifia waliofanya vyema ktk nafasi zao, UYU NI MZALENDO WA KWELI, anaitakia nchi hii mema sana
Ana akili kuliko hao wabunge wenye digrii ila ni makopo tu hata huyo spika ni garasha
Mwenyezi MUNGU Mwingi wa Utukufu Azidi Kukulinda na Kukuongoza Mhe. MSUKUMA
Msukuma ni nomaaa
Natamani ungekuwa mbunge wa jimbo la Moro mjini🏃♀️🏃♀️
Akili nyingi msukuma, kwanza hana njaa. Wengine njaa zitawapeleka kubaya
Asante sana Dr. Msukuma...wewe ni Dr. wa kweli...ni kweli tunakusubiri kwenye kiti hicho 2026...hujakosea...ili kupiga hatua ya mbele zaidi Tanzania tunahitaji wabunge wa aina yako. Hongera sana.
Nakuelewa sana we jamaaa
Kwani leo mmemfanyaje Msukuma wetu jamani
I love this man😩❤️
Msukuma ni mmoja tuu nae huwa halopoki anakupa facts anakaa chini
Magu alikuwa speed saana kwenye majukum ya taifa
Huyu ni mtu na nusu, namkubali mnoooo🎉🎉
ukileta usomi sana kwenye vitu vinavyohitaji actions utachelewa au hutaenda kabisa ndio maana hakuna proffessor billionaire
😅😅😅😅
Hata mimi nilikuwa huko Jimboni kwako geita vijijini Barabara nzuri pamoja ni za vumbi ila ziko vzr
Safi sana msukumuma
'Tusiwasikilize watu wa hovyo', kubwa sana hii.
Msukuma ana akil sanaa
Saf sana King
Dr.Musukuma
Mimi nakula ugali , kisije kikakutokea kitu cha Ajabu 😂
Anavitisho mbwa huyu 😅😅😅
Nakupenda sana kakangu msukuma
Kwan wabunge lazima wapige makofi kwenye hayo mambao
Kwani hayati JPM alipokua akisema tumechelewa ilikuwa hamumfahamu
😂😂😂😂😂 hii kichwa bhana akili yake anaijua mwenyewe
Msukuma noma❤️💪
Mmm
Gwajima alivyogeuka akimtolea msukuma macho ya mshtuko
Jamaa he is generous sana
Bondia wa Mbagala😂😂
Msukumu endelea tuu, kazi unafanya ni nzuri.
Salute
🎉🎉🎉msukuma unajua
Msukuma ana mikwara sana
Et nipige taarifa uone
👌👌
😂 mandonga ka inspire wengi
Dr msukuma wewe ni mtu makini sana wachane waache mazoea yao
Uko sawa kaka
Mimi namuitaga the genius he is the true hero
Mwambeeeeeeee usiniletee swagaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅
❤❤❤❤😂😂😂Nimekupenda sana
🤣🤣akili Sanaa ahahaa
Baba uko vizuri sana
anatisha sana #Dr sukuma
Very nice brother
Msukuma mwamba aisee kampiga bati msela
Namuona maguful part two
Dr king msukuma
Kwei
daah nimecheka sana yani wewe msukuma Mungu anqkuona ila kwa mema mkuu wangu🙏
Xav sana wambiye waelewe
Kama nimemuelewa hiv
Msukuma ana kitu atafika mbali 😅
Sana
😂😂😂😂😂piga kelelee Kwa msukuma waleeeeeee
Muskuma yukosawaa
@@pauloryoba8462 ipo siku kitaamka bungeni maana so poa sema msukuma mjanja sana anaongea kama masihara kumbe anasema kweli anajihami kujiganya kama hamnazo 🤣🤣🤣
Nakupenda Sana msukuma wetu
LETS GO TO DUBAI
Tungelkuwa na watu 10 wa namna hii nchini 2ngepiga hatua za kutembea na sio zakutambaa
Yes this is msukuma
Safi sana mkuu
Ni kweli kabisa
Huyu Mzee mungu amlinde
Kama kuna form za kujaza kuhamia geita vijijini tafadhali naomba
Natamani wabunge wote wangekuwa kama huyu
Dr king msukuma magu ajaye
mbona kama kalewa? na mbona anaita spika na huyo ni mwenyekiti?
Amechanganyikiwa,unaita mtu spika wakati sio spika
Respect
Upo vizuri
Hii chuma haijawahi niangusha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
One man army! Kongole sana,Mheshimiwa Msukuma. Wenye akili zetu timamu hapana shaka TUMEKUELEWAAA!!!
Bro una akili kubwa sana, ayo masomi atakwenye familia yapo, niyaovyo, uko sawasana sana twendelee MUNGU yupo
❤Ninamwamin sana huyu jamaa hunambii kitu
Ni Moja ya professor kwangu
Dr
Upewe uraisii unawez
7weyu
Huyu jamaa ana kitu kikubwa mno. Kweli kabisa madokta wengine bungeni ni mazwazwa tu
🤣🤣🤣🤣ila uyu musukumaa mpk raha
Duh hiyo misifa, ndio italeta lami?
Sema Kwa uwezo wa mwenyezi MUNGU 2026 utakuwa hapohapo 🙏🏿🤔🇹🇿
Amin 🙏
Mpaka bungeni kuna back bencher😂
Namagufuli alivyo kua akijenga mabarabara ma daraja walikua wanapinga
Msukuma nakupenda bure
Leo kiko wapi
😅😅😅😅 msukuma hata Mie najivunia kuwa msukuma
Dokta upo saw
😂😂😂😂
Haka kajamaa huwa kanaongea fact sana
Amejaliwa kusema kwa mdomo bila kutumia brain
Unatisha sana kiongazi tunaomba uje mleba bukoba tunaimani nawewe
Pembeni gwajima😂😂😂
Tunabaki na mavichaka tu tunalima zabibu😂😂😂
Namkubar sana mshkaji
AKILI KUBWA!
Alichangia vizur sana ila nahis alipiga K Vant au Konyagi
Hahahah ngosha the swagger don
Ivi mabunge mengine yanakazi gani maana toka tumeyachagua sijawahi kuyasikia kutetea hoja za wananchi wake😢
Magu pt2
😁😁
Gwajima😂😂 kwamba hazija qualify
🔥🔥🔥