Big up Milardy habari zako zinakwenda sawa nakichwa cha habari sio kama wale wengine matapeli tu kama timu ayo mupo gonga like yako hapo chap kwa haraka ili twende sawa
kiukweli mippard ayo nimahiri katika habar yaani mtu anaweka kichwa chahabar kingine habari nyengine ila kwako tunapata tunachostahili chakula kizuri toka kwampishi mahir
Hongera sana Millard Ayo kwa kutuletea habari nzuri ambayo inahusu mende maana mimi nilikuwa najua mende ni wadudu wanaoleta magonjwa kumbe ni chakula cha watu hongera sana kwa taarifa nzuri hakika taarifa zako zote ni za ukweli na uhakika.
Daah!! Bro Millard nappreciate sana kazi yako, hujawahi tuangusha hata siku moja aise. Tanzania nzima hakuna reporter kama wewe, kweli wewe umeletwa kwaajili ya watanzania. Tufungulie dunia tuzione fursa sisi ambao hatupati muda wa kutembea maeneo mbalimbali na Mungu atazidi kukubariki brother
Hesabu za daftari hizo, mende 1 tsh 1000, mende 3000= 3 millions! Anza kufuga uone pasuka kichwa yake! Kila kitu kina ugumu wake jamani hamna kitu rahis kikakupa pesa!
Dorcas Mkambeni Bro wewe fanya wachana na wachawi kama mimi! Wabongo tunapenda sana short cuts, wewe una amini soko la mende ni kubwa? Na bei yake 1000? Si kila mtu angefuga mende? Wacha kuwa fala kaka! Siri ya biashara ni siri! Huyo jamaa mwenyewe njaa tupu anaonekana.
Duu! nilijua walewale wanaoandika kichwa cha habari ukianza kuangalia unakuta vilivyomo tofauti na alivyoandika aise kweli we jamaa hubahatishi huyo baba nae yuko vizuri hadi mende kala makubwa
YESU AWEZA KUMFANYA MWENYE DHAMBI KIUMBE KIPYA! Salamu ndugu msomaji! Leo Mungu ametupa neema ya uzima tena, na nimekuletea ujumbe kutoka kwa Mungu, kuwa huna haja ya kujikatia tamaa, huna haja ya kujikinai na kuona kuwa utaishi vyovyote vile na utafanya vyovyote vile, HAPANA! Bado unathamani kwa Mungu, maisha yako yaliyoharibiwa na dhambi, Yesu anao uwezo wa kuyatengeneza tena, anaweza kukufutia dhambi zako zote na kukufanya mpya kabisa, mwenye thamani kabisa, wa maana kabisa mbele za Mungu wetu aliyekuumba. Unalopaswa kufanya ili uwe mpya, ni hili, kumwambia Yesu karibu maishani mwako ili akupe nafasi ya KUTUBU na akupe MSAMAHA wa dhambi zako na hatimaye afute maisha ya machafu ya zamani na akufanye kiumbe kipya kama maneno ya Mungu yasemavyo, “Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama! Yamekuwa mapya” 2 Wakorintho 5:17. Kinachokufanya uwe kiumbe kipya ni kule kumkaribisha Yesu akae ndani yako na wewe ndani yake, soma pia hapa “Mtu (YESU) huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli(wewe) TOBA na MSAMAHA WA DHAMBI” Matendo ya mitume 5:31. Hivyo unaweza kuelewa kuwa hakuna TOBA wala MSAMAHA wa dhambi kwa mwingine isipokuwa ni kwa Yesu peke yake, UNAMHITAJI YESU KATIKA MAISHA YAKO! Mimi kama mjumbe wa Kristo, nakusihi wewe mwenye dhambi, ndiyo wewe mwenye dhambi! Upatanishwe na Kristo uwe kiumbe kipya, ya kale yote yapite, yaani uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo na hatimaye yawepo maisha mapya katika YESU KRISTO! Maana bila hivyo, kamwe hutaingia ufalme wa mbingu wa Mungu! YESU ANAOKOA HATA SASA! Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0676-407-085 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
bro millard nakukubali sana kwa kazi zako ila ushauri tu next time sisi wanaume wa dar habari kama hizi weka kichwa cha habari kuwa mende zinaongeza nguvu za kiume,huyo jamaa atashangaa jinsi kinondoni itakavyokua na wafugaji wengi😂😂😂😂
Mazingira mazuri sn, hongereni sn kwa utunzaji mzuri wa uoto wa asili. Waandishi wa habari wengine tuonyesheni uoto na mazingira ya asili sio kutuonyesha magorofa eti ndo uzuri wa sehemu. Hii itahamasisha watu kutunza mazingira yao na upandaji wa miti. Hongera kwa ufugaji wa mende mzee
Hongera sana kaka habari za uhakika na zenye tija kwajamii sio habari za kina mondi kila kukicha tunahitaji habari kama hizi zenye Fursa kwa Wa Tanzania big up sana pia nakuomba uniunganishe na mzee huyu pls pls help me Mr milad
BIG UP MILARD AYO, CHANEL YAKO NAIKUBALI SANA. NYIGINE BHANA KICHWA CHA HABARI NA STOR YENYEWE HAVIENDANI( hawana taaluma) . SASA MILARD NAOMBA NAMBA ZA HUYO BABA NASI TUANZE KUFUGA. NITUMIE TAFADHALI.
Mungu alitupatia vyakula safi na vyakula najisi shetani amedanganya watu kula kilakitu, nguruwe najisi, sungura najisi, kambare najisi navingine vingi Mambo ya Walawi 11:4-23.
kwa kweli mllard ayo big up munaleta habari nzuri sana watu wengi wanapenda hizi habari za vijijini na za kusisisimua kama hizi saaaaaaaafi sana lakini ungemuambia jamaa akakukaangia japo kama nusu kilo, just kidding.
@@Ali Ali hatariii sana kwa hiyo hayo mavi yanaliwa au yanakaz gani kwa mfano😂😂😂mbona sijakupata vzr nijuze wenda ikawa fursa kwangu maana maisha magum balaa
Big up Milardy habari zako zinakwenda sawa nakichwa cha habari sio kama wale wengine matapeli tu kama timu ayo mupo gonga like yako hapo chap kwa haraka ili twende sawa
Umeona eeh
Jamaa ajajitahid kwakwer
kiukweli mippard ayo nimahiri katika habar yaani mtu anaweka kichwa chahabar kingine habari nyengine ila kwako tunapata tunachostahili chakula kizuri toka kwampishi mahir
Uyo Jamaa anakla men de
I don't regret subscribing to this channel....only good en relevant news...ila naogopa mende mm😃😃..love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Saidah licious 254 nyc. but Usiwe muoga
It's opportunity to this man.
Huyu milad ayo anahabar nzr san hana upumbavu kwenye kaziyake
Tanzani Oman kabisa habar zake nzur na znaukwel
Hongera sana Millard Ayo kwa kutuletea habari nzuri ambayo inahusu mende maana mimi nilikuwa najua mende ni wadudu wanaoleta magonjwa kumbe ni chakula cha watu hongera sana kwa taarifa nzuri hakika taarifa zako zote ni za ukweli na uhakika.
Best blogger in TZ...big up Sana kwa kazi nzuri unayoifanya
Daah!! Bro Millard nappreciate sana kazi yako, hujawahi tuangusha hata siku moja aise. Tanzania nzima hakuna reporter kama wewe, kweli wewe umeletwa kwaajili ya watanzania. Tufungulie dunia tuzione fursa sisi ambao hatupati muda wa kutembea maeneo mbalimbali na Mungu atazidi kukubariki brother
Shukrani sana ndugu yangu John
John Ndahani k
Kweli kabisa brother
@@millardayoTZA Honestly, you are the best katika kuleta habari zenye tija 🙏🙏🙏 naomba namba ya huyo jamaa please
Hizi ndo story za kusisimuwa na zenye manufaa kwa jamii kujuwa dunia inaendaje kitaaluma. Shukran Millard kwa habari nzuri km hizi.
Qqei8
Hongera sana hizo ndizo habari ambazo nahitaji kuskia sio kina super star flani kilasiku habari zao this is good news
Sana sana
şß
Acha umbeya kuma wewee angalia habr unayoelew syo kutajataja star mavi wewe
Hahahaaa
Hongera kaka una habari nzuri hua sichoki kusikiliza habari zako
Ongera sana milard ayo kwa riport big up
Harufu ya mende na jinsi alivyo tu sijui atapitaje mdomoni nitatapika mpaka moyo
Ha ha haaaaaa !!!!!!
Hahahaaaaaa
Jona Mnyone hahahahahahaha umenchosha 😂😂😂😂😂
Hahahahahahah
Jona Mnyone shida ulisha aminishwa uwo ukinyia
Safi sana miladi ayo anakubali kazi zako
Nakukubali sana millard ayo👊 lete vitu
Aliagiza mende toka Kenya?? Duuhhh
Kwangu nimeua wengi sikujua unanunua😂😂😂
Mbavu zangu.n mende😂😂😂😂😂
Da milarde Ayo hakika unaipenda kazi yako hongera
Milard tunamshukuru kwa taarifa mbali mbali kama hizi #👌🙏
Asante xana millard ayo kwa taarifa nzuri..pa1 mfugaji.
Good nice
Hesabu za daftari hizo, mende 1 tsh 1000, mende 3000= 3 millions! Anza kufuga uone pasuka kichwa yake! Kila kitu kina ugumu wake jamani hamna kitu rahis kikakupa pesa!
Dorcas Mkambeni
Bro wewe fanya wachana na wachawi kama mimi! Wabongo tunapenda sana short cuts, wewe una amini soko la mende ni kubwa? Na bei yake 1000? Si kila mtu angefuga mende? Wacha kuwa fala kaka! Siri ya biashara ni siri! Huyo jamaa mwenyewe njaa tupu anaonekana.
Fact.
Aswaa umeongea point
Duu! nilijua walewale wanaoandika kichwa cha habari ukianza kuangalia unakuta vilivyomo tofauti na alivyoandika aise kweli we jamaa hubahatishi huyo baba nae yuko vizuri hadi mende kala makubwa
Good jobs message from USA
Kafanye utafiti wa makweme brother Milan Ayo TV. Kweme ni uchumi mkubwa Sana.
Milard Ayo is top news in East Africa
Bigup sana bro Millard pia hata mfugaji wa mende hongera sana!!
Millard ayo upo vzr kwny hbr zako. .nice hongera
Aliyeona mkono w millard ayo unaogopa mende gnga like twende sawa
Safi sana milard Millard ayo kazi yako ni nzuri Sana'a Mimi wananisumbua kila day nawawekea dawa lakini hawaishi uko WAP millad ayo
Hahaha so funny na ndio mtu anamake pesa jamaa ametoa fursa watu wafuge mende nayo serikali haiko mbali kutoza ushuru wa mende 😂
🤣🤣🤣🤣🤭🤭
We ndugu yangu ulikuwa Brazil,utakuwa umekula mkate wa mende
Nampenda Millard anatoa vitu vya ukweli na uhakika, niwashaur wanahabari wengine wajifunze kwake
Kumbe ndo maana siku hizi sioni mende eeeeeeeee
Hahahha umeone
Kama unawakilisha Kenya kulikotoka mende piga like ☺☺
kama uliamini milad kwa alivyomshika mende ataonja basi gonga like
YESU AWEZA KUMFANYA MWENYE DHAMBI KIUMBE KIPYA!
Salamu ndugu msomaji! Leo Mungu ametupa neema ya uzima tena, na nimekuletea ujumbe kutoka kwa Mungu, kuwa huna haja ya kujikatia tamaa, huna haja ya kujikinai na kuona kuwa utaishi vyovyote vile na utafanya vyovyote vile, HAPANA! Bado unathamani kwa Mungu, maisha yako yaliyoharibiwa na dhambi, Yesu anao uwezo wa kuyatengeneza tena, anaweza kukufutia dhambi zako zote na kukufanya mpya kabisa, mwenye thamani kabisa, wa maana kabisa mbele za Mungu wetu aliyekuumba. Unalopaswa kufanya ili uwe mpya, ni hili, kumwambia Yesu karibu maishani mwako ili akupe nafasi ya KUTUBU na akupe MSAMAHA wa dhambi zako na hatimaye afute maisha ya machafu ya zamani na akufanye kiumbe kipya kama maneno ya Mungu yasemavyo, “Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama! Yamekuwa mapya” 2 Wakorintho 5:17. Kinachokufanya uwe kiumbe kipya ni kule kumkaribisha Yesu akae ndani yako na wewe ndani yake, soma pia hapa “Mtu (YESU) huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli(wewe) TOBA na MSAMAHA WA DHAMBI” Matendo ya mitume 5:31. Hivyo unaweza kuelewa kuwa hakuna TOBA wala MSAMAHA wa dhambi kwa mwingine isipokuwa ni kwa Yesu peke yake, UNAMHITAJI YESU KATIKA MAISHA YAKO!
Mimi kama mjumbe wa Kristo, nakusihi wewe mwenye dhambi, ndiyo wewe mwenye dhambi! Upatanishwe na Kristo uwe kiumbe kipya, ya kale yote yapite, yaani uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo na hatimaye yawepo maisha mapya katika YESU KRISTO! Maana bila hivyo, kamwe hutaingia ufalme wa mbingu wa Mungu! YESU ANAOKOA HATA SASA!
Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0676-407-085 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
mimi nilizoweya kuwaona mende chooni leo inakuwa chakula,wanadamu itafika muda tutakulana wenyewe kwa wenyewe.
😂😂
jamani mm namuogopa mende yaan akiingia. dani nakimbia,umenifanya nipunguze woga,axante pia ongera.
@@blandinajuma1449 tofauti na hao uliowazoea hao ni special
Dalili za siku za mwisho
Kwani wewe hujawahi kumla MTU
😀😀😀 mi namlaga demu wangu kila siku
Good job my bro nilikuwa cjuagi
vitu vi4 naviogopa sana maishani mwangu mende..panya..jongoo..na kijusi..mamaaaaaa😭😭nakufaaaa!😣😣
Hahahahah acha woga fursa hiyo
Uwiiiiiiiii ach tu loly yaaaan APA naangalia lakin najixkia vbay chiiii naogp mend htr
Nampendaga huyu kaka jamnani uwiiiiiii uwez wakumpat tu Sina. Habari nzuri kwakweli hongera Milad
Namavi pia wanakula maanachoni wengikwelikweli
Nakukubal san na kupenda bure kaka angu #Millard unajali Sana kazi yako hujali umbali au nini big Up san, ila hawa Mende jmn me siwezi kula kbs dah!
Mmh!! Dunia imefika mwisho kwa kweli🤔
hahaha ukitaka mende wengi nenda kwenye vyoo vya mashimo 😂😂😂utapata wengi balaa na ukauza
Hongera sana kwa unavyo tupa habari naomba mawasiliano ya yule mfuga mende wa njombe
Kwa staili hii vijana mkisema hakuna kazi itakua mnasingizia Serikali tu..
😆😆😆😆😆😆this is crazy by also creative ,bora kipato kinaingia hapo freshy kaka
Hongera sana kwa taarifa za kujenga nimeipenda sana hiyo.
bro millard nakukubali sana kwa kazi zako ila ushauri tu next time sisi wanaume wa dar habari kama hizi weka kichwa cha habari kuwa mende zinaongeza nguvu za kiume,huyo jamaa atashangaa jinsi kinondoni itakavyokua na wafugaji wengi😂😂😂😂
Me navooogopa mende jmn 😂😂😂😂😂hapana aiseee ndo angekua babangu ningeama nyumba
ayo wewe noma nakubal sana big up
Haha mende Jmn 😁😁😁😁 aje achukue wengne huku jikon kwet ni weng mno
Hao wanakula sana watamfirisi
Haha
hahaaa Ashura
Nawe fuga maendeleo huigwa we vipi?
Hahaha
Mazingira mazuri sn, hongereni sn kwa utunzaji mzuri wa uoto wa asili. Waandishi wa habari wengine tuonyesheni uoto na mazingira ya asili sio kutuonyesha magorofa eti ndo uzuri wa sehemu. Hii itahamasisha watu kutunza mazingira yao na upandaji wa miti. Hongera kwa ufugaji wa mende mzee
😂😂😂Kama umemuona milad about anaogopa mende gonga like
Asanteh Kaka Kwa habari
Mungu wanguu hadi nahis kichefuchefuu sanaa mmmmmmh
Hongera sana kaka habari za uhakika na zenye tija kwajamii sio habari za kina mondi kila kukicha tunahitaji habari kama hizi zenye Fursa kwa Wa Tanzania big up sana pia nakuomba uniunganishe na mzee huyu pls pls help me Mr milad
Na mm naanza biashara mmoja sh mía kama tuko pamoja like, hahahaha
254 kenya 🇰🇪 nakupenda Millard
Mie habari nkama sio ya milard ayo huwa siangalii kabisa .milard kuanzia muonekano mzuri hadi habari ni mwaa
MTU mwenye muonekano mzuri huwa mnaangalia nini haswa
safi sana ayo kwa habari nzuri, big up sana kwa huyo dingiiiiii
hello milard ayo mimi naitwa musa natokea kenya ningependa uni nganishe na huyo bwana nami nianze kilimo cha mende huku kenya.
Hawa wachoooni Kwetu wala siuzi anayeitaji anitafute wanakera sitaki bshara nao 😃😃
nakuomba kaka Millard Ayo nikutanishe na huyo Baba please nitashukuru sana
Wakwanza kabisa basi mende ni boonge la mboga🔥🇰🇪
Wachina nimepiga saluti wanakula hadi mende
@@williamsville3493 cyo mende wachina wanakula hata nyoka
@@المهلهلالحراصي Aisee ndiyo maana akili zao za ajabu sana
So nice ....!!
🙆🙆🙆
Jamaa ameshakula mende.
Good news
njoo uchukue bure kwangu, nawapiga dawa kila siku
Corona itaisha kweli kwa stail hii 😂😂😂😂😂
Komaa ding miaka ijayo tutakuskia ushapig maendeleo kuhus biashar ya mende...
doh mende na wapiga na viatu kumbe dili
Kumbe Yule dada wa kigamboni anatefuga Mende kachukua ujuzi huku 🙄
Jamani Milard Ayo naomba namba ya Simu ya Huyo Mzee nataka mbegu ya Mende!
Ayo mimi npo Arusha naomba unisaidie mawasiliano na huyo mkulima mwenzangu na mm nafuga pia Ila kwa ajili ya mashuleni.
Daa kwaiyo bei namimi naitaji kufuga kwenye kuwapata
Karibu kwetu siko nyingi sana sinatusumbua sana
We Milan Ayo TV walau Taarifa zako ni za uakika. Sio Kama za "wasaka tongue ovyo"
BIG UP MILARD AYO, CHANEL YAKO NAIKUBALI SANA. NYIGINE BHANA KICHWA CHA HABARI NA STOR YENYEWE HAVIENDANI( hawana taaluma) . SASA MILARD NAOMBA NAMBA ZA HUYO BABA NASI TUANZE KUFUGA. NITUMIE TAFADHALI.
Mila nakupenda hbr zako n zuri
Mungu alitupatia vyakula safi na vyakula najisi shetani amedanganya watu kula kilakitu, nguruwe najisi, sungura najisi, kambare najisi navingine vingi Mambo ya Walawi 11:4-23.
Sungura si najisi Sungura ana kula nyasi
Dah aisee noma
Ruvuma kuna maajabu mm nimesha shuudia kuna mzee anatumia gesi ya mavi ya ngo'mbe songea pare masigila
Doooh jaman mende sawa keet up baba
Kaka mungu azidi kukubariki habari zako kali sanaaa sanaaa
Daaah huo nimtaji tosha jmn biashara nzuri hongera sn mzee wetu na mm nitafuga mana mm siwapendi wananitia kimya kabisa
kwa kweli mllard ayo big up munaleta habari nzuri sana watu wengi wanapenda hizi habari za vijijini na za kusisisimua kama hizi saaaaaaaafi sana lakini ungemuambia jamaa akakukaangia japo kama nusu kilo, just kidding.
Millard hakika utakua juu kilelenii chiii
Tunaomba namba za huyo jamaa anaefuga mende atuelekeze vzr
Kazi zako nazikubali sana huwa nakufatilia sna mzazi
Huyo mtu ni nomaaa sanaaaa
Jamani porini kote huko connection alipataje jmnnn????hongera zake ..
Connection sio issue
Connection ni ww mwnyw
Safi Sana kaka hao ni chakula kizur Sana hata kuwalisha samaki🙏👍
🙄🙄🤔Nina ndoto ya kufuga kunguru 😆😆
Hapo sawa Kumbe ni mende special
Yaan kama panya vile
Hongera kwa kufuga mende
Good idea Bro
YAO GOD BLESS YOU SIR. YOU ARE MY INSPIRATIONAL KAKA
hatakama siwezi kula
Natamni na mimi kufuga ila kuwashika ndo shida naogop
Ha haaaaaa !!!! Watakushikia we fuga tu
🤣🤣🤣kukamata nd shda
hahahahah
Duuh nina Mende wengi wananisumbua Sana Kumbe dili
nitaanza kufuga mende huku kenya ila wanafiki watanihusisha na uchawi
😆😆
MashaAllah wabongo mujitu awape takwa
Mende ni mududu sipendi kabisa
@@Ali Ali 😂😂😂😂
@@Ali Ali hatariii sana kwa hiyo hayo mavi yanaliwa au yanakaz gani kwa mfano😂😂😂mbona sijakupata vzr nijuze wenda ikawa fursa kwangu maana maisha magum balaa
@Ali Ali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@mariammussa2540 Jamani mbavu zangu zinauma
@Ali Ali ni kweli kabisa mimi nipo Denmark kila kitu kina kazi yake mavi pia wanatengeneza ges na umeme
Nimempenda mjasiriamali mbunifu