Nimechelewa jmn 🤔kawaida marafiki wa kike ni wanafiki...siri zako za kimahusiano afadhali ubaki nazo mwenyewe na mpenzi wako, , Ahsatum Anko jay ...tunafarijika sana
Yalinikuta hayo ya best friend kunisaliti na jamaa wangu Ama kweli usaliti nimbaya sana Kuanzia hiyosiku siamini tena marafiki wa kike sai ninamarafiki wakiume tuu
😭😭😭😭Duh jamn Leo nimepitwa sana mh maskin mie cjuw wangap au wa mwisho kabisa ila ANKO JAY kama kawaida yang baadae cha nikusikilize vizur ❤️❤️❤️like kidg tu nitakuachia
Waooo asante ank j kwa simuliz tam nasaut za kuvutia
Tunasubili namba 2 anko jay shukraan jazzilaah kwa kweli tamuuu 🥰🥰🥰🥰🥰
Like 10 kwa simuliz mix na 5 kwa anko j
nimesahau.kama.nimetekws😃😃😃😃
@@hamidaala2832 😂😂
@@hamidaala2832 😂😂😂😂😂 Jamanii
Acha niskilize huu umaskini ulimfanya nn huyu mdada
Jamani nasubili sehem ya pili me
Hongera anko jay Kwa simulizi mzuri tamu yenye kuvutia
Nimechelewa jmn 🤔kawaida marafiki wa kike ni wanafiki...siri zako za kimahusiano afadhali ubaki nazo mwenyewe na mpenzi wako, , Ahsatum Anko jay ...tunafarijika sana
Anko j unapenda kujisifia wewe jmn kaaaa
Anko jey mwenyewe Asante San kwasimulizi nzuri napia mtuletee maendelezo y simulizi hii tamuu mnoo
Mashallaa nzuri sana jamani 🥰🥰🥰😘😘💯
Daaah simuliz nzuri xaan tunaisubiria hiyo part 2 kiukwel 🔥🔥🔥
Sauti,kweli nitamu😂🙏
He majanga umasikini mtihani yani hongera pleti kwa ujasiri wako. Asante Anko J kwa simulizi nzuri
Nilikuwa nime kumiss sana yaan kitu kipia 🔥🔥😍😍
Anko jay malizia simulizi yetu kabla hatujakuteka😳
Duuuh hii kitu kumoyo hasa ubarkiwe mtunzi na msimuliaji nawapenda sana simulizi mix
Asante san anko j kwa simulizi nzur
Tamu jamani tamu mnooo
Asante sana anko jay tunakupata vizuri
Yalinikuta hayo ya best friend kunisaliti na jamaa wangu
Ama kweli usaliti nimbaya sana
Kuanzia hiyosiku siamini tena marafiki wa kike sai ninamarafiki wakiume tuu
Briana we kiboko hizi story zako unazipatia yan tamu balaa na msimulz sas ndio anazid kuinogesh😂❤❤ nitakoment ten siwez vumialia😅😅
Anko kusema kweli wacha kunifanya niwe na wifu
Nimuno 🔥🎊🎊💖💖
Supu ya samaki sato jaman mie naipenda sana
Anko jay wewe jamani wacha sifaa baba l don't know may be your handsome guy 👍👍👍👍🙏👍,❤️❤️❤️
😭😭😭😭Duh jamn Leo nimepitwa sana mh maskin mie cjuw wangap au wa mwisho kabisa ila ANKO JAY kama kawaida yang baadae cha nikusikilize vizur ❤️❤️❤️like kidg tu nitakuachia
Ako Jay simulizi zko zabamba sana ♥️♥️ nimeipenda sana
Nice
Hapo kwa binamu kumeniacha hoi bin taabani.
Waooooow is amazing
Wow so amazing
Nzuri Sana ❤️❤️❤️
Anko J simulizi mix nzuri sana 😍😍😍mpaka unatia hamasa ya kupata mpenzi kama huyo
Umeonae
@@zahrababygarl1568 ndio dear
Anko unatisha🖐🙏💅
Anko jay olivia amekomaa kama mange kimambe 😁😁😁😁🤣
Anko J nakubali kazi Yako Mungu akutangulie.
🔥🔥🔥 Brianna upo nondo sana.... keep it up dear 🥰.... msimuliaj big up🤛
Wow Love anko jay 🍾🥂🌹❤️💋
Chucrani sana simulizi mix tuko pamoja ❤❤❤❤👌👌👌👌🙏
Sehemu ya pili iwapi jaman😘😘😘
Brianna nakukubali sana Kwa story
Yaani,Anko Jay weweee hizi simulizi unazijulia hadi raha hapa Kenya mambo moto kabisaa cz of smix
Part two please
Jaman anko mwendelezo Lin mana story ni tam Jaman Kama Saut yako
I am becoming crazy about simulizi mix jamani nisaidieni nita kuwa kicha mm😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂haha
Upo kama mm, nisipo sikiliza nateseka sana😂😂😂
@@Dannny690 wee hacha tu
@@Dannny690 Jmn ama munanicheka mimi🤣🤣🤣🤣🤣maana mwenzenu naona sijielewi😌🤣🤣🤣
@@lilianeerica3318 hatukuchek ni ili vibes tu
Wakwanza
Jamani me nilikumic sana Yani Brianna ulipotea jamani 🥰🥰🥰🥰
Nyie 😁😁😁😁
Zuri sana
Hongera Dana kwako akoo jei Kwa simulzi tam Kansas
Ndo maana uwanga sipendag ushoga na penda umwana
2 part please
Asante sana anko jay sasa ubaya n umeajia pahali tamu zaidi sehemu ya pili jamani
Haaa haaa furaha za uswahilini 😂😂😂😂😂🤝
Tunasubili mwendelezo Anko jay
Duuuh itakuwa aje Sasa anko jay fanya mambo bas
Kiukweli napenda sana unavo simulia nikisikiliza sauti yako mwenzio hoi😂😂😂😂unajitahidi sana blo
Umasikini.jamani
Jamn Wewe mdada Brianna uwe unatuletea kila siku simulizi zako ni Nzur mnooo 🤩🤩🔥 dear
Wow is fire🔥🔥
❤❤❤❤👌👌👌
Hata mimi anko Jay Nalia kwa herufi ndogo na kubwa. I mix them bwana
WOW🔥🔥🔥THIS MY KIND OF STORIES. 👏👏👏 WONDERFUL ANKO JAY.
Ako na sauti tamu kama ya ankojey
Umasikini huu tunasikiliza tukimaliza nakoment tena anko jay asante kwa simulizi tamuuu simulizi mix like zenu🥰🥰🥰🥰🥰
I don't believe if they're still men like Ray.
Pesa weweeee kwa nini lkn😌😌
Can’t wait siwezi comment mpk Tupate muendelezo Anko wetu
Nakusubiri sana iendelea ako Jay
❤️❤️❤️
Mange tena daa
Shukrani
🥰🥰🥰 naipenda zimulizi zako sana, mwenyezi Mungu akuongose kibali 🙏
Hii story nzur san anko jay
Jamni anko tumems Briana stories plz
Wow
Anko j mwendelezo plz😋
Nime ipenda
Jaman muendelezo
Asante sana nimependa 🥰🥰🥰
Jamani bado nasikiliza nauliza tu kwa uncle J kuwa hivi wanaume kama Ray wapo?
Umaskini nishida
Utaacha masifa kweli jei
At least im the forth one to comment
🤸♂️🤸♂️🤸♂️🙌🙌🥰
Tusaidiye 2 party 2 please
Imeishia patamu hiyo
Part 2 iko wapi wapendwa
Sehemu ya pili lini
Jamn mbn hadly
jamn sehemu ya pili ipo api?
Part two jamn🤔
Dah ANKO JAY ADI MACHOZ JAMON UMASKIN KAZ WALLAH
Shukurani sana anko,ila usitucheleweshee sana mwendelezo 🙏🙏
😂😂😂😂😂😂😂😂😂wewe❤❤❤
Mbona mmeandika fupi itaendelea kweri???
👌👌❤❤💯💯
Shukran
Uwiiiiii ni Nzur sana haki nimecheka 🥰🥰🥰
Anko jay anasauti ya kimaaaaaa 🙈🙈🙈
Kw kwel uongo zambi saut t anyo
❤️❤️
💋🍾❤️❤️👌