DC NJOMBE AWAPA MASAA 48 VIJANA 80 KUHAMA WILAYA YA NJOMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 164

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 3 หลายเดือนก่อน +2

    Good job

  • @HBMtega
    @HBMtega 3 หลายเดือนก่อน

    Tunashukulu sana Dc wetu kwa nihatalikubwa mno hawa watoto wakikosa hera kinachoendele ni kujiuza, sasa natakwimu yetu njombe ya maambukizi ya vvu duuu taifa limeisha kwakweli

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Mkuu Kwa kutumia maovu, Asante kutulindia watoto wetu

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 3 หลายเดือนก่อน +5

    Duuh mama wakinyakyusa wana huruma sana hongera mkuu wa wilaya hao ni mataperi hao viongoZi ingebidi jeshi la polisi liwakamate

  • @deodatangereza960
    @deodatangereza960 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hili limetokea pia Tabora, Asanteni viongozi,lifanyieni KAZI.
    Ni utapeli tu huo.

  • @rostandunguru2010
    @rostandunguru2010 3 หลายเดือนก่อน +2

    Vizuri sana dc kisa nikweli hao Awaja kizi vigezo kaziinderea 🎉🎉🎉

  • @ElyotKyando
    @ElyotKyando 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nakushuru mkuu☑️☑️☑️☑️💯

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo ni ajira na umasikini na elimu mbovu ndicho chanzo Cha vijana kuingizwa kwenye vikundi vya hovyo naofia ata ushoga na ugaidi vitaanzia apo Asante mama mkuu wa wilaya

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน

      @@MjuniLaulian Elimu mbovu to kisingizio. Kujenga nyumba bila ramani. Nyumba ikiwa kituko unalaumu nani?.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน

      @@MjuniLaulian Kuna elimu inapatikana kwenye bible, kitabu cha mwanzo. Historia ya uumbaji. Hûwa nashangaa bible inasema binadamu alikuwa wa mwisho kuumba!. Neno Mungu akaona vema. Sisi hûwa tunaona vema kwenye mipango. Bajeti yako na watu wako unataka wafanye nini, na ili wafanye wawe na ujuzi na elimu ipi?. Ili mwisho tuone vyema. Liko ombwe la mambo mahususi ya kutekeleza na vipaumbele kitaifa. Kwa hali hiyo elimu yetu itapwaya. Mfano pale Kenya wanawekeza kwenye digital city. Ivyo kijana Kenya akijikita kwenye AI na mambo kama hayo anajua kesho kwao kuna KITEDEWA KAZI. Tatizo letu ni kutokutulia rasimali Zetu kuanzisha fursa za kutendewa kazi. Sio elimu. Tunategemea kijana akute kiwanda mfano cha kuchakata pamba mpaka bidhaa ya mwisho. Ikiwa hivyo kila msomi kwa taaluma zao ataajirika. Umaskini nao utatoweka. Hakuna kumbukumbu inayoonyesha kwamba taifa Mfano china kukataa kununua nyama ya Nguruwe toka tz. Zaidi watamwambia uzalishaji mdogo hatuwezi kutosheleza soko lao. Wakati huo utasikia hatuna ajira. Wakati huo pesa za umma zinatumika vibaya. Utasikia Misiri wanataka mahindi ya njano, anatokea mkubwa mmoja asema vijana wachamkie fursa baada ya hapo kimya. Kumbe kuna hatua mbele ya kufanya. Huwezi kujenga uchumi wa taifa kwa kutupiana mpira. Lazima kuwepo mikakati ya wazi inayotumia mitaji ya umma. Kijana mfano anayegundua mfumo wa AI angetaka saver ya kuhost watumiaji mfano Billion 1 kwa sekunde ili pesa hiyo ije kwenye taifa letu. Mfumo kama huo ni gharama kubwa kutokea kutengeneza,hati miliki, platform, lesseni, kodi na nk. Hatuitaji kujifunika koti la ubovu wa elimu bila kuangaliia mikakati yetu na utashi wetu kisiasa na kijamii kutekeleza mikakati. Tuwe wawazi kwamba bado tumekwama kupanga na kutekeleza mikakati shindani kwenye soko la utanda wazi. Kuna wengi tunaamini kwa usalama wa nchi ni jambo pana sana halishii nani kamsema vibaya kiongozi au una silaha Kali kiasi gani. Usalama ni pamoja unajimudu vipi bila kutegemea mataifa mengine. Mfano kama leo ipo kampuni ya kijana ina potential ya kuleta uchumi ndani. Ni jukumu letu kusadia, sio tuache ishindikane alafu tuanze sema elimu mbovu. Kahawa kule Kagera ilidolora. Ila shangaa bei imepanda sana, ila Mganda anunua bei kubwa zaidi. Kumbe Tatizo sio elimu, ila elimu inasadia wakulima kuacha kulima kugomea unyonyaji. Vipindi kahawa ni mali hatuzisikii.Tatizo wizi na uchoyo. Yafanyike yote ziwepo fursa za kazi au VITENDEWA KAZI uone kama elimu itakuwa mbovu au uone kama umaskini utauona. Ramani ya Safari ya Maendeleo ya taifa letu ikijulikana kwa wote, elimu itakuwa ya mfano, utasikia matumizi ya ovyo, utasikia kutekana, hutasikia kua ovyo, utasikia kukosa matibabu, hatukuwa wote wachuuzi. Nchi yetu itakuwa kama Shabaan Robert alivyo tafakari kwenye Kitabu Mapenzi bora. Wakati gharika Nuhu alisafiri na viumbe. Chui hakumla Mwana mbuzi, faru hakupiga pembe.......walisafiri wote viumbe. Raia ili wajenge taifa hawatakiwi kuachwa kama kuku wa kienyeji. Hata kuku wa kienyeji mfugaji anakikisha maji, dawa na nk vipo. Je binadamu. Soko huria hakumanisha holela. Somo la kilimo Lina maana kama kuna kilimo. Kama magonjwa yapo basi elimu inahitajika. Au mwasibu wa nini kama hakuna pesa ya kusimamia. Kama bado umelala kubadilisha rasilimali kuwa utajiri. Elimu zote utaziona mfu.

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 3 หลายเดือนก่อน

    God bless you madam

  • @yudanziku6030
    @yudanziku6030 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hao vijana wanatapeliwa sana

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hivyo ndiyo vyama vya kishoga hongera mkuu

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน

    Tunataka viongozi wenye hofu mungu kama hawa waongezeke nchi nzima. Wengine wanaona watt wa wengine wakipotea ni sw.

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 หลายเดือนก่อน +8

    We ni mzazi bora na mtoto wa mwenzio ni wako barikiwa sana mama

    • @thadeusmarkiminja2282
      @thadeusmarkiminja2282 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hivyo vyote hivyo serikali Kama haina taarifa na TRA pia kuna nini hapo katikati?

  • @johnmwalingo5218
    @johnmwalingo5218 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mh Dc

  • @NikwisaMwakamele
    @NikwisaMwakamele 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa wanazunguka nchi nzima ni hatari sana sana kwa vijana na kwa nchi yeti naomba uchunguzi wa kina ufanyike

    • @selegioelias9076
      @selegioelias9076 3 หลายเดือนก่อน

      Yes yes inchi hii itakuja kujuta kama wataeendeleea kuwa achaacha vijikundi vya namna hii

  • @SuediRwabatwa
    @SuediRwabatwa 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuu uko vizuri tena masaa umetoa mengi

  • @Omary-p3e
    @Omary-p3e 2 หลายเดือนก่อน

    Hiii kazi kina viongozi wapo humo na wanapenda kuajidi vijana kuwapeleka dubai

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 3 หลายเดือนก่อน +5

    Matapeli hao wameshatapeli sana hai waongo sana

  • @dottomabula7253
    @dottomabula7253 3 หลายเดือนก่อน

    Wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu wavivu

  • @rehemamadusa4892
    @rehemamadusa4892 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu hongera kwa kazi nzuri sana..ushauri wangu ni Serikali kujiridhisha usalama wa hizo bidhaa, zimetengenezwa wapi, zimethibitishwa na Serikali na kwa nini kwa vijana???

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mnatapeliwa watoto. Nendeni nyumbani. Tunashukuru sana Serikali kwa kuingilia hili jambo

  • @thomasmwambuba680
    @thomasmwambuba680 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wengi wameliwa saana ..utapeli mtupu

  • @LaurentMatigili
    @LaurentMatigili 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa wilaya naomba namba Yako,I love you 💕

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wao wanIpenda aise.

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 3 หลายเดือนก่อน

    Wafukuzwe kwa sababu ugaidi , ulevi , wizi ,ukatili , ushoga na kafara zinanza hivo hivo haswa ushoga aina yote kwa hio mama ? mungu akubariki tena ifwatilie hizo group

  • @JosephHaule-yg1cf
    @JosephHaule-yg1cf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dadaa dadaaaaa saf

  • @JumaMbaga-sd5yi
    @JumaMbaga-sd5yi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Upo vizuri mama

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Enzi za baba yangu JPM vitu vya ovyo kama hivi havikuwepo

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa upuuzi mwingi sana sasahivi

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 หลายเดือนก่อน +5

    Yaani sijui hawa huwa wanarishwa sumu gani ? Mimi huwa naona ujinga huu

  • @fazo-kl9fu
    @fazo-kl9fu 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kiongoz na hao matapeli muwatafute kwa nn wawepo na police hawanakazi wanakula tu mishahara

  • @JosephHaule-yg1cf
    @JosephHaule-yg1cf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani rohoyangu mkuu

  • @charlesmwasi7646
    @charlesmwasi7646 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi DC njombe nayo ilitajwa kuwa na vikundi vya ushoga na usagaji

  • @danielsinda
    @danielsinda 3 หลายเดือนก่อน

    Weke ndani hao wiki 3 Ndo wata jua maisha

  • @IsayaIlomo-ib1yh
    @IsayaIlomo-ib1yh 2 หลายเดือนก่อน

    Hao ni wezi

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mama una uchungu kama mama hawa watu wapo wengi waliona hivi vikundi vya namna hii.mtt sio gari sio nyumba wala nguo usichoke pambana tunakuunga mkomo

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mkuu

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 3 หลายเดือนก่อน

    Sukuma ndani hao watu wenye mradi huo! Kwa maelezo ya mama hapo kumbe mpo kinyume na taratibu za kiseeikali na wahujum uchumi huo mrad.SUKUMA NDANI

  • @AlfredMapile
    @AlfredMapile 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hatari

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 3 หลายเดือนก่อน +2

    Vijana wa good morning hao,hata saa mbili usiku utaskia good morning

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani hao Alayansi ni waongo matapeli , mimi mdogo wangu kabisa nilitumia nguvu kumtoa huko akakataa,
    Nikamwacha siku ya siku akanijia kuniomba pesa laki sita nimpe apeleke huko , weweeee 😂! Nikaiona nikamnyima .
    Baadae siku zimeenda akanijia nyumbani usiku akaniambia kaka Alayansi ni matapeli nimeondoka tena ni wahuni kabisa😂, mama yangu mdogo anawaitaga kwa kiha,
    Iyoharansi mwemweee! 😂 . Matapeli walikuwa hapa mjini kahama .

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 3 หลายเดือนก่อน

      Watu hawa wametapeli wadada WA KAZI za ndani Kenya Sana wanaofanya KAZI Saudi Arabia,i say NI NI scam kabisa Mimi mdogo wangu alitapeliwa 38k pesa taslimu za kenya

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 3 หลายเดือนก่อน

      Watu hawa wametapeli wadada WA KAZI za ndani Kenya Sana wanaofanya KAZI Saudi Arabia,i say NI NI scam kabisa Mimi mdogo wangu alitapeliwa 38k pesa taslimu za kenya

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo ni laisi sana wana gawana pesa za hao wanao itwa join au watapeliwa kugawa pesa zao.chukueni mnyororo/mtililiko wa mtu mmoja muwaulize ni vikundi vya matapeli vya limitandao..Ambao wanafanya vijana wajiingize kwenye makundi mabaya baada ya kutapeliwa na kukosa huduma za msingi

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa nimatapeli sana

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi gani hawa?

  • @m24ditectivditect42
    @m24ditectivditect42 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani hivyo vikampuni vinasajiliwa wap jamani

  • @SmilingApron-zw6ne
    @SmilingApron-zw6ne 3 หลายเดือนก่อน +2

    NI KWERI KABISAA DADA ETU KISA, SAFI SANA , NI HUZUNI SANA ,ILA NAOMBA SERKAL ITOE MSAAFA WA USAFIRI KWENDA NYUMBANI AU MIKOANI KWAO.

  • @mbalizisdachoir3479
    @mbalizisdachoir3479 3 หลายเดือนก่อน

    Hata mbeya wapo

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo mmeliwa hakuna kitu hapo ni utapeli sana 😂😂😂😂😂😂😂 jichanganye sasa😂😂😂

  • @ZawadianaMwangosi-is2jm
    @ZawadianaMwangosi-is2jm 3 หลายเดือนก่อน

    Qunet hiyo weziii san

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hao wanaowakusanya hao vijana ndio wanaotakiwa kufikishwa mahakamani. Kwa sababu wapo nchi nzima na wanaendelea kuwatapeli watu. Lakini serikali haifanyi kitu chochote, wakati jambo hilo wanalijua. Hakuna cha semina wala mafunzo hapo, bali ni WIZI tu. Hao vijana wanalala kama magunia kwenye chumba kimoja, kula yao ni shida, kuoga tabu. Mwishowe wanakuwa wezi na uzinzi. Hao watu wakamatwe. Tumechoshwa.

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 3 หลายเดือนก่อน

      Sijui kwnn hao wanao zisha hizo taasisi awachukuliwi hatua kwnn. Wapo.miqkq.mingii na watu vijana. Wengi washatapeliwa lakini awachukuliwi hatua jamani serikali kataza hizo taasisi

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 3 หลายเดือนก่อน

    Nenda Gym ohh shauri.zako we subiri

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaouendesha mtandao huo ni matapeli ty wameliz sana vijana wanaotoka mikoani masikini wanachikuliwa pesa ovyo ovyo. Pigeni marufuku hizi mambo. DC wa ubungo safisha watu hawa.

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 3 หลายเดือนก่อน

    Ni magaidi wa kesho wanatafutwa kwa kesho au washoga wa kesho

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 3 หลายเดือนก่อน +1

    Upatu WA mtandao Ni utapeli kwanini wasifanyie kwenye mikoa Yao mmmm hapo kuna kitu nyuma ya pazia waende Bila hivo mnawafanya vijana kuwa wavivu WA kufanya Kazi yaani jamani Hela apate Kwa njia ya mtandao hapana

  • @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
    @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 3 หลายเดือนก่อน +1

    𝙉𝙖𝙨𝙝𝙪𝙠𝙪𝙧𝙪 𝙨𝙖𝙣 𝙢𝙝𝙚𝙨𝙝𝙞𝙢𝙞𝙬𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙣𝙯𝙪𝙧 𝙝𝙪𝙠𝙤 𝙣𝙮𝙪𝙢𝙗𝙣 𝙣𝙟𝙤𝙢𝙗𝙚

  • @yazu-se8dj
    @yazu-se8dj 3 หลายเดือนก่อน

    Hicho ķikundi ndio kile kile kinafanya utapeli kenya

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sijui hawa jamaa nyuma Yao Kuna nani mkubwa Maana hawa ni wezi na wapo kila mkoa Yaan watanzania tuna tamaa sana kuajiliwa

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi biashara mnaibia tu watu pesa biashara za uongo sana hizi ninyi ni matapeli

  • @rizikiminga3010
    @rizikiminga3010 3 หลายเดือนก่อน +4

    Si ndio kikundi kama iki mkuu wa wilaya uko Tanga kafukuza watoto zaidi ya 80

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mkuu wa wilaya huu ni utapeli kwakweli nakumbuka Arusha walikodisha nyumba vijana tulikua wengi nilichoshangaa naambiwa tu nimeingiza millioni 6 sasa nikawa nazitaka sasa kwani nilipata 😂😂😂😂😂

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 3 หลายเดือนก่อน

      😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kumbe ulijiunga na utapeli

  • @godwingobe1887
    @godwingobe1887 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tunazalisha kizazi kibovu sana na wavivu wa kufikiri

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน

      Godwin uliwahi kusikia habari za Eden ya bible. Mungu aliweka kila kitu. Hili ni zao letu. Ulaya wakisema hawana ajira na tunachukua kama kasuku tunaambiana. Ukweli ajira zipo, ila zinahitaji mtaji wa jamii. Zao la pamba tunajua linaweza kuwaajiri hawa wote. Je kwa nini tunababaisha miaka nenda Rudi. Hili ni zao letu. Tukihamua kwa kukataa kivitendo huwezi kuwaona. Kipaumbele chetu nini viwanda na mitambo ya ajira kwa watoto wetu?.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 3 หลายเดือนก่อน

      NANI ALAUMIWE????

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 3 หลายเดือนก่อน +1

    MAtapeli hao kamata weka ndani hao mbwa.

  • @JosephKulwa-rc7en
    @JosephKulwa-rc7en 3 หลายเดือนก่อน

    Vijana tujifunze tu hatakulima hakuna hela ya bure bure hao wanafundishwa kitapeli watu

  • @andersonsamuel9214
    @andersonsamuel9214 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kamata huyo kiongozi wao. huu ni wizi kama wizi mwingine hawakomi hao, kila cku wanatumia hiyo kama fursa ya ukosefu wa ajira kuwalaghai vijana.

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 หลายเดือนก่อน

    Sura zao tu zinaonyesha wanashida kiukwelii

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan watoto wa Sasa wanapenda short cut tu akiyaMungu baade lawamq.kwa.serikali wanapenda.pesa za haraka haraka tu wanaenda.kulundikq.wqtt kuwafundisha ujinga tu watt serikal.fungueni ajira.mwa.vijana.wamesoma. ajira.awapati serikalimiangalie namna.kundi la vijana wengi wamezagaa.mtaan wakisikia mahala.kuna.pesa wanakimbilia huko cos wapo na.mahitaji yao wanahitaji.kipato watt na nyie muwe na subra Kuna pesa ya buree akuna.maisha ya bure

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wahuni.wa kawaida

  • @lgf7297
    @lgf7297 3 หลายเดือนก่อน

    Ni bora kuwe na rule of law, hawa watoto wanaumiwa na wapinzani au hata magaidi.

  • @SuediRwabatwa
    @SuediRwabatwa 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa wilifukuzwa daa kwanini serikali msifatilie nyuma yao kuna nani hamna itereje see yakuwachunguza

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu wakamatwe haya mambo nani anawsluusu hii nchi Ina Sheria

  • @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
    @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 3 หลายเดือนก่อน +2

    Matapeli TU HAO fukuza HAO

  • @StephenNkenguye-l3d
    @StephenNkenguye-l3d 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo haina tofauti na DECI tatizo la wengi hawajui. Nashangaa kuna watu wana Comment kwa kuunga mkono. Huo ni mchezo wa Upatu ambao ulishapigwa marufuku.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน

      Na wao wanachuuza kwa namna yao. Wasiunga mkono, wanawaza hivi, tupumguze matumizi, na mtaji tuwape wajasilia mali walete mitambo ya kuchakata pamba yote. Tulime chiki chiki, tuvue samaki kwenye bahari kuu tule ndani, tuwauzie nchi jirani kabla ya kufikiri ulaya na America. Kama hatutendi hayo au kushauri mfano hayo, ni kazi Bure.

  • @chuchetresha
    @chuchetresha 3 หลายเดือนก่อน

    Camera man 🥺🥺🥺umakini

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuu Kwanza hiyo alliance global NI tapeli hapa Kenya wanajifanya wadozi NI vijisuti vidogo,na KAZI zao kutapeli watu ,

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 3 หลายเดือนก่อน

    Akulililie kwa nini?
    Marfuku ,cjui hawana kibali kutoka wapi ,cha nini?

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 3 หลายเดือนก่อน

    Hao wanafundisha ushoga

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 3 หลายเดือนก่อน

    Aisee utapeli unawamaliza vijana nchi hii ni hatari mno

  • @danielsinda
    @danielsinda 3 หลายเดือนก่อน

    Watakuja kuelewa wa walishaibiwa tayari hao

  • @kayombotv9758
    @kayombotv9758 3 หลายเดือนก่อน +1

    Upato huo

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 3 หลายเดือนก่อน

    Kijana acha mambo ya aja u

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 3 หลายเดือนก่อน

    Hao wanaotetea hili ni vibaraka tu. Mimi nina jamaa yangu hadi sasa anaokota makopo kisa QNET 😂😂😂

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 3 หลายเดือนก่อน

    Mh wanamuda gani hao nanimafunzo yanini

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 3 หลายเดือนก่อน +2

    Utapeli mtupu

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo bidhaa tbs wanazijua

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 3 หลายเดือนก่อน

    Hao wanaibiwa san a

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 3 หลายเดือนก่อน

    Ni utapeli tu mtandaoni humu

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 3 หลายเดือนก่อน

    Kajisajiri serikali ipate mapito yake

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 หลายเดือนก่อน

    Utapeli mtupu.... hao ndo wale wanaopanda mbegu.. then wanatengeneza matawi..ni ujinga mtupu.

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kila MTU anasema amenufaika amenufaika, kama shida ni shelia Mkuu wa Mkoa wasaidie tumia ukuu wako wa mkoa kuwasaidia, mjue watu wana shida mtaani.

    • @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
      @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 3 หลายเดือนก่อน

      𝙎𝙝𝙞𝙙𝙖 𝙣𝙞 𝙨𝙝𝙚𝙡𝙞𝙖 𝙣𝙖 𝙩𝙖𝙡𝙖𝙩𝙞𝙗𝙪 𝙗𝙨! 𝙛𝙖𝙩𝙞𝙡𝙞𝙖 𝙫𝙯𝙧 𝙨𝙤 𝙣𝙟𝙤𝙢𝙗𝙚 𝙩𝙪 𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙠𝙞𝙜𝙤𝙢𝙖 𝙣.𝙠

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeh?

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mama DC ni mpole na mwema.
    Ongeza ukali

    • @kazikazini1042
      @kazikazini1042 3 หลายเดือนก่อน

      Ukali wa nini sasa wakati maelekezo ni yaleyale na lengo litatimia

  • @charlesSomeke
    @charlesSomeke 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂dah wapuzi hawa walicho nifanyia sina nao hamu wakaniingiza cha kike nikaacha kaz ya laki 2 nikiambiwa nalipwa laki 6 tena toka mara hadi dar nashukuru nilitoka nyumbani na hela ya kutosha kwa matumiz nilipo fika kesho yake nilisanuka nikaondoka huko kbisa watoto wapo wanaishi maisha magumu sana wanakurupuka wakifika huko wanaishi kama yatima

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 3 หลายเดือนก่อน

    Mataperi hawa

  • @BlessMwangosi-mz8dw
    @BlessMwangosi-mz8dw 3 หลายเดือนก่อน

    Tunatakaserelekalyaviwandahukutunauwaubunifuwavijana

  • @sophiamtatondwa9002
    @sophiamtatondwa9002 3 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa mkuu lakini pia tunaomba muwape nauli warudi majumbani waulizeni wana nauli?

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ni qnet mbona mnakuja na majina tofautitofauti? Qnet qnet qnet ni matapeli achaneni na huo utapeli jamani

    • @petro8010
      @petro8010 3 หลายเดือนก่อน

      Yes hiyo ni qnet

  • @MASELEBUBINZA
    @MASELEBUBINZA 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao walishatepeli mdongowangu fukunzakabi sa ikiwenzekana funga kampuni hiyo nakumfunga huyo alayadhi

  • @SmilingApron-zw6ne
    @SmilingApron-zw6ne 3 หลายเดือนก่อน

    TENA MKUU WA WILAYA NI MZURI SANA ANAZUNGUMZA KAMA MAMA, ANAONGEA KWA KUWAHURUMIA SANA, KWANZA ILIBIDI AONGEA KISHERIA NA KWA AMRI LAKINI MKUU WA WILAYA ANAONGEA KAMA MAMA.

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 3 หลายเดือนก่อน

    Wezi hao wapumbavu wakubwa,nina mdogo wangu yupo huko iringa kila nikimuuliza unafanya kaz gan? Jbi ni yupo chuo kujifunza biashara ,na atakuwa anafata bidhaaa china,Naonaga ni ujinga huhuhuuuuuu,waouuuzi hawa.wamemwachisha shule ujinga huu,na tuna viongoz wanaohusika na mambo kama haya.wamesajiliwa na nani??

  • @frankphiri9132
    @frankphiri9132 3 หลายเดือนก่อน

    Mkoa WA Mbeya Jiji kundi hilo lipo mkuu WA wilaya upo ni copy right nipo nitawasaidia

    • @frankphiri9132
      @frankphiri9132 3 หลายเดือนก่อน

      Ni mbaya sana Kuna kijana katoka mbali kadanganywa kuwa Kuna ajira ya ualimu shule X amefika hapa anakuta SI kweli amekutana na kundi hilo tatizo ni namna ya kuwaita Kwa udanganyifu

  • @Niika870
    @Niika870 3 หลายเดือนก่อน +1

    Biashara ya mtandao weziii nyie,matapeli sambaa haraka