Shout out to all Kenyans who love Aic. Chang'ombe . Tunawapenda sana Jamani . Kazi nzuri sana . Mungu awapandishe viwango juu Tena zaidi .... Mwapendeza... Likes za Wakenya ziko wapi? Leteni hapa...
Sasa sisi wengine tusiowajua majina yao tuna comment wapi?? Naomba kujua kuna dada huyo mrefu mweusi anaevaa miwani anaitwa nani huyo nabarikiwa sana nyimbo akiimba yeye
I used to listen to servant of God back in 2008 .. Nyimbo kama... Kuna mamba kivukoni, na dada wengine hapo. Happy to see her❤ much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
Nyie huu wimbo unautulivu flani ivi afu unauwepo wake wandani yani hauna kelele ujumbe umetulia❤ hongereni sana utukufu ni kwa MUNGU mwenyewe atusaidie utulivu ili tuweze kusikia ROHO akisema nasi.
Mpendwa wewe huwa unasikiliza kama kazi ya Mungu au wewe kazi yako kukosoa tu vya mwilini? Be positive sisi hatuko kujionyesha au kushindana na mtu bali kumtukuza KRISTO aliye ndani yetu haijalishi wimbo ukoje kwa wanadamu lakini mioyo yetu inamwinua KRISTO.
@rachelsenni hapana sisi wengine sio AIC lakini mlitugusa kwa style ile ya nyuma leo mmeturudisha relini ndio kristo tunamtukuza lakini hii ni kazi ya sanaa pia..ule u south Africa hapana kwa kweli hapa ndio CVC ilipo
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu . Ni wimbo wa nyakati...kumsikiliza ROHO WA MUNGU NA KUACHILIA KILA KITU. Mungu akawape kuvuna watumishi wa Mungu. Kazi yenu sii BURE!❤❤🎉
SANA,ila bado nalia na anayewarecodia live,sauti na picha bado haipo sawa,natamani wajifunze zaidi Kwa NEEMA gospel kwaya ,maana live recording zao zipo clear sana.
Kazi nzuri wapendwa na waimbaji wa kiwango cha juu. Mungu na awatende makuu hata zaidi ya msivyodhani. Natamani tu siku moja niabudu katika hili kanisa pamoja na hawa waimbaji, tumtukuze mungu wetu, baba yetu, kwa nyimbo zenye upako namna hii.
Hapo sasa.Uimbaji wa utaribu poa sana.Unyororo wa mziki inapenye pole pole hadi mshiba wa damu.Endeleeni hivo ndugu wapendwa. Mungu na awabariki na neema yake.
Shout out to all Kenyans who love Aic. Chang'ombe . Tunawapenda sana Jamani . Kazi nzuri sana . Mungu awapandishe viwango juu Tena zaidi .... Mwapendeza... Likes za Wakenya ziko wapi? Leteni hapa...
❤❤❤
Lovely song 🎵 #loved this choir from their first song... May God bless you Chang'ombe choir..
Amen. Tunawashukuru sana na tunawapenda pia. Tunaamini mnatuombea
Mmi nawapenda sanaaa Kwanza huyu solo huwa namfatilia kwa sauti yake hope polepole nitamfikia tuu
wimbo mzuri sana
Tunabarikiwa toka Kenya
Leo mimi naona likes za kutoka kwa Lydia kashimba
Huyo ni mtu na nusu kaka aisee usije ukamsahau dada bahati kweny backup
huyu mwimbaji nampenda hv ni msukuma
Ila mie napenda dada Magreth magenda, aliye na sauti kuu ya kumtoa nyoka pangoni.
Sasa sisi wengine tusiowajua majina yao tuna comment wapi??
Naomba kujua kuna dada huyo mrefu mweusi anaevaa miwani anaitwa nani huyo nabarikiwa sana nyimbo akiimba yeye
Tujumuike hapa kuwapa likes watu wa trumpets, saxaphone🎷🎺🎺
Lidya wangu bado yupo kweny chart Bado wamoto kbsaaa ❤
mwalimu Magullu hongera sana Mungu akutunze Kazizako zinaishi Popote ulipo ninazawadi yako
This is AICT CHANG'OMBE that we have been knowing. Asanteni na mbarikiwe kwa wimbo huu wenye mguso wa aina yake na ladha ileee ya CVC 🔥🔥🔥
Hongera sana my beautiful brother wife
Amen
Hongereni CVC,Hongera dada Lydia bado wa moto haswaaa,Mungu aendelee kukuinua
Kwa kweli Twafaa kumasikiliza Mungu kila wakati. Mungu azidi kuwainua na kuzidisha neema.
Lydia kashimba huwa unaupako sana unaimba kwa hisia kali sana#MSIKILIZE ROHO#❤❤❤❤
Nyimbo ya rohoni sana❤ mbarikiwe sana
Napenda sana sana,wimbo mzuri san nimeupenda sana sana,,nauona na kuusikia utulivu katika wanamuziki na waimbaji
Yes,kumsikiliza Roho mtakatifu ndiyo habari ya maana sana.
I used to listen to servant of God back in 2008 .. Nyimbo kama... Kuna mamba kivukoni, na dada wengine hapo. Happy to see her❤ much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
Nimeirudia mara nyingi🙌🙌
🎉🎉🎉🎉...kali sana...yaani kwa kieango kingine
Lidyaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana CVC, mmeanza kurejea kwenye Brand yenu. Hii ndo CVC tuliyoizoea
Hakika siri ni kumsikiliza roho.. Nimezidi kubarikiwa. Amina Hallelujah.
Tumsikilize roho🙏🔥
Wale wamama wengine wawili bado! atleast sasa moyo umesuuzika kumwona Lidya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Glory to God🙏🙏🙏Mungu awazidishe!!!!!,Twawapenda
What a sweet song..... Soloist Mayank nao wajitahidi utulivu.... Wajifunze kupitia wimbo huu
Hongereni sana Kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri pia mwenyezi mungu azidi kuwainua
Roho mtakatifu ni muhimu kumsikiliza
❤❤❤ msikilizee rohoo🎉🎉
Hongereni sana team
Wimbo mzuri na ujumbe wenye nguvu mno
Mbarikiwe sana 🎉❤
Mungu awainue huduma ifike mbali mbali mno. Na kila anayesikiliza akamwone Mungu kwa ukubwa.
Tunaendelea kula baraka❤
Hii ndio chang'ombe yetu hizo zingine waachieni wengine I like the tone na favorite singinger wangu da Lidia ukweli unasehemu Yako peponi❤❤❤
Aisee wimbo ni mzuri sana,utulivu wa hali ya juu sana, hongereni sana na Mungu awabariki
Watu wa miliki ya mung❤❤
Hongereni sana watumishi Mungu awainue sana
Mama yetu soteee....nlikua nauliz album mzim mama hayupoooooo
❤❤Ameen zidi kuinuliwa
Amina mzidi kufanya kazi mzuri ya mungu
Mungu awabariki, mmeimba vizuri sana
A.I.C Chang'ombe kazi nzuri sana, hongerah muno Mungu awalinde
asante kwa kaz nzuri tunaendelea kubarikiwa
Mbarikiwe watumishi wa Mungu.
🇰🇪🇰🇪 from Kenya ,loving it❤❤
Tupo teyari kupokea ujumbe wa Mungu na wapenda sana calvin kutok buzuruga mwanza T.J
Naona wamesikia vilio vyetu Mungu awabariki sanaa
Wale wamama watatu, watatu Dio uyo sasa😂
😂😂😂@@tomkyalo1107
Tuzidi kumsikiliza MUNGU
Nyie huu wimbo unautulivu flani ivi afu unauwepo wake wandani yani hauna kelele ujumbe umetulia❤ hongereni sana utukufu ni kwa MUNGU mwenyewe atusaidie utulivu ili tuweze kusikia ROHO akisema nasi.
Amen. Thank you Changombe. My Wait has come to an end.
The Spirit of God leads, let's listen to Him.
Great song.
Kenya listening 🎉🎉🎉❤
Ema sax Rapha , Nestory Bass, Jeremiah solo nawakubali sana yuko wap Steve jamanii
Lydia uko vizuri sana
Bora mlivyorudi kwenye mfumo wenu,
Mungu atukuzwe.
Kabisa, hii ndo tunayoijua. Naunga mkono hoja
Mpendwa wewe huwa unasikiliza kama kazi ya Mungu au wewe kazi yako kukosoa tu vya mwilini? Be positive sisi hatuko kujionyesha au kushindana na mtu bali kumtukuza KRISTO aliye ndani yetu haijalishi wimbo ukoje kwa wanadamu lakini mioyo yetu inamwinua KRISTO.
@rachelsenni hapana sisi wengine sio AIC lakini mlitugusa kwa style ile ya nyuma leo mmeturudisha relini ndio kristo tunamtukuza lakini hii ni kazi ya sanaa pia..ule u south Africa hapana kwa kweli hapa ndio CVC ilipo
Nakupenda sana Lyidia una upako sana ukiimba
Mbarikiwe sana yan mnanibariki sana
Mbarikiwe. na Mungu azidi kuwainua
This is the Changombe I know. Asante kurudisha standards zenu. Baraka tele
Hongera 🎉❤
Kwaya zote zimejiboresha sanaaa
Sitaacha kuwasikiliza wapendwa nawapenda saaaaana
Wimbo mzuri sana muziki pia mzuri wa viwangi vya juu, ila video haivutii kuangalia kabisa
Mimi napenda hiio AIC Chang,ombe kutoka Tanzania.
Pokea sifa na utukufu BWANA Yesu KRISTO
Mbarikiwe sana wapedws
This is CVC which I knew since I was young,much congrats,glory be to God
Mbarikiwe sana wapendwa kwa nyimbo zenye upako Kila wakati,!❤ nawapenda mno🙏🙏
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu .
Ni wimbo wa nyakati...kumsikiliza ROHO WA MUNGU NA KUACHILIA KILA KITU.
Mungu akawape kuvuna watumishi wa Mungu.
Kazi yenu sii BURE!❤❤🎉
Woow MUNGU awabariki sana ❤
Mungu awa bariki kwa kazi zuri sanaaa
We wanted to hear a choir sing for once and here you're ❤❤❤
Ongereni kwa kujitolea kumtumikia mungu kupitia kwa uimbaji.❤❤
Hii ni kali sana.
Hakika hawa Watumishi wanapiga kazi tunawaombea songeni mbele na tunawapenda uimbaji wetu mm ninaukubali kabisa mbarikiwe
SANA,ila bado nalia na anayewarecodia live,sauti na picha bado haipo sawa,natamani wajifunze zaidi Kwa NEEMA gospel kwaya ,maana live recording zao zipo clear sana.
Wimbo mzuri sana sana na umepangika kuanzia music sauti
hongela kwaya nzuri suti nzuri maandishi bola ya wimbo kutoka🇷🇼 tuna wapenda❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wow beautiful congrats may the lord bless you for doing his work you are really blessing to me 🙏
Halleluyaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Bonjour les miens je suis vraiment béni par la chanson depuis la République démocratique du Congo c'est votre frère en Christ Étienne Mananu.
Kwaya niipendayo!! Mimi nawakubali sana masolo wangu wa wanguvu ninyi. Nawafuatilia sana wapenzi wangu
Hawa ndio soloists na ambai kamwe hatutaki wabanduke ..Lydia kashimba
Amina cvc nawapenda sana
Uyu mama ni mzuriii , anamapozii kama yoteee❤
Mungu azidi kuwainua
Much love from Kenya. Your songs started blessing me as a Sunday School girl. Mbarikiwe sana❤
Kweli Katika kwaya ya Tz nabarikiwa sana na kwaya hii
Ongera kwa kazi ya Mungu
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA
@@rachelsenni8919 Anastaili sifa
Tulalapo n'a tuamkapo ni nguvu zake
Kazi kubwa sana
Mungu na aendelee kutoa maono ya nyimbo za mfumo huu zinazogusa wakaao duniani na mbinguni 🎉
Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Nyimbo Zenu Nzurii👏👏
Next live. Song tunasubiri wastahili
Hii mipigo ya vyombo ndio ilinifanya nikajua kuwa hawa ni AIC choir hata kama mtu hajasema jina. Ninapenda sana, ninashukuru mmerudi kwenye code yenu.
Bendera ya Yesu juu
Wimbo wa baraka
Neema izidi
Kenya tunawapenda❤
God find favor in you blessed souls for portraying such an imagine of glory❤
That message 🔥🔥
Mungu azidi kuwainua zaidi naipenda sana CVC
Waoo more grace
It has been always Aic Shinyanga and Aic Chang'ombe since my childhood, but AIC Chang'ombe to the top🎉
Glory be to God
Napenda AIC Shinyanga pia, akiwemo dada Magreth magenda ,na sauti kuu iliyonyooka ,na huyo dada akipaza sauti jamani MILIMA inatikisika!
Nawapenda wote ❤
much 🥰🥰🥰from Kenya
Kazi nzuri wapendwa na waimbaji wa kiwango cha juu. Mungu na awatende makuu hata zaidi ya msivyodhani. Natamani tu siku moja niabudu katika hili kanisa pamoja na hawa waimbaji, tumtukuze mungu wetu, baba yetu, kwa nyimbo zenye upako namna hii.
tunawapenda sana nyie nakaz zenu mungu awajalie zaid
Wow this is so lit, bless up guys 🙏
Nabarikiwa sana sana Mungu awabariki nyote
Hapo sasa.Uimbaji wa utaribu poa sana.Unyororo wa mziki inapenye pole pole hadi mshiba wa damu.Endeleeni hivo ndugu wapendwa. Mungu na awabariki na neema yake.
Tusikilize roho wa Mungu 🙏
Asantee munguwangu
Be blessed & may God enlarge your territories.
Lydia nilikumis saaana❤❤