MCHUNGAJI DANIEL MGOGO MBELE YA RAIS DKT. MAGUFULI "WANATUUZIA VIWANJA BARABARANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 177

  • @mosesmwangi2842
    @mosesmwangi2842 4 ปีที่แล้ว +50

    Mtumishi wa Mungu aliyejaa hekima na busara.Twakupenda Sana hapa Kenya.
    🇰🇪..wapi Wakenya wangapi hapa?

    • @evamoka6520
      @evamoka6520 2 ปีที่แล้ว

      Mimi hapa mkenya nakuunga mkono.

    • @johngachugu305
      @johngachugu305 2 ปีที่แล้ว

      Tupo Kenya hoyee 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @barnabasmtelevu6500
    @barnabasmtelevu6500 5 ปีที่แล้ว +57

    Maneno ambayo Mungu mwenyewe ameyaweka kwenye kinywa cha mtumishi wake yanaonekana wazi kabisa. Hata mimi "nimekuelewa" Baba mchungaji. God bless you!

  • @willykikwete8626
    @willykikwete8626 5 ปีที่แล้ว +64

    Mgogo umeongea jambo la kweli kabisa na umetoa ELIMU kubwa kwa nchi. Na wewe tumekuelewa

  • @mamlakapaluku886
    @mamlakapaluku886 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mungu akubariki Mchungaji kwa Maono haya na kwa somo nzuri

  • @dariuslimbu2325
    @dariuslimbu2325 5 ปีที่แล้ว +22

    Mgogo katumia fursa hongera zake sana GOD bless him

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 5 ปีที่แล้ว +18

    Kwa kweli mchungaji tumekuelewa na MUNGU akibariki kwa kukutumia kama chombo cha kusaidia wanyonge

  • @isayamichael
    @isayamichael 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu anapenda wajumbe wa namna hii hakika mungu akubarika kwa kufkisha point hii Amina

  • @SamwelLukas-tq9fy
    @SamwelLukas-tq9fy 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda sana huyu mchungaji maneno yake yanabusara sana

  • @saimonjulius1319
    @saimonjulius1319 5 ปีที่แล้ว +10

    Saf sana mgogo nimekuerewa pia, na nimeshamuerewa raisi wetu

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
    @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 5 ปีที่แล้ว +12

    Du! Mgogo NI hatali Sana, kaongea point kubwa sana

  • @evapoul4297
    @evapoul4297 4 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji nakupenda mno,yesu kristo akutunze

  • @nlhdma9925
    @nlhdma9925 5 ปีที่แล้ว +5

    Rais Ma anafanta kazi nzuri sana kwa watanzania.

  • @bulugubujilima1332
    @bulugubujilima1332 3 ปีที่แล้ว +4

    Baba MUNGU tubariki moyo wa uzarendo waafrika woto,Amina!

  • @elizamabula
    @elizamabula 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah maneno ya mungu yako ndani yako baba Asante kwa usemi mzuri mungu akubariki.

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 5 ปีที่แล้ว +9

    Umeeleweka mtumishi wa Mungu

  • @yaseenkara9016
    @yaseenkara9016 5 ปีที่แล้ว +15

    KAKA nimekuelewa sana maana hata sisi yametukuta hayoo hayoo cha ajabu na kushangaza kabla ya kununua tumeenda manispaa mpk ramani tumeoneshwa ya kiwanja lakini mwisho wa siku tumeambiwa ni eneo la RELI

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala 5 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU AKUBARIKI SANA RAIS WETU NA UMEONGEA KWELI MCH. MGOGO RAIS MUNGU AKUTUNZE TUNAKUOMBEA ZAIDI

  • @rashidykihunga3962
    @rashidykihunga3962 3 ปีที่แล้ว +2

    maneno yko nimekuelewa . Mtumishi wa bwana .Mungu akujalie popote uwapo. SEMA amee

  • @Mike-yg7pb
    @Mike-yg7pb 4 ปีที่แล้ว +4

    Daaaaah!! Nimekuelewa sana Mgongo Mungu akubariki sana

  • @josephjuma6242
    @josephjuma6242 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli mchungaji Mgogo Magufuli alikuwa kiongozi mwenye maono kweli, Joseph kutoka magharibi mwa Kenya

  • @MMUNGAHOSEA
    @MMUNGAHOSEA 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimefurahiii sna kuona tabasamu ya wa Africa hakika Tanzania 🇹🇿 katka myaka inayo kuja hapo itakuwa inchi yenye nguvu sna maana Mungu Anaendaa mambo manzuri kwa taifa tangu Tanzania

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 5 ปีที่แล้ว +4

    Yani wewe ni mchungaji wa watu umepiga maneno muhimu ,hongera Rev Daniel Mgogo

  • @henrickchambilo3119
    @henrickchambilo3119 5 ปีที่แล้ว +11

    True in reality

  • @djumakwizera9505
    @djumakwizera9505 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaongea kweli kabisa, Mgogo nakuamini kweli kweli

  • @isayamwabulanga7767
    @isayamwabulanga7767 5 ปีที่แล้ว +6

    Wapenda haki atujakuelewa watakuelewa Ambao awapendi haki Lakini naamini ata mungu Hanapenda haki sizani kama hanakuelewa

    • @hassanjuma2688
      @hassanjuma2688 5 ปีที่แล้ว +1

      Haki gani utakayo wewe kuwa muwazi

    • @isayamwabulanga7767
      @isayamwabulanga7767 5 ปีที่แล้ว

      Kama wewe Hutambui dhuruma wanazofanyiwa wapinzani Tz basi basi wewe ufai atakuongoza familia yako

    • @fredialfredi202
      @fredialfredi202 5 ปีที่แล้ว

      @@isayamwabulanga7767 akiri ni nywele kila mtu na zake

    • @davidcornel9545
      @davidcornel9545 5 ปีที่แล้ว

      Nimekuelewa JPM

    • @isayamwabulanga7767
      @isayamwabulanga7767 5 ปีที่แล้ว

      @@fredialfredi202 hiyo siyo akili ni ujinga Ambao atujaandaliwa ili upate kizazi bora ni lazima umuandae mtoto kwa kufunza kujua thamani za uhai, Hekima, kupenda nchi yake, nakujua thamani ya haki nk Lakini mwafrica yupo tayari Kupoteza thamani uhai kwa kutetea Chama cha siasa

  • @shijathedon5453
    @shijathedon5453 2 ปีที่แล้ว +2

    Mpaka nakosa la kusema kwa watu wenye hekima kama hawa

  • @kamaukamau6233
    @kamaukamau6233 3 ปีที่แล้ว +10

    A very wise pastor,I admire you and in this life if I happen to be in your city I'll visit your church for a church service

  • @sammyoty8556
    @sammyoty8556 3 ปีที่แล้ว +5

    I like your braveness n courage to face President with pure reality

  • @mkemia_magege5816
    @mkemia_magege5816 5 ปีที่แล้ว +5

    "Mimi siombi. Maombi yaliyoombwa hapa na wachungaji Wengine yametubariki lakini Mimi nimeona niyaseme haya." Mchu. Mgogo akinena mbele ya Rais huku watu wakitegemea labda angefanya maombi kama wachungaji walippita. Dah Mgogo nampenda sana!!

  • @jacobkassim3642
    @jacobkassim3642 5 ปีที่แล้ว +3

    safi sana MCH mgogo yaaaani umeongea vizuri

  • @jaafarjacka3320
    @jaafarjacka3320 5 ปีที่แล้ว +6

    Maaa shaaa ALLAH Maaa shaaa ALLAH Maaa Allah hivi ndivyo inavyotakiwa

  • @markd3964
    @markd3964 5 ปีที่แล้ว +2

    Ushaur alioutoa, mzur sana. Kuhus kumyelewa mh, aangetumia uwing, angetsha sana

  • @AdamuShabanimwiko
    @AdamuShabanimwiko 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu mtie nguvu mtumishi wako anaytuhurubira ni ya kweli

  • @bennysanga2873
    @bennysanga2873 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana mchungaji umesema kweliiiiiiii

  • @robertterry8909
    @robertterry8909 5 ปีที่แล้ว +15

    hata mimi nimemwelewa raisi wetu magufuli

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi musilimu lakini kiukweli mchungaji huyu huwa hata mahubiri yake anaongea mambo na shida za wengi sio wale wa kukanyagisha watu mafuta

  • @hajidotto8883
    @hajidotto8883 5 ปีที่แล้ว +13

    channel ten mmetisha kwa kutupatia habari exclusive

  • @forgivepraisebetogod8196
    @forgivepraisebetogod8196 3 ปีที่แล้ว +3

    Blessed man of God.

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 ปีที่แล้ว

    Well said mtumishi wewe huwezi kuwa upande wa wanafki ni msema ukwel

  • @sheilalolila2233
    @sheilalolila2233 3 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli jamani kwanini umekwenda kazi ya mungu aina makosa. Duh tutakukumbuka daima

  • @mufush
    @mufush 5 หลายเดือนก่อน

    A man full of wisdom

  • @jumaigoti8676
    @jumaigoti8676 5 ปีที่แล้ว +5

    Pointi mgogo ubalikiwe kwa Ujumbe mzuri.

  • @DavidBogoss
    @DavidBogoss 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu aku bariki sana

  • @joshuaibrahim6691
    @joshuaibrahim6691 5 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye njaakali mbele ya mfalme nihatari mbele yajamiii bora ukoma

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi wa BWANA

  • @shomarisalehe3487
    @shomarisalehe3487 3 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri Sana

  • @marynjuguna9395
    @marynjuguna9395 3 ปีที่แล้ว +2

    Full of wisdom

  • @petermtonyi9138
    @petermtonyi9138 4 ปีที่แล้ว +1

    Mung akubark san kwa maneno y hekima,kwel hat mung alianza nasekta ya ujenzi,tumekuelewa

  • @fatmalyego2531
    @fatmalyego2531 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakupinga kila kitu mpoooo maana hamnaga jema nyie,, Mgogo umeongea ukweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,, Magufuli jembe

  • @azorikambale8063
    @azorikambale8063 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mutu wa Mungu

  • @elijahnyamwange3520
    @elijahnyamwange3520 2 ปีที่แล้ว +1

    Great man of God

  • @winfridakasindye9618
    @winfridakasindye9618 5 ปีที่แล้ว +3

    Tumekuelewa. Baba, raisi waawanyonge,,tumekuelewa

  • @paulahcatania6137
    @paulahcatania6137 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli maneno mazuri.....rip mr

  • @catherineamos7087
    @catherineamos7087 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea point sana Mchungaji Mgogo

  • @jamesmethuselafredrick6064
    @jamesmethuselafredrick6064 5 ปีที่แล้ว +5

    Safi.!☺

  • @mbilinyijohnpius8462
    @mbilinyijohnpius8462 5 ปีที่แล้ว +2

    Thanks mch:Daniel mgogo

  • @manasesamwel5946
    @manasesamwel5946 5 ปีที่แล้ว +2

    Mch. Mgogo Nimekuelewa Baba

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 3 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU,ampe tano mingine JPM,mgogo ulisema kweli TUMEMUELEWA JPM kwa mafueza yanayoshuka serikalini Sasa hivi,ni lini haya yalipatikana?

  • @winnersinchrist01
    @winnersinchrist01 ปีที่แล้ว

    Pasteur tikito Emanuel

  • @gracepeter3200
    @gracepeter3200 3 ปีที่แล้ว +1

    Tumemueleewa Rais wetu

  • @mavinemurila4873
    @mavinemurila4873 4 ปีที่แล้ว +1

    Naienzi Tanzania Sanaa japo mie mkenya

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 2 ปีที่แล้ว

    Nikawaida yangu nikiona tu picha ya chuma chetu niladhima nipite nimeyasikia maneno hayo ya mgogo nikweli kazi ya mungu haina makosa Ila ukweli JPM watanzania tulimwelewa

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 2 ปีที่แล้ว

    Thinker always speaks widely. Misumari imepenya ila daah. RIP jembe ila mpini umenaki.

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 5 ปีที่แล้ว +1

    Tusadiwe sisi wa huku vijijini ili tusivutiwe na maisha ya mjini na kuja kupata hasara za kuvunjiwa nyumba na kusabisha foleni mjini tuboreshewe miundo mbinu huku vijijini kusudi tubaki huku huku tunalazimika kuvamia mjini si kwa kupenda ni kutokana na serikali kutusahau na kubezi na maeneo ya mijini

  • @emmanueljacob9225
    @emmanueljacob9225 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana mchungaji

  • @ricksonmrema86
    @ricksonmrema86 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi hupo sawa

  • @sylviesylvieleonardoliveas6138
    @sylviesylvieleonardoliveas6138 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen wa ongeya kweli

  • @moyesmassawe1963
    @moyesmassawe1963 5 ปีที่แล้ว +1

    Point Mtumishi

  • @genimaige6023
    @genimaige6023 5 ปีที่แล้ว +1

    Amina mm nimekuelewa na bado naendelea kumuelewa mh raisi wetu

  • @amosgwako9925
    @amosgwako9925 2 ปีที่แล้ว

    Wwwuuueeehhh....this guy Mugogo daktari... 🖖

  • @ancomagu7510
    @ancomagu7510 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah hama kwa hakika umenena vyema yani ni ukweli mtupu

  • @benezethkapongwa8017
    @benezethkapongwa8017 5 ปีที่แล้ว +10

    Yaani mahubiri yako ndo maana sijaachaga kukusikia... Nakuelewa na wewe pia

  • @thadeimkula9313
    @thadeimkula9313 ปีที่แล้ว

    Hapo nime kupata sanaa

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 ปีที่แล้ว

    Rais magufuri tulimuelewa mama huyu anaupiga mwingi

  • @anyimikeshola1203
    @anyimikeshola1203 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 2 ปีที่แล้ว

    Mgogo umetisha....

  • @mkangyailutashaggy7207
    @mkangyailutashaggy7207 2 ปีที่แล้ว

    Amen kubwa mchungaji

  • @avax5717
    @avax5717 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi uncle Magu, ninakuelewa

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj ปีที่แล้ว +1

    Maneno mazuri

  • @profmasumbuko2288
    @profmasumbuko2288 3 ปีที่แล้ว

    Point taken

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 3 ปีที่แล้ว +1

    JPM wenye akili tumekuelewa

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn,cku nyingine mpeni tena mualiko

  • @elimuwidson6816
    @elimuwidson6816 2 ปีที่แล้ว

    Mch.hata Mimi nimekuelewa kwa elimu uliyoitoa

  • @salvationsalvatory9097
    @salvationsalvatory9097 5 ปีที่แล้ว +1

    Goooooood Goooooood

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 ปีที่แล้ว +1

    Daniel Mgogo umenikosha roho yangu.

  • @kindandakudingwa7514
    @kindandakudingwa7514 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Daniel Mgogo ndio Nani??

    • @furahamwaijumba5571
      @furahamwaijumba5571 5 ปีที่แล้ว +7

      Ni mchungaji wa Baptist Tanzania
      Ila anafanya huduma kooote Duniani.

  • @richardkyui2646
    @richardkyui2646 2 ปีที่แล้ว

    I wish huyu pastor angekuwa mkenya wengi wangeokoka

  • @amonamiri4487
    @amonamiri4487 3 ปีที่แล้ว

    Mgogo bhana uko vizur...sana

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhe Rais Hiyo injili imekaa sawa , watu wako wamesikiaa?

  • @divamrembo8788
    @divamrembo8788 5 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana Daniel Mgogo

  • @miguelbaptistanhoka1462
    @miguelbaptistanhoka1462 3 ปีที่แล้ว

    Upendo kwako mwishimua pastor.niko Moçambique.

  • @joshuaibrahim6691
    @joshuaibrahim6691 5 ปีที่แล้ว +3

    Nilishangaa kusema at watanzania tumekuelewa kumbe ninjaa yakutetea nyumba yako , eee MUNGU wakowapi watumishi wasiopenda kutetea matumbo yao kama akina Danieli? Huyu anaita baba nyingi mbele ya mfalme kuliko anavyomuita MUNGU niurafi naufisada mbele zaMUNGU

    • @amandusmark3060
      @amandusmark3060 5 ปีที่แล้ว

      Utakua na utapiamlo wa akili

    • @veileronesmo9219
      @veileronesmo9219 5 ปีที่แล้ว

      Unaakili wew

    • @pamphiliabongole8460
      @pamphiliabongole8460 5 ปีที่แล้ว

      Wach bana ni shida

    • @frankcharles3881
      @frankcharles3881 3 ปีที่แล้ว +2

      NINGESHANGAA SANA KAMA ASINGETOKEA MJINGA MMOJA KAMA WEWE MAANA KWENY NCHI YA WATU ZAID YA MILION50 HAWEZ KUKOSEKANA MWEHU... HONGERA NA WW UMEWAKILISHA WENZAKO🤣🤣🤣

    • @silasmudoga8361
      @silasmudoga8361 2 ปีที่แล้ว

      You are wrong

  • @bonfesmwenda4006
    @bonfesmwenda4006 4 ปีที่แล้ว +1

    Pia Mimi nimekwerewa muchugaji

  • @faustineselestine3327
    @faustineselestine3327 3 ปีที่แล้ว

    Asante mtunishi

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

    Ukweli kabisa ubarikiwa

  • @cobadadon2334
    @cobadadon2334 5 ปีที่แล้ว +1

    ukweli mtupu

  • @anyimikeshola1203
    @anyimikeshola1203 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @listerelieza56
    @listerelieza56 2 ปีที่แล้ว

    Ndg.daniel mgogo hapa ulinena kweli

  • @roinajohnson9788
    @roinajohnson9788 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa mgogo mwenzangu