KUFUKUZWA KAZI WATUMISHI DARASA LA SABA, MSUKUMA ALIAMSHA DUDE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ametoa sharti gumu kwa serikali baada ya kusema kama aiwezi kuwarejeshe kazini watumishi wa darasa la saba walioachishwa kazi, basi iwaachishe pia ubunge wabunge walioishia elimu hiyo akiwemo yeye mwenyewe.
    Msukuma ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma leo.

ความคิดเห็น • 177

  • @rasbantu4835
    @rasbantu4835 6 ปีที่แล้ว +13

    Big up Msukuma! wewe una kipaji cha asili, ulichopewa na mwenyezi Mungu. Msukuma for the President! Hapa kazi tu.

    • @nkalalisaka4441
      @nkalalisaka4441 3 ปีที่แล้ว

      Msukuma siuje ugombee kwenye Jimbo letu baliadi mjini

  • @wilbertchambilo7608
    @wilbertchambilo7608 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah, safi sana

  • @iddothmani3273
    @iddothmani3273 3 ปีที่แล้ว +5

    Msukuma ubarikiwe 🙏 Sana.

  • @maxmillianebenezer9270
    @maxmillianebenezer9270 6 ปีที่แล้ว +3

    Kaka Msukuma nakukubali sana. Your have a good speech geita amkukosea kabisaaaa

  • @shabanmanyama1694
    @shabanmanyama1694 4 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa Maana walio wengi nidalasa la saba wana miladi yao mikubwa hata kuna baadhi ya wabunge ndugu yao wameajiriwa na dalasa la saba

  • @user-yv5nx4pp1q
    @user-yv5nx4pp1q 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtanzania hàlis kwa kujaali ndugu wa tanzania

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 6 ปีที่แล้ว +11

    akili zako angekuanazo profesa elimu ingekua mbali ,uko vizuri

  • @eliudkitulu9187
    @eliudkitulu9187 5 ปีที่แล้ว +5

    Nakukubali sana mh msukuma hakika unaitendea hak kaz yako ya ubunge!

  • @happynessjohn3904
    @happynessjohn3904 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi Sana ndomaana nakupenda Sana mumbunge wetu

  • @user-ue8oy2sg1u
    @user-ue8oy2sg1u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda iyo mweshimiwa

  • @dicksonmwalo519
    @dicksonmwalo519 6 ปีที่แล้ว +11

    Msukuma Leo umeongea maana sna,maana watu hawa wanafanya sana halafu ndo wapga kura

  • @dengerengisaruni1859
    @dengerengisaruni1859 5 ปีที่แล้ว +3

    Musukuma hatakama hawajakuungamokono lakn umeongea hongera sana kaka

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 ปีที่แล้ว +7

    Nafasi yako mungu anajua utafika mbali sn ktk uelewa wako

  • @MenaVenance
    @MenaVenance 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongozee maarifa nakukubali sana kiongoz

  • @user-hh6bt1hx7u
    @user-hh6bt1hx7u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sawa

  • @user-hr6mi2wx5d
    @user-hr6mi2wx5d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli msukuma mungu akupe miaka mingi

  • @jenifacharles6085
    @jenifacharles6085 ปีที่แล้ว +1

    YupO sawa kbxa

  • @josephmekaba4864
    @josephmekaba4864 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kiongozi

  • @GeorgeDeus-y2x
    @GeorgeDeus-y2x วันที่ผ่านมา

    Hongera msukuma

  • @raziambwana2145
    @raziambwana2145 5 ปีที่แล้ว +4

    Ndofaida yakula dona na mayai yenye baba unakuwa na Akili ya Asili, lkn angekulaga zaman sembe na mayai yasio na baba ungeogp kutetea kwa vile na ww ni7.

  • @byelatibazigiza4305
    @byelatibazigiza4305 ปีที่แล้ว +2

    Msukuma ajengewe sanamu yake Ikulu jaman umeongea point nzri sana, darasa la 7 wanadharauliwa sana maana ata kwnye uandikishaji wa wapiga kura ua hawapew nafasi ata yakusimamia, wanaletwa walienda skondari izo nidharau nakuogeza umaskini kwnye nchi yetu,mtu anadharauliw mpaka yy mwnyew anajidharau mwsho wa sku darasa la saba anakua wakukaa tu nymbni kulima kilimo kikigoma ndo keshafeli elimu yake jaman😢inaskitisha sana ifike wakati serikali iliangalie ili kwa huruma sana jaman,ningeandka mengi lkn acha tu niishie apa

  • @EliaKinyaga
    @EliaKinyaga 3 หลายเดือนก่อน

    Umetisha sana

  • @user-ym2mg7dn7y
    @user-ym2mg7dn7y 4 หลายเดือนก่อน

    God aku bless sana kwa kutusemea wa Tz

  • @GaudinRuboroga-vr2jh
    @GaudinRuboroga-vr2jh ปีที่แล้ว +2

    Msukuma chuma Cha puaaaa👍

  • @YussuphOmary
    @YussuphOmary 4 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri sana msukuma endeleya kuongey

  • @jacobmathius3096
    @jacobmathius3096 4 ปีที่แล้ว +3

    Namkubali san msukuma

  • @maigathomas2353
    @maigathomas2353 3 ปีที่แล้ว +1

    Point

  • @HassanKiyombi
    @HassanKiyombi หลายเดือนก่อน

    Nimependa

  • @MakutaChrispro-lk8gj
    @MakutaChrispro-lk8gj 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali msukuma wakwetu

  • @ElishaChongomabe
    @ElishaChongomabe 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana msukuma😷

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde sana baba

  • @davidojuok1608
    @davidojuok1608 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wisdom detected from this guy

  • @halimamwaita2929
    @halimamwaita2929 ปีที่แล้ว

    Baba.ubarikiwe.mungu.akuweke

  • @samwelimsungu8312
    @samwelimsungu8312 6 ปีที่แล้ว +12

    Kweli naamini hoja siyo elimu ni kukaa na kutafakari Msukuma unaonekana kituko lakini unaongea logical issues

  • @pillykimenyi846
    @pillykimenyi846 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera msukuma una busara ya kuzaliwa kuzidi hata wa

  • @SalumJumanne-o1r
    @SalumJumanne-o1r 6 วันที่ผ่านมา

    N ukweli Mzee baba sisi watu wa dalasa la Saba wanatuzarau sana

  • @KassimMohammad-jz5ww
    @KassimMohammad-jz5ww 4 หลายเดือนก่อน

    Point taken

  • @user-fj2jd5pj7e
    @user-fj2jd5pj7e 11 หลายเดือนก่อน

    Asantee

  • @WariobaMwita-so3kc
    @WariobaMwita-so3kc 5 หลายเดือนก่อน +3

    Naupenda sana wimbo huu maana unipa nguvu kiroho

  • @livingstoneurassa4949
    @livingstoneurassa4949 6 ปีที่แล้ว +2

    Kweli, kusipokuwa na uangalifu wa hali ya juu, kutakuwa na matabaka ya wasomi na darasa la saba.

  • @MichaelSwai-p6x
    @MichaelSwai-p6x 2 หลายเดือนก่อน

    Ongea baba tunakukubali sana

  • @EmanuelKiroshi
    @EmanuelKiroshi 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli wew ukisimama kila kitu iko sawa

  • @user-ir5tx6br1b
    @user-ir5tx6br1b 11 หลายเดือนก่อน

    Go front

  • @JosaphatRupily-nu4ic
    @JosaphatRupily-nu4ic 4 หลายเดือนก่อน

    Asnt san,kwa utetezi wako nzr

  • @hosearwechungura7164
    @hosearwechungura7164 6 ปีที่แล้ว +3

    Mhe. waga mkorofi ila leo umeongea point, safi sana uwe hivyo siku zote!

  • @user-ow5dv1ht6i
    @user-ow5dv1ht6i 2 หลายเดือนก่อน

    Msukuma hoyeeee

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 2 ปีที่แล้ว

    Ana point

  • @innocentoder8481
    @innocentoder8481 ปีที่แล้ว

    Nakukubaliii,,,,zaidiiii

  • @hamisiamini9320
    @hamisiamini9320 2 ปีที่แล้ว

    sawa

  • @atumwakafungula2064
    @atumwakafungula2064 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaa.

  • @FrankChuma-ug4bj
    @FrankChuma-ug4bj 2 หลายเดือนก่อน

    Matukio

  • @DoktaNjoolay-yz9kt
    @DoktaNjoolay-yz9kt ปีที่แล้ว

    Musukuma leo bungei

  • @KatunziJovitha
    @KatunziJovitha 4 หลายเดือนก่อน

    Waoo

  • @neemaadamu3698
    @neemaadamu3698 ปีที่แล้ว

    Big app sana

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeen

  • @BonifaceSambo-ze6jh
    @BonifaceSambo-ze6jh ปีที่แล้ว

    Tena inabidi hata serikali imwangalie kwa jicho la pekee,kipimo ni nani anaongoza kwa kuvutia kusikilizwa na kuchekesha,hapo wengine watatafsili tofauti,hao hawakosekani,mtani nakupa bigup.😅😂😅😂😅😂😅😂

  • @DanieliSaimoni-bf3nb
    @DanieliSaimoni-bf3nb 7 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @mamaally6134
    @mamaally6134 4 ปีที่แล้ว

    big up kaka hongera sana

  • @MasungaSitta-j9o
    @MasungaSitta-j9o หลายเดือนก่อน

    Www e champion

  • @DanfordMboka
    @DanfordMboka 5 หลายเดือนก่อน

    Ndy baba msukuma sema!!

  • @RajabuAbillah-uv7sf
    @RajabuAbillah-uv7sf 4 หลายเดือนก่อน

    Lajabu abilah

  • @lucresiashee1289
    @lucresiashee1289 4 ปีที่แล้ว +2

    nice🖒

  • @andreamkilaha2225
    @andreamkilaha2225 7 หลายเดือนก่อน

    True

  • @rashidmfaume1819
    @rashidmfaume1819 6 ปีที่แล้ว +4

    upo vzr sana msukuma bonge la point

  • @mashaurikilawa1185
    @mashaurikilawa1185 6 ปีที่แล้ว +4

    upo vzri nahisi kama nchi yetu ingekuwa inaangalia uzoefu zaidi ungepewe hata umwenyekiti wa kamati

  • @ShijjaAshimu
    @ShijjaAshimu 3 หลายเดือนก่อน

    Suba🎉

  • @PaschalMasinda-gl4hd
    @PaschalMasinda-gl4hd ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @AllyWaziri-bo3je
    @AllyWaziri-bo3je 3 หลายเดือนก่อน

    Hatar jmn

  • @BonifaceSambo-ze6jh
    @BonifaceSambo-ze6jh ปีที่แล้ว

    Msukuma ni mtu wa tofauti saana, mimi binafsi namwelewa sana,namwita mbunge wa watanzania wote wa darasa la sana,maana wengine wote wanaona haya kuitwa darasa la saba,wakati hoja zake,zinaongeza umri wa kuishi.😂😂😂

  • @rodgersnyakundi9974
    @rodgersnyakundi9974 ปีที่แล้ว

    Uyo mama angetoka 2 amuachie wasiri mkuu kiti majaliea tumechoka shule imekuwa kama biashara darasa 4 mtoto analipa 42000 afanye mtiani kweli magufula akuwa na iyo bajeti mama unakopa ila atuoni unacho Fanya Tanzania kweli

  • @user-kv2pe1zo4z
    @user-kv2pe1zo4z ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉🎉🎉chukua. Maua yako

  • @JustineJohn-ow9yz
    @JustineJohn-ow9yz 4 หลายเดือนก่อน

    That’s is a thing that matter

  • @stevenjrmziho8691
    @stevenjrmziho8691 6 ปีที่แล้ว +1

    We jamaa nomaa

  • @allymfangavoo6065
    @allymfangavoo6065 5 ปีที่แล้ว +2

    Umeogea point Sant

  • @user-uf9nd4ji5k
    @user-uf9nd4ji5k 8 หลายเดือนก่อน

    Msukuma nomaà

  • @kelvinalex5644
    @kelvinalex5644 6 ปีที่แล้ว +1

    Hilo ndoo umeliona Leo

  • @VicentKagwa
    @VicentKagwa 17 วันที่ผ่านมา

    Ni sahihi kabisa huo ndo ubunge halisia .

  • @peninanoelnoelpenina
    @peninanoelnoelpenina ปีที่แล้ว

    Vzr sana

  • @nispalaurian
    @nispalaurian ปีที่แล้ว

    ndiyo na wabunge wa darasa la 7 hatuwataki bungeni

  • @shalifuyahya7544
    @shalifuyahya7544 5 ปีที่แล้ว +2

    Musukuma unge fika chuo kikuu haki ya mungu ungekuwa inchi za nnje siyo tz

  • @user-rc3mk2us9b
    @user-rc3mk2us9b 11 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @issapesakwanza7005
    @issapesakwanza7005 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndom bunge asiee raza damu akiwa Bingen bigapu msukuma

  • @elizabethswai1790
    @elizabethswai1790 4 ปีที่แล้ว

    Msukuma safiiiiii

  • @jamilasaleh9610
    @jamilasaleh9610 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ndo mbunge namba moja nnae mkubal tanzania umezungumza ukwel % from zanzibar

  • @desderydidas4088
    @desderydidas4088 ปีที่แล้ว

    Jembeee la taifaa hiloo

  • @boniphacegekwe6015
    @boniphacegekwe6015 6 ปีที่แล้ว +4

    kuna eneo nimemuelewa hasa upande wa majeshi

  • @JamesKatimba
    @JamesKatimba 2 หลายเดือนก่อน

    musukuma kama mm ningekua mukazi wa geita kwenye uchaguz ukiweka koti lako linaxhinda musukuma ww ndomubunge unae tetea wanaich

  • @MisungwiPius-ih2kd
    @MisungwiPius-ih2kd 11 หลายเดือนก่อน

    Kwahil ulinena vzr

  • @fideahyera2599
    @fideahyera2599 ปีที่แล้ว

    Daa huyo ndo Mbunge Sasa!

  • @JohnMussa-cw8yy
    @JohnMussa-cw8yy 4 หลายเดือนก่อน

    Matukio 2:25 2:27 2:28 2:29

  • @paskalifaustni
    @paskalifaustni หลายเดือนก่อน

    hongera sa 2:35 n baba sema yote

  • @Rukiamussa-xe3ib
    @Rukiamussa-xe3ib 10 หลายเดือนก่อน

    Mh.musukuma tumamaga ndugu wane

  • @emmymaduka8599
    @emmymaduka8599 3 ปีที่แล้ว

    Big up musukuma ww nijembe

  • @user-ip8ex9xt9h
    @user-ip8ex9xt9h 6 หลายเดือนก่อน

    Saf2 nambie

  • @francism6675
    @francism6675 6 ปีที่แล้ว +7

    Lakini wengine wamekufa tayari kwa presha ya maisha

  • @kuluthumkaguna9174
    @kuluthumkaguna9174 4 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👍👍👍👍

  • @sadakamfuru1360
    @sadakamfuru1360 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka kujua kuhusu wale wafanya kazi walioanza kufanya kazi kuanzia miaka 80 Hadi leo waje wapewe mikataba mipya ya mwaka 2000 jaman. Mama Samia ebu wafikilie hao watu wametumia nguvu zao mda mrefu sana. Ss nilikuwa naomba rais wangu mama Samia Hawa wafanya kazi jaribu kuwafikiria kuhusu pesa zao za NSSF chama Cha mafao wawe wanalipwa Kama miaka ya nyuma Kama wafanya kazi wa post na sim leo mtu ana staafu hakuna anacho faidika nacho mtu kafanya kuanzia mwaka wa 83 ety atalipwa kupitia mkataba ambao umeanzishwa hivi karibu naomba sana fatilia mitaba ya hao watu vzr rais

  • @jacobpaul1145
    @jacobpaul1145 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu nae aelewekagi....yupo direction... Inayo eleweka

  • @kulwakashindye5546
    @kulwakashindye5546 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka chapati kazi

    • @shijakulwa8676
      @shijakulwa8676 5 ปีที่แล้ว

      Nakukubal Mr.msukuma

    • @koyeemollel9288
      @koyeemollel9288 5 ปีที่แล้ว

      Mbona uwatete maskari wa wanyamapori wawo hawafai kurejeshwa Ngorongoro imeoza hatuna mtetezi bungeni tutete nasisi