huninyaganyi oukanda , nimetulia waranda,una shuka ninapanda, uko moja, niko kenda,, jitangaze mitaani jitangaze harousini mi nawe hatushindani, najua kiruka njia pakulala wapangiya waume wahamia yoyote kwako sawia,najua kiruka njia huchaguwi wafyagia , wivu we hutonitia heko dada Mwanaidi nyimbo poa sisi ni waswahili
Dope, this song took us to the national level in the secondary schools music festival. We performed it to the best, kolanya boys them days. I like the song.
The song we sang in the 2010,music festival. It really took us places up to national level, music festival,Moi girls Barkorwa,,,nice song.it reminds me primary life.
Watanzania waswahili, hebu mnisaidie hapa. Mimi ni mkenya. Swahili sanifu ni gani hapa? Wimbo huu au nyimbo hii? Nimekua nikijua kuwa ni wimbo kwa umoja na nyimbo kwa wingi. Ngeli ya (U-Zi)
Stil listening in my 2nd wedding anniversary...Alhamdulillah mnipe like jamaani 😙
Wewe ni mtoto wa Mwanaidi?
@@josephwahome4836 nop
Oya kitambo sana hzi taarabu I like it 2024
Anybody listening in 2020?👏🏽❤️
Hakika uhondo woote naisikuza jamaneni
huninyaganyi oukanda , nimetulia waranda,una shuka ninapanda, uko moja, niko kenda,, jitangaze mitaani jitangaze harousini mi nawe hatushindani, najua kiruka njia pakulala wapangiya waume wahamia yoyote kwako sawia,najua kiruka njia huchaguwi wafyagia , wivu we hutonitia heko dada Mwanaidi nyimbo poa sisi ni waswahili
thank's for that song... I love it. na pia kwa mapicha za pale kwetu Zanzibar!!!! I miss you all. SHKAMOOOOHHHH
Dope, this song took us to the national level in the secondary schools music festival. We performed it to the best, kolanya boys them days. I like the song.
mpati huyo utasota sana umpati huyo,so interesting song
I love this song. Am fun of taarab songs and even am an artist ..all the the way from janibu za mlima elgon...hata wabara hupenda nyimbo zenyewe
Yani ladha kama zote mm naisikiliza 2020
Nimezaliwa 2000 lakini nazipenda taarabu za zamani jamani zina ujumbe pambe 😂😂😍😍😍😍
Tupo wote wa 2000😘😍❤
Kumbe mtoto ww
❤
Sasa sikiliza maneno ya mkosaji ndo utaelewa vizuri zaidiii ndugu
Aaaa waswahili wote wa taarabu wabarikiwe kwa wimbo zao...........so sweet
Kama unasikiliza 2019 gonga like
Mashallah
Shaaaaaaaa
Old is gold...2018🙋
Huninyang"ani ukanda....uko moja niko kenda
Old is gold kweli yani mpaka sasa bado iko na utamu nani nae sikiliza 2020 September like
iko lit sana,,,,,,aki nipenda hi song sana
It’s 2022 and I am still listening with my heart melting for the love of this song 🎵 🎵 🎵
Nyimbo za zamani haziishi utamu.
Sana my
Bona ziishe
Nyimbo za zamani
titi la mama ni Tamu hata kama ni la umbwa....tukiwa Ujerumani twalilia hizo.....
kazi yako soda chips na nusu kuku 💯💯💯🌟🌟
my GOD, so nice, with golden voice.
Anyone listening in 2018???????🙏🙏🙏
Omarito Abdi kabisa
Kabisa twaipata kama kawa. .😎
Zama hizo Dio zoa Hadi Sasa 2018
We’re 2020 and this is still a hit for me 🔥
Sweet taarab..i love the tree 🎄🎄 naming. 2021💪💪
Taarabu zamani...siyo Sasa . Shkamooni wakongwe
Shakila Masoud nakuba enzi izo zamani hairudi
Malhabaa enzi ze2
hii nyimbo inanikumbusha harus ya baba mdogo wanng
Umeshuhudia harusi yababaako mdgo?
Safi naielewa hii nyimbo kinoma yani salumu toka dodoma emaunsi
am nat used to these kind of music but when this come across my ears
ooooooppssssss
Analishwa nyama kilo mbili....gaddamn....haha
hahahaaa hunitixh umedod xiwew wa kunipku,nixhidah
kwa lipi utanishinda huna bao zoa-zoa ,dada umechina tuliza boli mimi sikidogo, tuliza boli hutingishi gogo yebbbbbbbbbbbbbbbba
.
Kwakweli....!!!hilo nalo neno
The song we sang in the 2010,music festival. It really took us places up to national level, music festival,Moi girls Barkorwa,,,nice song.it reminds me primary life.
Hongera. Mliimba lyrics zilivyo au lyrics tofauti?
Mko vizuri modern taarabu jamani
iko lit sana,,,nmependa hii song kwa lyf yangu
I just love this melody.I must admit Huu ndio wimbo uliniletea kupenda taarab
Daaa enzi hizo Ekweta grill mtoni kwa Aziz Ali daaa old is gold
Wacha
Maneno kuntu,Hasiyejua maana bila shaka aambiwi maana.2019 kuogelea Kwenye bahari ya taarab.
Watu wa Mogadishu nawa Kismayu hata wanapendha hii wimbo asanteni
Kiswahili kitukuzwe Taarab ienezwe naipenda mpaka picha na majina ya miti hiyo
Tamuu hii kitambo hairudi ila utamu hauishi😘😘😘
Ni kweli kabisa
Lovely, no words, makes me feel sad, when I remember the good old days,🎉
Umechina tuliza boli mm sikidogo waraaaaaaaaaa upoooo nyonyo uko kenda niko mojaaaa
Jani rahaaaaaaa
Nyimbo tamu balaa
wimbo mutamu sana. hongera dada
I can👂 to it more than five times a day
kwa lipi utanishinda huna bao zoa zoa, taarab raha bila karaha wallahi bila maslahi
Wakurungenzi wawataka ww kwako Bora shilling nice song
Aliye na maskio naye asiambiwe sikiliza, upasho ni huo.., ujumbe mtupu.., kazi nzuri sana kutoka East Africa Melody (s)
Tuliza boli Mimi si Kidogo,
Huninyang'ani ukanda,
Nimetulia wa randa,
Uko moja niki Kenda!!!!!!!!!!!
uko mmoja niko kenda dhuuu!!!!!!!!! hapohapo
yaan inakhmbusha mbali
Noma tukiwazetu kalantin 🇺🇬 "tararararararara
Anyone else is watching today 21/10/2020
😙😍😙😘 jaman jaman maneno mazito
Naipedaaaaaaaa sanaaaaaa kuzid ata k
We mwanamke gani wazoea combine 😂😂😂👍
Kila nikiisikia hii nyimbo hua najiskia faraja sana
Hapo xawa
Tupo pamoja
Hongera
I love this song alot
Taraab ...best music to me
Bei yako ewe soda,chips na nusu kuku na kama kuna la jiada basi unapewa buku.Taarabu tamu kweli sio bure naipenda
Halooooiii bishosti lako Hilo
Inanikumbusha disco vupi hme bukoba DJ anazma taa gafla daaaah
Baba bk seemu gan iyo
1 of Jan 2021 leteni likes
old is gold, nilikuwa mdogo sana
Nice song MaashaaAllah
Long time enzi hizo sikukuu kibanda maiti nimo maguniani na dem
Watanzania waswahili, hebu mnisaidie hapa. Mimi ni mkenya. Swahili sanifu ni gani hapa?
Wimbo huu au nyimbo hii?
Nimekua nikijua kuwa ni wimbo kwa umoja na nyimbo kwa wingi. Ngeli ya (U-Zi)
Wimbo huu"
Umoja ,wimbo huu
Wingi nyimbo hizi au ( hizo kama utaongea kuhusu wakati)
Wimbo huu
am still with oldies song real was vibing
Hii nyimbo naipnda sna 🔥🔥❤️🙌
Zoa zoa. kweli upati huyo ushatupa
Naupenda Sana wimbo huu safi saña
Mambo ni pambeeeeee tyuuuuuu humpati huyoooooooo
"Huchagui wafyagia,siti ikose nyuma pia" Uhuhuuuuuuuuu....!!!! we msanii nataman nkuone kwa sura.
I like it
Very good question being asked in the song, mwanamke gani anasoe combine
Ndakumbuka utotoni mwangu
Mziki usio isha utamu.nauskiliza Nikiwa uturuki.2021
2021
Wimbo mzuri hataree!!!
2023 moto moto tupo ndani
Nice song
Tuliza boli kiwanja kidogo!!!
Please mwimbaji yuaitwaje
Jamaniii aodio mank haipo hiii raarabu
Weka video ndo powa zaidi ndugu achana na audio
Nyimbo tamuuuu, haishi hamu
Hongera !!!
dolla shilingi dolla shilingi lol dead that's my best part 😍😘😱😱😱😱😂😂😂😈😈😈
Majuma Abdullahi wimbo. Huu unanikumbusha mama arivyoachwa.na.baba akaoaa
Bora shilingi.
Bora shilingi.
Kweri mpo vizuri wao
inakumbusha mtangazaji Moreen menza akiwa station mja Mombasa
asante kaka Suleiman 👑
km unasikiliza hadi leo like
I like noma sana
kamakunalaziada unapewa 1000 haaa old is gold
Safi sasa ZOA ZOA
That is my fovl song taarab ZOA ZOA
wana pemba hoiye... nimependa hizo sauti zakuvuta nyoka pangoni.
Nakumbuka nipo kmbini nachuma karafuu kipapo pemba
nice song
Ninomaa nakumbuka arus ya kaka angu ikengwa tz
Nakumbuka enzi hizo guest ni pori zamani raha sana
Hahahaha aaaaa......nimeipenda hiyo
Yusuf modern taarab
Hongera sana najisikia nikonyumbani
Mashallah beautiful
2022 tukowangapi jamani?
Raha tupu
Jukisi
mambo ya uswahilini mwanaa
Uhakika dada umechina
Jaribu kurekebisha lugha
Umeandika MTUFA Lakini kwa lugha sahihi ni MTUFAA
Uko moja niko kenda hahaha