ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
Eunice Ferdinard - Twakuamini Yesu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
- Yeremia 32:27
Nguvu na Uweza wa MUNGU katika mengi aliofanya, lakini pia Uaminifu wake katika kulitimiza Neno lake unatupa ujasiri wa kumuamini YEYE katika mambo yetu yote.
Video editing and capturing:- @stenystudios
Audio Production and Mixing:- @justinrider155
Music director:- @justinerider155
Brass:-@ johnntete
Solo and rhythme :- @josiah_joxfox
Drums:- @Ibrahim_m_mwakisole
Bass:- @amos_bevin
Back Vocals:- VLC PRAISE TEAM
Sijutii MB zangu leo kuingia TH-cam. Ningeusikia lini huu ujumbe kwenye vocal kali kama hii? Kazi kubwaaaaaa sana..... Mungu akubariki.🎉🎉🎉🎉
@@fanuelmduma9296 ubarikiwe zaidi Mtu wa MUNGU.
Glory to God for the amazing song. My first time to come across the song and to know you
@@rachelnyangasi7404 Glory to GOD indeed. Thank you so much, ubarikiwe
Wooooooow that's my baby sisy. Tunamtukuza Mungu kwa hatua hii❤❤❤
@@miriamsima4009 hallelujah!...
Agape love nilifall in love with lkn hii am obsessed with it
Na wewe Miriam hiwa unaimba nakujua
Uko wapi mbona haukuja siku yenyewe
Hongera sana Eunice, Mungu aendelea kukutumia kwa viwango vya juu zaidi
Ameen...jina la BWANA litukuzwe
Mara chache sana Kuangalia Nyimbo Zaidi ya mara moja online humu YuuTube but u made it. Congrtultion Eunice umeenda next level. Best pitch, tempo and Nice vocal kuanzia kwa backup vocalist wao mpk wewe mwenyewe, mmeelewana sana, music system, dram and stage controling is so spiritual.
Unasali kanisa gani?
@@fanuelmduma9296 utukufu umrudie MUNGU peke yake, nashukuru sana🙏
Bwana apewe sifa,, Eunice umejua kumtukuza Mungu wa miungu,, Naye atakufanya ukawe miali ya moto kwenye huduma yake,, barikiwa sana 🙌🙏
Ameen... Na Jina Lake lizidi kitukuzwa🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa na kazi hii njema
Utukufu kwa YESU. Uzidi kubarikiwa my dear🙏
Hakuna neno gumu asiliweza Bwana....ubarikiwe dada Ang your born to shine
Ni kweli...Amen 🙏🙏ubariwe zaidi
Ubarikiwe kwa Wimbo mzur Utukufu kwa Mungu
@@rwizadiocles haleluya!
Eunice hapa buhongwa Kuna wadada wameuelewa sana wimbo huu
Wooow! Nimefurahi sana., Jina la YESU litukuzwe
Hakika anaweza yote Yesu, hakuna jambo gumu kwake🙌🙌🙌🙌
Utukufu ni kwake tu🙌
hakika MUNGU wa miungu hashindwi na kitu yeyote 💯🙏 balikiwa zaidi mtumishi
Ameeen, jina la BWANA litukuzwe
Ameeeen🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wow Glory be to the most High🙏🏾🙏🏾
@@luciusdeogratias5519 hallelujah!...
Hongera sana my beautiful angel baby sis nyimbo hii imeniinua Tena Kwa mara nyingine
Utukufu kwa YESU. And thank you sisy
Hongera sana Mwinga ,Mungu azidi kukuinua na kuoanua mipaka yako..GOOD song.
Utukufu kwa YESU. Nashukuru sana🙏
Glory Be To The Most High God
Mungu awabariki sana
Wimbo mzuri sana na una uponyaji ndani
Yesu Twakuamini🙏🏻
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe
May God bless you abundantly
@@innocentnnko2292 ameen
Ameen. May God bless you abundantly
Ameen. Be blessed too🙏🙏
Mungu awabariki sana ❤️💯👍
Ameeen...ubarikiwe pia
Ameen.. ubarikiwe pia
Hashindwi na lolote... Barikiwa sana
Ameen ni kweli🙏🙏🙏
SAFI SANA KEEP UP NA MUNGU APOKEE UTUKUFU
Haleluyah!🙏🙏🙏
Kaz nzuri hongera sana mtumishi Mungu akuinue zaid na zaid
Ameen.. Jina YESU litukuzwe, shukran🙏🙏
Hongera Saana Rafiki Yangu❤
Utukufu kwa MUNGU. Asante sana rafiki yana❤
Congratulations my sister
@@goldie173 glory to GOD
May GOD Bless you more Minister Eunice Gather with your team 🙏🙏
Amen.. Be blessed pia🙏
I was just randomly scrolling and i found this beautiful song.. safi sana mdogo wangu. Big up👍❤
Ooh.. Glory to JESUS. Thank you so much
Woooow hongeraa 🎉🎉🎉
YESU azidi kuinuliwa zaid🙏🙏
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ wimbo mzur sana
@@davidsabaya9362 jina la BWANA libarikiwe
Be blessed Eunice
Amen 🙏be blessed too
You bless my heart,so nice
Glory to the living GOD. Thank you
Mungu awatunze Kwa utukufu wake mwenyewe
Haleluya🙇♂️🙏
Wadau wa instruments ❤❤❤
Utukufu kwa YESU🙏.
First time coming across you and am blessed 😊more grace beloved daughter of the most High 🙏
Glory to GOD.. May his blessing be upon you too❤
Same to me
Backup wako vizuri sana big up sana. Kazi nzuri imenibariki
Jina la BWANA YESU litukuzwe. Shukrani sana
It's a great work dada Eunice ❤,keep up the good work. I'm proud of you sanaaa tuu🎉🎉🎉🎉
@@esthertimothy...4044 jina la BWANA libarikiwe. Asante mdogo wangu
@@EuniceFerdinand AMEN KUBWAA
Nimebarikiwa na wimbo huu
YESU azidi kutukuzwa🙏
Amen.
Wimbo mzuri eunie🫶🏽
Giiirl thank you.❤❤❤
Glory to JESUS
Perfect ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
Utukufu kwa YESU
❤❤❤❤
❤❤❤❤
Wimbo mzuri🎉🎉🎉
Jina la YESU litukuzwe. Shukrani
🎉🎉🎉🎉🎉🎉mung awabariki xnaaa❤❤❤
@@RobertWalter-c8o aameeen🙏🙏
Glory to God❤🙌
Ameen
Hallelujah 🙏
Ameen🙏
Hongera sana mdogoangu
@@esteriabaturulimi3149 jina la BWANA libarikiwe
✍️✍️✍️✍️✍️ 👊👊👊👊
Glory to the living GOD😊
Hongera kwa kazi njema madam, Mungu aikuze na kuieneza kote ulimwenguni. Lakini je, wewe upo kwenye team ya essence of worship au nakufananisha??
Jina la Bwana litukuzwe. Sio mimi rafiki umenifananisha
So powerful song, more grace team, may God shift you to higher heights in Jesus name 🙏
Ameen.. to GOD be the glory
@@EuniceFerdinand Amen and amen, keep going....