Mbunifu wa chanzo kipya cha nishati awaduwaza TANESCO/Umeme wa sumaku

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 120

  • @LambertKyakwe
    @LambertKyakwe 8 หลายเดือนก่อน +1

    Awezweshe. Selekali nsaidieni anaweza. Mungu n mwema

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 3 ปีที่แล้ว +14

    Ubunifu hapa ni wa source of motion zaidi kuliko ubunifu wa kufua umeme. Alternator ya gari inafua umeme ila ni mpaka izungushwe. Kwahiyo kitendawili kinakuwa itazungushwaje, na maji au upepo au engine ya diesel/ petrol? Hapo ndo penye gharama. Kwahiyo kama mzee amebuni mpangilio wa sumaku ambao unatoa renewable mechanical energy huo ndo ubunifu. Hongera zake

  • @epafrangweshemi4014
    @epafrangweshemi4014 3 ปีที่แล้ว +7

    Hawa kina "Msuya" ndio wanatakiwa kipindi hiki. Anaesema rahisi sana eti, unagoogle tu simpendi. Ni sawa na kusema elimu au habari fulani haina impact eti kwa kuwa unaelewa inawezapatikana katika kitabu fulani.
    Tabia ya watanzania kudharauliana haifai kwa sasa. Unaambiwa huyu ana muda wa miaka minane anafanya eneo hilo halafu mtu unasema kitu rahisi!
    Acha hizo, mtie nguvu mtanzania mwenzio anapofanya kitu chema na chenye tija kwa jamii na nchi kwa ujumla.
    Hongera sana uongozi wa wizara kuonyesha kujali na kumsapoti Msuya.

    • @azizirubelwa2992
      @azizirubelwa2992 3 ปีที่แล้ว

      Umeongea kweli

    • @wilfredkuyonza2151
      @wilfredkuyonza2151 ปีที่แล้ว +1

      Huyu Msuya ni muongo na tapeli mkubwa mimi keshanitapeli na ana kesi kibao za kuwatapeli watu hana hiyo nishati ni muongo kaeni nae mbali

    • @solobennymwanshinga6714
      @solobennymwanshinga6714 หลายเดือนก่อน

      Huu ni utapeli wa kiwango cha juu sana, mtu anayeelewa nini maana ya nishati hawezi pambana na huu upuuzi

  • @luqmanhussein5551
    @luqmanhussein5551 8 หลายเดือนก่อน

    Mnangoja nin wazeee muwezesheni mzee msuya awe chachu ktk ukuwaji wa nishati mbadala watanzania tumeteseka sana 🤝 hao wavaa makoti janja janja tu

  • @williamgregori8776
    @williamgregori8776 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anatumia concept ya Simple harmonic motion of magnets, ambapo ukidisplace sumaku ya katikati on one side and release it, It executes SHM, but according to the fundamental laws of energy, this oscillation decreases with time, should eventually stops after some times due to damping forces. Kwahiyo kama hiyo ndio concept basi hiyo generator itaweza kuzalisha umeme kwa muda tu, haiwezi run infinitly. Muda wankustop unategemea ukubwa wa friction and air resistance forces. So huyu mzee angeeleza ameitumia kwa muda gani na changamoto ya hiyo system ni ipi

    • @edustudiotz3879
      @edustudiotz3879 8 หลายเดือนก่อน

      “Maarifa na Ujuzi”, amefanyaje hapo? Sote tunajiuliza. Waliojaza nadharia kichwani wanatoka nje wakijiita 'wabobevu', magwiji wa kusimulia matunda ya maarifa (yani teknolojia). Wameshikwa na wivu, hawawezi tafsiri kwa haki ubunifu wa mteknolojia huyu.
      Sayansi ni maarifa, na maarifa yaliyotafsiriwa kimatendo ili kuundo chombo cha kumwondolea kero mwanadamu na kuongeza tija katika maisha huitwa teknolojia. Kuna njia kadha wa kadha za kutafsiri maarifa na hakuna njia ambayo haina mapungufu, ila ni suala la zama; kwamba katika zama husika mapungufu tajwa ni kitu cha kuzingatia au lah! Na mapungufu hayo ni 'mwanya' kwa mtu mwingine, na ndio maana tafiti zipo. Tafiti zipo ili kupima mawazo yaliyopo, kuingiza mapya inapobidi, n.k, ili kuwa faa watu wa jamii ile katika zama zao.
      Watu wa mishahara wwmejawa 'inda' , uchambuzi wao unaathiriwa na inda kama ambavyo chembe chanya isivyo weza kupita kwenye uga sumaku pasi kuyumbishwa.
      Hongera mzee, 'mnadharia na mtendaji' mpaka wa elewane lazima wote wawe na sura mbili zote (sifa zote), yani wawili katika mmoja.

    • @solobennymwanshinga6714
      @solobennymwanshinga6714 หลายเดือนก่อน

      Huu ni upuuzi anaousema, na haujaanza leo na hauta isha leo, kabla ya newton watu wengi walipambana kutengeneza nishati, na matokeo yao yalikuwa ni yaleyale yaani walitwanga maji kwenye kinu, ndio newton alikuja kutegua kitenda wili hiki, katika utafiti wake akagundua ya kuwa neshati ni kitu asilia huwezi kukitengeneza na wala huwezi kukiteketeza bali unaweza tu kuihamisha kutoka mfumo mmoja na kwenda mfumo mwingine, mfano radio inabadili umeme kuwa sauti na mike inabadili mawimbi ya sauti (hii ni nishati iliyo katika mfumo wa sauti) na kuwa umeme, injini ya gari inabadili nishati iliyoko kwenye mafuta na kuwa kinetic [mwendo] nishati. Na kama huamini hili mtafute mzee huyo akuuzie huo upuuzi naita upuuzi kwa sababu hakuna kitu kama hicho ukinunua utakuwa umetupa pesa yako. Mnasema tumekariri notes lkn huo ndo ukweli, hata mimi kipindi sijaielewa vizuri hii nadharia ya nishati nilishajaribu kutengeneza mashine ya namna hyo. Huyo mzee atawapiga hela mpaka mchakae

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 ปีที่แล้ว

    Mzee kweni Engineer amejieleza vizuri sana Huyo mvumbuzi endeleeni kumtunza atafika mbali na mumuwezeshe hata kama hatafaulu kwahicho alichokifanya Sasa mpatieni nyenzo na suport ya pesa ili ajiendeleze anaweza fanya mambo mazuri zaidi

  • @bejoytv2702
    @bejoytv2702 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana,tafuteni hizi hazina mziendeleze,Yani angekuwa China hapo soon wangekuja na mapinduzi makubwa

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 3 ปีที่แล้ว +3

    Mola amzidishie!

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 3 ปีที่แล้ว +10

    Fanyeni haraka msaidieni patent Kabla wajanja hawaja reverse engineering, hii idea sio ngeni ila voltage ni ndogo ila huyu bwana ana configuration ambyo ni unique hapo ndo ndo pa ku patent

  • @barakadugange3234
    @barakadugange3234 3 ปีที่แล้ว

    Wa Africa kwa ujumla Nina imani kuwa tunaweza kufanya au kuvumbua vitu Vingi Sana vyenye tija kwenye bara letu Kama viongozi wetu watakuwa tayari kuwekeza kwa wavumbuzi na wabunifu Wa maswala mbalimbali africa

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 3 ปีที่แล้ว +3

    Umeme wa kimyakimya safi sana

  • @RojasiMsuya
    @RojasiMsuya 8 หลายเดือนก่อน

    Uwezo anao
    Japo anasema hajasoma
    Lakini ukimsikiliza vzr utagundua ni mtaalam na ana uelewa wa kiwango cha juu na ndio maana hata hiyo timu ya wataalam wameunga mkono na kumsaidia

  • @eliamwaisoba6537
    @eliamwaisoba6537 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mawasiliano yake nimeipenda hiyo

  • @tiktokx2064
    @tiktokx2064 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa manufaa ya taifa, hii teknolojia isingewekwa hadharani hadi imefanyiwa utafiti, majaribio na uzalishaji mkubwa. Baadae ingekuwa ni faida kwa mvumbuzi na kulinda haki yake ulimwenguni kote kama muanzilishi.

  • @gabrieldenicc4502
    @gabrieldenicc4502 3 ปีที่แล้ว +2

    Iyo ni elimu nyingine sio mpaka upate cheti baba tunza sana kwenye vitabu itawasaidia wengi watakao itaji kujua

  • @mohamedkazema6381
    @mohamedkazema6381 3 ปีที่แล้ว

    Hicho kitu kinaitwa: free energy source using permanent magnets, ni kwa namna gani amepanga hizo magnets hiyo inatakiwa iwe siri yake au apewe patent na kama ikibidi auze hiyo patent kwa faida ya ubunifu wake, anatakiwa awe muangalifu sana asije kutoa siri za ndani kabisa za huo ubunifu wake kabla hajapewa patent.

  • @gynae8407
    @gynae8407 3 ปีที่แล้ว +6

    Ingelikua ni mzungu angetangazwa kama mwana sayansi wa karne ya 21. Ila bongo! Hakunaga

    • @thegreat.9869
      @thegreat.9869 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @alexcosmas430
      @alexcosmas430 3 ปีที่แล้ว +1

      Tupeni namba zake bas

    • @francismhoja8151
      @francismhoja8151 2 ปีที่แล้ว

      @@alexcosmas430 namba ya huyu Mzee mlizipata nipe na mimi

  • @ibnually7648
    @ibnually7648 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm nimeukubali ubunifu wake wakati keshafanya majabibio unafanya kazi
    Mm naamini panahitaji maboresho tu hapo

  • @pronettv3403
    @pronettv3403 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee angepeleka tekinolojia yake kwenye nchi. Nyingiine angeelleweka

  • @harmonize9766
    @harmonize9766 3 ปีที่แล้ว

    Tunaahitaji kumpa support mzee huyu ....naomba number yake .......Bravo from kenya

    • @Michael-rr3gc
      @Michael-rr3gc 17 วันที่ผ่านมา

      Vp ume pata namba yake

  • @manritch3029
    @manritch3029 2 ปีที่แล้ว

    Kwani uyu mbunifu hna sim

  • @everlastingtreasure
    @everlastingtreasure 2 หลายเดือนก่อน

    Naombeni namba za simu za huyu aliyevumbua umeme wa sumaku.

  • @isackurasa929
    @isackurasa929 ปีที่แล้ว

    Je ninaweza pata namba za simu za mzee Msuya

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 ปีที่แล้ว

    Hongerasn mzee..ila nyie mlofika msije mkampindua hyo mzee maana tunawajuweni mwisho hata kumtambua hamtamtambuatn..wala kunufaika na ujuziwake..

  • @williamgregori8776
    @williamgregori8776 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah, naona Kama laws of energy conservation is disobeyed

    • @storyfied_channel
      @storyfied_channel 3 ปีที่แล้ว

      Haja_disobey... The law of conservation of energy states that energy can neither be created nor destroyed - only converted from one form of energy to another. Jamaa kafanya kugeuza energy iliyopo kwenye sumaku kutengeneza umeme.

    • @stonikyando6124
      @stonikyando6124 3 ปีที่แล้ว

      @@storyfied_channel energy iliyopo kwenye sumaku inaitwaje😳😳

    • @issackjoseph6436
      @issackjoseph6436 3 ปีที่แล้ว

      @@stonikyando6124 rudi kwenye roja kaguse tism

    • @slainhood646
      @slainhood646 3 ปีที่แล้ว

      @@stonikyando6124 magnetic energy

    • @crausmasala8572
      @crausmasala8572 3 ปีที่แล้ว

      Jamaa tism imelala kabisa sio poa

  • @stephenking3602
    @stephenking3602 ปีที่แล้ว

    Haya kama ninyi viongozi Si wapiga Dil Huyo Mzee yu wapi leo? Nilijua tu mtampotezea ilai mtengeneze madhingira ya upigaji kuendelea... We sumaku tu kuwasha umeme haitumii mafuta wala nini,,, hapo mkiangalia pa kupigia hela hakuna duh hamuwezi kumpa nafasi Ni nipo!

  • @matukimerchant5170
    @matukimerchant5170 ปีที่แล้ว

    Habari! Ni Kwa namna gani ninaweza kupata namba za huyu mbunifu Mzee msuya?

  • @gwargwemwanga322
    @gwargwemwanga322 3 ปีที่แล้ว

    Naibu waziri uliingizwa chaka. Rogers Msuya ni tapeli hatari.

  • @ZaiduRashidi
    @ZaiduRashidi 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nakuitaji naomba nambazako au ntakupataje

  • @mkoma49
    @mkoma49 11 หลายเดือนก่อน

    Yani mtu wa tanesco hujui Magnet inazalisha umeme, ni aibu hii kwaio mechanism ya dynamoo

  • @YuvencePatrice-w8h
    @YuvencePatrice-w8h ปีที่แล้ว

    Kwan huy mzee anaishi wapi

  • @JustusKiprop-f8z
    @JustusKiprop-f8z 15 วันที่ผ่านมา

    jastas kiprop nigetaka iyo umeme

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkiitwa wafrika masokwe mnabisha. Sasa mna subir nn kumuwezesha, tafiti ziendelee kisha matokeo yaingie kwenye mitaala ya elimu yetu?au ndio kwa sababu haipo kwenye vtabu vya watu weupe? Achen huo utumwa wa fikra.mnapaswa kuishin kwa utash wa kibinaadam.

  • @mikebaltazar2402
    @mikebaltazar2402 3 ปีที่แล้ว +2

    Miaka mingapi mbona mzee wa siku njingi mpaka leo ajatoka huyu mzee anatakiwa kuw biliionea

  • @mashapromise3364
    @mashapromise3364 ปีที่แล้ว

    Apewe sapoti

  • @manritch3029
    @manritch3029 2 ปีที่แล้ว

    Niko kwa gza

  • @manritch3029
    @manritch3029 2 ปีที่แล้ว

    Mwenye no yke namuomba plss

  • @husseinshija035
    @husseinshija035 3 ปีที่แล้ว

    Naombeni mnipatie namba yake ya simu niweze kuwasiliana nae, mwenye mawasiliano yake bwana msuya

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 3 ปีที่แล้ว +3

    WANAMCHORA TU, TATIZO MPAKA WASHINIKIZWE NDIO WAFANYE

  • @deniceurio819
    @deniceurio819 6 หลายเดือนก่อน

    Nampataje huyu mzee serekali inachukulia poa lkn huyu anahitajika kumove mbele zaid

  • @eliasmmari1480
    @eliasmmari1480 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba za sim za huyu mzee ama mawasiliano yake tafadhali

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 ปีที่แล้ว +2

    Nahitaji kwa ajili ya taa nje na banda za kuku

  • @augustinopanga9622
    @augustinopanga9622 3 ปีที่แล้ว +2

    Nahisi watachukua Technology yake mwisho watamwambia hujasoma we kaa home

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 3 ปีที่แล้ว

      Anahitaji awe na mwanasheria kumlindia haki miliki zake za ubunifu

  • @ZaiduRashidi
    @ZaiduRashidi 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mawasiliano yake

  • @ramazubery2641
    @ramazubery2641 3 ปีที่แล้ว

    Iyo yasumaku rahisi Sana nisumaku mota

  • @mcgoodluckeventz2175
    @mcgoodluckeventz2175 3 ปีที่แล้ว

    Serikali yetu isimame naye kuhakikisha anafakisha ndoto zake. Impe support

  • @majutorajabu7509
    @majutorajabu7509 3 ปีที่แล้ว +4

    Tupeni namba zake za simu tumtafute

  • @afratrad7214
    @afratrad7214 ปีที่แล้ว

    Hello naomba msaada wa namba ya huyu jamaaa

  • @TumsifKileo
    @TumsifKileo ปีที่แล้ว

    Mawasiliano tunapataje

  • @yuvencepatrice792
    @yuvencepatrice792 ปีที่แล้ว

    Kwani yupp mkoa gan huyo mzee?

  • @springhareadventuretourstv7282
    @springhareadventuretourstv7282 3 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo bongo roho mbaya tuu,subirieni kama watamtangaza nakumpitisha ili serikali iingize pato kutoka nje ya nchi.

  • @tembomlawa2065
    @tembomlawa2065 3 ปีที่แล้ว

    Hiki ndo kipaji kikubwa mpeni nafasi ili kipaji kienderee

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yake jamani anae mjua

  • @asserimsechu7872
    @asserimsechu7872 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama kweli huyo mtaalamu was tanesko ana shangaa basi tuna shida kubwa sana

    • @asserimsechu7872
      @asserimsechu7872 3 ปีที่แล้ว

      Yani magnet kutengeneza umeme anashangaa??? Tuna shida sana

  • @muddymkamba352
    @muddymkamba352 3 ปีที่แล้ว

    Magnetic levitation principle

  • @thegreat.9869
    @thegreat.9869 3 ปีที่แล้ว

    Tupeni namba zake tafadhali

  • @mlionea
    @mlionea ปีที่แล้ว

    Number yake

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 2 หลายเดือนก่อน

    Yasiwe maneno matupu alafu mwishie tu kuvujisha ubunifu wa mtu

  • @gwargwemwanga322
    @gwargwemwanga322 3 ปีที่แล้ว

    Huyu anayejiita fundi umeme mtambo wa umeme ni tapeli wa kutupwa. Hizo mashine nimefika kwake nimeziona ni geresha tu. Ukifanya kumpa kazi atakutaka ulipie gharama zote. Ukishalipia umeliwa.

  • @erickkihaka4370
    @erickkihaka4370 3 ปีที่แล้ว

    Viongozi wa Tanzania tantalila nyingi kuliko vitendo ni nategemea nipate hiyo mashine asee maana huku kijijini ni shida

  • @barakamwamtenga2448
    @barakamwamtenga2448 3 ปีที่แล้ว

    Kuna viongozi hapo watalipuuza hilo maana wamezoea vya mzungu

  • @johnrobert413
    @johnrobert413 10 หลายเดือนก่อน

    Kawe mzimuni, niwapi,???

  • @sebajseba719
    @sebajseba719 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipeni nabma zake

  • @alextaki5684
    @alextaki5684 3 ปีที่แล้ว

    Ninatumaini serekali ikiwekeza kwa watalam kamahawa tutagundu vingi

  • @jeremienzilamba5080
    @jeremienzilamba5080 2 ปีที่แล้ว

    Hamujambo?

  • @byaombeswedy1674
    @byaombeswedy1674 3 ปีที่แล้ว

    Number zake please,
    Hongera sana kabisa

  • @franciskomatina9731
    @franciskomatina9731 3 ปีที่แล้ว +1

    Serkali ifanye upesi kumsapoti huyu ndg kabla wajanja hawajaiteka teknologia na uvumbuz huu

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee angekuwa Ulaya angekua Billionaire

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ ปีที่แล้ว

    Eti uyu mzee yukwap

  • @hassanabubakar5031
    @hassanabubakar5031 3 ปีที่แล้ว

    Not mirecal it just magnet power

  • @maganjila
    @maganjila 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya huyu mr msuya

  • @evadotv9528
    @evadotv9528 3 ปีที่แล้ว

    kishafanyika sana india tumetumia sana iyo

    • @josephemmanuel3175
      @josephemmanuel3175 3 ปีที่แล้ว

      Acha uongo bhna

    • @pjelectrcian8391
      @pjelectrcian8391 3 ปีที่แล้ว

      Wa tz shida yao ndo hiyo mzee nae anadirik kusema et hakijawah kufanywa na yeyote duniani, hiyo kitu nguvu zake ni ndogo itaishia kuwasha taa tu na vi flat tv redio, coz nguv itakayozalishwa hapo ni ya kuboost na transformer capacitor na diode Kiasi kwamb ukiwasha au ukitumia 24hrs vinaheat sana, seach you tube mtu anayeitwa muamar yildz alitengeneza yake ikaishia kutumika Kama fen

    • @evaristmzinza999
      @evaristmzinza999 3 ปีที่แล้ว

      Mbwembwe

    • @elibarickswai2229
      @elibarickswai2229 3 ปีที่แล้ว

      @@pjelectrcian8391 asee you are right hapo hamna kitu effeciance ndogo mno swali la kujiuliza ni kwanini asiutumie huo mpaka asubirie wa tanesco ukatike

  • @springhareadventuretourstv7282
    @springhareadventuretourstv7282 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba namba yake

  • @fatmamwilafi2627
    @fatmamwilafi2627 3 ปีที่แล้ว +1

    Magnetic reaction hakuna mpya apo ni theory za phisikiatua

    • @zflex2559
      @zflex2559 3 ปีที่แล้ว +1

      tengeneza na ww

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii technologia ni hatari kwa biashara ya mafuta, atazimwa haraka kama mshumaa

    • @ibnually7648
      @ibnually7648 3 ปีที่แล้ว

      Kwan saiv umeme unazalishwa kwa mafuta?

  • @alsonsemoka5019
    @alsonsemoka5019 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ni kichwa

  • @yuvencepatrice792
    @yuvencepatrice792 ปีที่แล้ว

    Wapi ulipo hata tuje tujifunze

  • @dannelly1992
    @dannelly1992 3 ปีที่แล้ว +1

    Ikowezekana awafundishe wengine

  • @evaristmzinza999
    @evaristmzinza999 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna wajinga watamvunja moyo mzee pambana tu. Mungu akusaidie ufikie Marengo

  • @pinnobora4129
    @pinnobora4129 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mbona raisi sana nenda Google utaona tu

  • @justinebahati4704
    @justinebahati4704 3 ปีที่แล้ว

    kuwa mbunifu nijambo moja lakini kuwa mgunduzi ni jambo lingine kabisa huyu mzee hata kwa bongo sio yeye tu aliyewahi kufanya icho kitu kuna huyu mzee na yeye hajivuni kanakwamba ni mgunduzi th-cam.com/video/zXdv_4bDSsI/w-d-xo.html

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 3 ปีที่แล้ว

    Anatoa siri kabula hajatiana mikataba

    • @azizirubelwa2992
      @azizirubelwa2992 3 ปีที่แล้ว +1

      Siri bado hajatoa mkuu bado kuna ma capacitor na ma diode jinsi yanavyoungwa hapo ndio patamu Tanesco wanapenda mitambo iliyokwisha fanyiwa kazi wakapachike tu ndilo tatizo linalotukumba