BINTI UNANGUSHWA ANGUSHWA TU NA NA KILA KIJANA KAMA VILE UNA KIFAFA UNAJIRAHISISHA"PASTOR MGOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 80

  • @Dorka12-n7b
    @Dorka12-n7b 8 หลายเดือนก่อน +5

    Amen rusha mawe uponye mioyo ya wengi waliokata tamaa barikiwa pastor mgogo

  • @PeterKwalia-x8n
    @PeterKwalia-x8n 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa pastor unatusema ukweli kabiza ❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂

  • @davidakeci9651
    @davidakeci9651 9 หลายเดือนก่อน +3

    Last time ulikuwa bukavu, hivi naona uko butembo naona unapendwa drcongo. Ubarikiwe rafiki yangu.

  • @herinelucas7988
    @herinelucas7988 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very true... Much love from 🇰🇪

  • @MariaMahenge-ec6ng
    @MariaMahenge-ec6ng 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ameni mchungaji mahubiri mazuri kichambo kimekolea

  • @GuelordMaombi
    @GuelordMaombi 9 หลายเดือนก่อน +2

    Congo ni inchi ambayo ina barikiwa sasa

  • @francoisesifachishugi-vn4fv
    @francoisesifachishugi-vn4fv 9 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho Yako ukweli mtupu hakuna mtu ana kufuata akawa mujinga,Mungu aku bariki sana 🙏🙏

  • @VanessaKapinga-ht7vo
    @VanessaKapinga-ht7vo 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @septwema2118
    @septwema2118 8 หลายเดือนก่อน +3

    ubarikiwe sana babangu

  • @naomisidi2181
    @naomisidi2181 9 หลายเดือนก่อน +1

    Masomo yako ni true facts of life Pastor. Tupashe sote waume kwa wake.

  • @Mwanyumba-ub5ri
    @Mwanyumba-ub5ri 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana Pastor Dan. .wape vidonge yani dozi ya power ,barikiwa sana !

  • @gracetillye1856
    @gracetillye1856 5 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabsa babaa mungu akupe maisha marefu na afya njemaa

  • @risperondiba7347
    @risperondiba7347 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen nimejifunza mambo mingi kwako mtumishi ❤❤

  • @Lilian20248
    @Lilian20248 9 หลายเดือนก่อน

    😄Unamafunzo mazuri sana baba, ubarikiwe sana🙏🙏🙏 Endelea kutufungulia gate ili tuzidikujuwa mengi na zaidi.
    Na hao wanaokusema eti wewe ni pastor lakini unaongea maneno tofauti, usiwasikilize hao😏' hata haya maneno unayotuambia ni mahubiri tosha😍😍. May God bless you pastor Mgogo.

  • @zacharymogeni5741
    @zacharymogeni5741 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mahubiri Bora

  • @kwanamalipo4355
    @kwanamalipo4355 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe nguvu na hekima zake nyingi

  • @NashoniNorbet
    @NashoniNorbet 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman we mchungaji wa ukweli unatowa ya ndani kabisa barikiwa sana

  • @SimonWatabora
    @SimonWatabora หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏 🙌

  • @MerciIgunzi-tq7ko
    @MerciIgunzi-tq7ko 9 หลายเดือนก่อน

    Baba yangu yaani hiyo neno Ganda landizi limeniuwa kabisa Mungu akubariki baba yangu ❤

  • @John-wk3gt
    @John-wk3gt 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor uwa unanimbariki

  • @GodlistenEmmanuel
    @GodlistenEmmanuel 5 หลายเดือนก่อน

    Remember me God 🤝

  • @samuelAgustino-gg1vv
    @samuelAgustino-gg1vv 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mtumishi

  • @amosobelai8262
    @amosobelai8262 8 หลายเดือนก่อน

    This is more than the teachings.
    Be Blessed Servant of God.

  • @SimonWatabora
    @SimonWatabora หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏 😂❤

  • @SilivanusRobart
    @SilivanusRobart 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika unagusa baba endelea kusema ukweli watu waokoke🙏🙏

  • @GuelordMaombi
    @GuelordMaombi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuja Goma Pastor

    • @GuelordMaombi
      @GuelordMaombi 9 หลายเดือนก่อน +1

      Tuli sikiya ulikuwa Bukavu sasa uko butembo kuja n'a Goma

  • @kafundijohn
    @kafundijohn 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kanisa liamuke ma pastor amkeni fundisheni Kanisa

  • @PhelixEliiona
    @PhelixEliiona 8 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe safi

  • @peterkomba2133
    @peterkomba2133 9 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa

  • @BienvenueBisimwa-rn9rn
    @BienvenueBisimwa-rn9rn 9 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli 🇨🇩🇨🇩

  • @duncanrasndugu
    @duncanrasndugu 9 หลายเดือนก่อน

    Amina Baba nakupata

  • @andiswamnyhila7414
    @andiswamnyhila7414 6 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor

  • @BelindahBelindah
    @BelindahBelindah 8 หลายเดือนก่อน

    Nakusikiza pastor

  • @RehemaMwandandila-yt3rx
    @RehemaMwandandila-yt3rx 8 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏🏼

  • @kennethmwenda206
    @kennethmwenda206 9 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho yako ni mazuri pastor. Hubarikiwe

  • @rwa877
    @rwa877 7 หลายเดือนก่อน

    Asante. Pastor mgogo.

  • @KastoryMgizi
    @KastoryMgizi 8 หลายเดือนก่อน

    Amin San postor

  • @marcosjorgepadiapuka13
    @marcosjorgepadiapuka13 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe❤

  • @CelestinKasereka-ls4zo
    @CelestinKasereka-ls4zo 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho ❤

  • @SophiaPetersamwel
    @SophiaPetersamwel 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mafundisho mazur

  • @BettyNdayishimiye
    @BettyNdayishimiye 9 หลายเดือนก่อน

    Warahezagiwe❤❤❤

  • @SophiadavdimwagamaDavdimwagama
    @SophiadavdimwagamaDavdimwagama 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Baba ongeza saut

  • @ProscoviaWilliam
    @ProscoviaWilliam 9 หลายเดือนก่อน

    Jaman pastor yupo sawa kwa vijana

    • @AbushirJoseph
      @AbushirJoseph 8 หลายเดือนก่อน

      Safi san mtumish

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 9 หลายเดือนก่อน

    Nikweli baba mungu akubariki sana ndogisi walivo wanaume

  • @dorothsoak4835
    @dorothsoak4835 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sanaa baba

  • @BAHATSIKAPIZYE
    @BAHATSIKAPIZYE 8 หลายเดือนก่อน

    Unachosema nikweli mtumishi mngu akutunze

  • @JosephinJoachim
    @JosephinJoachim 9 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho yako ni mas

  • @CATHERINE-ff4vs
    @CATHERINE-ff4vs 9 หลายเดือนก่อน

    Ni kwali baba

  • @JeromeBankuwunguka
    @JeromeBankuwunguka 9 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho hayo ya nasitahiki ubalikie

  • @PatrickMakhokha
    @PatrickMakhokha 8 หลายเดือนก่อน

    smart

  • @SimonWatabora
    @SimonWatabora หลายเดือนก่อน

    Ili jiwe nirangu kwel hapo hapo hapa mchungaji munisaidie kuniombea kwasababu namimi tatizo langu liko hapa hapa

  • @Engo823
    @Engo823 9 หลายเดือนก่อน

    Kuja Kenya kitale

  • @makambapromise3495
    @makambapromise3495 9 หลายเดือนก่อน

    Amen😂😂

  • @BagumaCongolais
    @BagumaCongolais 9 หลายเดือนก่อน

    Baba😂😂😂😂😂

  • @GuelordMaombi
    @GuelordMaombi 9 หลายเดือนก่อน

    Tuna pata wa hubiri kutoka dunia yote kabisa

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂❤

  • @devotaLain
    @devotaLain 4 หลายเดือนก่อน

    😂♥️♥️

  • @WasuGi-gy8vl
    @WasuGi-gy8vl 9 หลายเดือนก่อน

    Kkkk😂😂😂

  • @emilywacira
    @emilywacira 9 หลายเดือนก่อน

    That's true Amen

  • @JosephinJoachim
    @JosephinJoachim 9 หลายเดือนก่อน

    A

  • @frida5318
    @frida5318 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 9 หลายเดือนก่อน +5

    Ila pastor mkongo ujue mwanamke asiye penda kuagushwa agushwa ujue sisi wanaume tunamuona mwanamke uyo ni mchawi tu,😅

    • @dorothsoak4835
      @dorothsoak4835 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mtu azinie na mwanamke hana akili. So wewe akili hunaaaa

    • @kaytwok2345
      @kaytwok2345 9 หลายเดือนก่อน

      Kachuguze kichwa chako ndugu

    • @risperondiba7347
      @risperondiba7347 9 หลายเดือนก่อน

      Uko na mujeso ww haumuogopi Mungu 😢😢

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 8 หลายเดือนก่อน

      Akili huna ,biblia imeshawataja watu kama wewe,huna hata aibu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 8 หลายเดือนก่อน

      Na kwanza wewe sio mwanaume ni mvulana

  • @jessicamasepo8320
    @jessicamasepo8320 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @PatrickBenjamin-b3n
    @PatrickBenjamin-b3n 9 หลายเดือนก่อน

    Mzee una nivunjambavu hapo Utembo Congo wale ndiyo wamalaya wakwanza na wachawi nihuko wana zidisha sana kwani Congo wawondiyo wana kufasana Congo ukitafuta wajane sana wengi ni wanande wana sharati sana.

  • @kenyakesho
    @kenyakesho 9 หลายเดือนก่อน +1

    Good message but it's descriminate the baby boy wish pastor could addressing both gender because am seeing both gender in the meeting.check keenly all boys are embarrassed all their heads down because the sermon seems to be demonize boy child in that church

    • @amanikeotto7257
      @amanikeotto7257 9 หลายเดือนก่อน

      I think the message is right on. My sisters and my daughters / nieces need to hear this

  • @donenciamwachofi7974
    @donenciamwachofi7974 9 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @DavidRobert-bq6dj
    @DavidRobert-bq6dj 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina barikiwa Sana

  • @HawaPius-gf6up
    @HawaPius-gf6up 8 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumish

  • @IgnaseTalaboe
    @IgnaseTalaboe 7 หลายเดือนก่อน

    Amen pasta

  • @JosephinJoachim
    @JosephinJoachim 9 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho yako ni mas