Kamwe asema MC Alger watakutana na moto Benjamin Mkapa, awaita mashabiki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 109

  • @linnahcasmir5275
    @linnahcasmir5275 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Msemaji wangu boraa Ali kamwe pekeee💛💚

  • @JoyceJoseph-te6go
    @JoyceJoseph-te6go 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gusa ,Achia, twende robo finally ❤❤❤ hii kauli mbiu ni lazima tufike na Mungu atusaidie Wana Yanga

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Number 10 bora Africa
    Stephen aziz Ki
    Merci aziz

  • @DominicMakamba
    @DominicMakamba 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu Tusaidie Young African Sports Club Tuvuke Salama

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ألمس دعنا نذهب إليهم
    Almis daa'na nadhihabu ileihim
    Gusa achia twende kwao
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daima mbele nyuma mwiko button wananchiiiiiiiii 🟢💚💚💚💚💚💛🖤🖤🖤💛💚💚💛

  • @erickgodwin9668
    @erickgodwin9668 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    God is Great. Gusa achia itawanyorosha

  • @mulhatramadhan1147
    @mulhatramadhan1147 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Inshaallah

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Asanteee ally kamweeee

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwa uwezo wake Mungu tutashinda

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongeren 🎉🎉🎉

  • @AishaMsungi
    @AishaMsungi 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Allah awarejeshe salama salmini

  • @AtukuzweLucas
    @AtukuzweLucas 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gusa achia twezetu namna hyo❤

  • @simeontwiyogohe2727
    @simeontwiyogohe2727 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tunaiombea Heri Yanga SC kwa Uweza wa Mungu Mwenyezi tutashinda na kutinga robo finals CAFCL

  • @mariuskahwa3346
    @mariuskahwa3346 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +18

    Tafuta subs za Aucho, job, bacca, na mdhahiri, tafuta striker au winger mwenye kuwapa shida mabeki kama anavyosumvua Komugisha

    • @BoniphaceHaran
      @BoniphaceHaran 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wewe unakichaa kwani Ally ndo anatafuta wachezaji

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@BoniphaceHaran hahusiki, ila and wexa toa ushauri ktk kitafutwa na kusajili wachezaji

    • @thomassydney5857
      @thomassydney5857 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Maoni atayafikisha huyo Komugisha aje jangwani asee

    • @henrydanlord7822
      @henrydanlord7822 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Maoni yatasomwa

    • @GodfreyMwendawila-ff7on
      @GodfreyMwendawila-ff7on 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uko sawa

  • @RoseGeofrey
    @RoseGeofrey 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    gusa achia twende kwao 🙌🙌💚💛🖤 mc algier hawana namna zaidi yakuja uchi my wao ndio sisi tunazama tu hawana kisingizio chochote yakukosa kutupa point tatu muhimu na magoli ma4 muhimu🖤💛💚🙌🙌🙌

  • @NassoroMeshack
    @NassoroMeshack 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nawatakia mahandaliz mema kikos changu cha yang Africans

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Alhamndulilah Kila Mwenye Kujitahdii Yupo pamoja na M/Mungu Allah tuzidishie zaid Inshaallah

    • @Hussein7-c2j
      @Hussein7-c2j 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aaamin In Sha Allah

    • @DullahIweni
      @DullahIweni 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameen

  • @faidha23
    @faidha23 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 semaj nakupenda bure ikawe kher usemayo ikaw kweli inshallah

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa

  • @fazo-kl9fu
    @fazo-kl9fu 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @AbdallahMuya-j7e
    @AbdallahMuya-j7e 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tunataka poit 3

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mechi ya mezani iyo subirini tar 18

  • @fabianwilliam3310
    @fabianwilliam3310 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ila kk dube anazingua

  • @CalvinPeter-k9s
    @CalvinPeter-k9s 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    nipende kusema tu mc tuta washenyenta mpaka watapike ftar na daku mwarabu atatapika tende na halua

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 25 นาทีที่ผ่านมา

    Bahasha Tuu

  • @mbetenijumanne9576
    @mbetenijumanne9576 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Imsik utruk nazhabu ilaigim

  • @suzan4200
    @suzan4200 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tunaomba usizimie safari hii maana😂😂

    • @suzan4200
      @suzan4200 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @salmamlokela1987 aiseee punguza stress mwaka ndo kwanza umeanza pole dear kwa unayo pitia

    • @suzan4200
      @suzan4200 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @salmamlokela1987 shida mnasoma comment za watu kinyumenyume hehehehehehehehe ungejua wala usingefungua hilo bakuli na hiyo sare yako wee kwel kolo

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aya niijua kolo mmoja hivi nilimwandalia jibu spesho maan wanapenda kufatilia ya watu

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@suzan4200 pole kwa sote maan atujui huu mwaka una nini kwetu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mechi ngumu ilikua ya Ibenge Yanga wamefuvu teyari

  • @KamgishaIsaya
    @KamgishaIsaya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    UO MOTO UNAWAUSU WAARABU HAWATA KWEPA.

  • @priscamgimba6984
    @priscamgimba6984 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gusa achia twende lkwao

  • @VictoriaBupila
    @VictoriaBupila 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nakwamini semaji letu laubingwa

  • @SadickMasunu
    @SadickMasunu 13 นาทีที่ผ่านมา

    Angalia kuna siku mdomo wako utakuponza

  • @amiduassan8763
    @amiduassan8763 17 นาทีที่ผ่านมา

    Huna baya ally kamwe

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 5 นาทีที่ผ่านมา

    Na nyie si mtoe hizo bahasha....acheni makasiriko

  • @RAJABU-c7s
    @RAJABU-c7s 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂 yanga awezi kufuzu

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Maskini kwo raaha zetu wananchi zakuwashia nn weyee khaa wallahi

  • @ooraitisr9623
    @ooraitisr9623 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    KAMDOMO😅

    • @KamgishaIsaya
      @KamgishaIsaya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      WEWE KAMA MWANAUME UKIAMBIWA NA MKEO ATAKUPIGA NA WEWE UNAKUBARI??? KAMA UKIKUBARI BASI WEWE NI MWANAUME VIAZI, IVYO MDIVYO ANVYO THINITISHA MSEMAJI WETU NA SI WA SIMBA BALI NA DAR YOUNG AFRIKAANS.

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Gusa achia twende robo fainali

  • @HamisMwamba
    @HamisMwamba 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Fanya murud tena

  • @AishaMsungi
    @AishaMsungi 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hayo tutakuja kuyaongelea hapa hapa nyumbani

  • @HassaniAlly-f1q
    @HassaniAlly-f1q ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ali kakwe ww ni Doni yanga hooooo

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 26 นาทีที่ผ่านมา

    Nyumbani kwao ni sudan bwana! kumbe hadi leo bado hamjafuzu Tuu?

  • @JohnMwale-m1e
    @JohnMwale-m1e 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wekinbume ari

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Namipira iyongezwe tukipata goli waone mkuki kwanguruwe

    • @salumujumbe7744
      @salumujumbe7744 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwisha habari yako, kamebak kamdomo.

  • @EmmyLivingstone-e4f
    @EmmyLivingstone-e4f 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wee

  • @omariaman7818
    @omariaman7818 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida ni kwamba mnauwezo wa kuahinda ugenini ila pia mnafungwa sana nyumbani

    • @flavour_boy1596
      @flavour_boy1596 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nyumbani si ni mechi 1 tu tumefungwa na hilal au wew una mechi zako 😂

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@flavour_boy1596 UJA MUELEWA MAANA YAKE TUJI FUNZE KUTUMIA UWANJA WA NYUMBANI KIMI KAKATI KAMA NDGU ZETU SIMBA TUCHEZE MPIRA NJE NA NDANI

    • @fredrickmauka6499
      @fredrickmauka6499 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@simonlukiko2850 YAN MAKOLO MNA TABU SANA HUYO SIMBA ANAPASUKAGA MARA NGAP HAPO KWA MKAPA SO FAR YANGA ANA REKOD NZUR KWA MKAPA KULIKO 5IMBA

  • @MaulidKisase
    @MaulidKisase 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Inatakiwa 3_0 kufuzu au 4_1

    • @GodfreyHenryDaimon-yo6ix
      @GodfreyHenryDaimon-yo6ix 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ushindi wowote tunapita

    • @IdrisaNasor
      @IdrisaNasor 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ushindi wowote ata goli 1 basii linatoshaa kka

    • @kaminyogemwachelwa9884
      @kaminyogemwachelwa9884 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hiyo haipo hata goal Moja tunafuzu

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu kaka bwanaa kichaa kweli kweli😂😂😂

    • @SAIDISaidiallymogelela
      @SAIDISaidiallymogelela 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww mpila hujui

  • @khamismohd5290
    @khamismohd5290 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ali kamwe amini utafungwa lazima

    • @rizikimarco6451
      @rizikimarco6451 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tunasave

    • @MgayaMponda
      @MgayaMponda 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nyooo

    • @TabiaMwaisumo-ss7pz
      @TabiaMwaisumo-ss7pz 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kaloge sisi tunaomba Mungu hautaamini mbuzi wewe😂😂

  • @RugemarilaJustinian
    @RugemarilaJustinian 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bad amjasema yanga ahooooo migongo waz na mkalio kama ya sokwe

  • @SokoineMwita
    @SokoineMwita 18 นาทีที่ผ่านมา

    Vcj

  • @nelsonngowi3950
    @nelsonngowi3950 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ujifunze kuweka akiba ya matambo. Usije ukawa mwekundu baada ya mechi

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We kolokwinyo maneno yako yanayonuka nenda kamwambie msemaji wenu comedian aanze yeye kwanza kuacha matambo..

    • @KamgishaIsaya
      @KamgishaIsaya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      WATAFUNGWA TU!!!

    • @aishabakari8040
      @aishabakari8040 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We nae hukumbuki mlikua mnafuzu na mechi ya mwisho mixiuuuuu

  • @RamadhaniShayo-c7e
    @RamadhaniShayo-c7e 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe kenge tutafute Sabu za hao wachezaji kwa Nini hao ni wazuri

  • @LovenessSimon-r9j
    @LovenessSimon-r9j 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapa yanga lzm wawaloge mc alger

  • @gladnessmichael9384
    @gladnessmichael9384 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mshukuru Sana Ibenge hakuwa na shida na matokeo acha kujinadi wewe kamdomo katakuponza

    • @veronikasilayo1455
      @veronikasilayo1455 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Peleka wivu wako uko ibenge bongo

    • @farajasospeter9668
      @farajasospeter9668 29 นาทีที่ผ่านมา

      We kolo umefata nini huku kwa wakubwa

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hamn lolote mumenunuwa mechi ya alhil hakun asiejuwa km mumepigia magot ibenge

    • @fredrickmauka6499
      @fredrickmauka6499 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      kuna mtu anaongoza kula bahasha za yanga kama nyie makolo?halaf mnamsema ibenge wakat ndo tabia yenu

    • @obedymajaliwa2040
      @obedymajaliwa2040 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Mawazo yako Hayana Afya , kwa Mpira Uliyopigwa bado Una Maswali ? Yanga Level Kubwa mno

    • @IsabelaConstantino-y2s
      @IsabelaConstantino-y2s 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni Nzuri pia

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mamae. Usituzpee

    • @NgoboleMagawida-vy4dj
      @NgoboleMagawida-vy4dj 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Naww ulikula hela????