BINTI TESSY
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2023
- Mimi ni mchaga ila nilizaliwa Arusha katika hospitali ya mount meu mwaka 1993 na wazaz wangu walifarikimyaan hata sijawah kuwaona so nililelewa na bibi nae alifariki nikiwa darasa la tano nikachukuliwa na shangazi yangu ambae alinilea mpaka nafika darasa la saba akanambia natakiwa nikatafute Maisha na sikujua hata hayo Maisha naenda kuyatafuta vipi na ule umri niliokuwa nao.
- บันเทิง
Wa kwanza leoo anko jay the magic voice uwiiii your member from tangaaa rahaaa karibu anko jay ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Kusinzia kidogo ndio kuchelewa haya bora nipo maua yangu🎉
Aaaaaasante kipenzi nimetia kambi mapeeema,,haya twende nalo❤❤❤
Simulizi nzuri sana haii binti tessy fantastic ❤❤❤From south Africa l love your story and I will listen to your voice forever 😊😊😊😊😊
Woow thank anko jay I love this story one ❤❤❤❤❤
Mm ni.masikini kweli ila kusu kulala na wanaume inakuwa shinda sipendi ila wadada wezangu tuwe na utulivu ili maisha tuyaone yako swa mana hii hali ya huyu dada apana kwa kweli aki nakupenda sana Ankojay kwa kazi zuri❤❤❤❤❤❤
Ni kweli,ushauri sahihi sana wadada mpokee
Binti tessy❤❤❤❤vizuri sana anko shukran za dhati ata kama nimechelewa
Yani fupi lkn tamu aiseiii hongera anko kwa mzuri mungu akutimizie haja ya moyo wako kakaangu
Jamani tessy pole simulizi inasikitisha sanaa
Yaan nilikuwa naitegemea yaraniua ika hata hii sio mbaya much love❤
Nice anko j keep it up 4 encouraging has may God bless you and give you a long life 🙏 ❤❤❤
Ankojay 🙏 wapi part 3 mapenzi yataniua ❤❤
Anko zawadi yangu nasubiriii❤❤❤
Kwakweli haifai kuzungumzia mapungufu ya mtu bila kujua siri ya maisha yake,kila mtu anachangamoto zake ,inasikitisha sana
Ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Ankojay harakisha simulizi part 3 mapenzi yataniua Safi sana bwana ❤❤❤❤❤
Asante kaka mapema san nimetia timu kaz nzuri❤❤❤
Asante dada Tessy Kwa kumsadia huyu kaka mungu akubariki.
Jaman tunaomba part 3 mapenz yataniuwa please 😭
BINTI TESSY kafanyanini tunasikiliza ili tujuwe ili tujifunze pia🥰
Shukurani sana Ankoj kwa simulizi mpya
Leo anko jy. Ajajisifia mwanzo mwisho ajajitaja
Wow ♥️♥️ anko J keep teaching us that " gumu lolote tunalo pitia lina suruhixho lake" thanks much Leyla 🥰
pج
طط
Hiy nafas ya kwanzi cjui nitaikamat lini😄😄 najion nall mtandaon lakin wapo wasio sinzia kabisa
Ila Ankojay hii story hujachangamka kabx aan
Yaan mganga badala ya mchaga duuu umejua kuchapia 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Congratulations 🥳🥳🥳👏👏👏👍 barikiwa sana King 👑 wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
Sending love to all ankojay family simulizi feel loved my dear sweethearts ❤❤❤❤❤❤
Wow asante sana mm ninejifuza sana❤❤❤❤
Hii simulizi ni nzuri San anko J
Shkran kwa simulizi nzuri ankojey
Katika kazi sixipendi nihiyo yakuendekeza ngono kuuza mwili hapana niacheni mm nioshe ukuta zawarabu lkn hiyo yakuuza mwili hapana
Mashaalah ❤❤❤ ako j ubarikiwe
Mmmh...asante Anko j ,tunakupenda
❤❤🎉🎉
Tes tumejifunza kitu usikate tamaaa
❤❤❤❤shukrani kwakweli nilikua nimeboeka
Wau
Asate sana ako Jay ubalikiwe sana
Good girl ❤❤❤❤❤
Pole😭😭🙏🙆🙆🇰🇪
Nimekuwa wa 42duh watu hamtoki online
Wanaume hamuridhiki pumbavu zenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sawa Asante nzuri
From buja Burundi ❤❤
Huyu binti yaaani amenikera sana, wakati alijua ameathirika kisaykolojia mbona hakutafuta usaidizi, alafu baada ya kuolewa akawa king'ang'anizi kuishi kwa nyumba na MTU ambaye alikua akishiriki nae tendo la ndoa ili tw kumukomoa, Yani akili ndo hakua nayo kabisaaa
Haaaya asante Anko J kwa smlz tamu yenye mikasa tele
Asante sana tumepata mafunzo ❤❤❤
Kaznzur uncle jy
Wa kwanza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Heee leo nimechelewa sana jamani haya dada tessy nakuskiliza
Wa kwanza leo 😜👌
Jaya ,Anko Jay mapesa mwema huko l, hope siku Moja tutaonana😂😂😂😂 Kwa sababu Sisi engine WA Kenya jamani
Wa kwanza leo❤❤❤
No 1❤❤❤❤
❤❤wa Kwanza 😂😂😂 si mnipe ata like
Wanaume mulaniwe kabisaa😭😭🙏🤔🤔
Kwa mara ya kwanza ktk simuliz ndio nimesikia mwanaume ananunuliwa na mwanamke ili amtimizie haja za mwili wake,nimeshangaa
Huyu dada pia alikua mujinga sanaa
Hakuna siku nitawai mm, 😢
Dada pia wewe ni mang,,aa kumbavu
Asante Sana Ankojay 🎉🎉
Anko jay sauti yako inanivunja mbavu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jaman mbona simuliz imeanza kwa mambo machungu hivi,wachaga mnatuwazia nin jamn?najidikia vibaya
Love you anko jay ❤❤❤❤
Anko vp kuhusu mapenzi yataniuwa part 3 jmn 🥰
Ata mm nilitaka kuuliza pamoja na jini mahaba pia jamani😮
Sijachelewa sana jamani
❤❤❤
ooooh nimewahi bana
Ehe nipo
Anko j towa sehemi ya tatu ya mapenzi yataniuwa towa plz🙏🙏
Kawaida yangu mie kusikiliza tu zile zilizosikilizwa miez iliyopita,kamaa hii ni miez 6 tangu itoke
Shukran sana ankojay
Your storys are so fantastic ❤❤❤😁
😢😢😢❤❤
Kuma nyoko si ungekimbia
❤❤
😊😊😊
Wa pili🤭
Leo wa mwisho 😂😂
ankoj tuletee lisa
We n mganga😂😂😂 ila ankajay
Tuko sawa
🔥🔥🔥
Kwakwel simuri zuri
😂😂😂 watu 🖐️
Shukran sanaa
❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥♥️♥️
Ankojay naisubili parr 03 ya mapenz yataniuwa itoe bas
💚💚💚
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante anko j
Asante❤❤❤❤
Watu humu mnalala humu humu
Duh nimechelewa
Ankojay I think uko poa
Anko j ile simulizi ya jin mahaba part 2.itatok lin au tunalipia
Hukua na akili ya kmbia kwani hukujiongeza
Thanks 👍❤
Hii sauti,yani nikiisikia tu,napotea kwa ulimwengu mwingine😂😂😂😅😅😅❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wee?..🤣🤣🤣kumbe tupo wengine Ankojay watukosha sana aisee 💯❤❤❤❤
Nani wa kwanza 😂
❤❤🎉🎉😊