🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • 🔴#Live: MAKONDA AKASIRIKA - MTUMISHI ALIYEMPA MAELEKEZO HAJAYATEKELEZA - ''LETA HELA HARAKA''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 24

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +6

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @engineertarimo7345
    @engineertarimo7345 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Makonda Mungu akubariki sana. Chapa kazi mkuu, tuko pamoja na wewe

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 3 หลายเดือนก่อน

    Duh masikini mama Tz.
    Hii nchi inatisha,wababaishaji na wezi,ni wengi.

  • @shaabannyoni5450
    @shaabannyoni5450 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera Makonda!

  • @SamweliMolle-ex4ew
    @SamweliMolle-ex4ew 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda ogera San na kazi unayo fanya

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda oyeee Mungu akubarik kwa kutenda haki Akupe umri wa kher na ww tunakuombea hakika unayakomoa ma dudu

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya semeni kazalilishwa raisi Makonda kumwambia mimi si mtani wako piga spana

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 3 หลายเดือนก่อน

    Alafu mnaenda kuomba mikopo china na Korea wkt hela zipo na watu wanazila bure🙄

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 2 หลายเดือนก่อน

    Tunajua tairi ya gari au bodaboda ndo imebasti

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani hawa watu wabaya wameumiza watu sasa kesho hiyo pesa inatoka wapi yaani wanadhambi

  • @michaelmwaiteleke9488
    @michaelmwaiteleke9488 3 หลายเดือนก่อน

    Piga spana mwamba fukuza hao wanaiba sana hela za wananchi.pigaaaa spana

  • @KalukulaEssah
    @KalukulaEssah 3 หลายเดือนก่อน

    😊
    P

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 หลายเดือนก่อน

    SUPANA ZIENDELEHE PEMBE ZOTE ARUSHA 😂😂😂😂

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 2 หลายเดือนก่อน

    ,,😂😂😂😂😂 eti kubasti puuui

  • @drlukwaro
    @drlukwaro 3 หลายเดือนก่อน

    Kupatwa kwa juaaaaa

  • @drlukwaro
    @drlukwaro 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahhah

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda ni mwalimu wa viongozi wa Tanzania viongozi mjifunze kupitia kwake

  • @adolpheaoci5706
    @adolpheaoci5706 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nina rudi tena kuhangalia tena nwes za Tanzania .
    Nili hacha kwa muda baada ya Rais Magufuli kufa na Paul Makonda kuondoka kwa muda .
    Hivi nina fuata habari mpaka usiku

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 3 หลายเดือนก่อน +4

    safi sana

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda tumbuwa madudu komesha wezi waache kudhalilisha wananchi

  • @MdAr-q7i
    @MdAr-q7i 3 หลายเดือนก่อน

    baba wa pambanie wana nchii usikate taama kazi kazibaba

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 3 หลายเดือนก่อน

    Kujibu maswali ni kazi ngumu kweli kweli! hasa kama kuna jambo unataka kulificha na halifichiki
    ni kama "PEMBE LA NG'OMBE"

  • @AthumanAlly-cu6tt
    @AthumanAlly-cu6tt 3 หลายเดือนก่อน

    Daaaah