𝐉𝐀𝐇𝐀𝐙𝐈 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Fatma Kassim Hakuna Mkamilifu (Official Video) produced by Mzee Yusuph

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 284

  • @FatmaMazige-l2z
    @FatmaMazige-l2z 5 หลายเดือนก่อน +47

    Kama unasikiliza huu mwimbo 24 gonga like hapa

    • @ZaharaAshraf
      @ZaharaAshraf 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yeah

    • @kamarhelo
      @kamarhelo หลายเดือนก่อน

      Hiv ni mwimbo au wimbo afu mbona kama mzigua mwenzangu wew 😂😂😂😂 mana nakumbuk nilikua na mwalimu wangu wa darasa anaitwa mazige

  • @Ibracadablamaster45
    @Ibracadablamaster45 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kama unaangalia nyimbo hii 2025 gonga like apa

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 4 หลายเดือนก่อน +14

    Kila Mja Anakasoro Zake... Aliye Mkamilifu Hayupo 🔥
    Hii Ni Yetu Sote Mpaka Leo 2024 ❤
    Hakika Yameongezeka 🌍

  • @RehemaRamadhani-o9q
    @RehemaRamadhani-o9q ปีที่แล้ว +34

    2024 bado na enjoy na hii nyimbo

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 10 หลายเดือนก่อน

      Tupo 2024 tunaangalia nadn ya oman

  • @abdillahzuberi548
    @abdillahzuberi548 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi ndizo tunaita taarab baada kupita twaarab acha na hzi taalabu za sasaaaaa

  • @JamilaYusuph-l7b
    @JamilaYusuph-l7b 4 วันที่ผ่านมา

    Wapi tunaoskiliza 2025❤

  • @Khalfan-h4o
    @Khalfan-h4o 2 หลายเดือนก่อน +7

    tunao sikiliza hii laza 2024 gongo like hap🎉🎉❤

  • @IbnuUmara-yh5cp
    @IbnuUmara-yh5cp หลายเดือนก่อน +1

    mi nauelewa sana siachi kuuskiliza yan mistar imetulia na muimbaji ametulia nataman kumuona nimpongeze kwa wimbo huu kwakwel nampenda sana bi fatma kassimu

  • @WaziriKilo-y2z
    @WaziriKilo-y2z 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mkamilifu hakuna bado naupenda Sana huu wimbo sichoki kuuangalia

  • @fallynational4625
    @fallynational4625 10 หลายเดือนก่อน +51

    Wale wa 2024 gonga like hapa❤

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 ปีที่แล้ว +42

    Hongereni sana kina dada sichoki kuitazama na kuiskiza nyimbo hii jamani mpaka leo 28/1/2023 nikiwa Saudiarabia from kenya nawapenda sannaaa 💕💕💕💕💕🥰🥰

  • @PollyShop-pv5nn
    @PollyShop-pv5nn 4 หลายเดือนก่อน +3

    22/8/2024 Maua yenu mpewe 🎉🎉🎉🎉 mtunzi mzee yusuph Allah akuweke ❤

    • @joycembago5213
      @joycembago5213 หลายเดือนก่อน

      Jamani naupenda sana huu wimbo

  • @ChorojuniorChoro-i1c
    @ChorojuniorChoro-i1c 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee yusuph mfalme mwenyewe hivi vipaji ulikuwa unavitoa wapi Fanya mpango uwaludishe wote team iwe kama zamani

  • @mudytandiko4698
    @mudytandiko4698 ปีที่แล้ว +5

    nakumbuka nikiwa bongo land pande flan magomen jahazi ya moto moudy south Africa

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo mzikitu mziki ungikua wa hovyo isingipendeza

  • @MarynesKaindoa
    @MarynesKaindoa 7 หลายเดือนก่อน +6

    9/6/2024 napenda hii nyimbo yanakutoka maneno kwa moja nilokosea mema yangu mia tano unayafukia.duhuuuu.

  • @rizikisalim4554
    @rizikisalim4554 3 ปีที่แล้ว +103

    Ikiwa umefungua mwaka mpya wa 2022 na huu wimbo bado wauskilza nipee like hapaa

  • @fatmakindamba3029
    @fatmakindamba3029 ปีที่แล้ว +18

    Kama unasikiliza hadi now agost 2023 nipe likes zangu

  • @Mwanasomo
    @Mwanasomo 5 หลายเดือนก่อน +3

    Sichoki kusikiliza huu wimbo kila nikisikiliza siku yangu inaenda vizuri nasikiliza nikiwa saudi Arabia 26/7/2024

  • @moudymorasejr1021
    @moudymorasejr1021 ปีที่แล้ว +4

    2023 December 18 niko hapa.. kusikiliza maneno mazuuriii❤

  • @rehemascaba5521
    @rehemascaba5521 3 ปีที่แล้ว +60

    Tunaorudia kuangaria 2021 tujuane🥰

  • @HalimaHassan-i5r
    @HalimaHassan-i5r 11 หลายเดือนก่อน +14

    Nimekuja kusikiza Leo 31/1/2024😊

    • @MickaJohn-s2b
      @MickaJohn-s2b 2 หลายเดือนก่อน

      Tunasikiliza wote ma'am la mama asa kwa sisi mashabiki wa yanga tunaenjoy

  • @LinaMsiska
    @LinaMsiska หลายเดือนก่อน +1

    Watching from South Africa much love kweri asinichukulie poya

  • @Hassan.Ghamunga
    @Hassan.Ghamunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    ni nomaaa sanaaa

  • @ashamohamed1245
    @ashamohamed1245 3 ปีที่แล้ว +34

    Kwakweli hakuna mkamilifu mungu pekee 🥰😘👌

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +47

    Dah namuona dada yangu hapo marehemu Habiba, Allah ampe kauli thabiti na amuondolee adhabu ya kaburi

    • @afrakanaswahilitv5520
      @afrakanaswahilitv5520 3 ปีที่แล้ว

      Pole kwa taharifa ya mmoja ya wasanii kufariki Dunia. Mola amjalie na kuilaza roho yake pema peponi, Amina.

    • @thepijo1264
      @thepijo1264 2 ปีที่แล้ว +1

      Habiba ndo yupi?

    • @fatumasuleiman6537
      @fatumasuleiman6537 2 ปีที่แล้ว

      @@thepijo1264 aminn

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 ปีที่แล้ว +1

      Habiba niyupi hapo kaimba wimbo gani😭mbona sijafahamu maskini

    • @jaystar1004
      @jaystar1004 ปีที่แล้ว

      INSHALLAH

  • @abdulsaid5518
    @abdulsaid5518 ปีที่แล้ว +4

    hii taalabu sichoki kuskiliza mpaka leo 17/10/2023

  • @hamadmagomba8439
    @hamadmagomba8439 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wazo amazing Taarabu omg Mzee Yusuph unakwama wapi kurudisha hii Team aiseee

  • @MickaJohn-s2b
    @MickaJohn-s2b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nikikumbika ih jahazi daaa tulikua tunapata burudani jamani mzee warudishe hawa watu walikua wanaitendea haki jahazi awa wapiga vinanda

  • @AishaIssa-l4q
    @AishaIssa-l4q 10 หลายเดือนก่อน +16

    Kama bado unaupenda huu mwimbo gonga like Leo /24/2 2024 tujuwane nipo mbande za lraq❤❤❤

    • @TamarChirwa
      @TamarChirwa 3 หลายเดือนก่อน

      Mbagala moja hiyo tupo pamoja msela wangu sisi watu wa pwani tunajuana sana oyoooooooooooooooo

  • @fauziaabdillahi376
    @fauziaabdillahi376 ปีที่แล้ว +4

    Waofungia mwaka wa 2023 na hii nyimbo ganga like hapa tujuane

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 2 ปีที่แล้ว +7

    Jamani uyu Dada yupowapi mbona kimya

  • @ba.terror6819
    @ba.terror6819 11 หลายเดือนก่อน +13

    2024 nipee likey🎉❤

  • @azadinsweddy9471
    @azadinsweddy9471 ปีที่แล้ว +11

    Mtoto huyu anasauti nzuri mpaka nyoka katoka pangoni jameni

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 3 ปีที่แล้ว +18

    Nyimbo yang pendwa😘

  • @rehemamwinyihamisi3888
    @rehemamwinyihamisi3888 3 ปีที่แล้ว +16

    Hii ni nzuri kinoma naipenda sanaaaaaaa❤❤❤❤

  • @JacksonMukabwa
    @JacksonMukabwa ปีที่แล้ว +5

    2024 bado tuko pamoja huku

  • @zainakidile3826
    @zainakidile3826 2 ปีที่แล้ว +11

    Mashaallah yaani unazidi kuwa mpya kila kukicha big up 💃

  • @GervasiMwacha-l1h
    @GervasiMwacha-l1h 8 หลายเดือนก่อน +4

    Unabagua watu wakati hujui hayo matendo.

  • @abdijabbarhussein2068
    @abdijabbarhussein2068 8 หลายเดือนก่อน +2

    For seriously hi wimbo niliskia kwa usb yngu Kwa mix hadi nilitafuta full song since 2017 sijachoka kuiskia fatma kasim hii. Umemaliza

  • @ismailmakame3972
    @ismailmakame3972 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kasema kweli hakuna alotimia. Kapatia Sanna itufuza mazuri sio mapezi 6:14 6:16

  • @NasraAdamu-fq7mf
    @NasraAdamu-fq7mf 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekuja kuisikiliza 25 /4/2224 jaman napat lah za pwani ❤❤❤

  • @collinsmalika7349
    @collinsmalika7349 3 ปีที่แล้ว +7

    Kuna mwana dada moja huyo mnene ako sawa ya leta raha kweli.

  • @beatricekipinge5560
    @beatricekipinge5560 7 หลายเดือนก่อน +3

    yan after yrs nimeumis huu wimbo leo

  • @HappyCassettePlayer-tm8vg
    @HappyCassettePlayer-tm8vg 11 หลายเดือนก่อน +3

    I love taarabu sana jamani kama mtu kanikera huwa nasikiliza taarabu

  • @saurasoso1543
    @saurasoso1543 2 ปีที่แล้ว +12

    Naipenda sana hii nyimbo huwa sichoki kuisikikiza♥️

  • @moudboss8981
    @moudboss8981 3 ปีที่แล้ว +13

    Namuona Marehem jomon
    Mungu ampe Kauli thabiti

    • @sahalesaidi8822
      @sahalesaidi8822 3 ปีที่แล้ว

      Marehem niyupi apo

    • @moudboss8981
      @moudboss8981 3 ปีที่แล้ว +2

      @@sahalesaidi8822 aliyesimama kushoto wa kwanza aliyevaa gauni jeupe refu lenye maua myekundu,zambalau,kijani na meusi

    • @zuchuu6659
      @zuchuu6659 3 ปีที่แล้ว

      @@moudboss8981 ww ajafa uyo dada anakaa mbagala mama shamimu

    • @moudboss8981
      @moudboss8981 3 ปีที่แล้ว

      @@zuchuu6659 Basi labda Dida alikosea kutangaza na hakuwa anafahamu vizuri

    • @moudboss8981
      @moudboss8981 3 ปีที่แล้ว

      @@zuchuu6659 Tuulizie vizuri Mana tunamiss Uwepo wao wote

  • @OganaBamsi283
    @OganaBamsi283 4 หลายเดือนก่อน +1

    kukosea kupo ila sijawahi kuona kosa kwa huyu mtoto 🤗😍😍😍😍

  • @Salamatoboke
    @Salamatoboke 9 หลายเดือนก่อน +3

    28 march 2024 bado naipenda sana hii song kama imetoka jana

  • @KlthomTenz-jd1un
    @KlthomTenz-jd1un ปีที่แล้ว +4

    Mungu peke yake ndo kakamlika babu ee

  • @TumadhirAli-uf6oy
    @TumadhirAli-uf6oy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hichi kitu ni kikali kweli kila mtu kinamgusa

  • @GervasiMwacha-l1h
    @GervasiMwacha-l1h 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mmoja ametimia mwengine bali Rahman😊

  • @athumanwaziri4896
    @athumanwaziri4896 3 ปีที่แล้ว +14

    Daaaa huu wimbo umenifanya nikumbuke mambo mengi sana mzee Yusuf kwakweli ulikuwa bingwa wa kutunga

  • @irenekatumwa9668
    @irenekatumwa9668 ปีที่แล้ว +4

    Najiliwaza leo tarehe 10/1/2024

  • @GervasiMwacha-l1h
    @GervasiMwacha-l1h 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mkamilifu hakuna. Naipenda sana hii nyimbo

  • @davidzacharia2373
    @davidzacharia2373 3 ปีที่แล้ว +6

    Daaah hii taarab mm nilikua msela na mgumu mtu wa hip hop... Ila hizi tungo bhana awa watu wanastahili tunzo bhana

    • @dizochitela2015
      @dizochitela2015 2 ปีที่แล้ว

      Duuu kweli yakale dhaabu

    • @aminamzee6295
      @aminamzee6295 ปีที่แล้ว

      Tuache utani mzee yusufu bingwa wakutunga napenda Sana taarabu zake 🙏

    • @maharachangwa
      @maharachangwa ปีที่แล้ว

      Uhu utam ni hatare

  • @ammonkalama768
    @ammonkalama768 10 หลายเดือนก่อน

    Mie nipo hapa ikiwa ni tarehe 21-3-2024.

  • @pala8917
    @pala8917 ปีที่แล้ว +4

    Marehemu hapo niyupi

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 ปีที่แล้ว +5

    Mzee yusuph rudisha hili kundi tena please

    • @nuubaby
      @nuubaby ปีที่แล้ว +2

      Tatiz ssahv soko la taarab limekufa😢

    • @sinashomar2628
      @sinashomar2628 ปีที่แล้ว +1

      ​@@nuubabysio soko limekufa shida utunzi umekuwa ziro

  • @muharammlawa9879
    @muharammlawa9879 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mami ww unajuwa na juwa kama unajuwa

  • @ZubedaBakari-ij3tk
    @ZubedaBakari-ij3tk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana iinyimbo ❤❤

  • @SalamaJoseph-in2il
    @SalamaJoseph-in2il 9 หลายเดือนก่อน +2

    nyimbo tamu sana 2024

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 ปีที่แล้ว +4

    Huu wimbo daa naupenda sana kuuckiliza bado upo poa sana 2022/10/4 bado nipambe

  • @samueldominick6804
    @samueldominick6804 ปีที่แล้ว +7

    Hii imeenda😅🏌🏾‍♂️🏌🏾‍♂️

  • @chididekomwelanduga6789
    @chididekomwelanduga6789 3 ปีที่แล้ว +6

    Hapa mzee ulifanya Nazi sio mchezo na fatma kasim kautendea haki wimbo

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 3 ปีที่แล้ว +8

    Pongezi kwa wimbo mtamu. Asante sana.

  • @luciamgila4353
    @luciamgila4353 2 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante Dear 🙏 Kwa kuchagua Malaika kama Wini

  • @charlesmaina7294
    @charlesmaina7294 ปีที่แล้ว +2

    Shida yusuph kawaoa wote jameni.. Hili kundi lilikuwa 🔥🔥

  • @pala8917
    @pala8917 2 ปีที่แล้ว +3

    Marehemu hapo Ni yupi

  • @FatumaHussein-l4q
    @FatumaHussein-l4q 10 หลายเดือนก่อน +1

    Namm napenda dada wajina mungu akutunze

  • @mwahijaismaily538
    @mwahijaismaily538 3 ปีที่แล้ว +11

    Mkamilifu hakuna 😊

    • @saidmohamed8605
      @saidmohamed8605 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/G43nMtl_xF4/w-d-xo.html

  • @herrychaula8175
    @herrychaula8175 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna alietimia.mukamilifu ni mungu tu

  • @helixvince6699
    @helixvince6699 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo hatari! Mtunzi abarikiwe sana🙏

  • @lindadibondo1147
    @lindadibondo1147 2 ปีที่แล้ว +9

    My best taarab 😍

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 ปีที่แล้ว +6

    Sadakta mkamilifu nimungu tuu🙏🙏🙏👍👍👍👍👍💯💯💯💯💯

  • @jaystar1004
    @jaystar1004 ปีที่แล้ว +2

    Sina baya?
    Answer. Hakuna mkamilifu ❤️

  • @chumamsemakweli
    @chumamsemakweli 11 หลายเดือนก่อน

    Nipo nasikiliza Leo tarehe 4/2/2024

  • @kaizambagwa5128
    @kaizambagwa5128 11 หลายเดือนก่อน

    05/02/2024 Niko pamoja na nyinyi wadada

  • @maryfredy3519
    @maryfredy3519 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante Dada umebarikiwa sauti

  • @arambawaziri1252
    @arambawaziri1252 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri vitabaki kua Vizuri ❤❤ hakuna mkamilifu

  • @MariamuHassanali
    @MariamuHassanali 6 หลายเดือนก่อน +1

    Woyoooooooooooooo

  • @chidboy3372
    @chidboy3372 ปีที่แล้ว +1

    Chd big dew drop simanga jichooo

  • @neemagerald1007
    @neemagerald1007 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tupo 2024....🎉

  • @JumaMvungi-rp2dw
    @JumaMvungi-rp2dw ปีที่แล้ว +2

    Hakuna alie timia

  • @AbdulkadrKinyunyu
    @AbdulkadrKinyunyu หลายเดือนก่อน

    Taarab ilikuwa hii unackiza hadi unafurah

  • @GervasiMwacha-l1h
    @GervasiMwacha-l1h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hata uweje

  • @Maseke10
    @Maseke10 3 ปีที่แล้ว +6

    Nyimbo tamu sana

  • @3rafahom40
    @3rafahom40 3 ปีที่แล้ว +8

    Mema yangu mia tano💯👌🙏

  • @Fatumaadam-r2q
    @Fatumaadam-r2q ปีที่แล้ว +2

    Nimei penda sana huu wimbo❤❤❤❤

  • @emmanueljuma651
    @emmanueljuma651 3 ปีที่แล้ว +4

    kwei kabxaa dada zngu mko sawa, nawapenda sn

  • @CuteyNabbz
    @CuteyNabbz ปีที่แล้ว +1

    Sawa kabisa mama

  • @kudratabuu1103
    @kudratabuu1103 5 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo Tamu hatr

  • @ngaipetro8149
    @ngaipetro8149 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzeeyufu
    Taarabu

  • @nuratymrembo1005
    @nuratymrembo1005 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwakweri akuna mkamilifu duniani

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 ปีที่แล้ว +2

    Congratulations 👏👍 keep it up good job

  • @aminaaamina1878
    @aminaaamina1878 2 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah taarab Nzuri sana

  • @saquinaalisufo7666
    @saquinaalisufo7666 ปีที่แล้ว +2

    Nimepita nilimiss

  • @hadijaosman9000
    @hadijaosman9000 ปีที่แล้ว +1

    0:53 I love the song very much it inspire me so much 😂❤🎉🎉😊😊❤😂

  • @neemachinganja7942
    @neemachinganja7942 2 ปีที่แล้ว +3

    Napenda bidada ww

  • @مسلمهكينيا
    @مسلمهكينيا 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah muimbaji👌