Asante sana mheshimiwa mama👏👏👏 hili la kutembea nusu kuvaa limeenea sana...hasa wasanii ambao wanaitwa kioo cha jamii...ila mama hujaongelea hizi nyimbo za sasa! Ni matukano nje nje!!!! Hili waziri ajiongeze.
Asante Mama hao wasanii wanao ambiwa nikio cha jamii ni kiuo cha kutangaza zinaa, Wasanii wote wa kitanzania wanatembea uchu wanatunyanyasa kijinsia wanaume
Wasanii wanao ambiwa kuoo cha jamii nikituko kwajamii..msanii m1 ana wanawake 34..anawanaume 30..anavaa uchi anaelimisha nini..mwisho hadi dada zetu wanavaankisanii kukaa uchi ni fashen..kwao tungeni sheria hadi move zao zavitandani zisiwepo.
Asante Mama wambie hao wanaojifanya wamagharibi hasa watoto wa mwaka kuanzia tisini kwenda mbele ndo wamekuwa tabu na maabara duniani waziri anatakiwa asimamie yote hayo kama anaogopa kusemwa na ushikaji akae pembeni nafasi apewe mwingine maadili hakuna kama alivyosema hao dada zetu huko mitaandaoni na hao baadhi ya mabraza men tabia mhh
MAGUFULI ALIPOWATUMBUA HAKUWA MJINGA ndio maana WATANZANIA kamwe piga uwa hawatamsahau kwakuwa alikuwa ni chaguo la MUNGU kwa WATANZANIA sasa hiyo ndio faida ya UHURU WA HABARI 🏃🏃🏃♀️🏃♀️ naona kwa mbali MAGUFULI UMOJA PATI ni shiiidaaaa ya DUNIA shikamooo ndugu Pole Pole
Chaguo la Mungu anakua na kibali kwa Mungu na kwa wanadamu maana kwa USHINDI wa kura halali Mungu hujidhihirisha ndio Mana twasona hekima ya Suleman, lkn siku hizi ndizo Suleman alisema kaona ajabu juu ya ichi kuona watumwa wamepanda farasi na hali wafalme wanatembea kwa miguu
Usisemee mioyo ya watu sama kwaajiliyako usie msahau,pia tumia busara kufikiri hata mtu Alie umwa na nyoka humkumbuka yule nyoka kwaajili ya ule mkasa na balaa, ila aliekula kuku siku ya krismas humkumbuka aliempa kuku ila sio kwa Sana maana ubaya unavuma kuliko wema, ndio maana polisi hapendwi na mwizi ispokua pale anapomuokoa mikononi mwa wanainchi wenyehasira,
President of Tanzania, you are very relevant and very educational to all regional countries and I Must say that you are leading in showing the way to our future leaders keep it up President
Ahsante sana Rais wetu kwa hilo. Kadhalika hilo inabidi iwaguse hata wasanii ambao baadhi yao wamevuka mipaka Ni aibu tupu ujumbe wanaoutoa na vitendo vyao kwa ujumla. Naamini kwa hali ilivyo kizazi chetu kinachokuja kitaweza kuharibika sana. Matokeo hayo yatajitokeza miaka ijayo.Hili naomba tulitazame ni ushauri tu.
mama katika siku omeongea vitu vya maana ni leo maana mimi mwenyew nasikia vibaya sana kuona maadil yana momonyoka kazia sana hilo mungu atakuingiza peponi inshallah
Siyo makatuni ya watototu nipamoja nawale wachungaji wenyekudhalilishawanawake ndani yayalewanayoyaita makanisa .Serikalipia isisajiri auyapigwe marufuku .Shidani.nini? wakati serikali inamkono murefu auhao hawaharibu jamii hatakamani uhuruwakuabudu.lakiniwanavunjasanasheria naudhalilishaji wa utu hasajinsia yakike.
Leo Mhe rais ameongea point sana,inabidi tuamke na tuache kuyafumbia macho masuala kama haya hili tuweze kunusuru vizazi vyetu vijavyo visikute jamii iliyovurugwa kupita hii.maana hali inatisha sana huko mitandaoni.
Asante Sana Mheshimiwa Rais your real mother apart from Being a president,hasa watoto wakike wamezidi kujiweka uchi mitaoni na mengine mengi ni kweli waliemishwe na wakirudia washughulikiwe.
Hakuna Dini inayosema uhuru WA kuvaa ila YA ni ya SHETANI Kama BAADHI YA WASANII WA BONGO FLEVA NA BONGO MUVI wanatukalia UCHI UCHI this is TANZANIA watu na MAADILI YAO hizo POST ZA UCHI NA NYIMBO ZA MATUSI ni uwakala WA SHETANI(illuminate) Shukran MAMA LA MAMA
2 Wakorintho 3: 7 Basi, ikiwa huduma ya mauti, iliyoandikwa na kuchorwa katika mawe, ilikuja katika utukufu, hata Waisraeli hawakuweza kuukazia macho uso wa Musa, kwa sababu ya utukufu wa uso wake; nao ni utukufu uliokuwa ukibatilika; 8 je! Huduma ya roho haitazidi kuwa katika utukufu? *MUNGU AJIDHIHIRISHE KWETU LEO TOKA UTUKUFU HADI UTUKUFU! TUMWONE MUNGU KWA MACHO KWENYE MAISHA YETU! UZITO WOTE UTOWEKE, HALELUYA!!!*
Wasanii wanacheza utupu na mwingine anainama hali uchi, tunawekewa kwenye mabasi , aibu aibu kweli kweli, tunahitaji mabadiriko. Kila basi wanaweka unashindwa kusafiri kwa raha. Asante Rais wetu tusaidie
Mama tunakupenda ila hapo ndipo unapo feli kwa hizo bembeleza bembeleza zako. Mtu kazi kaishindwa fukuza acha yahe yahe hizo zinakuharibia serikali yako. Kwa Dunia ya Sasa kumkabidhi mwanasiasa wizara ya habari ni kuhatarisha mustakabali wa Taifa. Hizo wizara Dunia hii ya utandawazi zipo chini ya majeshi. Na si majeshi tu bali intelligent military personnel. Tuamke 😔
ليس لها من دون الله كاشفة اللهم بحق هذه الآية الشريفة وما حوته من الأسرار المنيفة أن تصرف عن رئيسنا سمع بنت صلح شر الحساد و الظالمين والموذين والساحرين والباغين والسارقين وكل من كادها بالسوء من الجن و الشياطين والانس اللهم اردد كيدهم في نحورهم اللهم اشغلهم بشاغل لا يستطيعون رده اللهم شتت شملهم اللهم مزق جمعهم اللهم فل حدهم اللهم قل عددهم اللهم ارسل العذاب إليهم اللهم اقتلهم يارب العالمين و صلى الله على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم
Nikweli mama, hili nijanga la kitaifa hadi kwa baadhi ya watumishi, jambo hili limepelekea kukosekana haya, kwa Wana wake, na kuathirika kisaikolojia kwa wanaume upande wa kutamani kwani kila siku wanao an watu wakiwa wamevaa lkn uchi, Hawa wasanii sio vioo vya jamii Bali ni vyoo vya jamii. Wachafuzi WAKUBWA.
Mama umeongea kitu kinachosumbua akili yangu kila siku naomba sheria iwe kali zaidi kwa hao mashoga siku izi hawajifichi tena mama, taratibu nimeanza kukuelewa.
Unakuta wimbo unapigwa lbd ndani ya basi au movie (iwe ya ki Tz au nje) inaoneshwa ndani ya basi, uko na familia mnasafiri!!😭 wasanii hao waonywe...hawa wa kwetu..au ikibidi wafungiweeee... wanatuharibia watoto mchana kweupeee!! Na hawa wa kwenye mabasi waonywe..🙏🙏
Filamu Zina Namba na hizo Namba Zina maana.. zipo zinazofaa kuoneshwa kwa watu wa umri huu au ule, mf..Kuna miaka chini ya 12 wanaweza kuona, miaka chini ya 15, miaka chini ya 18, zaidi ya 18, na filamu zenye kuogofya hata ukiwa mkongwe zinaogopesha Kama matukio ya mauaji, Zinaa. Muhimu Ni kujua na kutii Sheria.
Kusema kweli mneno hayo ni sahihi hakuna mtu atakubali kwa dada yake wala kwa mama yake wala kua mtoto wake mambo ya uchafu NA hiyo ni deni utailipa kwa famili yako ukifanza utafanzwa ndani ya chumba yako ya kulala NA usisahau kwamba mungu alihatamisha zina lazima kwa njia ya ndoa halali itakuja siku utalea watoto sio wako
**sisi serikali tutaunda sheria...** Serikali inaunda sheria? Heeeeeee ndio maana mafuta yanapanda bei kuuumbeee nilikua sijui barafu ni maji yaliyoganda. 😠😠😠😠
Mhe. Rais hongera lakini watendaji wako hawajiamini au vp lazima kila mpaka useme, hivi haya mabaraza yaliyoundwa wanaangalia na kuchuja nyimbo za ndani tu na vitu vingine wanaachia viende kiholela, hizo katuni zinahitaji uchunguzi wa hali ya juu ili kuwalinda vizazi vyetu na nchi yetu. KAZI IENDELEE HASA KWA WATENDAJI
Nikweli waandishi wa habari hata nyingi mna familia na msingependa yatatokee kwenu basi tumuungane kupinga ujinga huu tubaki na tamaduni zetu kwa faida ya vizazi vyetu
Asante mama umeongea kama jemedari wetu. Shida yetu kilakibaya mpaka kiongozi wa juu. Aseme , wengine wanaona hayawahusu badilikeni jamani. Wote yatuumize na tukemee hasa mliopewa mamlaka.
Nilikosea kuandika inabidi serikali yetu ichukue hatua kali wale wanao bainika kujiweka uchi ktk mitandao pia tunaizalilisha Tanzania jamani kwa nini lakin
Kwel sana Mama ayo sio Madili yetu ya tumejisahau wa Africa tukipata Ma Raic kama wew ii Africa tutalinda Maadili yetu sio kila kitu tuege vyengne sio vyakuigwa
Asante sana mheshimiwa mama👏👏👏 hili la kutembea nusu kuvaa limeenea sana...hasa wasanii ambao wanaitwa kioo cha jamii...ila mama hujaongelea hizi nyimbo za sasa! Ni matukano nje nje!!!! Hili waziri ajiongeze.
Asante Mama hao wasanii wanao ambiwa nikio cha jamii ni kiuo cha kutangaza zinaa, Wasanii wote wa kitanzania wanatembea uchu wanatunyanyasa kijinsia wanaume
Wasanii wanao ambiwa kuoo cha jamii nikituko kwajamii..msanii m1 ana wanawake 34..anawanaume 30..anavaa uchi anaelimisha nini..mwisho hadi dada zetu wanavaankisanii kukaa uchi ni fashen..kwao tungeni sheria hadi move zao zavitandani zisiwepo.
Kama ulikuwepo
KATIKA HILI, BWANA AKUBARIKI SANA, YOU'VE SPOKEN A VERY IMPORTANT MATTER MADAM PRESIDENT, KATIKA HILI UMEUPIGA MWINGI..✌✊😊
Asante Mama wambie hao wanaojifanya wamagharibi hasa watoto wa mwaka kuanzia tisini kwenda mbele ndo wamekuwa tabu na maabara duniani waziri anatakiwa asimamie yote hayo kama anaogopa kusemwa na ushikaji akae pembeni nafasi apewe mwingine maadili hakuna kama alivyosema hao dada zetu huko mitaandaoni na hao baadhi ya mabraza men tabia mhh
Duuu msituchambe sana jaman nass tunaokaribia 2000 huko
MAMA LA MAMA HEBU UNDENI HIZO SHERIAAAAA WASHUGHULIKIWE MAPEMAAAAA ,,
MAGUFULI ALIPOWATUMBUA HAKUWA MJINGA ndio maana WATANZANIA kamwe piga uwa hawatamsahau kwakuwa alikuwa ni chaguo la MUNGU kwa WATANZANIA sasa hiyo ndio faida ya UHURU WA HABARI 🏃🏃🏃♀️🏃♀️ naona kwa mbali MAGUFULI UMOJA PATI ni shiiidaaaa ya DUNIA shikamooo ndugu Pole Pole
Chaguo la Mungu anakua na kibali kwa Mungu na kwa wanadamu maana kwa USHINDI wa kura halali Mungu hujidhihirisha ndio Mana twasona hekima ya Suleman, lkn siku hizi ndizo Suleman alisema kaona ajabu juu ya ichi kuona watumwa wamepanda farasi na hali wafalme wanatembea kwa miguu
Usisemee mioyo ya watu sama kwaajiliyako usie msahau,pia tumia busara kufikiri hata mtu Alie umwa na nyoka humkumbuka yule nyoka kwaajili ya ule mkasa na balaa, ila aliekula kuku siku ya krismas humkumbuka aliempa kuku ila sio kwa Sana maana ubaya unavuma kuliko wema, ndio maana polisi hapendwi na mwizi ispokua pale anapomuokoa mikononi mwa wanainchi wenyehasira,
Naona umeandika uharo wa bata mwanzo mwisho 🤣🤣🏃🏃
President of Tanzania, you are very relevant and very educational to all regional countries and I Must say that you are leading in showing the way to our future leaders keep it up President
Thank God there's someone aware of what the devil is planning against our children asante Rais wetu am a happy woman
Kweli kabisa wanawake tunajizalilidha
Hongera Rais wetu, kwa mungu hilo umelisemea na tunasubir lifanyiwe kazi, ili jukumu uliepuke
MAMA MLEZI
HONGERA KWA KUYAONA HAYO
HALI NI NZITO MITANDAOONI!!
Ahsante sana Rais wetu kwa hilo. Kadhalika hilo inabidi iwaguse hata wasanii ambao baadhi yao wamevuka mipaka Ni aibu tupu ujumbe wanaoutoa na vitendo vyao kwa ujumla. Naamini kwa hali ilivyo kizazi chetu kinachokuja kitaweza kuharibika sana. Matokeo hayo yatajitokeza miaka ijayo.Hili naomba tulitazame ni ushauri tu.
Thanks to our Queen 🎉 The new Tanzanians strong President ever for by myself as ordinary citizen deeply i love you my mom ❤ Tanzania 🇹🇿
Hapa Ni kweli Mama umesema 🙏🏽
Mashaa Allah hutuba nzuri yenye ukweli halisia
Hongera mama kwa kuziona hizo picha za utupu zimetuchosha sana tunaomba washuhulikiwe
Mama samiah piga khazi
Safi sana mama yangu na picha za mashoga tumezichaka mama piga marufuku mashetani hao
Rais wangu ongera sana tena sema tena sema sana wamezidi jamani. NI OVYO OVYO.
Fantastic
Asante mheshimiwa umenena vema
Asante Mama kwa kukea hilo. Kuna mambo ya aibu mitandaoni. Tusisahau jadi na mila zetu. God bless you always. Tunakupenda.
Sio cartoons peke au watu kuweka picha za utupu kwenye mitandao ya kijamii hata nyimbo za siku hizi wanatukana sana
Madam President kunywa Maziwa fresh ya moto kikombe kimoja na vitafunwa (sambusa 1& chapati 1) ntalipa.
Hahaha
Mama mlezi bigup mama
Huyu Raise ni mzazi kwelikweli tumuunge mkono watanzania
Kwa hilo sina jisi
😂😂😂😂😂
Sisi hatutaki mzazi tunataka rais anaejielewa
@@josewillson1813 Kama humkubali tengeza wako!
Mama Mungu ambaliki sana
Well said madam President. Kizazi chetu kipo katika hatari kubwa kutokana na ukuaji wa media holela bila udhibiti.
Asante kwa hilo
Very good point!
Asante mama umeongea vizuri sana
Uko sawa rais wetu
Mama asante sana tumechoka na picha chafu mtandaoni hebu wekeni sheria
Sina cha kusema Samia big up ningalikuwa na uwezo libidi nikupe zawadi ila MUNGU BABA aendelee kukufungua usafishe madudu yote katika Taifa hili
Bei kupanda huoni, ila kubusiana f asta unaona🙌🙌 unapoteza mvuto hizo story waachie vijiweni.
well well well.Mungu akubariki kwa kuliona hili mama
Hakika Rais wetu.
Ubarikiwe Mheshimiwa Raisi sio katuni tu mama hata watu woamo Mungu Tusaidie sijui tufiche wapi watoto it pains Ahsante
Hongera Rais wangu mpendwa endelea kuchapa kazi watakuelewa tu.....
mama katika siku omeongea vitu vya maana ni leo maana mimi mwenyew nasikia vibaya sana kuona maadil yana momonyoka kazia sana hilo mungu atakuingiza peponi inshallah
Shukrani umeongea ukweli.
Pia zipo groups za WhatsApp na nyinginezo zilizoanzishwa ambazo zinakiuka maadili zifungiwe zinapotosha jamii.
Excellent
Big up Our President May the LORD be with you.
Thanks mama God bless you
Siyo makatuni ya watototu nipamoja nawale wachungaji wenyekudhalilishawanawake ndani yayalewanayoyaita makanisa .Serikalipia isisajiri auyapigwe marufuku .Shidani.nini? wakati serikali inamkono murefu auhao hawaharibu jamii hatakamani uhuruwakuabudu.lakiniwanavunjasanasheria naudhalilishaji wa utu hasajinsia yakike.
Leo Mhe rais ameongea point sana,inabidi tuamke na tuache kuyafumbia macho masuala kama haya hili tuweze kunusuru vizazi vyetu vijavyo visikute jamii iliyovurugwa kupita hii.maana hali inatisha sana huko mitandaoni.
Hapo Raisi wangu umetetea maadili ya MUNGU kabisa, tunakuombea Mkuu wetu wa nchi, Bwana asimame nawe daima
Asante Sana Mheshimiwa Rais your real mother apart from Being a president,hasa watoto wakike wamezidi kujiweka uchi mitaoni na mengine mengi ni kweli waliemishwe na wakirudia washughulikiwe.
Safi sana rais wetu
Big up
Mama mavazi pia hawa wabadilishe asante sana asalaam alaykum
Safi sana
very true
Hapa nimeanza kukupenda mama kwa Hilo Ubarikiwe
Hongera Mama.
Mheshimiwa Rais hili la maadili kila mmoja atakuunga mkono.
Viangaliwe mpaka uimbaji wa nyimbo za wasanii
Ndo maana akasema yako mengi nadhani Ni pamoja na hayo
Hakuna Dini inayosema uhuru WA kuvaa ila YA ni ya SHETANI
Kama BAADHI YA WASANII WA BONGO FLEVA NA BONGO MUVI wanatukalia UCHI UCHI this is TANZANIA watu na MAADILI YAO hizo POST ZA UCHI NA NYIMBO ZA MATUSI ni uwakala WA SHETANI(illuminate)
Shukran MAMA LA MAMA
2 Wakorintho 3:
7 Basi, ikiwa huduma ya mauti, iliyoandikwa na kuchorwa katika mawe, ilikuja katika utukufu, hata Waisraeli hawakuweza kuukazia macho uso wa Musa, kwa sababu ya utukufu wa uso wake; nao ni utukufu uliokuwa ukibatilika;
8 je! Huduma ya roho haitazidi kuwa katika utukufu?
*MUNGU AJIDHIHIRISHE KWETU LEO TOKA UTUKUFU HADI UTUKUFU! TUMWONE MUNGU KWA MACHO KWENYE MAISHA YETU! UZITO WOTE UTOWEKE, HALELUYA!!!*
Amen
Amina
Wasanii wanacheza utupu na mwingine anainama hali uchi, tunawekewa kwenye mabasi , aibu aibu kweli kweli, tunahitaji mabadiriko. Kila basi wanaweka unashindwa kusafiri kwa raha.
Asante Rais wetu tusaidie
Eeee mama hiyo Sheria ije haraka my raise be blessed
Mama tunakupenda ila hapo ndipo unapo feli kwa hizo bembeleza bembeleza zako. Mtu kazi kaishindwa fukuza acha yahe yahe hizo zinakuharibia serikali yako. Kwa Dunia ya Sasa kumkabidhi mwanasiasa wizara ya habari ni kuhatarisha mustakabali wa Taifa. Hizo wizara Dunia hii ya utandawazi zipo chini ya majeshi. Na si majeshi tu bali intelligent military personnel. Tuamke 😔
Upo sawa mama.
Hapo Rais UNENENA! Wizara iliondoe taifa kwenye huo upuuzi wa kimagharibi!
Umeongea sawa mpaka mimi nimekuelewa .
Kabisa mama anasema safi
ليس لها من دون الله كاشفة اللهم بحق هذه الآية الشريفة وما حوته من الأسرار المنيفة أن تصرف عن رئيسنا سمع بنت صلح شر الحساد و الظالمين والموذين والساحرين والباغين والسارقين وكل من كادها بالسوء من الجن و الشياطين والانس اللهم اردد كيدهم في نحورهم اللهم اشغلهم بشاغل لا يستطيعون رده اللهم شتت شملهم اللهم مزق جمعهم اللهم فل حدهم اللهم قل عددهم اللهم ارسل العذاب إليهم اللهم اقتلهم يارب العالمين و صلى الله على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم
Nikweli mama, hili nijanga la kitaifa hadi kwa baadhi ya watumishi, jambo hili limepelekea kukosekana haya, kwa Wana wake, na kuathirika kisaikolojia kwa wanaume upande wa kutamani kwani kila siku wanao an watu wakiwa wamevaa lkn uchi, Hawa wasanii sio vioo vya jamii Bali ni vyoo vya jamii. Wachafuzi WAKUBWA.
Hapo safi kabsa wanakera sana
Mama umeongea kitu kinachosumbua akili yangu kila siku naomba sheria iwe kali zaidi kwa hao mashoga siku izi hawajifichi tena mama, taratibu nimeanza kukuelewa.
Hakika
🙏
Unakuta wimbo unapigwa lbd ndani ya basi au movie
(iwe ya ki Tz au nje) inaoneshwa ndani ya basi, uko na familia mnasafiri!!😭 wasanii hao waonywe...hawa wa kwetu..au ikibidi wafungiweeee... wanatuharibia watoto mchana kweupeee!!
Na hawa wa kwenye mabasi waonywe..🙏🙏
Filamu Zina Namba na hizo Namba Zina maana.. zipo zinazofaa kuoneshwa kwa watu wa umri huu au ule, mf..Kuna miaka chini ya 12 wanaweza kuona, miaka chini ya 15, miaka chini ya 18, zaidi ya 18, na filamu zenye kuogofya hata ukiwa mkongwe zinaogopesha Kama matukio ya mauaji, Zinaa. Muhimu Ni kujua na kutii Sheria.
Sijaona kiongozi hodari kama mama Samia. Mola akulinde.
Kweli baba alienda ila mama atatuvusha misingi sahihi kabisa
Bravo
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏
Piga marufuku vitu kama hivyoo havifaii kabisa kwenye nchi zetu hiyo sio asilia yetu asante sana mama kuyakataa hayo
Kwahili hongera sana rais
Ubarikiwe mama kutetea utu na heshima yetu.
Mama safi sana waanze na wasanii wanaokaa na kuziba kati kuachia mapaja nnje
%100 Mama
Hongera mama umepiga mwingi
Mama akee, nakupendaga bureee
Kusema kweli mneno hayo ni sahihi hakuna mtu atakubali kwa dada yake wala kwa mama yake wala kua mtoto wake mambo ya uchafu NA hiyo ni deni utailipa kwa famili yako ukifanza utafanzwa ndani ya chumba yako ya kulala NA usisahau kwamba mungu alihatamisha zina lazima kwa njia ya ndoa halali itakuja siku utalea watoto sio wako
Mama anaumia sana juu ya hili ila TCRA hatuoni na kuliweka sawa? Ebu ingieni mtandaoni na mziondoe tubaki salama.
Hongela mama umenikumbusha enzi za baba magufuri unwell ndo msinngi wataifa letu
Hii kauli ya hatujui chochote ni hatari sana kwa waziri wa wizara hiyo,ajitathimini sana kwa kauli hiyo.
Point
Thank you our president speak for us we should not follow western values but holy books Bible and Koran what are we showing our children
Hata mila na tamaduni zetu za kiafrica zipo sahihi
Mama ni kweli maadili yamepotea wanawake tumezidi kukaa uchi hata wanyama wanajiheshimu
Rest in peace j p m
Anahusikaje hapo?
@@j.c.maxima816 unatakia nini!!!
**sisi serikali tutaunda sheria...** Serikali inaunda sheria? Heeeeeee ndio maana mafuta yanapanda bei kuuumbeee nilikua sijui barafu ni maji yaliyoganda. 😠😠😠😠
Mhe. Rais hongera lakini watendaji wako hawajiamini au vp lazima kila mpaka useme, hivi haya mabaraza yaliyoundwa wanaangalia na kuchuja nyimbo za ndani tu na vitu vingine wanaachia viende kiholela, hizo katuni zinahitaji uchunguzi wa hali ya juu ili kuwalinda vizazi vyetu na nchi yetu. KAZI IENDELEE HASA KWA WATENDAJI
Good president
Nikweli waandishi wa habari hata nyingi mna familia na msingependa yatatokee kwenu basi tumuungane kupinga ujinga huu tubaki na tamaduni zetu kwa faida ya vizazi vyetu
MAMA HAPO SASA NAANZA KUKUELEWA HAYA MAMBO NDIO TULIYAMISS HAYA. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA.
Kwahilo asante sana mama
Asante mama umeongea kama jemedari wetu. Shida yetu kilakibaya mpaka kiongozi wa juu. Aseme , wengine wanaona hayawahusu badilikeni jamani. Wote yatuumize na tukemee hasa mliopewa mamlaka.
N kweri kabisa mama angu nakuunga mkono
Maamaa ukienda huko kurayangu miaka mia niyako
Kweli.kabisa mama
Hapo umeongea la maana sana mama samia
Tunakuomba Rais umwondoe Nape uweke wengine wenye kukubalika
Hongela kwa kuliona hilo inabidi lichuliwe hatua kari
Nilikosea kuandika inabidi serikali yetu ichukue hatua kali wale wanao bainika kujiweka uchi ktk mitandao pia tunaizalilisha Tanzania jamani kwa nini lakin
Leo kdg nimekuelewa