PASTOR DANIEL MGOGO AINGILIA SAKATA LA DIAMOND PLATNUMZ | SADAKA NI MALI YA MCHUNGAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 257

  • @florandesa6180
    @florandesa6180 6 หลายเดือนก่อน +32

    Mchungaji Mgongo yuko vizuri sana.🙏
    Hongera sana Mchungaji kwa majibu mazuri👏

  • @R_Hosanna_V
    @R_Hosanna_V 5 หลายเดือนก่อน +15

    Hakika huyu nimutumishi wa Mungu amekuja kutuhudumia Butembo DRC tume barikiwa sana Daniel Mungu akulinde

    • @TheogenneMusavyimana
      @TheogenneMusavyimana 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kumbe nawe ushaona ?
      Daniel namukubali. Na Mimi

    • @vianeynzarami6861
      @vianeynzarami6861 5 หลายเดือนก่อน +2

      Alikuwa bitembo sikugani?

  • @naomisidi2181
    @naomisidi2181 5 หลายเดือนก่อน +12

    Pastor Mgogo yuko sawa sana. Anahubiri true facts za maisha na dini. Nimefundishika sana na Pastor Mgogo.

  • @saulikinahi6703
    @saulikinahi6703 6 หลายเดือนก่อน +27

    Mchungaji amejibu vyema sana, ana jitambua sana..

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 6 หลายเดือนก่อน +25

    Mchungaji mgogo ni genius 🔥 umejibu vyema sana

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 6 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂😂😂 huyu mchungaji kiboko eti tunafungisha ndoa kumbe wenzio washamaliza kila kitu wachungaji tunakuwa kama tunapasha kipolo 😂😂 kuna ukweli lakini

  • @mtimti3912
    @mtimti3912 6 หลายเดือนก่อน +15

    ALICHOFANYA MAANA YAKE KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UTAKIRI KUWA YESU NI BWANA

  • @charleskyale9983
    @charleskyale9983 5 หลายเดือนก่อน +9

    NAPENDA EAST AFRICA RADIO , KENYA 🇰🇪 Nairobi.

  • @KelvinKivamba-kl1ry
    @KelvinKivamba-kl1ry 6 หลายเดือนก่อน +8

    Tunao soma comment tujuane

  • @FOUNDATIONTV6
    @FOUNDATIONTV6 6 หลายเดือนก่อน +9

    Kindly do research African was not created on religion but on spirituality

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mgogo anajua sana ,hilo la ndoa ambazo zilishakufa ila watu wanaishi kwa sababu ya watoto na mimi ni mmoja wapo ,pengine mwenzangu anajua kuna ndoa ila moyoni hakika kama sio watoto wangu sitaki wateseke ningeshamuacha kitambo sana

  • @Malaikalaizer-d2q
    @Malaikalaizer-d2q 6 หลายเดือนก่อน +8

    Mm nawasikilisa tu na mm nikisoma text yenu😂😂😂 mugogo umeongea ukweli tulianza hotelini

  • @JacksonMsumi
    @JacksonMsumi 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kama media mnadhani mtaweza kuleta chukizo baina ya dini zetu Kwa kuuliza maswali kama hayo basi sio Kwa nchi yetu dogo umefeli hapo ishu ya kutokula nyama IJUMAA KUU Fanya interview na kamati husika ya WAKATOLIKI UTAPATA majibu mazuri zaidi

    • @directorinyangeadriano5031
      @directorinyangeadriano5031 5 หลายเดือนก่อน +3

      Kwani kakosea wapi?Na Dini hapo imetokea wap ndugu? KWANI PASAKA NI KWAAJILI YA KAMATI YA WAKATOLIKI?

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 5 หลายเดือนก่อน +31

    Imani ya kufunga ni imani ya kujikana. Ni kuishinda hisia ya kunusa, kuonja, kuona, kugusa na kusikia chakula kikipikwa. Na si kutotaka kuona mtu anakula na wewe huli, kisha unataka anayekula asile mbele yako. Huo huitwa uoga wa kufunga. Na hapo siyo funga ya imani inayopaswa kujaribiwa, bali ni kujilazimisha kufunga au kulazimishwa kufunga wakati moyo wako hauna imani hiyo.

  • @johnbyani6888
    @johnbyani6888 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mchungaji yuko vizuri sana Kila swali ana majibu

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 6 หลายเดือนก่อน +7

    Nyama hazina uhusiano na yesu,nyama zinaliwa tu hahahahaha

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 6 หลายเดือนก่อน +11

    Nyama hazina shinda ni kula tu🎉🎉🎉🎉

  • @DianeDavidBunuma-kd9hx
    @DianeDavidBunuma-kd9hx 6 หลายเดือนก่อน +27

    Baba mchungaji barikiwa sana kwa majibu mazuri❤

  • @dominicusulikaye4412
    @dominicusulikaye4412 6 หลายเดือนก่อน +10

    Safi sana. Naseeb. Mungu akubariki

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 6 หลายเดือนก่อน +15

    Mgogo yuko vizuri MUNGU hahitaji pesa anakuhitaji wewe ujitoe kwake kama sadaka.

  • @annamussa185
    @annamussa185 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza mwili wa yesu hauna nyama za ng'ombe,Yesu alikuja Duniani kama binadamu na si Kama Ng'ombe

  • @HassanMwaki
    @HassanMwaki 5 หลายเดือนก่อน +4

    I love this studio thank u for beautiful programs keep up we re following u guys.

  • @meshack3266
    @meshack3266 6 หลายเดือนก่อน +7

    Uchi kijamaa kunazidisha swaga adi kinaboa sasa kwani kuongea kawaida uwezi

    • @happinessmillinga387
      @happinessmillinga387 5 หลายเดือนก่อน

      japo umechapia (ashakum si matusi)ila nilikua naitafuta coment kama yako aisee umeona kama mm jamaa swaga zimepitiliza khaa hyo simu sasa inavyowekwa juu mara imewekwa huku mara kulee ili mradi tujue na yy ana macho ma3🤣🤣🤣

  • @gilijacob3787
    @gilijacob3787 6 หลายเดือนก่อน +17

    Asnte pastor Mungu akubariki kwa maneno mazur ya kujenga kwa kila mtu🙏🏼🙏🏼

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 5 หลายเดือนก่อน +2

    Thank you so much pastor its very true what pastor is talking about May GOD guide you all the time and be blessed 🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️

  • @allysaidyineehelpformaminc5021
    @allysaidyineehelpformaminc5021 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hapo kwenye watoto ndoa nyingi ndo zinashikilia mchungaji anamajibu ya point

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mucungaji ameongea Sawa kabisa nimemu penda sana afu pale ameongelea diamond

  • @davidsibejo4916
    @davidsibejo4916 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli nimependa majibu yote

  • @Paul-ej6ze
    @Paul-ej6ze 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu alisema ,tuule mwili wake , tunao uzima WA milele harafu nyie mnambiwa msile ,kuna Kitu kizito apo mmepigwa msiotambua hayaa

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mtumishi wa Mungu. Huwaga nabarikiwa sana.nauwepo wako upo makini sana naimani ya kwel

  • @rosekawala5182
    @rosekawala5182 5 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana kwa maelezo ya sadaka. Makanisa mengi hayatoi maelezo kuhusu sadaka. Ubarikiwe sana

  • @charlespolle8982
    @charlespolle8982 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kabisa Diamond amekaribia 😊

  • @IzackMwimba
    @IzackMwimba 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ongera sana Mtumishi wa Bwana,kwamajibu mazuri Mungu akulinde

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 หลายเดือนก่อน

    This is really man of God humble pastor he speaks with everybody I like this👍👍👍

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 6 หลายเดือนก่อน +14

    Mm nimekuja hapa kwasbb ya simba tu maisha marefu kwake 🤝

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mchungaji yupo vzr🎉🎉🎉🎉 mwenyezi mungu Akulinde wewe na Familia nzima usiku na mchana.🙌🙌🙏

  • @injilikitaa
    @injilikitaa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kulalana kabla ya ndoa ni kwamba baada ya ndoa utafanya kitu kama unapasha cabbages 😂🔥🔥🔥🙌

  • @omarabdalabacarabdala1572
    @omarabdalabacarabdala1572 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ni kwel kabsa huyu pastar hakika mungu ambaliki sana Yuko vizur sana

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 6 หลายเดือนก่อน +9

    Namtabilia msafi kwenda wasafi🤗

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika.Ili ujipime umakini wako unapofunga waache wanaokula waendelee wewe ukijizuia.

  • @shabannyamsalika8959
    @shabannyamsalika8959 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maelezo pekee hayatoshi, tuelezee pamoja na reference ya biblia na sio maneno ya kujitungia

  • @nadian818
    @nadian818 5 หลายเดือนก่อน

    This guy is handsome DARK SKIN ❤️

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu mchungaji Yuko wazi kabisa kama vile mwanga gizani.

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yake mutumishi huyu jamani please 🙏🙏🙏

  • @joycekaganga6924
    @joycekaganga6924 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Suruali hazina ushirikiano na viuno Mungu atupe maadili mema

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 หลายเดือนก่อน

    Yule diamond anakalibia kufa pale siku zake anazijuwa ndio maana anamusogelea bwana awe nguzo yake😂

  • @DeborahChristopher-th6nl
    @DeborahChristopher-th6nl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejiskia vibaya watu kumshambulia vibaya Diamond mtu anakaribia mnamkatisha tamaa😢

  • @mauriceouma7390
    @mauriceouma7390 5 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mgogo ni comedian tu Wala sio pastor

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 4 หลายเดือนก่อน

    Nimependa ana ubaguzi wakidini apo moyo wangu kautengeneza

  • @karlmwenekwa3172
    @karlmwenekwa3172 5 หลายเดือนก่อน

    Maneno ya busara kweli. Nawa fata toka Congo DR

  • @eliachaula6542
    @eliachaula6542 6 หลายเดือนก่อน +4

    Vizuri sana

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu ❤❤

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee wa upako anamwita Comedian 😅

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 6 หลายเดือนก่อน +8

    Umejibu vizuri sana tunahitaji vijana waje kwa Yesu wamjue Yesu katika umri walionao yeyote aliyeona Diamond kufika kwenye mtoko wa Pasaka ni vibaya hajui maana ya injili ...Yesu hakuwafukuza bali aliwakumbatia. Tujifunze neno la Mungu tumjue Mungu kwenye neno lake tusikurupuke ukristo sio wa mtu binafsi. Yesu alikufa kwa ajili ya ulimwengu mzima plsss😊

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 6 หลายเดือนก่อน +3

      Duh msimzingizie yesu kila mtu na dhambi zake na pastor anataka sadaka ndio mana kila mtu pastor unataka pesa

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 6 หลายเดือนก่อน

      @@woah.africa99 karibu kwenye kazi ya Mungu uje kuvuna sadaka uone kama ni rahisi. Na ukishaona watu wa alia kuwa wanaibiwa sadaka ujue katika mwaka mzima sadaka yake haizidi hata elfu kumi acheni porojo

    • @asteriarngweshemi3783
      @asteriarngweshemi3783 5 หลายเดือนก่อน

      Mimi hilo kwangu nalitaman sana aokoke...ila shida iko kwa anaenwalika na vijineno anavyosemasema maana hatumskii nasib akisema kitu ila ndg yetu shusho sasa😢

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwa mfungo umenena vizuri sana ❤❤

  • @SilaKayagwa
    @SilaKayagwa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu anapookaoka utamkuta anajikwaa na kuanguka lakn Mungu anamtengeneza siku had siku. Ni jambo la kumshukur Mungu mtu Kama Diamond kumtaja Yesu.😅😅😅

  • @Mawaridi
    @Mawaridi 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mchangani hapo kwenye nyama. Nenda ukachimbe vizuri mambo ya Imani angalia chanzo cha Kila kitu

    • @kelvinLusana
      @kelvinLusana 6 หลายเดือนก่อน

      Nyama zinaliwa tu wewe

    • @davidmaisely7487
      @davidmaisely7487 5 หลายเดือนก่อน

      Ni mapokeo ndugu nothing else

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa mnafata bibilia ama manafanya mambo kulingana na misimamo

  • @irenep.alexander2308
    @irenep.alexander2308 5 หลายเดือนก่อน +1

    🫡

  • @nurusaidi3642
    @nurusaidi3642 5 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mgogo mbinguni kabisa

  • @witnesssenyagwa5334
    @witnesssenyagwa5334 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ata kuwa na hekima ya maneno ni bonge la ZAWADI kutoka Kwa mungu ubarikiwe mtumishi 🙏

  • @Malikkasim-q5f
    @Malikkasim-q5f 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaj mungu akabarki Sana Kwa ufafanuz mzur ubarkiwe Sana tunakupenda Sana sis vjana

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 6 หลายเดือนก่อน +4

    Acheni usenge mjue msigusi imani za watu mbona ngulue analiwa lakini wengine wanaita alamu kwahiyo wanaokula ijumaa waache wale ukiona hivyo sio imani yao

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mbona kajibu sawa tu, mimi mwenyewe ni miongoni mwa wasiokula nyama lakini naona kajibu safi tu.

    • @JacksonMsumi
      @JacksonMsumi 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mchungaji amejibu vzr Hilo ni swala la kiimani lkn ingempasa afanye interview na wenye hiyo Imani husika

    • @Le_pastor_ORONGAI
      @Le_pastor_ORONGAI 6 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa tusi la nini hapo?

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 5 หลายเดือนก่อน

      @@Le_pastor_ORONGAI siunajua huyo ni shabiki wa Simba hawanagaakili matusi ndio akiliyao ilipokomea.

  • @ShadrackMakelele
    @ShadrackMakelele 5 หลายเดือนก่อน +1

    Il était ici chez nous à Bukavu précisément à mon église sayuni il nous à manqué vrema, et nous prépare comment réussir à entré dans le royaume de Dieu Jésus Christ nous l'aimons bcp

    • @glorymwazyunga641
      @glorymwazyunga641 5 หลายเดือนก่อน

      Vraiment la parole de Dieu est nouvelle chaque jour. Felicitation d'avoir ce serviteur de Dieu

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi mmeshindwa kufuatilia mambo mengine mpka mnaingilia imani ya mtu.Huo ujinga

  • @MaryyCarmen-kh1dh
    @MaryyCarmen-kh1dh 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Mtumishi wa Bwana

  • @nadian818
    @nadian818 5 หลายเดือนก่อน

    What’s the name of the guy in white shirt

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 5 หลายเดือนก่อน

    pastor kamaliza kila kitu

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio sisi hatujawahi kula nyama ijumaa ndivyo tulivyofundishwa

  • @SeciriaTitus
    @SeciriaTitus 5 หลายเดือนก่อน

    Watoliki hatuna ubaguzi

  • @geofreyrwamugira8147
    @geofreyrwamugira8147 6 หลายเดือนก่อน +1

    KIJANA anaongea midomo anaiweka kama mwanamke

  • @zipczionkanada6
    @zipczionkanada6 5 หลายเดือนก่อน

    Ni Mathias Ngabo Uganda Nashukuru sana Mchungaji Daniel Mugogo Kwa Mafasiriyo Mazuri

  • @Noellaizerkadoko
    @Noellaizerkadoko 6 หลายเดือนก่อน +3

    Diamond yupo vizuri anahitaji kuombewa ili aokoke pia hongerasana Christina shushu hongera sana Rozimuhando.

    • @dr.madevualcantara4775
      @dr.madevualcantara4775 6 หลายเดือนก่อน

      Na aje tu mazima maana hajawahi kua ktk mila za Ibrahim na Is-haka wala Ismail..hakuwahi kua muislamu

    • @JacksonMsumi
      @JacksonMsumi 6 หลายเดือนก่อน

      Hta Yesu alisema fata maneno yangu na sio matendo yangu ,Simba hapo Hana baya Ani

    • @williamfrancis8724
      @williamfrancis8724 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@JacksonMsumiAmna akuna andiko ilo

  • @magembedaniel2179
    @magembedaniel2179 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa wajina hiyo umesema kweli naunga mkono💪💪💪

  • @prophetpetyzanjo
    @prophetpetyzanjo 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni jino la mbele la mungu

    • @nurusaidi3642
      @nurusaidi3642 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂khaaa

  • @gospalflavour7304
    @gospalflavour7304 5 หลายเดือนก่อน

    Watu niwashamba,waimbaji wakubwa kabisa wa Gospel wanavaa heleni wananyoa panki kali.Msanii mfano travis green,the guy looks roughly but vp kuhusu presentations?
    Wakosoaji na wanazuoni wanaopenda kuhukumu sana kuliko kufundisha wanamatatizo ya ki psychology

  • @nikitamusafiri4090
    @nikitamusafiri4090 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe san Mchungaji hekima ni kitu Bora san majibu mazuri🔥🔥🙏

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safii kabisa majibu mazuri Mutumishi

  • @JacksonMsumi
    @JacksonMsumi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wasafi hawawezi kuchukua takataka kama hiyo labda wachafu media

  • @simphorosakessy8141
    @simphorosakessy8141 5 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Wetu hakuja kwa ajili ya mwenye haki bali alikuja kwa ajili ya sisi wenye dhambi.hata alimwambie yule mwanamke kahaba kuwa alifanya vema kuliko hata wale waliokuwa wakimjua YESU. So MUNGU wetu yupo kazini.MUNGU Wetu ni MUNGU mwenye rehema na hurusa na msamehevu.msiwe mahakim hakim ni mmoja tu MUNGU.

  • @joycekaganga6924
    @joycekaganga6924 5 หลายเดือนก่อน

    ❤ Umeongea point pastor unajibu kwa hekima tujihadhari waimbaji wa mziki wa gospel Pesa isitutoe kwenye uwepo wa Mungu

  • @mosesbarasa3804
    @mosesbarasa3804 6 หลายเดือนก่อน +3

    👍👍

  • @LucyGodfrey-gh1ri
    @LucyGodfrey-gh1ri 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi umeongea vizur sana ubarikiwe sana❤

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 5 หลายเดือนก่อน

    Namungu anakupenda ivyoulivyo tenahanakubadilisha yeye mwenyewe

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor mgogo umejibu vyema Sana

  • @MariagorethLupala-u2q
    @MariagorethLupala-u2q 5 หลายเดือนก่อน

    Umesema vema baba

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 6 หลายเดือนก่อน +1

    Lakufunga nimekuelewa sana kwenye swala la kuchukiana et huyu anakula mimi nimefunga tunapenda tu kila jambo liwe jepesi matokeo yake. Mtu anafuturu sigara na vitu halam Kwa Mungu haipo hivyo

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂ndio hawa jamaa wakifuturu wanakula na sigara hii ikoje jaman😂😂😂😂

  • @ShukuluMwalongo
    @ShukuluMwalongo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana daniel mgogo kwamajibu yako mazuli

  • @moseslaizer7349
    @moseslaizer7349 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mimi kwa kweli nyama sikuacha nilikula na kama ni kwa ajili ya Yesu imakaa sawa nimemla Yesu niko sawa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 หลายเดือนก่อน +1

    SANAAA. ANAKARIBIA KARIBU BA BWANA. MUNGU AMZIDISHIE IMANI NA UPENDO.

  • @Kapagikamkanda1
    @Kapagikamkanda1 6 หลายเดือนก่อน +4

    Jitahid unapoongea na watumishi chagua maneno sio unaongea kama unavoongea na vijana wenzako huyo ni baba yako

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 6 หลายเดือนก่อน +1

      Na Mimi nimemshangaa kama wewe halina adabu hili 😂😂

    • @noelmtao2735
      @noelmtao2735 6 หลายเดือนก่อน +1

      Vijana wa sasa hivi ni mtihani sheikh wangu! Lugha za mtaani kila kona! Adabu zero!

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen 🙏🙏🙏barikiwa MGOGO,usiusemee moyo🙏🙏

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji ubarikiwe sana😂😂❤

  • @eliasedes1225
    @eliasedes1225 5 หลายเดือนก่อน

    Nafikiri umeuliza swali lakini la uchonganishi sababu wapo ambao hawatumiii icho ktu siku hiyo kama vile waroma so ulitakiwa uliulize swali kwa padri au paroko co pastor acha ucjonganishi mtangazaji

  • @MichaelAbel-s4r
    @MichaelAbel-s4r 5 หลายเดือนก่อน

    Huo ndiyo ukweli,adui atumia njia hiyo kuharibu kusudi la Mungu.Amen

  • @reeygeazy4908
    @reeygeazy4908 4 หลายเดือนก่อน

    Pastor 🎉🎉🎉❤

  • @JOHNNGESSI-f5t
    @JOHNNGESSI-f5t 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @GodwinPeter-gb4gp
    @GodwinPeter-gb4gp 5 หลายเดือนก่อน +5

    Pastor Mgogo ni mwamba sana has wauza mafuta wangekua kama huyu asee kwel ingependeza mno

  • @LydiaAruba
    @LydiaAruba 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nyama haina uhusiano na Yesu 😂😂 Daniel nakupenda bure from kenya❤

  • @Masebrain
    @Masebrain 6 หลายเดือนก่อน +7

    All done pastor mgogo This is very really God bless you pastor❤