HANIFA MAULID MAKAVU LIVE official video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 175

  • @mummishy6107
    @mummishy6107 ปีที่แล้ว +13

    Nani mwengine anarudiarudia 👌🏼👌🏼❤❤2023 hapo ss ofisi yake ina chaza siri yake naitoa.💃💃💃💃💃

  • @sarahomary3615
    @sarahomary3615 3 ปีที่แล้ว +17

    Miaka yote nasikiliza nyimbo za huyu mdada mpaka nazijua na Jina nalijua Sema sura sikuwahi kumjua dah napenda sana nyimbo zako jamani 😘😘😘😍😍😍

  • @cristinamacher5544
    @cristinamacher5544 2 ปีที่แล้ว +13

    Jaman Chiku wa kombolela unaweza Mpenzi , Ubarikiwe

  • @moshijoseph4590
    @moshijoseph4590 2 ปีที่แล้ว +10

    Saafiiii Chiku wa bi kikala nakupendajeeeee❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mariamomar8046
    @mariamomar8046 5 ปีที่แล้ว +34

    28/1/2020 me natazama km nawe watazama gonga like hapa tujuwane

  • @marympemba8843
    @marympemba8843 5 ปีที่แล้ว +10

    Kazi yako ni nzuri sana. Hongera wewe na mtunzi wako keptain temba

  • @esterngogo6990
    @esterngogo6990 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyoo ndio chikuu sas wa mzee kikala

  • @arafanalinga3144
    @arafanalinga3144 3 ปีที่แล้ว +33

    Naendelea kusikiliza ngoma tam 2021 wanao angalia Kama Mimi gonga like kwa jike la chui💪

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 2 ปีที่แล้ว

    Kipaji chako ki wasi. Endelea na kazi nzuri. Epuka na kazi ya BBC kulipoti hata yasiokuhusu. Hatari kubwa. Dada, nakupenda- Jike la Chui. Dr. Ogeto International

  • @Michellejerotichkeino
    @Michellejerotichkeino 2 ปีที่แล้ว +5

    Taarab is simply the best therapy to me it defines my life ❤️🙏👏. Kipendacho roho ni dawa📌

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว +7

    Anae iludia tena 2021 nani kama mimi

  • @tatukachingwe1730
    @tatukachingwe1730 2 ปีที่แล้ว +2

    Chiku weeeee ,kaimbe bb Akina akurudie tena🤣🤣🤣

  • @priscarkandonga7701
    @priscarkandonga7701 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiii nyimbo nilikua naitafuta niliisikia kitambo sana leo kama bahatiii

  • @hellenanthony305
    @hellenanthony305 3 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo tamu haichuji😍🔥 nairudia mara mbili mbili

  • @rodrickmnolela539
    @rodrickmnolela539 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo pambee👌👌👌 hata kwetu wapo visokorombwinyo waliovamia maji watatoka nduki🏃🏃🏃

  • @christinandaki4249
    @christinandaki4249 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada weee mie nakukubali. Like

  • @rehemanyemboog8420
    @rehemanyemboog8420 5 ปีที่แล้ว +5

    Mimi bongo sio mgeni utanisemea wapi haaaaa hanipha hatariiiiii

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 2 ปีที่แล้ว

    Kuanzia Leo nakufwatilia shoga angu,nyimbo nafaham lkn ckujua kama ww chiku wa kombolela duh ,hongera sn ,harusi yangu ntakutafuta

  • @dodomachamngandatv2826
    @dodomachamngandatv2826 5 ปีที่แล้ว +5

    mm hapabongo siomgeni utanisemea wap nyampua upo hapo kiju hanifa pambeee 👌👌👌👌👌👌

  • @immamoloko
    @immamoloko หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤ dada unaujua mziki wa taarabu

  • @AzizaKey-lz5dd
    @AzizaKey-lz5dd 8 หลายเดือนก่อน

    Jike la chui kazi zako nazipenda lakini naomba utuwekee wimbo wa nafunga mtaa ukiwa full naupenda sana big up dada yangu

  • @abigaelsonga2488
    @abigaelsonga2488 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Mama la Mama kombolela na taarabu kote upo vzr ujapata kunikela mwenzako

  • @mrsalam1094
    @mrsalam1094 2 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa llaa chiku wa bibi kikala mungu akulinde

  • @ramadhanmohamed1290
    @ramadhanmohamed1290 2 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri sana nikiisikiliza najisikia nipo duniani

  • @mariammsengi113
    @mariammsengi113 ปีที่แล้ว

    Daaah nilikuwa nakuonea huruma ulivyokuwa ukiandamwa na ndugu zako Siwa na Govinda la mtaa 😄😄 ila nakupenda mnooh hanifa sijui na kwenye uhakisia mpole Ivo Ivo duuh

  • @pascalandrea9053
    @pascalandrea9053 5 ปีที่แล้ว +10

    Ninamajeshi kila upande hahaaaahalooooo utanicmea wapi ww

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 10 ปีที่แล้ว +8

    Naona mwenda kwa mwendokasi ktk kuboresha Modern Taarab. Changamoto kwa Muziki wa Kizazi Kipya na Muziki wa dansi pia.

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 3 ปีที่แล้ว +2

    Ii kazi haichuji ata kwa miaka 100

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ndio huyu wa lombolela

  • @marympemba8843
    @marympemba8843 5 ปีที่แล้ว +3

    Hanifa kazi mwimbo mzuri sana, unamafundisho mengi sana. Keep it up

    • @salmamahuba5321
      @salmamahuba5321 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakupenda sana dada hanifa nyimbo zako ziko bomba

  • @hadiakidunda6630
    @hadiakidunda6630 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo htr sana hongera dada

  • @josephinelittle6623
    @josephinelittle6623 4 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri hanifa, keep it up

  • @shaabans.marijani9659
    @shaabans.marijani9659 6 ปีที่แล้ว +11

    Da! Imetulia sana,upo poa

  • @kidekidevula8930
    @kidekidevula8930 ปีที่แล้ว

    Ikovizur dada taarbu zko nazipenda sna

  • @husnahomar9447
    @husnahomar9447 6 ปีที่แล้ว +22

    asili yako ya uji,thamani yangu yakeki,,nakushangaa nigombane nawe kwa lipi??😎😎

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 6 ปีที่แล้ว +4

    jua la utosi bado lako linakuwakia pambe sana 😘😘😘😘😘

  • @jocyalex7957
    @jocyalex7957 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana hanifa nakupenda unavoimba kwa kujishaua

  • @nancyamary6629
    @nancyamary6629 3 ปีที่แล้ว

    Anifa. Ongera. Ilenyimbo. Ishupambe aaa umenikosha Sana

  • @sarahalfani3124
    @sarahalfani3124 5 ปีที่แล้ว +5

    Umshukuru isha maana unamkopi kila kitu

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe unatabia za mbwa 😅 safi sana

  • @demitrahawkins5457
    @demitrahawkins5457 5 ปีที่แล้ว +1

    10:40... Kasuku ndio nyimbo hio..kajituliza kwake kasuku....napenda utunzi na hifadhi ya Sanaa bonge la jike la chui

  • @mwanahmoody9951
    @mwanahmoody9951 2 ปีที่แล้ว

    Keep it up dadaa. Mungu akujaalie kipaji zaidi Inshallah

  • @saidshaibu6676
    @saidshaibu6676 ปีที่แล้ว

    Jmn nakupenda huu wimbo mpkaa

  • @mariammwendakazungu5783
    @mariammwendakazungu5783 2 ปีที่แล้ว +1

    Bint kikala mpe malkia mweusi hana sauti😂😂😂

  • @ritasheriff7814
    @ritasheriff7814 5 ปีที่แล้ว +5

    Twaipanda jeti rafiki na sio bajaji!!! Asante

  • @lovie231
    @lovie231 3 ปีที่แล้ว +1

    Nani amemwona mama Rukia kabla hajatangulia mbele za haki

  • @fauziasalim9646
    @fauziasalim9646 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe chiku ndio aliimba hii wimbo😍😍

  • @swaumumustapha4926
    @swaumumustapha4926 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda Anifa

  • @munaongoeliebamongi8128
    @munaongoeliebamongi8128 2 ปีที่แล้ว

    Aksanti sana ndugu lafiki wangu

  • @jamesmaucha8307
    @jamesmaucha8307 6 ปีที่แล้ว +6

    kaz nzuriii jke la Chuiiiii

  • @eyshermohammed2236
    @eyshermohammed2236 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwez wa 1 tareh 2o mwaka 2020 nacoment Dada anifa umenkosha

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 6 ปีที่แล้ว +10

    nakupenda ww dada

  • @marthamathias7268
    @marthamathias7268 ปีที่แล้ว

    mi leo ndo najua kama chiku mubaji

  • @christinandaki4249
    @christinandaki4249 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunafurahi kuturudishia taarabu mjengoni

  • @frekmkaliwakali2119
    @frekmkaliwakali2119 3 ปีที่แล้ว

    Duh!!!! Sema mliopo Tz mnafaidi hv watoto wazur kama hao wapokweli au wameisha???

  • @zubedamohamedathmanzubedam1104
    @zubedamohamedathmanzubedam1104 4 ปีที่แล้ว +1

    Wapi namie mtoto wa mjini👌

  • @christinandaki4249
    @christinandaki4249 3 ปีที่แล้ว +1

    Amaaa kweli mwanikosha moyo wangu pambeeeee

  • @benjaminsiro2142
    @benjaminsiro2142 6 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri wana modern taarabu

  • @ashatego2464
    @ashatego2464 4 ปีที่แล้ว

    Nashangaa hapa bongo utanisemea wap kijuso

  • @moreensteven2216
    @moreensteven2216 6 ปีที่แล้ว +5

    Haloooo chezea hanifa wewe utalala hoi

  • @zulfarwanda8456
    @zulfarwanda8456 6 ปีที่แล้ว +10

    Nimeikumbuka leoo

  • @hanifamaulid9290
    @hanifamaulid9290 2 ปีที่แล้ว +1

    Wembwa acha kunitumia

  • @salmakayanda8126
    @salmakayanda8126 5 ปีที่แล้ว +2

    2020 Bado nasikiliza pambe tuuu

  • @lolototo1557
    @lolototo1557 5 ปีที่แล้ว +2

    Unanimaliza hapo ukitaka kudundana uwanjani hahaaaa

  • @kadhijahhhh9457
    @kadhijahhhh9457 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanao angalia 23/8/2020 tujuane apa..🇰🇪

  • @AishaNassir-d1l
    @AishaNassir-d1l 19 วันที่ผ่านมา

    2024 anyone???❤❤❤❤🎉🎉

  • @irenekalama8992
    @irenekalama8992 3 ปีที่แล้ว +1

    Tambala maisha bora

  • @ruqdhatallyn5259
    @ruqdhatallyn5259 4 ปีที่แล้ว

    Weken hanifa maulid naufunga mtaa na ishu pambe

  • @allyndunda1109
    @allyndunda1109 2 ปีที่แล้ว +1

    Bado inatamba hadi 2022 naiangalia

  • @remaz-tf6zh
    @remaz-tf6zh 2 ปีที่แล้ว +1

    Hanifah nskupenda

  • @annaprosper4488
    @annaprosper4488 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana hanifa uko juu

  • @annaprosper4845
    @annaprosper4845 5 ปีที่แล้ว +2

    Wewe Dada nakupenda Sana aisi

  • @faridadadi1243
    @faridadadi1243 6 ปีที่แล้ว +9

    Pambeee pambileeeee

  • @stellagitonga6872
    @stellagitonga6872 6 ปีที่แล้ว +6

    aki halifa maulidi unamapasho let them hear

  • @HarunaSaidi-jq4ip
    @HarunaSaidi-jq4ip ปีที่แล้ว

    Nakupendaaa❤❤❤❤

  • @priscafabian3884
    @priscafabian3884 5 ปีที่แล้ว +1

    kumbe unatabiya za mbwa hhhhh hatari sana

  • @dadihashimu233
    @dadihashimu233 5 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda sana uyu dd

  • @fatmamgomba2557
    @fatmamgomba2557 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana dada

  • @mwanasitidigore7260
    @mwanasitidigore7260 6 ปีที่แล้ว +7

    napenda hanifa

    • @saimonemmanul7115
      @saimonemmanul7115 6 ปีที่แล้ว

      Mwanasiti Digore ngoma yako nzuri honger

    • @ziadasalim8807
      @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว

      nina majeshi kila upande oyoooo

  • @swaumkiduma7867
    @swaumkiduma7867 2 ปีที่แล้ว

    Chiku wakombolela kanz nzur

  • @edwardkasimiri4938
    @edwardkasimiri4938 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama umeimba maneno makati

  • @chrispinerkahindi1193
    @chrispinerkahindi1193 2 ปีที่แล้ว

    Sawa kabisa

  • @fatumasimama7009
    @fatumasimama7009 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hiyo safi sana

  • @bj12900
    @bj12900 5 ปีที่แล้ว +1

    Watanisemea wapi nina majeshi kila upande

  • @priscamfoi2989
    @priscamfoi2989 5 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri sana

  • @shamilamuhamedi7904
    @shamilamuhamedi7904 2 ปีที่แล้ว

    Chiku ubarikiwe

  • @saumukiduma
    @saumukiduma ปีที่แล้ว

    Saf san chiku wa kombolela

  • @aseliboaz
    @aseliboaz 3 ปีที่แล้ว

    nzuri sana jike la chui

  • @grecemuoka5165
    @grecemuoka5165 4 ปีที่แล้ว +1

    Hanifa napenda nyimbo zako sana

  • @salumukaisi4222
    @salumukaisi4222 3 ปีที่แล้ว

    Na 21 Niko hap

  • @norahsteven2662
    @norahsteven2662 ปีที่แล้ว

    Zilipendwa diamondi

  • @agnesmartin8844
    @agnesmartin8844 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe unatabia mbwa loooh

  • @mariambenderakatoi2891
    @mariambenderakatoi2891 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah chiku penda wwe sna ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KhamisiAbuu
    @KhamisiAbuu 3 หลายเดือนก่อน

    Yupo vzuli cna

  • @teresavictorina1234
    @teresavictorina1234 4 ปีที่แล้ว +4

    God bless you

  • @agnessmlali5291
    @agnessmlali5291 6 ปีที่แล้ว +3

    uko vizuri

  • @mbarakaabdallah3468
    @mbarakaabdallah3468 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo za kiswa kaswiba

  • @neemacharlesvicentvicent985
    @neemacharlesvicentvicent985 5 ปีที่แล้ว

    mulizen mxhangaen nigombane nae kwa lipi

  • @omarimbwana
    @omarimbwana 8 หลายเดือนก่อน

    2024 tujuae

    • @RahmaAlly-g9g
      @RahmaAlly-g9g 8 หลายเดือนก่อน

      Tupo😂😂😂❤❤

  • @husnahomar5133
    @husnahomar5133 4 ปีที่แล้ว +1

    Oct 31st 2020still my favorite