Yanga 3-3 Coastal Union (Pen: 4-1) | Highlights | Fainali ASFC 02/07/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Yanga SC wamebeba Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC kwa kuitandika Coastal Union penati 4-1 kufuatia sare ya mabao 3-3 katika dakika 120.
    Magoli ya Yanga kwenye mchezo huo yamefungwa na Feisal Salum dakika ya 57, Heritier Makambo dakika 82 na Denis Nkane dakika ya 113 huku magoli yote ya Coastal Union yakifungwa na Abdul Suleiman Sopu ambaye amefunga #Hattrick dakika ya 11, 88 na 98.
    Katika mikwaju ya penati, Yanga wamefunga penati zote nne walizopiga kupitia kwa Yanick Bangala, Heritier Makambo, Dickson Job na Khalid Aucho huku Coastal wakipoteza penati mbili na kufunga moja kupitia kwa Victor Akpan.
    Fainali hii imepigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha......
    Kutazama magoli na penati pekee ingia hapa • Magoli na penati | Yan...

ความคิดเห็น • 305

  • @hawa7966
    @hawa7966 2 ปีที่แล้ว +12

    YANGA OYEEEE💚💛💚💛💚💛ila hivi vitoto vya coastal Union vimejua kunipa tumbo la kuhara mpira wa leo ulikuwa ni 🔥🔥🔥YANGA BINGWA 🏆💚💛💚💛💚

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 7 หลายเดือนก่อน +22

    Dah hii chuma ulikuw ya moto!; 2024 tuliorud hapa kuichek 2juane

  • @Sirkitwe
    @Sirkitwe 2 ปีที่แล้ว +43

    Anayeangalia hii mpk saiv mwez wa 9/2022 tujuanee💛💛💚

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 ปีที่แล้ว +7

    Yaan uchawi upo ila Mungu ndiye mwamuzi wa yote ongera Yanga 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 5 หลายเดือนก่อน +7

    2024 tujuane hapa

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 2 ปีที่แล้ว +14

    Congratulations to my young 👏❤🙌, najivunia kuwa na young 🥰🥰😍❤

  • @nestorymapunda5181
    @nestorymapunda5181 2 ปีที่แล้ว +6

    Sija wai jua kam nina presha lakn kwa jan ndo nika jua.kumbe presha iko vip daaa asante mungu💚💚💚🙏

    • @AfricaYangu
      @AfricaYangu 2 ปีที่แล้ว

      Aloooo km roho ndogo huwez

  • @happinessandrea2118
    @happinessandrea2118 2 ปีที่แล้ว +14

    Jamn Makambo abaki tu,,,anatusaidiaga Sana huyu,,, Congratulations 😍😍

  • @shamimujuma2827
    @shamimujuma2827 2 ปีที่แล้ว +16

    Daa hakuna mechi nilio pata presha kama hii yan mmmh mpaka Sasa nahis ndoto huu ushindi 💚💛🥱🥱⚽⚽ Kweli kama mungu kapanga hakuna wakupangua kwenye hii fainal kuna mung wallah daaa kama Leo sikupata ugonjwa wa moyo never ever.........çongratration my team

  • @meddytoto93
    @meddytoto93 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii siku kidogo nizimie wallah🙏🙏🙏🙏 Alhamdulillah tulishinda mechi na kuwa MABINGWA

    • @wardasamwel6243
      @wardasamwel6243 2 ปีที่แล้ว +1

      sitasahu hii siku ilikua ngumu kwangu

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa coast wallahi ni wachawi yaani sema tuu yanga ni boraa saana thus y i love it💛💛💛💫💫

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni yanga Africa

  • @beatricekassim6190
    @beatricekassim6190 2 ปีที่แล้ว +4

    da mayelee aliruka kupisha feisali afunge safi sana wanaushiriki💚💛💚💛ano

  • @islabocco478
    @islabocco478 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu mkubwa kwetu 🙏💛💚🏆

  • @youngmeekmilly3511
    @youngmeekmilly3511 2 ปีที่แล้ว +3

    YANGA4LIFE 💛💚💛💚💛💚💪🏻🏆🏆🏆

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว +4

    Tumecheza na timu 2 leo coastal na makolo ila ALHAMDULILLAH tumeibuka na ubingwa🙏🙏

  • @bencmuraboe7310
    @bencmuraboe7310 ปีที่แล้ว +6

    Kama upo hapa leo tareh 12 mwezi wa sita jumatatu mwaka2023 like hapa😅😅😅

    • @KajunaJovinary
      @KajunaJovinary ปีที่แล้ว +1

      Mimi nipo baada ya documentary tar 07 August 😂😂😂

  • @neemabenitho5441
    @neemabenitho5441 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hii siku ndyo nilijua naipenda yanga kiasi gani looo

  • @andersonjacob7638
    @andersonjacob7638 4 หลายเดือนก่อน +3

    tunao angalia may19 2024 tujuane naleo nusu fainali yanga vs ihefu

  • @abdallahm86
    @abdallahm86 2 ปีที่แล้ว +4

    Young,young,young ✅🏆✅🔥🔥🔥🔥

  • @daughterofthemoon680
    @daughterofthemoon680 ปีที่แล้ว +7

    Hii siku nd niliamini presha inaua😌😂

  • @mariajohn1347
    @mariajohn1347 2 ปีที่แล้ว +3

    Ilikuwa mechi ngum sana hii yan me ad kuhalsha dah nashukuru mungu tumeshnda hii mechi

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mayele alikuwa anakosa sana magoli😢
    Kibwana magoli mawili yalipita kwake

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 2 ปีที่แล้ว +9

    Siku ya kufa nyani, miti yote hutereza. Simba mzee kapigwa mbele za wanawe, kasingizia uzee.Basi kamtuma mwanaye mpendwa costal union aokoe jahazi,naye kapigwa fimbo nyingi zaidi kuliko alizopigwa baba yake simba mzee."Wamekoma"

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 3 หลายเดือนก่อน +2

    Azam tv zamani mlikua mnaonesha vizuli mpaka wachezaji wakiingia mlikua mnaonesha ila sasa mnakata sana jamani 😢

  • @seifmashomho2457
    @seifmashomho2457 2 ปีที่แล้ว +8

    Hii Fainal Jamani Acheni Tuitwe Mabingwa Tu🤔🤔

  • @neemabenitho5441
    @neemabenitho5441 ปีที่แล้ว +2

    Hii siku nilijua kuteseka sana jmn yanga itakuja kuniuwa

  • @didierilombe5572
    @didierilombe5572 2 ปีที่แล้ว +3

    N do utamu wa Match huu. Yanga juuuuuuuu kweli, Mume tufurahisha.. Finale nzuri saaana..

  • @michaelminja
    @michaelminja 2 ปีที่แล้ว +4

    Daima mbele congratulation

  • @joesephmihambo1487
    @joesephmihambo1487 2 ปีที่แล้ว +6

    Yanga tam jamani

  • @selemalucas5097
    @selemalucas5097 2 ปีที่แล้ว +7

    Duuu kam ligi lijalo timi zote zitacheza hivii başı nna uhakika ligi itakuwa ngumu saana

  • @rehemaally9300
    @rehemaally9300 2 ปีที่แล้ว +6

    Nilijuwa nimearisha pekeyang kumbe nawenzang mpo nyieacheni mpila waleo mmmh

  • @oswardlonginoosward9832
    @oswardlonginoosward9832 5 หลายเดือนก่อน +2

    Trh 18 Leo naangalia ata mimi

  • @luchiusmwijage2863
    @luchiusmwijage2863 ปีที่แล้ว +3

    Daaa!siwez kuisahau hii mechi nilichoka sku hyo

  • @KaleboKigomba
    @KaleboKigomba 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ikumbukwe🎉

  • @mkombevuai7161
    @mkombevuai7161 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ilikua taamu saana

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 2 ปีที่แล้ว +10

    Uchawi upo fiston mayele sio wa kukosa magoli hivo

  • @BwangaJatown-t1h
    @BwangaJatown-t1h 3 วันที่ผ่านมา

    Big final

  • @youngchella4322
    @youngchella4322 2 ปีที่แล้ว +10

    Anayeangalia hii mechi moake leo mwezi wa 9 tarehe 21 😂😂Yanga tulihangaika kwakweli agonge like

    • @ndekwawilliam7266
      @ndekwawilliam7266 2 ปีที่แล้ว +1

      Leo tareh 22/09/22 saa sita na dakika 53 siku ya Alhamis naangalia

    • @tujambwambo606
      @tujambwambo606 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm pia leo 24/9/2022,🤣🤣🤣

    • @maryammwashuya4955
      @maryammwashuya4955 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm tar 30😂

    • @youngchella4322
      @youngchella4322 2 ปีที่แล้ว

      @@maryammwashuya4955 😂📌

  • @KautharMartin-sc9cm
    @KautharMartin-sc9cm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi leo tarehe 7/4/2024

  • @moviekaa
    @moviekaa 2 ปีที่แล้ว +5

    Nabi anauwezo mkubwa sana wa kumsoma mpinzani ndomana mara nyingi sub zake zina matokeo mazuri🤣🤣.Game ilikuwa ngumu sana

  • @gaudenciaiganja7737
    @gaudenciaiganja7737 2 ปีที่แล้ว +3

    Huy refa alikuwa anawabeba sana coastal Hadi wanacheza kwa Mkono daah, Mungu mkubwa

  • @arfaahassn6162
    @arfaahassn6162 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂Atari sana ngoma kali hiii yanga raha jmn

  • @nyaganyaga3876
    @nyaganyaga3876 ปีที่แล้ว +3

    Hili goli la makambo limefanana Sana na la aziz ki zidi ya club African..

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 ปีที่แล้ว +2

    Hii game miongon mwa game zetu Bora kabisa kuwa kutokea da game nililia wakati inachezwa live na nalia Tena leo nikiangalia highlits da bonge la mechi

  • @issamatula9818
    @issamatula9818 2 ปีที่แล้ว +6

    Fainali ya kihistoria, km una roho nyepesi inaweza kutoka kbs

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 2 ปีที่แล้ว +3

    Watu wanamzungumzia sana Sopu lkn kazi kubwa ilifanywa na Vincent Abubakar

  • @mamuramadhani9278
    @mamuramadhani9278 2 ปีที่แล้ว +3

    💛💚

  • @Queen-fq9zj
    @Queen-fq9zj ปีที่แล้ว +3

    Hii mechi hii sitaki kukumbuka niliumwa na tumbo lakuhara gafula aseeeeeee hii siku apana

  • @worldstartz
    @worldstartz 2 ปีที่แล้ว +5

    huyu feisal ni hatari aisee

  • @omaryshabani3500
    @omaryshabani3500 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo hapa tarehe 21/02/2024 😂😂😂🙌🙌🙌

  • @biashamohamed1033
    @biashamohamed1033 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio ilikua final

  • @nestorymapunda5181
    @nestorymapunda5181 2 ปีที่แล้ว +3

    Wan nch lek zenu kam mn amin yang tuna timu

  • @MajariwaManambo
    @MajariwaManambo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sanatu

  • @sokaletu722
    @sokaletu722 2 ปีที่แล้ว +2

    My team

  • @BienfaitMfaume
    @BienfaitMfaume ปีที่แล้ว +1

    A mad game oh wow,
    Intense and emotional,
    And this boy Sopu oh that is another level🔥
    These are games you rewatch and still give you cocktail emotions😴
    And how about the commentator and his mate, oh my word, I thought it is only under 17 and the other guy, but oh my wow, so accurately, timely and vibrating through out the whole game🤩..!
    You will not see such esperanza perfomances on this planet more often, so insane🤪🤟

  • @johnsonkibadeni5053
    @johnsonkibadeni5053 2 ปีที่แล้ว +1

    Diarra alizingua sana hii game, the gud news was that we won the title

    • @wardasamwel6243
      @wardasamwel6243 2 ปีที่แล้ว

      nimekuja tena kuangalia

    • @johnsonkibadeni5053
      @johnsonkibadeni5053 2 ปีที่แล้ว

      @@wardasamwel6243 vip kiwango cha Diarra kwenye game hii??

  • @HusseinmaulidToyo
    @HusseinmaulidToyo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni moto Kal san

  • @ChidyKenny-dc1ue
    @ChidyKenny-dc1ue 3 หลายเดือนก่อน +1

    Narudia ten kuangaria 24.6.2024

  • @FadhiliSabihi
    @FadhiliSabihi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Natazama tu mpka leo lakini hamu hainiishi hii leo ni tarehe 11/02/2024

  • @simonnjovu586
    @simonnjovu586 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naicheck leo 26/10/2023.

  • @TZ0605ZIONCITYCHURCHCYDC-fz7uz
    @TZ0605ZIONCITYCHURCHCYDC-fz7uz ปีที่แล้ว +2

    Sitokaa nisahau hii mechi hakika

  • @smarttv3272
    @smarttv3272 2 ปีที่แล้ว +9

    Hivi vitoto vilitung'angania kama vle vimekula mbwa 😀😀😀

    • @nestorymapunda5181
      @nestorymapunda5181 2 ปีที่แล้ว +1

      Atar we ach2 mm mpk nili kimbh kuangalia mpl

    • @smarttv3272
      @smarttv3272 2 ปีที่แล้ว +2

      😀😀😀😀😀ni hatari

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 2 ปีที่แล้ว +2

      Walipewa hela na simba wakaze 😂.

    • @smarttv3272
      @smarttv3272 2 ปีที่แล้ว +1

      @@jumahamis227 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sayimasele5054
      @sayimasele5054 2 ปีที่แล้ว

      Ndyo mtulie mda wa kusajili

  • @happypoul9057
    @happypoul9057 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii mechi hilikua Kama Vita ya mlusi na mwisrael

  • @HadijaharunaHadijaharuna-st5tf
    @HadijaharunaHadijaharuna-st5tf 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka Leo naiangalia sichokii😳😳

  • @dominikicharles8061
    @dominikicharles8061 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว +4

    Makolooo. Na. Cost. Kwa. Pamoja. Kahareni. Mujuwee. Mkubwaa. Ni. Mkubwaaa. Tuu

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwamnyeto ulifeli sana hii mechi

  • @muwongejohn2372
    @muwongejohn2372 ปีที่แล้ว

    Mwaka unaisha ila Mimi ninacho ona yanga kipa siomzuri kivile, ambao Wanaofuatilia michezo ya yanga mtakuwa mnakubaliana na mimi. Daima mbele nyuma mwiko 🇹🇿🇹🇿💪

    • @jangwanjaphet9400
      @jangwanjaphet9400 ปีที่แล้ว

      Ni ngum kukubalians na ww, vle makosa wanafanya Mabeki na c tatzo la golie

  • @mosebany
    @mosebany ปีที่แล้ว +3

    Sema anayeangalia sahizi 22/1/2023

  • @KBCofficialvideo
    @KBCofficialvideo 2 ปีที่แล้ว

    Nakubari yanga

  • @sokaletu722
    @sokaletu722 2 ปีที่แล้ว +2

    💚💚

  • @saidikaisi4915
    @saidikaisi4915 2 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmh mpak nilikuw natetem mwil mzima duuuh

  • @dorcasshayo5155
    @dorcasshayo5155 2 ปีที่แล้ว +5

    Nabi aongezwe mshahara

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 2 ปีที่แล้ว

      Swadakta ametutoa mbali sana

  • @ismailissa4935
    @ismailissa4935 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii mechi sijawah kutoa chozi nilichemka mpaka maini wallah doooh!

  • @sakinamahmoud6502
    @sakinamahmoud6502 2 ปีที่แล้ว +3

    Mechi iliniweka moyo juu hii

  • @Bmfaume22
    @Bmfaume22 10 หลายเดือนก่อน

    Ihi ni kali ata ukiingalia 2050
    Bado ni 2023, utafikiri mchezo ume pigwa ma saa machache tu, yani, bonge la gemu🔥

  • @PascaliJems
    @PascaliJems 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nani hakujionea mwenyewe, hii Kali kuliko??

  • @guccij6236
    @guccij6236 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga ndo team pekee Duniani kuwaitokea ilio chukua makombe yote bila kufungwa

  • @saidlwambo1995
    @saidlwambo1995 2 ปีที่แล้ว +1

    2 substitution has borne fruits for the winner

  • @scholarhaule9956
    @scholarhaule9956 2 ปีที่แล้ว +6

    😂😂hii match nilikuw naenda choon kuharisha kila muda, nikisikia kelele nakatisha nakimbia kuangalia🤣🤣🤣🤣🤣

    • @abuuajmal1467
      @abuuajmal1467 2 ปีที่แล้ว +2

      Mkojo si mkojo Mavi si mavi😂😂

    • @scholarhaule9956
      @scholarhaule9956 2 ปีที่แล้ว

      @@abuuajmal1467 Weeee yule mtoto sopu alaaniwe khaaaa🤣

    • @mauasaidi872
      @mauasaidi872 2 ปีที่แล้ว

      kabisaa yani

  • @Fredricknyarobongo-ju7tx
    @Fredricknyarobongo-ju7tx 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kote uko mm apa leo25/3/2024

    • @habibahmuhammed3534
      @habibahmuhammed3534 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 nimekuja kuungana na wewe

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 6 หลายเดือนก่อน

      @@habibahmuhammed3534 daaah😂😂😂

    • @suzanakabatano6581
      @suzanakabatano6581 6 หลายเดือนก่อน

      Tupo pmj

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 2 ปีที่แล้ว +2

    Cpati picha waliokuwa uwanjani walikuwa na hali gani😢😢💛

  • @EvarNelly-s7o
    @EvarNelly-s7o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii siku sintokaa niisahau😢😢

  • @Najima-r6r
    @Najima-r6r 2 วันที่ผ่านมา

    Hii ndo gem iliyo nifanya nikaanza kuumwa na vidonda va tumbo sitakaa nikasahau 😢

  • @jacobmkirya9987
    @jacobmkirya9987 2 ปีที่แล้ว

    Nmekuja kuangalia Tena🚀

  • @EmmanuelZenda-ji5gc
    @EmmanuelZenda-ji5gc 7 หลายเดือนก่อน +1

    Manara hawezi isahau hii mechi😂

  • @shavutv6773
    @shavutv6773 2 ปีที่แล้ว +3

    makambo baki chiko jikatae

  • @innocentmacha5716
    @innocentmacha5716 2 ปีที่แล้ว +1

    Is not over until is over

  • @charlesmichael4467
    @charlesmichael4467 2 หลายเดือนก่อน

    Reo tarehe19,7,2024 naangaria

  • @edwinpeter2739
    @edwinpeter2739 9 วันที่ผ่านมา

    Nimkubali

  • @suleimansaidhamad4428
    @suleimansaidhamad4428 2 ปีที่แล้ว +2

    Hili game nizaid ya daby

  • @shukuruboy6432
    @shukuruboy6432 ปีที่แล้ว +1

    Katika dabi siji kuisahau pamoja na hii ilikuwa bonge la mechi

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 2 หลายเดือนก่อน

    Coastal union hii game walitaka wenyewe kufungwa

  • @nelsonbarton7053
    @nelsonbarton7053 ปีที่แล้ว +2

    Nipo

  • @jackobchilambo6989
    @jackobchilambo6989 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @MarthaDavid-p9k
    @MarthaDavid-p9k 11 วันที่ผ่านมา

    16/9/2024 nimeirudia

  • @BettyMozes
    @BettyMozes 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeicheki Tena trh 10 mwez wa pili 2024

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii mechi mayele angekuwaga mtulivu angepga atrick

  • @sarahpeter9542
    @sarahpeter9542 ปีที่แล้ว +1

    Mm pia nairudia mara kibao