Aaaa kweli tunapigwa wananchi natunanyanyasika sana pia anaesema magufuri alikuwa anamtuma makonda kuuwa watu mna uhakika achen ushetan kumsakama makonda wawatu apige kazi
Boya kama huyo ndio mnafurahia na serikali ni ya ccm bado Makonda ni wa ccm sasa mabadiliko mtapata wapi kwendeni huko acheni uhuni huyo ni kujitamba tu
Hakuna serikali dhaifu ila kuna watu wachache ambao ni dhaifu wanaisababishia serikali kuonekana ni dhaifu mimi ni mmoja wa janga kama hili natamani kumuona samia kama wao wanaweza kuona malalamiko yangu kama sio uhuni
Bro tatizo serikali inawataka viongozi wenye Elimu wezi kuliko wasiokuwa naelim naniwachapakazi tanzania hii aitaki waaminifu inataka watumishi wezi,matapeli,wazuluma , aiitaji watumishi waaminifu😂😂😂
Ki ukweli baadhi ya viongozi wanaoteliwa na Mh rais hawatekelezi maelekezo ya mh wanafanya wananchi kuchukia chama na serikali yake awe makini nao.pongezi kwako mwenezi wetu kwa kuyana madudu
Hawa viongozi wanakigombanisha chama kwa wananchi hii ni treason ni mapinduzi haya ya kukiondoa chama madarakani serikali inakata tawi chama kinayolikalia kitaanguka tu kama hakitatenda haki kwa wapiga kura
Jammani sio tuu kua waziri mkuu hata urais anafata kuwa rais baada ya mama Samia kumaliza 5 Tena ni makonda au kasim majaliwa🤲🙏🤝
Majaliwa ni msani...makonda na Bashiru au pole pole ndo wanafaa
We ni pwa samia utampa wewe sisi hatuwezi kumpa
Mweshimiwa please gombea uraisi unafaa kasilimia 100 %0
Anafaa kuwa raisi kabisa jamn akika uyu ni mwamba wetu ❤❤❤❤❤
Saruti
Makonda
Munguakuweke
Ameen
😭😭😭😭😭😭🤲🏾😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🏾😭😭😭🇿🇦🇿🇦😭🇹🇿🥰🤲🏾🤲🏾🤲🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🙏🙏🙏🙏🙏🙏☝🏿☝🏿
Makonda moyo uliyonao kwa sijui nisemaje nafsi yako ni ya kipekee , mungu akuzidishie hekima❤❤
Asante Mheshimiwa Makonda unasaidia Wanyonge asante
Mungu akusimamie zaidi mwamba
Ukweli huyu dada hafai kabisa kuwa mkuu wa sehemu yeyeote ile katika serikali maana anaonyesha ana lishwa pesa ndogo ndogo kwa kila sehemu
makonda jujuju ju zaidi unafaa kuwa waziri mkuu
KATIBU MWENEZI KUNA HUTUBA YA KIONGOZI MKUU WA NCHI ANASEMA WATU WENYE KUINGUSHA SEPIKARI WACHOMOLEWE MMOJA MMOJA
Mungu nimwema impendeze mungu uwe raisi utukufu tunauona pambana kaka
😂 Tanzania mko na bahati sana,hapa Kenya hatuna mtetezi,huko Kenya maskini Hana haki......
Siku mja nitaishi Tanzania
This guy one day will be the Tanzania president mark my words Kiarie from Kenya
Mungu wa Mbingu na Nchi akusimamie Baba Makonda unafanya Kazi ya Mungu.
Pole makonda kwa kazi nakuombea kaka yangu
Hivi kweli hao Viongozi wanaitwa wataalam wanna wazazi kweli na hao wazazi wao wananyanyaswa
Ongezeko la watu angalieni
Aaaa kweli tunapigwa wananchi natunanyanyasika sana pia anaesema magufuri alikuwa anamtuma makonda kuuwa watu mna uhakika achen ushetan kumsakama makonda wawatu apige kazi
Gairo kuna kazi uje
aisee mungu mkubwa mama yetu kutuletea makondaa abarikiwe
Makonda chapakaz baba tunaonewa sana
Mkonda Mungu akulinda. Watalam wa Ardhi ki ukweli hawa watu wanajiona miungu watu kwenye nafasi yao
Makonda hapa hapa mzee
Mwenye Enzi Mungu tuhurumie nchi yangu Tanzania 🇹🇿 😢😢😢
Hii inaonyesha Wizara ya Ardhi ina matatizo
Huyu ndiye mwamba sasa anafaa sana makonda hoyeeeeee nakupenda sana mi chadema lakini kazi unafanya mwamba tuna ona
Makonda Mungu akutangulie tenda haki tunananyanyaswa sana na baadhi ya viongozi
Umeanza vizuri sanga sada unaharibu
Adui wa binadamu ni binadamu mwenziwe.Mungu tout basi asaidie
Hongela kiongozi watu mzri san
Safi sanaaa mh makondaaa
Muheshimiwa Malinda fanyakaz ukimtanguliza mungu nchi hii wachawi wengi mno
Jaman
Poleni,Hii dunia mwanadam zake ni futi siti lakini viongozi nikufinyilia mwananchi.
Nakupenda sana makonda🎉🎉🎉🎉
Makonda naomba kuuliza et kasimu majaliw yuko wap makamo wa rais yuko wap
Boya kama huyo ndio mnafurahia na serikali ni ya ccm bado Makonda ni wa ccm sasa mabadiliko mtapata wapi kwendeni huko acheni uhuni huyo ni kujitamba tu
JAMANI EBU FANYENI CHOCHOTE KWA HAO WANAKUJA KUVUNJA NYUMBA ZA WATU PIGENI MAWEE NA KILA SILAHA INAUMA SANA NYIE
Maskini inauma Wananchi wengi hawajalipwa Fedha zao poleni sana Wananchi
Ukwel makonda unastahili kuwa kiongoz wa inch hii sab unajuwa kutenda hak na kusmamia hak mungu akusmamie
🙏
Mdogo wangu makonda, punguza, kwa mwendo huu inaonyesha tz tunasida saaaaana!
Ok jaman
Ok ok
❤
Kuna watu wanajisahahuu sana kupewa madalaka kidogo wananyanyasa watu sio Viongozi Bora hata kidogo Awana sifa
Bonsoir
Kiongozi kama kiongozi ni busara sio umri❤
Daaaah inchii yaan mpaka machozii😢😢
Kumbe kenya na Tanzania sote ni ndugu yani jinsi mnavyo nyanyasika hamuna tafauti na sisi mungu tusaidie
Miaka 60 bado migogoro ya ARIDHI eti tuna wataharamu CCm mmeshindwa kiri
KWANINIIII UYO MTU ASIKAMATWEEE NA ALIPEEE JE VIONGOZIII WAKO WAPIIII?? NA WANAFANYA NINI. JAMANI HASAAAA WANANCHI KUSUMBILIWA HIVIIII???
Siasa tu hapa
Hakuna serikali dhaifu ila kuna watu wachache ambao ni dhaifu wanaisababishia serikali kuonekana ni dhaifu mimi ni mmoja wa janga kama hili natamani kumuona samia kama wao wanaweza kuona malalamiko yangu kama sio uhuni
Sanga sawa hicho kidonda chawengi
Makonda oyeeeeeee:
Mwenezi makonda babati
Makonda chapa KAZI from Lubumbashi drc mkongo
❤❤❤😊😊😊😅😊
Hats. Nzega kuna tabia ya kukwepesha ziara za viongozi
Jionee wenyewe mbaka sas selekari hinacho kifanya siy kabisa tunaungozi mubaya sana daaa mungu 😂😂😂😂😂😂😂
Bro tatizo serikali inawataka viongozi wenye Elimu wezi kuliko wasiokuwa naelim naniwachapakazi tanzania hii aitaki waaminifu inataka watumishi wezi,matapeli,wazuluma , aiitaji watumishi waaminifu😂😂😂
😢mnafikiiii
Kwa Nini Marais wote hawajafanya hivyo Samia samiawatu wanatezwa
Makonda kaza Buti mungu yupo poja na wewe
Wanaudhi mnooo😤😤
Makonda ushauri wangu ccm ikae pembeni kwanza wapewe zamu wengine
Sasa mheshimiwa makondanini maanayamikutaniyako maanasionichochote ulichomsaidia huyomzee wawatu nafamiliazake
Nikweli huku mbarali Kuna tatizo wakulima tuna tatizo
Arusha DC kivesi na kishimbo wamenyaganywa mashamba,na
hako katapeli tu hata ongea hiyo tu
.amonda tunakwitaji tabora tarafa ya bunge wilayani zeng
Viongozi wanaotuongoza wana viburi sana
Katiba mama izi gatiwe wasitimie vyeo kama fimbo yakuwapigia manyonge
Malinda. Serekari. Ya ccm mumeshindwa
Heee hee 😊😊
Ki ukweli baadhi ya viongozi wanaoteliwa na Mh rais hawatekelezi maelekezo ya mh wanafanya wananchi kuchukia chama na serikali yake awe makini nao.pongezi kwako mwenezi wetu kwa kuyana madudu
Ndio mkomo Kwa kuwapenda hao wa kijani
Apo unamwambia mama samia
Unasema serikali imeona eneo ni la mhimu mwananchi hawana umhimu?
Kaacha mziki kawa bondia? Mbona mnachekesha?
Makonda tunakuomba hiloango limeandikwa sinsitira nikweri wamegeuzakilimo nawakati eneo laujenzi njoo mbeya vijijini kunamadudu
Makonda sikumo gombeya
Siasa za rushwa
Hawa viongozi wanakigombanisha chama kwa wananchi hii ni treason ni mapinduzi haya ya kukiondoa chama madarakani serikali inakata tawi chama kinayolikalia kitaanguka tu kama hakitatenda haki kwa wapiga kura
Kila saa mueshimiw jibu swali mkundu ww
O
Gombea Uraisi makonda wewe ni mtetezi
Makonda. Baba. Unanigusasana. Kwanini. Usiweraisi. Kaziyababa. Magufuri. Unaifanya. Sawasawa. Ndiyoo. Uweraisi. Baba. Uweraisi. Watuwanateseka. Nawatuiviivi. Tuu. Baba. Unafanyavema
Mchanganyo na siasa zisizo na tija
Haa hivi nilisikiaga mama hataki Mabango" she ayaone huku😂watu Wana shida mpaka duh😮
Dada mwongo anaongea sana,,,,rafiki yake shetani jehanamu inakusubili mtailipa machozi watu,huonionefu,makonda tetea watu, Mungu atakubariki makonda,endelea kukutete haki ya wanyonge.. 9:29
Mafuta ni yako wewe wa ccm mbona unaongea pumba unahurumia usafiri ni wako
Msiyatupe mabango yenu bado tunadai haki na kule Marangu Makonda maaskari wamevunja nyumba ya mama mmoja kisa wifi kadai ivunjwe kajionee mwenyewe.
ww ni jembe
This guy one day will be the Tanzania president mark my words Kiarie from Kenya
Daaaah inchii yaan mpaka machozii😢😢
Miaka 60 bado migogoro ya ARIDHI eti tuna wataharamu CCm mmeshindwa kiri
makonda chapa kazi tuko nawe
This guy one day will be the Tanzania president mark my words Kiarie from Kenya
I do agree with you ❤