Mungu Atusaidie Ahsante Mama. Ukiona mkwe anakutukana ujue mwanao kasanabisha. Hatujilindi hatusimamii, hatutulii tuone la kulitoa, kulifanya. hata kama itatughalimu. Kesho na kizazi chetu ni muhimu sana sana Maombi yangu Kwa Mungu. Tukubali kutunza heshima ya Mungu na watu. Mungu Afurahie uwepo wetu asije akazidisha ghadhabu. Ahsante Raisi Bigup kekemea na kushauri mama Mfurajishe Mungu Akusikie tutapona Mengi MUNGU Ibariki Tanzania.Bariki Africa Tusamehe. Turehemu.
Nchi hii ni tajiri Ubaya hakuna viongoz wenye uchungu na nchi hii,uzalendo,uamiifu,usimamizi mzuri wa miradi,wakweli wa ahadi,kuridhika na mishahara wanayopewa,wasomi wa kweli wenye uwezo wa kubuni njia za kupandisha uchumi,umoja na mapenzi ya nchi, Magufuli alionesha njia ya mafanikio haijalishi kama alikuwa na mengne chini ya kapeti.
As media, jifunze kuichambua na kuitambua habari. Plus fanya research yakutosha kabla huja weka maoni yako. Kwamfano bei ya vitu kupanda kutokana na bei ya mafuta kupanada. Je ni Tatizo la Tanzania peke yake au Tatizo kote duniani, je ni swala lakutatuliwa na nchi au umoja wa mataifa.
@@birianination7097 Mimi sizungumzii Mafuta tu. Acheni siasa kwenye Maisha ya Watu. Tumesomesha vijana wetu kwa mamilioni ya pesa ajabu ajira hakuna basi angalau wafanye umachinga napo wanavurugwa. Tuna hasira Sana. Acha ushabiki.
@@Missionary_work sawa tuache ushabiki, watu hawaja pata hajira toka 2017 hatimaye sasa tumepata ajira 37000 mpaka sasa ndani ya mwaka mmoja wa utawala mpya, Kama msomi hivi soko la karume ni fireproof na je ni salaama endapo ajali ya moto ikitokea mbali na yote je ni salama kufanya biashara kando ya barabara. Hivi bei ya mafuta ikipanda vitu vingine hushuka.
Wanyarwanda wao wametupita! Wanajivunia kilicho chao... Wanakuza kilicho chao... Check Media zao, nendeni kwenye TH-cam channels zao, utaona namna wanaipamba Nchi yao... Sisi tunajivua ng'uo tu kwa unyonge wetu wa kifikra!
Mgejua nyie viongozi ndio mnafanya tujiskie aibu kutangaza hivyo vitu, what is the use of having resources that don't have any impact to individua and society economic life improvement
It's truly what you said, mbona wao hawaishi kukimbilia mikopo? hali kumbe wanajua kuna resources nyingi tu nchi inaweza kujisogeza. Wanafiki tu hao tushawazoea kwa sasa na taarabu zao.
Mama hao waandishi wa Habari ndio wa kwanza kupotosha maadili , kwanza habari zao utakuta habarii insema hivi ukiingia ndani zero , Waziri Yuko kisiasa tu Hana jipya
@@yousuphnzira3209 No one has to hate his cantre. But it happens people hate to heal the ruling Cantre! Na kuhusu wew That's your decisions sababu everybody has the freedom to choose.
Mkipost video zenu someni comment watu wanahali mbaya tunazidi kurudi nyumba hatua kumii.... JPM alipotuacha na tulipo Sasa hivi hata yeye huko alikoo najua anatuonea huruma....Ukwel ni kwamba JPM alikua Kama Mussa alikuja kwa Ajili ya Wana wa Israel (watanzania) Lakini Alikua na maadui wengi Sana Sana dus Y hakukaa Sana baada ya kua Raisi....Kuna Mambo watanzania wanaona na wanajua ilaa watasemea wapi...
Rwanda wanajiandaa kupokea Mkutamo Mkuu wa Nchi za Commonwealth hivi karibuni... Hili ni Jambo kubwa sana ulimwenguni, na ni heshima kubwa... Watz tukomboe fikra, hatuwezi kuishi kama Kisiwa... Wengine wanatupita kwenye diplomasia!
@@j.c.maxima816 wewe Tanzania kwanza kutoka mkutano utakusaidia Nini maendereo ya watanzania masikini wanateseka ATA Kipindi cha JPM nilikua kinaunafuu mkubwa kuliko sasa
Inaonekana ww hujui COMMONWEALTH ni kitu gani na uzito wake, ndio maana unaichukulia poa! The powerful men and women of this World will meet in Rwanda (Kings, Princes, Presidents etc, Wakubwa wa dunia hii kutoka 54 States, former British Empire) Kama sio business ni nini?! Kama sio economic decisions na political influence ni nini?! Rwanda wanaelekea kuwa developing country wakishilikiana na dunia, wakati sisi Tz tunang'ang'ania kujitenga! Pekee yetu, hatuwezi kufika popote pale ! Jamaani, tujifunze kusoma nyakati, hizi ni zama za GLOBALIZATION !
@@ahz6907 kwa akili za viongozi wetu watanzania ni kama tume laaniwa 😂😂 yani mimi cha msingi niwe nakula na kunya bas ila maendeleo ya jamii ya Watanzania hakuna
Mungu Atusaidie Ahsante Mama. Ukiona mkwe anakutukana ujue mwanao kasanabisha. Hatujilindi hatusimamii, hatutulii tuone la kulitoa, kulifanya. hata kama itatughalimu. Kesho na kizazi chetu ni muhimu sana sana Maombi yangu Kwa Mungu. Tukubali kutunza heshima ya Mungu na watu. Mungu Afurahie uwepo wetu asije akazidisha ghadhabu. Ahsante Raisi Bigup kekemea na kushauri mama Mfurajishe Mungu Akusikie tutapona Mengi MUNGU Ibariki Tanzania.Bariki Africa Tusamehe. Turehemu.
Excellent keep it up, yakitekelezwa hayo binafs nafs yangu itastarehe sana
Nchi hii ni tajiri
Ubaya hakuna viongoz wenye uchungu na nchi hii,uzalendo,uamiifu,usimamizi mzuri wa miradi,wakweli wa ahadi,kuridhika na mishahara wanayopewa,wasomi wa kweli wenye uwezo wa kubuni njia za kupandisha uchumi,umoja na mapenzi ya nchi, Magufuli alionesha njia ya mafanikio haijalishi kama alikuwa na mengne chini ya kapeti.
Facts
Mashaa Allah
Tumeamka na kichambo cha mama …. Lol 😂 Twende kaziiiii
Uongozi kazi....kweli....
Éee Mwenyezi Mungu watie Hekma viongozi wetu
Mnaacha kumwambia vitu vimepanda bei mnacheka ujinga
Ata kenya hali ni iyo,,,I think it's a worldwide situation
Na utajiri wa kukopa mama😁
nyie hamna shukran tu sijui hata mtu afanye kitu gani au kwa sababu ni mzanzibar acheni mila potofu
@@issmuking3987 sikulalamika, nasifia nchi yangu na utajiri wake
Utajili wote bado tunakupa
Mbona uchumi wetu uko chini sana
Sasa hapo Nini chakushangilia Ndugu zangu, muombeni Mama gharama za Maisha zishuke angalau, tunaumia huku.
As media, jifunze kuichambua na kuitambua habari. Plus fanya research yakutosha kabla huja weka maoni yako. Kwamfano bei ya vitu kupanda kutokana na bei ya mafuta kupanada. Je ni Tatizo la Tanzania peke yake au Tatizo kote duniani, je ni swala lakutatuliwa na nchi au umoja wa mataifa.
@@birianination7097 Mimi sizungumzii Mafuta tu. Acheni siasa kwenye Maisha ya Watu. Tumesomesha vijana wetu kwa mamilioni ya pesa ajabu ajira hakuna basi angalau wafanye umachinga napo wanavurugwa. Tuna hasira Sana. Acha ushabiki.
@@Missionary_work sawa tuache ushabiki, watu hawaja pata hajira toka 2017 hatimaye sasa tumepata ajira 37000 mpaka sasa ndani ya mwaka mmoja wa utawala mpya,
Kama msomi hivi soko la karume ni fireproof na je ni salaama endapo ajali ya moto ikitokea mbali na yote je ni salama kufanya biashara kando ya barabara.
Hivi bei ya mafuta ikipanda vitu vingine hushuka.
Huyu mama huyu sijui kafanyeje??Duh
✌hoyeee
Nchi tajiri inakuwa hivi wacha uongo watu wana hali ngumu we unatueleza mambo ambayo hayapo kabisa
Wewe laurenc mjinga kasome lugha yako mama amesema nchi tajiri ina kila kitu lkn wewe mbumbumbu nenda kajiunge na mashoga wenzako
Watanzani tuache ujinga Maumbile aliyomaanisha sio mnavyofikiria ninyi! Maumbile ya nchi acheni ujinga!
Tuliipenda wenyewe wachawaisome nambaeee
nchi ni nzuri sana Mama yetu mh raisi wetu ila viongozi tuliyonao badhii ndio wanafanya nchi ionekane mbaya mfano police wanarohoo mbaya sana
Hio imeenda sema mama .
Utajiri wa maumbile duh huyu bibi mbona anaongea kama muimba taarabu
Jifunze lugha upate kumuelewa uzuri.
@@luluamin1388 kaongea lugha gani ambayo cjakuelewa? Basi nifundishe nielewe mwalimu kashasha
@@elizabethfaustine5299 jifunze kiswahili.
@@luluamin1388 Ndo nahitaji wew unifundishe mwalimu kashasha
Yakuongea yapo mengi sasa sijui unaongea nini
isikilize hotuba yake yote wewe mpuuzi
@@ahz6907 na kwako pia
MAMBO MENGI ILA FAIDA NIKWENUTU VIONGOZI ,NASIYO SISI RAIYA WACHINI WANYONGE..
una uhakika na maneno yako
Wanyarwanda wao wametupita! Wanajivunia kilicho chao... Wanakuza kilicho chao... Check Media zao, nendeni kwenye TH-cam channels zao, utaona namna wanaipamba Nchi yao... Sisi tunajivua ng'uo tu kwa unyonge wetu wa kifikra!
Kazi ipo
Mgejua nyie viongozi ndio mnafanya tujiskie aibu kutangaza hivyo vitu, what is the use of having resources that don't have any impact to individua and society economic life improvement
It's truly what you said, mbona wao hawaishi kukimbilia mikopo? hali kumbe wanajua kuna resources nyingi tu nchi inaweza kujisogeza. Wanafiki tu hao tushawazoea kwa sasa na taarabu zao.
@@MBULINYINGI1 na wao wenye dhamana kubwa sana yaku ibadilisha hii nchi , wanatunga sera na Sheria za hizi rasilimali na wao ndo wanao zigawa
😀😀😀❤️❤️
Mama hao waandishi wa Habari ndio wa kwanza kupotosha maadili , kwanza habari zao utakuta habarii insema hivi ukiingia ndani zero ,
Waziri Yuko kisiasa tu Hana jipya
Kuna watu wa hovyo kwel yaan vtu vyakijinga wanapiga makofi!
Mjinga ni asiye elewa
@@yousuphnzira3209 wewe upo kundi gan?
@@MyName-wd8cp Nipo kwenye kundi la kushauri na kuipenda nchi yangu kuliko kutukana haitusaidii
@@yousuphnzira3209 No one has to hate his cantre. But it happens people hate to heal the ruling Cantre!
Na kuhusu wew That's your decisions sababu everybody has the freedom to choose.
Up saii sisi watanzania upande mwingine tupo ovyo kabila
Ni kweli mama kwa hli nimekusomaa,watu waelimishwe utajili tulionao
Mbona mnakiri kuwa tumasikini?
Huyu mama kwa bahati mbaya huwa hakumbuki anachokisema
ww unakumbuka unachokisema
Kweli anayoyafanya na anayoyasema hayakumbuki anatakiwa akafanyiwe mafunzo maalum
Ttzo roho zenu zina chuki na hilo haliwezi kutibu kutu zilizomo iko siku mtaelewa
Mtu ni mtu tu Kila mmoja ana fikra zake inavompelekea ksema
Unajua tuna utajili mwingi ila mikopo haaishi. Boya ww
Boya wewe na baba ako
Boya mamake
😂😂😂😂😂😂boyaaa nimechekaaaaaaaaaa eti boya wewe lol 😂
Kukopa harusi babu weeeee kulipa mtalipa nyie na vizazi vyenu shwain 😂😂😂😂😂😂😂😂☝️
Sasa unafikiri utakopesheka bila ya kuwa tajiri,,,wanokopeshwa wote na ukiona unakubaliwa kukopwa wewe ni tajiri!!
Mkipost video zenu someni comment watu wanahali mbaya tunazidi kurudi nyumba hatua kumii.... JPM alipotuacha na tulipo Sasa hivi hata yeye huko alikoo najua anatuonea huruma....Ukwel ni kwamba JPM alikua Kama Mussa alikuja kwa Ajili ya Wana wa Israel (watanzania) Lakini Alikua na maadui wengi Sana Sana dus Y hakukaa Sana baada ya kua Raisi....Kuna Mambo watanzania wanaona na wanajua ilaa watasemea wapi...
Madam president kwanini unazunguka kwa wazungu kuomba misaada wakati unajua hivi!!!
Unalolote wewe kawakumbatie wamarekani na waingereza
Rwanda wanajiandaa kupokea Mkutamo Mkuu wa Nchi za Commonwealth hivi karibuni... Hili ni Jambo kubwa sana ulimwenguni, na ni heshima kubwa... Watz tukomboe fikra, hatuwezi kuishi kama Kisiwa... Wengine wanatupita kwenye diplomasia!
@@j.c.maxima816 wewe Tanzania kwanza kutoka mkutano utakusaidia Nini maendereo ya watanzania masikini wanateseka ATA Kipindi cha JPM nilikua kinaunafuu mkubwa kuliko sasa
@@j.c.maxima816huyu Bibi atufai Anaongea ushoga tu anajichekesha sikiliza hutuba zake zakikekike tu mapenzi
@@mzeesuliman3158 Ulitaka aongee nini kwa mfano!!! Nini hasa 'critic' yako kwenye hiki anachokiongea sasa?!
Inaonekana ww hujui COMMONWEALTH ni kitu gani na uzito wake, ndio maana unaichukulia poa! The powerful men and women of this World will meet in Rwanda (Kings, Princes, Presidents etc, Wakubwa wa dunia hii kutoka 54 States, former British Empire) Kama sio business ni nini?! Kama sio economic decisions na political influence ni nini?! Rwanda wanaelekea kuwa developing country wakishilikiana na dunia, wakati sisi Tz tunang'ang'ania kujitenga! Pekee yetu, hatuwezi kufika popote pale ! Jamaani, tujifunze kusoma nyakati, hizi ni zama za GLOBALIZATION !
Matumizi mabaya ya kimtandao kiukweli mama angu ni changamoto na ninahisi waziri nape ana pasent yake huko ndo mana sioni akilikemea jambo hilo
Tunakosa VIONGOZI.
Anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa 🤣🤣
Leo mama umejua kunichekesha,eti huyu mama huyuuuu,we kiboko
Wewe jiuzuru unasay unaongea upumbavu tu
njoo ww uongoze nchi unafiki nchi ni majungu yenu tu
@@issmuking3987 JPM kapandisha uchumi YEYE kashusha uchumi Mpumbavu kweli uyu bibi
Hebu angalia dhamira isemwayo ujifunze, ttzo huna akili ya kufikiri
Nikweli lakini bahati mbaya hakumbuki alicho KISEma
mbona mikopo mingi na nukuu tuna ibiwa madini utazani hatuna ubongo wanasomba wanachimba
Ukosefu wa akili
Kila mtu analalama
🤣🤣🤣
Nchi hii da ah hatutofika popote
ndo akili yako ilipofikia hapo?
@@ahz6907 kwa akili za viongozi wetu watanzania ni kama tume laaniwa 😂😂 yani mimi cha msingi niwe nakula na kunya bas ila maendeleo ya jamii ya Watanzania hakuna
Jiuzuru wewe hiyo ndio hutuba gani aina ATA rutuba
Hujalazimishwa kusikiliza, brother !!! 😆😆 Ila anaongea kitu kizuri! Tusijishushie heshima! Tukayatangaze mazuri yetu!
Wewe mzee lkn hujapevuka uoni iko siku utaelewa