CLEMENT MZIZE AMWAGA UKWELI | KUBADILI DINI | "NILIKATA TAMAA YA MAISHA" | MAMA MKALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 เม.ย. 2023
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 67

  • @hassankassim2463
    @hassankassim2463 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika umekuja kwenye dini sahihi mungu atakusaidia mdogo wangu

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว +5

    Mdogo wangu Mzize kipenzi cha Wananchi.. Imani yako ndo Mtaji wako Mtegemee Mungu ili ugike Mbali. Tamaa ilimpoza Fisi hadi sasa kabaki hana la kufanya au Sungura sizitaki mbichi hizi kumbe anazitaka. Sasa me nimekuona unajiamini na unajitambua pambania Namba yako kwenye kikosi cha Wananchi ili Mama asie kua pia na Tamaa anaekushauri mazuri afurahie matunda ya Wananchi.

    • @wilfredelimeleki4543
      @wilfredelimeleki4543 ปีที่แล้ว

      mnajifanyaga washauuuri,ya kwenu yanawashinda

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว

      @@wilfredelimeleki4543
      Acha roho mbaya ndugu yangu
      Ushauri ni bure hatulipii

    • @makaatrendingtv8793
      @makaatrendingtv8793 ปีที่แล้ว

      ​@@wilfredelimeleki4543 1

  • @aminakassim7486
    @aminakassim7486 8 หลายเดือนก่อน +1

    So humble

  • @bbccaa4156
    @bbccaa4156 ปีที่แล้ว +3

    Mzize nakushauri kitu kijana walikuja vijana wengi wenye vipaji hapo yanga kina kamagi fei nk wakapotezwa na tamaa za madalali walaghai ili wapate kujaza matumbo yao wewe ni kijana makini nakuomba kua makini na kipaji chako mdogo wangu tuliza akili cheza mpira utafika mbali please usilewe sifa Pamabana kila siku kama ndio unaanza

  • @ramadhanimpilipili9103
    @ramadhanimpilipili9103 2 หลายเดือนก่อน

    Hata yesu hakushushiwa injili KWA lugha ya kiswahili nikiarabu tu na yeye pia alikua muarabu

  • @ElikanaBuhembo-su8um
    @ElikanaBuhembo-su8um 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana bwana mdogo

  • @BON357
    @BON357 ปีที่แล้ว

    Start

  • @mrx8608
    @mrx8608 7 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kijana Kwa kuiacha kwelii ukafuata Giza Huwa nawaza km biblia imeandikwa kiswahili hujaielewa vpii hiyo ya kutoka kulia kwenda kushoto,,yesu mrehemu nitafute nikupe maandiko ya icho kitabu Chao ama trh 17 Kuna shughul pahala kubwa pole Kwa kumwacha yesu aiseeee lait ungejua moh alikabidhi roho yake Kwa yesu ukibahatisha kukutana na bi aisha mkee MDOGO WA moh jaribu kumuuliza

    • @muhamedkhatib4913
      @muhamedkhatib4913 5 หลายเดือนก่อน

      Pumba tupu pumbavu ww vp hicho kiarabu unakijuwa unaetaka kumuonesha ukweli? Huna ukweli ww ni mfuata mkumbo kama wakristo wote duniani

    • @Baba-JJ
      @Baba-JJ 3 หลายเดือนก่อน

      Kafuata wanawake 72 wenye makalio makubwa, Dar hadi Dodoma. Anataka akienda akhera akapewe dhakari ndefu isiyo na mwishoni. Wakiwa wanahudumiwa na watoto wadogo wa kiume wakiwa uchi. Kungonoka mwanzo mwishoni! 😂😂

    • @TatuHusseni-hs7mu
      @TatuHusseni-hs7mu หลายเดือนก่อน

      Ukipenda na wew badili to hujakatazwa

  • @abdillahmchia8557
    @abdillahmchia8557 6 หลายเดือนก่อน

    Mzize hana shida ,..sy feisali huyo

  • @muhidiniabdur2382
    @muhidiniabdur2382 ปีที่แล้ว +3

    Pambana shee waridi

  • @shaibumkullu4478
    @shaibumkullu4478 ปีที่แล้ว +1

    Wasikukatishe tamaa, chamsingi hujashawishiwa.🤝

  • @mariaclaver7721
    @mariaclaver7721 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe ndio maana umebadili imani shauri ya ushauri.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 5 หลายเดือนก่อน

    mzize Rudi dini ya wazazi wako utapotea huyo wakala kama hataki kukusaidia basi Mungu atakupa wakala mwingine sio huo anaye taka umpe rushwa ya kubadili dini

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 2 หลายเดือนก่อน

      wewe hujielewi ukijielewa uta acha huo uvundo wako

  • @SilimaKhamis-sv9rd
    @SilimaKhamis-sv9rd ปีที่แล้ว +9

    Priva walid anatakiwa ajifunze dini yake aspecial kusoma Quran Ali Kamwe msaidie dogo huyo is agood guy anaonekana

    • @asyashariffu7717
      @asyashariffu7717 ปีที่แล้ว

      Eeh na mikato mikubw asipendlee inawez ikamueka mbal na vazi lke la kiislam..akate kiistarab Ata akichong isiwe kiviile cz yy saiv ni kioo baad ya kuslimu Kuna watu wengn nyuma yke wanamuangalia ambao na wao pia wanataman waslimu

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 ปีที่แล้ว

    Mnamhari u huyu mtoto

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 ปีที่แล้ว +1

    Kijana Rudi kwa Yesu,kuhamia huko kwingne ni kumkana Yesu.Naamini ipo siku utarudi kwa Yesu

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 ปีที่แล้ว

    Walid hapana labda eden,nasri,Abdullah nk

  • @mwlbarakambisetv8825
    @mwlbarakambisetv8825 ปีที่แล้ว +4

    Njaa ni mbaya sana mtu asikufiche
    Najua pesa imemshawishi amkane Mungu wake but zitaisha atakumbuka Ukristo tu

    • @twahazakumba8449
      @twahazakumba8449 ปีที่แล้ว

      Mpuuzi sana ww na Manabii wenu wakipumbavu freemason nyie

    • @Alexanderlyimo
      @Alexanderlyimo ปีที่แล้ว

      @@twahazakumba8449sawa na nyie wauwaji wakubwa

    • @kassimrajabu56
      @kassimrajabu56 ปีที่แล้ว

      Mungu wake yupi kamkana?? Yesu au ??😂😂😂

    • @farajapeasonmagota8226
      @farajapeasonmagota8226 ปีที่แล้ว

      Yesu uliyemkana ipo siku atakukana

    • @rashidramadhani3142
      @rashidramadhani3142 ปีที่แล้ว

      Ongea kitu chenye maana we. Unaongea utopolo gani??

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 ปีที่แล้ว

    Mwanamke ndo kambadilisha dini😁😁😁😁😁😁

    • @rashmaissac480
      @rashmaissac480 ปีที่แล้ว +1

      Mtafute mwanaume akubadilishe dini na ww😂😂😂

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 ปีที่แล้ว +1

      Yan mm mwanamke tu ety aje atokee aniambie nibadilishe dini yng ya ukristo ntamuona ni shetani kabixaaa, hata nipewe jumba kubwa kama meri magari sio gari moja magariiiii siwez kuacha dini yng leo hii ije kua mwanamke tu thubutun muoneeeee najitambua xana xana

    • @gracegofrey4677
      @gracegofrey4677 ปีที่แล้ว

      @@rashmaissac480 hio kwangu ni ndoto my friend 😀😀😀

    • @gracegofrey4677
      @gracegofrey4677 ปีที่แล้ว

      @@nestarnestar4520 kavutiwa sura yake😀😀

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 ปีที่แล้ว

      @@nestarnestar4520 Kwani ukristo nao ni dini? 😂😂

  • @webirowasira7920
    @webirowasira7920 ปีที่แล้ว

    Why copy and paste other people work

  • @Alexanderlyimo
    @Alexanderlyimo ปีที่แล้ว +2

    Huo upumbavu ndo sitokuja kuufanya maishani

    • @kassimrajabu56
      @kassimrajabu56 ปีที่แล้ว

      Sasa unataka na sisi tufate upumbavu wako wakuwa mkristo?

    • @Alexanderlyimo
      @Alexanderlyimo ปีที่แล้ว +1

      @@kassimrajabu56 kila mtu Abaki kwenye dini yake aliyozaliwa ila kuja kubadili dini bora uniuwe sitokuja kufanya huo upumbavu

    • @hassaneddy5869
      @hassaneddy5869 ปีที่แล้ว

      Ndo maana mungu kaumba moto

    • @kassimrajabu56
      @kassimrajabu56 ปีที่แล้ว

      @@Alexanderlyimo sawa baki na ukristo wako.

    • @jumasaid2792
      @jumasaid2792 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣na kama utatrace kizazi chako nyuma kidogo basi walikuwa wapumbavu pia au wew mpumbavu tayari maana wazazi wa wazazi wako au wazazi wao hawakuwa WAKRISTO pia sasa usimalize maneno kama hujaitafuta historia yako.
      Tanganyika UKRISTO ulianza 1886 sasa anza kutafuta asili yako wew mpumbavu(mjinga) tafadhali ingia GOOGLE 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-de1xy2hp5r
    @user-de1xy2hp5r 8 หลายเดือนก่อน