Magufuli kipenzi cha wa Tanzania Milele Wametajwa watu walio hai lakini mashangilio yalikua chini lakini kwa Magufuli shangwe juuu,huyu baba japo amekufa kimwili lakini Roho yake inaishi nasi upendo na matendo mema kwetu❤❤❤Mungu akulaze mahali pema peponi Magufuli wetu Rais kipenzi cha wa Tanzania Amina
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉kazi iendelee
Kwamalechela umeupiga mwingiii!!!!
JPM wetu hoyeeeeeeeeeee♥️
Ukimkuta anasema SENJELE MIE NACHOKA TUTAENDELEA KESHO 😂😂😂 KAMA SIO YEYE
Haaaaahaaa kama sio yeye vile
Makonda ni mtumishi wa Mungu hiyo haipingiki
Yuyo jama noma sana hongela sana
Hii sio sauti ya Magufuli ni Nyerere hapo
MWishoni amemaliza na sauti ya Magufuli kabsa😂😂
Wewe skiliza hadi mwisho utaisikia sauti ya magufuli
Bado saan
Hii siyo sauti ya Magufuli ni sauti ya Nyerere bhana rekebisheni, Enzi za nyerere Makonda alikuwa bado mdogo sana
Shida ya kuajiri vijana wadogo WASIO jua maraisi wao sasa huyu si Nyerere magufuli Ako wapi 🤣
Uko sahihihi dg😂😂😂
Sikiliza mpk mwisho ndo utaelewa hyo Mwisho saut ya Magufuli ndo kasema atamtumbua
Tatizo mnasikiliza nusunusu
@@Benny318m ndio hivyo. Wanatakiwa wamalize
Kama anamuigiza nyerere bac hampatii kabisa
Hongera sana umewezaa
SHANGWE LA SAUTI YA MAGUFULI INAASHILIA KITU GANI KWA WEWE ULIYE SOMA QUBA 🤔🤔 LETE MAJIBU
Magufuli kipenzi cha wa Tanzania Milele
Wametajwa watu walio hai lakini mashangilio yalikua chini lakini kwa Magufuli shangwe juuu,huyu baba japo amekufa kimwili lakini Roho yake inaishi nasi upendo na matendo mema kwetu❤❤❤Mungu akulaze mahali pema peponi Magufuli wetu Rais kipenzi cha wa Tanzania Amina
Huyo sauti ni ya baba wa taifa mwl JK Nyerere,acha uongo
Huyu jamaa kiboko 😅😅
Ya Halima Mdee bado
Ñoma saana aisee 🔥💥🖐️
Naomba namba ya Makonda jamani
Sasa huyu magu au nyerere
Ali Tambaa na hela ya Tasafu Magu Alisema Aludishe haja ludisha
CCM....hizi sarakasi hazifai kabisa.
Kwa nini?
Jamaa kakunja ndita kweli kweli!
Nyelele huyo sio magufuli
Safii sanaaa
Hongera mh: Paulo makonda.
Mbengu ya magu iyo mungu akulinde makonda 🇹🇿
Huyu jamaa ni hatari aisee sio jambo la kawaida kuiga sauti za watu wengi ni kipaji kikubwa sana.
Huyu jamaa noma sana anajua kuigiza
nyelele sio magufuri
"Nyelele"...hivi hata kusoma hujawahi kuona kwamba ni "Nyerere"??..dumb ass!!
Oscar umetisha
Sauti ya nyerere ,sio Magufuli
Ameziigiza Sauti Tofauti tofauti
Ni sauti ya Hayati Nyerere.
Hamna kitu hapo
Hii imeenda
🎉🎉🎉🎉
Mungu yupo upende wako daima! Hongera.
Wa kwanza hapa
Anaweza sauti ya hayati nyerere zingine Ni uzushi
Sikiliza mwisho
Asingekuja ccm Safar hii ccm ingelala mbele
Mh sio magufuli huyu
Nyerere na jpm ndo anazoweza vema
Akashughulike nao kivipi sasa.
huyo ni nyerere sio magufuri
Kwani Atalipiza kisasi kwa nani ? Walimufanyanini?Twambieni?Au Nape auGwajima Mbona ni wenjetu hawa
Baraka is the Best
Makonda kiboko jmungu akulinde
Huyu jamaa akili mingi sana
Hii sio sauti ya maguful ni sauti ya nyerere au wewe mwandishi humufahamu nyerere???
ila baraka mbaya zaid
,💥💥💥🔥🔥🔥🔥💥💥
Sauti ya nyerere
uchawa ni utumwa ,ivi machawa wana wake majumbani mwao kweli .
Watu wamesikia sauti ya JPM kelele za kutosha
Kampeni zmeanza kwan
Pumbav kabisa 😢😢
Huyu jamaa ni senjele au
Ndio yeye 😂
Wapi maokoto
Jpm hoyeee
machawa kusifia Kila kitu
😂💔😢
Wewe nimjinga unasifia ujinga wakat nchi Iko vibaya jifanye unasifia wakati watoto wako wanalala na njaa mjinga mkubwa
Hahahahaha
Ccm yooyee
Kama tairaa
Bado ujasema
😂😂😂😂😂😂