Huo yawezekana ni mwendelezo wa vitendo viovu dhidi ya wapenda Hali,unaofanywa na "Watu Wasiojulikana! Nakumbuka wakati Fulani kesi kuhusu "ukatili aliofanyiwa yule kijana ikiendelea,Kuna mtu Fulani alitishia maisha dhidi ya watu ambao wangejihusisha na kesi hiyo iliyhusu Mbunge Gekul. Lakini sikumbuki kama mtu huyo alichukuliwa hatua yeyotena Jeshi la Polisi kule Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi ktk Benki Fulani.
YAANI TUKISEMA HAKUNA ALIYESALAMA TUELEWANE TU LUGHA MAANA ULIANZA UTEKAJI UKALELEWAAA....HAKUNA HATUA MADHUBUTI JUZUIA NA SASA UTEKAJI MEZAA MAUAJI NA KILA MTU ANAJIFANYIA KADRI AWEZAVYO
Sasa yeye.ana kazi.yakusulubu..roho.za.watu .wapo anao watendea kweli.wapo anao waonea we kama wakili kutembea mwisho SAA kumi na.mbili Vingi nevyo .nauza.. Roho mnajiona😊😊😊
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Nch hii ishakosa muelekeo
Huo yawezekana ni mwendelezo wa vitendo viovu dhidi ya wapenda Hali,unaofanywa na "Watu Wasiojulikana!
Nakumbuka wakati Fulani kesi kuhusu "ukatili aliofanyiwa yule kijana ikiendelea,Kuna mtu Fulani alitishia maisha dhidi ya watu ambao wangejihusisha na kesi hiyo iliyhusu Mbunge Gekul.
Lakini sikumbuki kama mtu huyo alichukuliwa hatua yeyotena Jeshi la Polisi kule Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi ktk Benki Fulani.
Jaman ,jaman kwa nn lkn binadsmu wamekuwa wabaya hivi bora wanyama, poleni familia Mungu awatie nguvu.
Hii ndiyo ile nchi ya amani au tumebadilishiwa nchi?
Mwandishi unashindwa kutofautisha kati ya askari magereza na askari polisi
kwa mtu anaetumia akili na ku-connect dot atajua tu kifo icho kimetokeaje,kwann na nani kahusika......
Ki ujumla yule mama ngekul akamatwe ndo kaagiza hayo yote
Hivi wauaji wanasali wapi?
Kwamba huko wanakosali wanatumwa wakaue?
Wanaswali na Shetani
shida watu mnafikiri kila anaesali ni mwema, watu wanafanya dini kama kinga
Hakuna aliee salama juu ya Madhalimu,
Mtihani jamani sikuhizi.watu.wengi wanaroho ngumu sana
Chunguza mwenye kesi inawezekana kaweka matawi pembeni
YAANI TUKISEMA HAKUNA ALIYESALAMA TUELEWANE TU LUGHA MAANA ULIANZA UTEKAJI UKALELEWAAA....HAKUNA HATUA MADHUBUTI JUZUIA NA SASA UTEKAJI MEZAA MAUAJI NA KILA MTU ANAJIFANYIA KADRI AWEZAVYO
Haya wanasheria nao wameanza kushuhiilikiwa maana hawa wao wanaujua ukweli lakini wanamtetea mwenye pesa sasa kwa hali hii visasi havitaisha
Hawa wauwaji wetu hawakomi hawa.Lazima jitihada zifanyike watiwe adabu popote pale!
Itakuwa alipigwa nyundo
Watu sasahi wanaua wenzao km nzige
Ogopa mtu ambae amefanyiwa kitu halafu watu wanamtetea mkosaji
Hawa mbingu wataisikia chalinze
Itakuwa nyundo nzito
😅😅😅😅😅
Mkiwa mnavikao vywenu unachukua hoteli.baada.y maongezi. Unalala.hapohapo
Sasa yeye.ana kazi.yakusulubu..roho.za.watu .wapo anao watendea kweli.wapo anao waonea we kama wakili kutembea mwisho SAA kumi na.mbili Vingi nevyo .nauza.. Roho mnajiona😊😊😊
Hii nchi sasa ivi inaogopesha yaani ndugu yako akitoka nyumbani umuombee dua arudi salama
Wamemgekur