ANKO JAY mwenyew simuliz mix kama kawaida yako unatupa raha tu weweeeeee💃💃💃💃ila kama kawaida yang komment kama zote badae❤️❤️❤️❤️❤️na chengine VP SIMULIZ YA ILE TATIZO UMASKIN JAMON
Anko Jay big ups. Wadada tubadilike si Mara zote kuolewa na dini tofauti ni mateso ni mawazo tu. Mungu ni mmoja. Kama dini haitaji jina la Mungu kimbia wala usigeuke nyuma😂😂😂
🤣🤣🤣🤣aki iy simuliz nilisom Kwa whtspp ss adm akuwai kulet muendelez🤣🤣🤣wallh ACH niskiee maan daaaah ni tam nyieee🥰🥰🥰af akafik Kwa ank j🥰🥰 nakupend we kaka🇧🇮🇰🇼❤️
Ongera sana mwandishi wa hii simulizi umepata sana mara nyingi tunapata simulizi ambazo hazina mwisho mzuri lakini hii yakwako ni Bora sana Haina mambo mabaya mabaya. Safi sana
Siku zote wakati wa mungu ndio wakati sahihi hongera dada kwa uvumilivu pia una moyo wa upendo hadi ukaruhusu mumeo are mke mwenza ili kulinda ndoa yako kumbe mungu naye amepanga kukupa mtoto kupitia huyo mwenzako
ANKO JAY mwenyew simuliz mix kama kawaida yako unatupa raha tu weweeeeee💃💃💃💃ila kama kawaida yang komment kama zote badae❤️❤️❤️❤️❤️na chengine VP SIMULIZ YA ILE TATIZO UMASKIN JAMON
Hhhhh
Ahsanten sana simulizi mix na msimuliaji maarufu mr.Anko jay , , mnajua kuzikonga nyoyo za wasikilizaji , , big salute for you guys👌👌
Woow nilikuwa nime kumiss sana 🥰🤩😍🔥
Wa Kwanza Leo pamoja kaka
Woow 1 Thanks Smix...🙏🏻I'm no.1
Anko jay mwenyewe kumbe zipo ndoa za mchongo kumbee🤣🤣🤣🤣🤣 nasikiliza halafu na koment tena like zenu wadau🥰🥰🥰🥰🥰
Inabidi tuzijue hizo ndoa jaman 🤣🤣🤣
@@aishawhite1107 Umeonaeee maana sijui miee hizo ndoa za mchongo🤣🤣🤣🤣
Ngoja kwanza nimsikilize anko jay ndo nitajua hz ndoa za mchongo zikoje
@@emmanueltesha7638 Haya sikiliza halafu koment tena simulizi tamuuu 🥰🥰🥰
😂😂😂Unafeli wapi
Jmn Mungu awahurumie wanawake angalau ata kila mtu apate mtt kweli mtt ni kila kitu ktk maisha ya mwanadamu
Tuaomba muendelezo wa tatizo umasikini
Kiukweli anko j unasimulia kama hadithin yani unaelewa, simulizi zote nzuri ila wemgine wanasimulia kama wanasoma kitabu
Simulizi ni nzuri sana uncle j ila kila mara lazima mutate Oman ndio nchi peke munayo ijuwa Oman ya kiaarabu
Mungu azidi kukuweka anko jay 🥰🥰🥰😘🙏🙏
Asante saana smix n Anko Jey
Anko mwenyewee 👌👌🥰🥰
Anko j umesimulia kwa mapoz kama wewe ndiye love 🔥🔥🔥
Asante xana ankojay kwa simulizi nzur 🙏🥰 je
Nmeipenda Bure hii simulizi 😍😍😍
🎉🎉🎉he ndoa mbili si rahisi ni moto unachoma kila mahali bt tunaomba mungu tu
Asante Anko hey kwa simulizi nzuri ya mafunzo napenda simulizi zako zinakua na mafunzo sana naisikiliza nikiwa Kenya 🇰🇪
Anko jay vipi ile simulizu ya TATIZO UMASIKINI anko jay kila siku nashinda you tube tuu kuwangalia tunasubili anko 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Tunaisubir Kwa hamu jamn
@@aminaballong231 Tena anachelewa miee naisubili hapa kwa hamu zootee🥰🥰🥰
Anko Jay big ups. Wadada tubadilike si Mara zote kuolewa na dini tofauti ni mateso ni mawazo tu. Mungu ni mmoja. Kama dini haitaji jina la Mungu kimbia wala usigeuke nyuma😂😂😂
Subra tu jamani subra dhaaa hadi nasimkwa subra yavuta kher🙏Thanks Anko J🥰🥰🥰🥰
Garden love bustan ya mapenzi
Jaman dada mkubwa kajitoa kweli😢inataka moyo san manak si rahisi... loveness usibadilik
Asante anko jay kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo always God's time is best # bibi mkubwa
Hata mimi naitaka ndoa ya mchongo jamani nasubir
Mashaa ALLAH simulizi tamu
Woow very intresting story
🤣🤣🤣🤣aki iy simuliz nilisom Kwa whtspp ss adm akuwai kulet muendelez🤣🤣🤣wallh ACH niskiee maan daaaah ni tam nyieee🥰🥰🥰af akafik Kwa ank j🥰🥰 nakupend we kaka🇧🇮🇰🇼❤️
Mwenzenu nimeipenda hiyo ndoa ya mchongo jaman
Asante anko j kwa simulizi nzuri yakuvutia
Waaaaaaa magumu hayo enyewe warabu ni wakatili
Anko J mwenyew kwan anasemaje kuhusu hii ndoa y mchongo 😂😂
Asante anko Jay kwa simulizi tamu na sauti yako nzuri yakimahaba
Mr Jay ungejua hata sichoki afu kila simulizi unayosimulia wewe J
Natamani isiishe 😊
Wow simulizi nzuri sana, thanks sana msimuliaji anko j bwana
Maashallah nzuri❤❤
Mashaa Allah nimeipenda sana thanks anko jy
Nampenda anko jay
Tamu sana ghaii maisha mema
Maashallah nzuri
Hii simulizi kwa kweli nimeipenda
Anko jay mi napenda ako kamlio
Anko jei hongera sana Kwa hii simulizi
Asante kwa simulizi hii...nimeipenda sana
Vp Ile simuliz ya tatizo umaskini jomoni jomoni jomoni
Ishatoka jmn tyr
Jaman, Mungu nimwema sikuzote tusiwe wachoyo jaman I tukubaliane na Hali tu!
Panaitwa mwanakerekwe...pia unamafunzo mazur sn anko jj allah akuweke na kuakupe uzima
Nakukubali sana anko j tam sauti tam stori tam ongera lovly
Pamoja sana bro
Like 10 kwa simulizi kaliiiii💖💖💖
Ongera sana mwandishi wa hii simulizi umepata sana mara nyingi tunapata simulizi ambazo hazina mwisho mzuri lakini hii yakwako ni Bora sana Haina mambo mabaya mabaya. Safi sana
😂na mm Nataka ndoa ya mchongo
Bora uwaambie waache kutuomba omba ela huku oman kaz kazituu ukiumwa panadol kwisha alafu jitu linakuomba eti nitumie elakidogo wangejuaaaa mh
Nice
Kuna mtu akiingia kwenye maisha ya mtu mwingine huyabadilisha na kuyafanya ya ngae hata kama alikuwa amekataliwa milango ya kukubalika ina mfungukia
Yani anko Jay simulizi zako yani hadi raha unataman hata isiishe unatia manjonjo 🇴🇲 🇴🇲
Siku zote wakati wa mungu ndio wakati sahihi hongera dada kwa uvumilivu pia una moyo wa upendo hadi ukaruhusu mumeo are mke mwenza ili kulinda ndoa yako kumbe mungu naye amepanga kukupa mtoto kupitia huyo mwenzako
Namimi naitak iy ndoa yamchong🤣🤣🤣
Jamani naomba iyo namba ya bibi na mimi nataka mtoto my
Jamani hii sitori nimeipenda
🇴🇲na kupata sana
Imebidi nicheke iyo yakichina hii haa🤣😂adiraa💞💝
Tunazijua wenyew
Mwenyez.mungu.awape.nguvu
Kumekuchaaaaa uuuiiiii atr nanusuuu uuuuiiiii
Yani hii simulizi nimeipenda sana nzr atar tena ina fundi sha sana
Yani mimi kila siku wamwisho dhaaa
Eti mastaili ya kichina haaaaaa
God bless you ❤❤❤
Mashaallh hadi raha sana jamn
Anko unajua
Wow nice 😍😘😘
Nice story
🎉🎉🎉🎉🎉
❤
❤❤❤❤❤
Supu ya korongo ndo supu ya nn🤔🤔
Nadhani niyule ndege wamiguu mirefu ilasijawai jua kama analiwa huyo ndege🤣🤣🤣🤣
Inatokana na miguu ya ng'ombe
Miguu ya ng'ombe
Kongoro sio korongo hahahah
Anko j jaman mbona utuletei simuliz ya milele.sehem ya nne
Mama anaruka judo 😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi
Eh mungu
VP kuhusu muendelezo WA simulizi "TATIZO NI UMASKINI"
Kwakwel tunasubir muendlezo
Mbona tayari ilishatoka
Heh mbn ishamaliz isameni tu
Harusi pambee
Simuliz nzur
Supu ya kongoro yaani miguu ya ng,ombe
@@suleimanbadru819 duuuuuh
Hahahahahah
Wht a beautiful story 👏🏼🤎
Again nimerudi niskize hii simulizi kujifunza kitu zaidi
😘😘😘
Waaaaaaa magumu hayo enyewe warabu ni wakatili
❤❤❤❤❤