Jamani it happy ending 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 juuuuuuu asante sana Anko Jay you have amazing talent na sauti yako hiyo ndo balaaa jamani
Anko Jay. Yaaani these mama's boys ni pumzi ya mama. I cannot believe a man leaves his wife for the sake of so called laaaaana. OOOH REALLY. WHAT I BELIEVE IS LAAANA HAIPATI MTU OVYO TU. YOU CAN BE CURSED AND NO THING WILL EVER COME TO PASS
AlhamduliLLah finally mwisho mwema shukran kwa Mwandishi, msimuliaji Anko Jay na Simulizi Mix yote kwa ujumla muwe blessed tu sana kwa kutuelimisha na kutufurahisha
Thank you Anko Jay kwa sauti na simulizi nzuri yenye mafundisho tele. Ray ni mwanamme na nusu. Dunia ya sasa Money is Power lkn hakujali bali kupigania Penzi japo familia ilikuwa na Siri nzito lakini alishinda vita!!!!!!
Hii ndo maana sipendi urafiki wa wanawake Bora niambiwe mm malaya ila urafiki wa wanawake hauna usalama kamwe... shukran Habibi Anko na mtunzi pia Brianna kwa simulizi tamu na yenye mafunzo bora.huyu mkwe naye jmn mmmhh
Nilikua na ngoja kwa hamu sana kitu kumoyo hasa ubarkiwe mtunzi na msimuliaji nawapenda sana simulizi mix mungu awabarki
Anko j simulizi zako zinafunza Sana asante
Nmejifuñza meng kweny hii simulz thanks anko jay
Hatimae tumemaliziwa 😊😊 nimeisubr kwa hamu kubwa yan hamu kubwa anko j sijuh umenielewa😅😅😅
Nilisubili sana asanteee anko j simulizi nzuri sana malipo duniani haya tukutane tena 🥰🥰💃💃💃
Ahsante kwa muendelezo anko Jay
Nimengonjea wee...santiii Kwa muendelezo💖💖💖
Asante Anko J kwa simulizi nzuri pole olvia kwa kutapeliwa
Jamani ndugu tusiingilie mapenzi ya ta wenzetu ,much love from 🇰🇪
Woow fina, simulizi yenye mafunzo haswaa,,tamaa mbaya kweli
Simulizi nzuri sana umeisimulia vizuri unco imetoa mafunzo sana pesa sio kila kitu japo tunizipemda.
Asante sana, Simulizi Nzuri nimeipenda blessings
Ahsaten sana simulizi mix kwa muendelezo ....bila kumsahau msimuliaji mr Anko jay
Iko pouw Sana huu mzgo mtamu ilbd uwe mwng zaid🙈🙈🙈
Nilikuwa naisubili Kwa hamu sanaaaa
Waooooh story nzurii xaaaan🥰🥰❤️❤️
Ahsante simulizi mix nimeburudika sana
Duuuuh simulizi nzuri nilikua nimeisubiri kwa hamu
Dahhh 🙄🙄nimewahi wangap maana kwanza niulize na ANKO JAY nitakurejea baadae kama kawaida yangu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Jamani it happy ending 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 juuuuuuu asante sana Anko Jay you have amazing talent na sauti yako hiyo ndo balaaa jamani
Jomoni Jomoni kasimulizi kazuri
big up Xana ankojay 🤜🤛
Ahhh mm sio powh nimeisubili aya like 10 kwa anko j
Asante sana Anko jay kwa simulizi nzuri sana ni kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,,tunawapenda sana manduyu zetu kutoka Tanzania
Jamani nimesubiri Asante anko jay
Asante anko jay, kwa muendelezo, tulo kuwa toka part ya 1, twende pamoja jamani
Jamani nimechelewa jamani lakini sio mbaya like zenu nasikiliza halafu nitakoment tena asante anko jay kwa simulizi 🥰🥰🥰🥰🥰
😊😊
Wow so beautiful story
Anko jay nimejifuza mengi sana what cool stroy
Congratulations anko Jay 👏👏👏mungu azidi kukubarik
Kuiona kama nimepigwa mkwajuuu ....Happy now
Anko Jay. Yaaani these mama's boys ni pumzi ya mama. I cannot believe a man leaves his wife for the sake of so called laaaaana. OOOH REALLY. WHAT I BELIEVE IS LAAANA HAIPATI MTU OVYO TU. YOU CAN BE CURSED AND NO THING WILL EVER COME TO PASS
AlhamduliLLah waaah tumesubiri sana Kila mara nilikuwa naangalia Kama ishafika AlhamduliLLah finally
Always ur story very nice🤩🤩
Mm nakipaji cha kutunga ila sijui kipaj changu kita wafikiaje wadau
Ahsante Anko J
Aiseee niliisubir sana hatimae imeletwa
Tuna kupenda anko jay🤪 from American 🇺🇸
Uuuuuuuiiiiiiiiiiii unanitoa vimaji jmani Anko J dha 😢
Mambo ni Moto kweli
Anko jay unajua unajua tena uishi maisha marefu kwa ajili yetu🥰🥰🥰🥰
We kakanakupenda bure Mungu amekupa kipaji kwakweli Mungu Ajaalie utimize ndoto zako
Asante sana anko Jay kwasimulizi taam kupita maelezo hadi najihisi Kuwa mimi ndo prety na rey njo boy friend wangu adi raha kabisa
Asante sana Kwa simulizi mzuri
Wow finally Tatizo ni Umasikini part two is on TH-cam
AlhamduliLLah finally mwisho mwema shukran kwa Mwandishi, msimuliaji Anko Jay na Simulizi Mix yote kwa ujumla muwe blessed tu sana kwa kutuelimisha na kutufurahisha
AlhamduliLLah finally ukweli umejulikana na story ikawa with a good ending AlhamduliLLah
Wow ❤️❤️❤️
Asanteni sana kwa part ya pili ♥️♥️
Asante uncle j wangu
Yaani hukutaka kumzalia mtoto mwengine mbona umekua mchoyo🥺🥺🥺😎😎
Brianna na kupenda mwaya
Nimejifunza penzi lenye msimamo
Nzuri Sana Yan ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
So sweet 😊
Nzureee mnoooo
😂😂😂😂😂Huyo bibi anavotowa hio story
Asante Kwa muendelezo
Ray hvy ndio I na takikana mwanamume kuwa na mcmamo sio kupelekwa na Familia wanavyo taka wao
Asante sana anko j
Thank you Anko Jay kwa sauti na simulizi nzuri yenye mafundisho tele. Ray ni mwanamme na nusu. Dunia ya sasa Money is Power lkn hakujali bali kupigania Penzi japo familia ilikuwa na Siri nzito lakini alishinda vita!!!!!!
Waooooooo simuliz nzr San asant San anko j
Asante anko jay kwasimulizi nzuri na yenye mafunzo amakweli usilolijua nisawa nausiku wagiza na kilicho na mwanzo hua na mwisho sikuzote
Amazing story
Woow
Love it💞💞💞
Asante jamani kwamwendelezo na wapenda jamani
Asante xn ankoj qwa simulizi nzuri love u❤❤❤❤
Asante 🥰🥰🥰🥰
Alipojitoleya kumutima kimoko nimecheka sana Asante Ako jei
Sant san Anko Love you ❤❤❤❤❤❤❤🤍❤❤❤❤❤❤❤🤍🤍❤❤
Mmh!
Haya haswa ni makubwa!
Hii ndo maana sipendi urafiki wa wanawake Bora niambiwe mm malaya ila urafiki wa wanawake hauna usalama kamwe... shukran Habibi Anko na mtunzi pia Brianna kwa simulizi tamu na yenye mafunzo bora.huyu mkwe naye jmn mmmhh
Asante sana simulizi mix+ankojay
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
10
The waiting is over 😋
Amen amen mama Amen ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🤩🤩🤩🤩
Ahsante anko jay
💖💖💖💖
Ankk j napenda sana simulizi zko
Jamani.ndonaianza sai
Daaah,umasikini mateso
Jamani jamani Anko Jay na team nzima ya SM munatubamba vilivyo
AMAZING STORY ANKO JAY
🙏🙏🙏
Hayaaaaaa muendelezo wa umaskini huku jamani
Hakika munatukosha sana na simulizi zenu ila inatia huluma sana
Nzuri sana
Finally 💋💋💋
Tam jamani 🥰
Kwakweli ni tamu sana
anko j fire
WOW!!!❤❤❤🙏
From 🇺🇸 🫶🏾🥰🥰I’m love with this guy voice
Wee hacha tu he has this kind of voice that can make you not stop listening 😍😍😍😍😍
Simulizi tamu
Yah of course my dears
Simulizi tamu sana tu
Nice
So nice
Nzuri xana Ila Anko J hamjatuambia Bibi yule aliishia wp?
.
😊😊😊
Hivi wanaume kama Ray wapo kweli?
Pamoja kaka
😔😔😔💔
Asante sana Anko J
🔥🔥🔥🔥🔥💖💖💖💖💖💖💖💖💖