Joha Kassim-Kinyanganyiro.mpg

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 175

  • @isamony58
    @isamony58 4 ปีที่แล้ว +10

    Piga keleleeeeeeee🇹🇿👌👌👌❤️❤️❤️❤️watanzaniya wezangu mpoooooo

    • @Zamda-j6h
      @Zamda-j6h ปีที่แล้ว

      Weweeeeeeeeee❤❤❤❤❤

    • @LameckMatinde
      @LameckMatinde 4 หลายเดือนก่อน

      Wadhurst mpo

  • @selemanshidda9688
    @selemanshidda9688 ปีที่แล้ว +1

    The Tanzanians have this beautiful music-TAARAB. It is a fusion of ARABIC melody and BANTU beats.

  • @مريممحمد-ض8غ4ف
    @مريممحمد-ض8غ4ف 3 หลายเดือนก่อน +1

    2024 muko wapi ! Nipeni like zangu mwenzenu nishapanda mpaka meli🎉🎉❤😊🎉

  • @zuhrahalima5987
    @zuhrahalima5987 7 ปีที่แล้ว +12

    Jokha kassim ndiye anayejuwa kucheza taarab kiistaraabu.

  • @abuwaleed01
    @abuwaleed01 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee Yusuf hapa alikua hana comeback, ukisikia tatu bila ndio hii. Leyla na khadija walirusha madongo lakini wapi? Mpaka kesho hii ndio ilikua fimbo ya jahazi

  • @sihamnjagi
    @sihamnjagi 9 ปีที่แล้ว +5

    Hushobokei jahazi sio..ushapanda meli...nimependa hiyo safi sana dada ake

  • @RabiaSimba
    @RabiaSimba 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee yussuf zishamfika salam zake

  • @alihumoud9289
    @alihumoud9289 6 วันที่ผ่านมา

    Big J. Umetulia songa mbele

  • @vincentchirimwami6599
    @vincentchirimwami6599 11 ปีที่แล้ว +5

    hongera sana upo juu nakufagiria huna mpizani na usie penda ugonvi wala makuu

  • @Marywanjohi-xq8ck
    @Marywanjohi-xq8ck 10 หลายเดือนก่อน

    Jokha kassim upo juu Sana napenda nyimbo zako Mary from Kenya

  • @mtawasimba3033
    @mtawasimba3033 4 ปีที่แล้ว +4

    2020/ tujuane. kwa jokha kassim

  • @gracekanini6394
    @gracekanini6394 4 ปีที่แล้ว +3

    Jokha kassim unaweza

  • @HaibaTawakal
    @HaibaTawakal 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari meipenda hii balaaaa 💞💞💞🕊️🕊️

  • @nadyaabdallah4211
    @nadyaabdallah4211 3 ปีที่แล้ว +1

    naaaaaaaam umenikoxha xn yaan ni xaw na umeniimbia kwa ajili yang kumxem ex wang

  • @omarkitoja597
    @omarkitoja597 2 ปีที่แล้ว

    Omar toka Mombasa ..kitu kiko na nguvu mpaka Leo hii ya sasa.

  • @selemanshidda9688
    @selemanshidda9688 ปีที่แล้ว

    Bravo Tanzania and your good Swahili!!

    • @HasnaSawaid
      @HasnaSawaid หลายเดือนก่อน

      Naipeda sana❤

  • @AwadhShewo-iy7ce
    @AwadhShewo-iy7ce 7 หลายเดือนก่อน

    Iko sawa,Joha uko juu mama.

  • @shuwenamohammed7982
    @shuwenamohammed7982 11 ปีที่แล้ว +3

    i like this song so much big up jokha kassim

  • @asharamadhani16
    @asharamadhani16 11 ปีที่แล้ว +5

    Kweli dada bunduki yake haina risasi! Duuuuh hii nimeipenda sana.

  • @sumeyahusna837
    @sumeyahusna837 ปีที่แล้ว +1

    Joha rudi kwa taarabu umenyamaza

  • @nyabisemaro2095
    @nyabisemaro2095 7 ปีที่แล้ว +3

    huyu Dada ndiye Mmoja wa wakongwee wa Taarabuu,wakiwemo Mwanahawa ally,Khadija kopaa

  • @unkolli
    @unkolli 4 ปีที่แล้ว

    Joha kasim napenda maneno yako piya nawewe mwenyewe

  • @simonkihara6060
    @simonkihara6060 8 ปีที่แล้ว +1

    much love jokha form kenya

  • @KweraHamidu
    @KweraHamidu ปีที่แล้ว +1

    Taarabu. Ninzuri. Sana. Na inaujumbe. Wakutosha

  • @SuperSperro
    @SuperSperro 11 ปีที่แล้ว +3

    I love the voice and the song of jokha yr the greatest

  • @herrychaula4110
    @herrychaula4110 3 ปีที่แล้ว

    Umetisha!dada joha nakukubali

  • @omarkitoja597
    @omarkitoja597 4 ปีที่แล้ว +1

    Nazipenda sana mpaka leo jokha nyimbo zako.mi niko Mombasa natamani kuona concert yako live.

  • @bizomakaranga2963
    @bizomakaranga2963 6 ปีที่แล้ว

    nampenda huy dada bs katik waimbaj wa enz izo jokha namba moja yuko vzr

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukitasiri hiyo nyimbo anachwambwa mtu hapo ndiyo hivyo

  • @nasrairunga7730
    @nasrairunga7730 7 ปีที่แล้ว +11

    Nilianza kupenda taarab na huyu joha anaimba kama hataki lakini anachoma joh tumekukumbuka mwaya

    • @mwajumakileo288
      @mwajumakileo288 6 ปีที่แล้ว

      Nasra Irunga

    • @mwajumakileo288
      @mwajumakileo288 6 ปีที่แล้ว

      Nipe Domola udaku

    • @kombowaura9044
      @kombowaura9044 5 ปีที่แล้ว

      Joha Dada yang unamdogo wako tfanye ndoa nimeimisi sana familia yenu

    • @rahmaathuman5694
      @rahmaathuman5694 5 ปีที่แล้ว

      yan sijui nikwambienn kwajinsi ninavyo kupenda

  • @bwantanfumo4283
    @bwantanfumo4283 6 ปีที่แล้ว +1

    penda huyu dada sana.nyimbo zake zimetulia

  • @gumatoadhihuka641
    @gumatoadhihuka641 3 ปีที่แล้ว

    Chezza!!!?.Love. From Norway. ❤❤❤❤.

  • @sikuzanmusa
    @sikuzanmusa ปีที่แล้ว

    Safi sana nyimbo Yako nimeikubati inaujumbe mkar

  • @frankhamissi
    @frankhamissi 12 ปีที่แล้ว +1

    joha, kassim i love u somuch ... unaimbavizuri sana

  • @kidamanikizurikichuna4925
    @kidamanikizurikichuna4925 12 ปีที่แล้ว +2

    vijembee vikaliiii bijoha.... kamanoma naiwenoma duh hehehehe

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว

    Jokha uko vizur sana hongera 💋🤣💕

  • @sgfdhaikuhusu6086
    @sgfdhaikuhusu6086 4 ปีที่แล้ว +1

    Nipo hapa naangalia 10/7/2020 tuekee na domo la udaku

  • @UmrathSaeedHusseinUmrathhusens
    @UmrathSaeedHusseinUmrathhusens 8 หลายเดือนก่อน

    2024 upo vizuri dada

  • @hadijahaji300
    @hadijahaji300 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice nzurii

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 7 ปีที่แล้ว +1

    Masha'allah hongera sana da Joha kwa kazi nzuri

  • @muhammadnufailmuhammadnufa4261
    @muhammadnufailmuhammadnufa4261 6 ปีที่แล้ว

    Jamn jokha tume kumiss ktk gem au na wewe umeacha bila kujitangaza? Love you jokha

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว +7

    hii nyimbo dou ama ali muimba mzee yusufu ina mabonge hatari ya maneno

  • @herrychaula4110
    @herrychaula4110 3 ปีที่แล้ว

    Kweli, hushoboki joha

  • @Zamda-j6h
    @Zamda-j6h ปีที่แล้ว

    Og snaaa🎉🎉🎉

  • @DodoTz-zt5ss
    @DodoTz-zt5ss 9 ปีที่แล้ว +1

    wajina huyo mashaallah wape wape vdonge vao

  • @nasonnyagenda9360
    @nasonnyagenda9360 8 ปีที่แล้ว +6

    Risasi ziliisha kapigia ndege pori dege lisoliwa hadi risasi zikaisha

    • @ashuraatanas5967
      @ashuraatanas5967 7 ปีที่แล้ว

      Nason Nyagenda
      Hahahahh wanichekesha weye

  • @kombohasla6952
    @kombohasla6952 8 ปีที่แล้ว +2

    kama sauti ya kasuku tishaaa sana jokha

  • @gracesuleiman7458
    @gracesuleiman7458 2 ปีที่แล้ว

    Naipenda siku zote hii nyimbo

  • @factcheck_studios
    @factcheck_studios 8 ปีที่แล้ว +2

    Jokha Kassim ...hiyo kali, sexy mama........

  • @adivenshaija9979
    @adivenshaija9979 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizur mashairi yako

  • @rosemarykenedy8438
    @rosemarykenedy8438 7 ปีที่แล้ว +3

    waooooo penda sana ww

  • @edwardwangombe2358
    @edwardwangombe2358 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana bunduki ya kichina haina risasi,,,, conspiracy

  • @mariamsuleimanmunguakupeum6552
    @mariamsuleimanmunguakupeum6552 7 ปีที่แล้ว +5

    nampenda sana huyu mdada kwani yeye uwaga ana pupa alafu ni mstarabu wa kuimba sana

    • @salammohammedy9316
      @salammohammedy9316 3 ปีที่แล้ว

      Anajisikia sn ndo mn hn papal

    • @happy9883
      @happy9883 2 ปีที่แล้ว

      @@salammohammedy9316 muongo ata alingi jokha namjua vzur sana

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 7 ปีที่แล้ว +5

    Da Joha we noma mashairi mazuri sana

  • @crgmack5866
    @crgmack5866 9 ปีที่แล้ว +1

    we dada hufai ata kidogo unarusha roho yangu kwa iyo sauti yako na hayo maneno yako hapo unaposema (eti usijifanye fundi stadi kila chombo ukiendesha)

  • @nurusalimmwinyikambi7224
    @nurusalimmwinyikambi7224 11 ปีที่แล้ว

    Umenimaliza da John kassim kweli vyote vingaavyo sidhahabu......argeeeeeee

  • @kenwanjogu4429
    @kenwanjogu4429 4 ปีที่แล้ว +3

    His gun is China's made it can't work i love this, well composed

  • @ibrahimmsafiri2656
    @ibrahimmsafiri2656 3 ปีที่แล้ว

    am in love

  • @mwakush
    @mwakush 12 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa bi Jokha mpashe kinomanoma uko juu sana Tabasamu la kumwagaaaaaaa

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 7 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sana wanawake sisi mhh

  • @zuhrahalima5987
    @zuhrahalima5987 7 ปีที่แล้ว +3

    Yaani hii matusi yote ni kwa mzee yusuf ama nani jameni.

    • @bwantanfumo4283
      @bwantanfumo4283 6 ปีที่แล้ว

      jibu unalo.ana bunduki la kichina risasi halina

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 ปีที่แล้ว

      hapo sasa.

    • @khadijahali6856
      @khadijahali6856 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣hilo ndo jawabu my dear

  • @ustadhlecky7608
    @ustadhlecky7608 8 ปีที่แล้ว +6

    binti huyu alitunukiwa na sauti ...achana na jahazi taarab

  • @herrychaula4110
    @herrychaula4110 3 ปีที่แล้ว

    Kwaumbo ulinivutia, kumbe ushapitwa na wakati

  • @asuumzeemtwana
    @asuumzeemtwana 11 ปีที่แล้ว +1

    Peperusha bendera ya taarab uko juu dada

  • @marthaemmanuel3323
    @marthaemmanuel3323 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda jokha

  • @sarahjimm6906
    @sarahjimm6906 8 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo nzuri sana

  • @mwanaishayusuph6646
    @mwanaishayusuph6646 6 ปีที่แล้ว +1

    nampendaga huyu mdada anavoimba

  • @mammitomohamed7265
    @mammitomohamed7265 9 ปีที่แล้ว +1

    hehee nalo neno ilo jokha

  • @fatumahamisi1194
    @fatumahamisi1194 7 ปีที่แล้ว

    Santhhaaa joha kassim

  • @nufailmohamed4408
    @nufailmohamed4408 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana jokha jaman ilove you 💋💋❤

  • @edsonkahwa6812
    @edsonkahwa6812 8 ปีที่แล้ว

    Uko vzr mtoto!

  • @happyashim6073
    @happyashim6073 5 ปีที่แล้ว

    Naomba wimbo wa DOMO LA UDAKU JAMANNNN

  • @vicentjohn5900
    @vicentjohn5900 7 ปีที่แล้ว

    nkupendaaaaaa bureeeeee

    • @fatumahhincha5014
      @fatumahhincha5014 5 ปีที่แล้ว

      Vicent John napenda sana nawimbo mzuri kama ww fatma hincha

  • @MjomaMjoma
    @MjomaMjoma 10 หลายเดือนก่อน

    Naipend san hii taarab

  • @dadimtipodadi2259
    @dadimtipodadi2259 ปีที่แล้ว

    Au shobokei zahazi rake Ww ushapanda meli dar

  • @zuhuraramadhani5731
    @zuhuraramadhani5731 9 ปีที่แล้ว

    jokha wewe nomaa

  • @mtawasimba3033
    @mtawasimba3033 4 ปีที่แล้ว

    we ninoma mmmmmh. hayo maneno yani yakurera haswaaaaaaaaa sema upo gud sana

  • @basiliomatanga2306
    @basiliomatanga2306 9 ปีที่แล้ว +2

    great voice Jokha Kassim .... may someone translate this great stuff for me

  • @nasonnyagenda9360
    @nasonnyagenda9360 8 ปีที่แล้ว

    Duuuuuuuuh kumbe nina shida na wewe jokha

  • @mtawasimba3033
    @mtawasimba3033 4 ปีที่แล้ว

    hao wachezaji sasa hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @khadijahali6856
      @khadijahali6856 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂ni wazimu wenyewe aki

  • @fatinasudi1139
    @fatinasudi1139 8 ปีที่แล้ว

    love you jokha kasim

  • @agent48classified40
    @agent48classified40 4 ปีที่แล้ว

    Damn..this taarab they were going soo hard...

  • @aishaally7819
    @aishaally7819 9 ปีที่แล้ว

    hapo chacha weweeeee

  • @afallfalbeity1855
    @afallfalbeity1855 8 ปีที่แล้ว +1

    domo raudaku muimbaji joha kasimu

  • @esthernyokabi832
    @esthernyokabi832 ปีที่แล้ว

    2023 all gather here

  • @ezekielbaga1061
    @ezekielbaga1061 7 ปีที่แล้ว

    nikweli kabis hawo mwanao kupapatikia na waonea hurum

  • @stephenobwana8455
    @stephenobwana8455 ปีที่แล้ว

    Joha kassim

  • @babujayjay7561
    @babujayjay7561 12 ปีที่แล้ว

    MPE MPE WEWE KWELI MKALI JOKHA KASIM UPO JUU NA KIMAPOZI UNAYAEWEZA NA HII NYIMBO KALI MNO SANAAAA

  • @saidruge9213
    @saidruge9213 8 ปีที่แล้ว

    very nice

  • @tabumnali5387
    @tabumnali5387 2 ปีที่แล้ว

    Naipenda

  • @resimayahayaresimayahaya2348
    @resimayahayaresimayahaya2348 8 ปีที่แล้ว

    nakupenda jokha

  • @munirakhalidikimaya4267
    @munirakhalidikimaya4267 2 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @kithinjiboniface
    @kithinjiboniface 5 ปีที่แล้ว

    Hii ndio maana things on the ground are different fahamishwa

  • @marianyerembe4157
    @marianyerembe4157 11 ปีที่แล้ว

    mulemule dada jokha

  • @rashidhassan9576
    @rashidhassan9576 6 ปีที่แล้ว

    Sauti mwana dada mola kakupa

  • @bizomakaranga2963
    @bizomakaranga2963 6 ปีที่แล้ว

    ham na ww sina,,....bunduk yako ya kichina ndan risas haina

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 6 ปีที่แล้ว

    ndo kashaolewa mwenzio afu umuwezi Leila ww yule yupo juu we hny we waumiza roho yangu na Leo tena

    • @jokhakassim4241
      @jokhakassim4241 6 ปีที่แล้ว +1

      Kwani ndo wa kwanza au wa mwisho kuolewa.... Sikiliza ujumbe uwache pupa mwanamama

  • @hassanhaji7800
    @hassanhaji7800 8 ปีที่แล้ว

    One love

  • @tariqmohamed4314
    @tariqmohamed4314 3 หลายเดือนก่อน

    8:06

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 ปีที่แล้ว +4

    Bunduki yako ya kichina ndan risas haina 😂😂