Inasemekana hakuna mtu aliye juu ya sheria. Hii kesi ni kwa faida ya watsnzania wote. Tumushukuru Mpina pamoja na kutishiwa maisha kaweka wananchi mbele.
Hongera sana pia ahsnteee mhe, Luhaga Mpina kuwajisha upotov na upoteshaj ni kweli sheria za tungwa mbungeni lakin mwamuzi ni mahakama,mwangaruka ngoshaaaa.
Ukiachilia mbali pongezi na uwezo mkubwa wa mheshimiwa wakili nampongeza sana mheshimiwa luhaga mpina kwa uzalendo wake kwa taifa sisi kama watanzania tuko pamoja na Mbunge wetu katika mapambano haya, Mungu amsimamie na akawe mshindi ili aibu irudi kwao.
Watanzania wanategemea Judiciary kuwapa haki. Mpina hakuleta kesi hii kwa niaba ya familia yake bali ni kwa niaba ya wananchi. Bunge haliko juu ya sheria. Kama mahakama ikishindwa basi watanzania tulie tu. Tutakuwa hatuna haki kwenye nchi yetu.
Oooh, The animal farm!! Lazima kila mtu athaminiwe utu wake kusiwe na ubaguzi wa mara huyu ni waziri mkuu wala spika asishtakiwe. Washtakiwe tu ili kuepusha kutumia ofisi/nafasi vibaya kwa ubabe
Bunge ambalo halina vyama vingi matokeo yake ndio hayo.Maamuzi yasiyo ya uonevu kiasi hicho yanaamuliwa na bunge.Kura zinapigwa kwa NDIYOOOOO ,HAPANAAAA.Hakuna umakini ktk uendeshaji wake.Wabunge wana PHDs za kununua na wanazitambia !!!! Hayo ndio matokeo yake. Tuko mbali sana ukilinganisha na mabunge mengine ya hapa hapa Africa.Kenya ,Ghana South África . nk .mabunge yenye mijadala haswa. TANZANIA TUMEACHWA MIAKA 20 nawenzetu hapa hapa Kwenye contineti letu.
Wakili yupo vizuri katoa mifano ya kesi za nyuma kaeleza vifungu vya sheria za nchisheria za bung la jmTe navifungu vya katiba kfafanua viongo wenye kinga na kutuelewwsha ukubwa wa mahakama katika kutia haki 🙏
Kwa kweli nchi hii tunayo rasirimali ya kutosha ktk sheria, ila viongozi wanajaribu kwa Nguvu zote kujifanya miunguwatu, fedha za kodi zetu zinatumika vibaya kupindisha na kupinga haki kwa maslahi ya wachache.
Kiufupi vifungu vya sheria vinakanyagwa ili serikali ishinde,hongereni kwa kujitahidi kuonyesha kuwa inawezekana kuishtaki serikali bali kuishinda ni ndoto
Kwa hali hii wananchi tusipotoka hadharan tukafanya maandamano tutaishia kulia na kunyanyaswa vibaya mno CCM wanafanya makosa na ufisadi lkn wanateteana, KATIBA MPYA na TUME HURU ni lazma kwaajil ya maendeleo ya taifa, CCM kuendelea kuatamia Katiba mbovu na Tume mbaya ya uchaguz lengo lao ni kuendelea kutunyonya, wao waendelee kunemeka, kama wananchi tunataka na sisi tushiriki kwenye KEKI ya taifa inatubid tuinuke hadharan tudai Katiba na Tume ya uchaguz
Mm naomba kuelekezwa nianzie wap. Nataka kumshtaki mkuu wajeshi la polisi na polisi kwa ujumla, waniambie ni sheria ipi au kifungu gani kimekataza maandamano, je ni kifungu gani cha sheria wanachotumia kuwakamata viongoz wapinzani wa serekali ya ccm. Kwann chadema tu na sio vyama vinngine. Tunataka kila mmoja ajue wajibu wake
Kitendo Cha Katiba kuwa na Vifungu vinavyowapa kinga baadhi ya viongozi huko ni kupunguza uwajibikaji na kuweka mazingira ya kuweza kutowajibisha baadhi ya viongozi wanapofanya makosa, hapo dhuruma ya haki ndo inaanzia hapo, na kuonesha kwamba Kuna watu wako juu ya Sheria kwamba wao hawawez kuguswa na Sheria, Katiba MPYA ni Sasa
kwanini waweke kinga ina maana wao ni bora kuliko wanadamu au wananch sasa kama wao wamewekewa kinga ina maana wao wapo juu ya katiba hapo tunataka katiba mpya kwa kweli haiwezekana baadhibya sheria ziwahusu watu fulan na wengine sheria ziwahukum hapana si haki kabisa
Kumkingia mkosaji kwakutotuhumiwa kwa mfano viongozi wetu wa juu nikuiwekea mpaka mahakama ambayo ndio sheria ya kutoa haki,je hao wanao wekewa kinga hawako sawa katika neno binadamu wote ni sawa wote wanastahili haki sawa kwa ujumla watanzania tukazanie katiba yetu itengenezwe tena kwa marekebisho mengi sio kidogo kwani wanao wekewa kinga ni Mungu
Hizo kinga hazina Afya kwa Masilahi Mapana ya Taifa letu. Ndiyo maana Katiba Mpya inahitajika kwa sasa. Kiongozi mzuri anayetetea haki hatakiwi kuogopa na kuweka kinga ya Kitoshitakiwa. Ni Dictatorship tu ndiyo huweka Kinga ya Kutoshitakiwa
Hii Kinga ya baadhi ya viongozi ndio inasababisha hata hao waliowekewa Kinga wanauza hata lasilimali za inchi na kufanya mambomabaya Kwa hili wanainchi na wasomi wasiposhilikiana hakuna usawa
Inasemekana hakuna mtu aliye juu ya sheria. Hii kesi ni kwa faida ya watsnzania wote. Tumushukuru Mpina pamoja na kutishiwa maisha kaweka wananchi mbele.
Hongera sana pia ahsnteee mhe, Luhaga Mpina kuwajisha upotov na upoteshaj ni kweli sheria za tungwa mbungeni lakin mwamuzi ni mahakama,mwangaruka ngoshaaaa.
Safi kabisa
Hongera sana Advocate Kilato kwa kuwapambania Watanzania. Tuko nyuma yenu tunawaombea sana.
Wakili uko vizuri
Mungu atatutetea maaan mtetezi wa watanzani asivi ni Ruhaga mpina mungu akutetee mbunge wetu wa kisesa Ruhanga mpina
Hongera sana kwako Advocate, naona uko smart mno katika taaluma yako, hii kesi itahukumiwa kwa haki.
School of law
Mungu awabariki mawakili ote mlio jitolea kupambania haki.
Safii sana ndugu mwanasheria Kwa mfumo huu hata wahujumu uchumi watapata dawa kwan bunge linawashindwa
Hii ndiyo demokrasia tunayoihitaji sababu wengine wajifanya mungu watu wakati sote tutakufa na kuhukumiwa
Wanasheria na waelewa wachache ndiyo watetezi wa watanzania. Hongereni
Wakil mwerev sana anajieleza vzur
Ukiachilia mbali pongezi na uwezo mkubwa wa mheshimiwa wakili nampongeza sana mheshimiwa luhaga mpina kwa uzalendo wake kwa taifa sisi kama watanzania tuko pamoja na Mbunge wetu katika mapambano haya, Mungu amsimamie na akawe mshindi ili aibu irudi kwao.
Katika kes hii tunamuomba mungu atusimamie waTz,mawakili na mhe.mpina Kwa pamoja Amen
Watanzania wanategemea Judiciary kuwapa haki. Mpina hakuleta kesi hii kwa niaba ya familia yake bali ni kwa niaba ya wananchi. Bunge haliko juu ya sheria. Kama mahakama ikishindwa basi watanzania tulie tu. Tutakuwa hatuna haki kwenye nchi yetu.
hakika
Bungee zuri linalo kuwa na wapinzani ona Sasa ccm mtu wa ukweli anaonekana anamakosa kwanini ?
Oooh, The animal farm!! Lazima kila mtu athaminiwe utu wake kusiwe na ubaguzi wa mara huyu ni waziri mkuu wala spika asishtakiwe. Washtakiwe tu ili kuepusha kutumia ofisi/nafasi vibaya kwa ubabe
Ndo maana Tunahitataji katiba mpya
Hazing ni nyakati za mwisho ukweli utajiweka wazi asante mungu amen
Habar uwe unaandika jina la Mungu kwa kuanza na herufi kubwa au kubwa zote ahsante
Wakili Kilatu uko vizuri sana. Nimekuelewa vuzuri sana. Haiingii akili baadhi ya watu ktk nchi hii kujiwekea kinga ya kutoshitakiwa kwa makosa yao.
Jamani huyu Advocate sheria zipo kichwani
Jama kameza madini yote kichwan
Nakubari kabisa
Hapo sawa tunawaonbea mawakili wetu huyo tulia Hana akili hata kidogo
Ndiomana hii katiba haifai na Hawa viongozi wanatokana na ccm haitaki kubadilisha hii katiba hapa duniani ambae yuko juu ya vyote ni mungu
Sawa kabisa !!!
Ata kinamdee walienda mahakamani !!!
Bunge ambalo halina vyama vingi matokeo yake ndio hayo.Maamuzi yasiyo ya uonevu kiasi hicho yanaamuliwa na bunge.Kura zinapigwa kwa NDIYOOOOO ,HAPANAAAA.Hakuna umakini ktk uendeshaji wake.Wabunge wana PHDs za kununua na wanazitambia !!!! Hayo ndio matokeo yake.
Tuko mbali sana ukilinganisha na mabunge mengine ya hapa hapa Africa.Kenya ,Ghana South África . nk .mabunge yenye mijadala haswa. TANZANIA TUMEACHWA MIAKA 20 nawenzetu hapa hapa Kwenye contineti letu.
Safi sana mpina
Nafuatilia kikamilifu kesi hii nimependa hongereni mawakili wazalendo kwa kujitoa kuisaidia nchi sheria zpo shida znapindshwa.
💪🏾💪🏾💪🏾 MUMGU AWATUNZE TUU VIJANA WANGU,,, NA CJUI UPANDE WA PILI WANAPINGA NINI AISEE 🤔🤔🤔
VIVA MAWAKILI WETU....WAZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.... DUNIANI KOTE....MAHAKAMA NDIO YENYE MAMLAKA YA MWISHO YA KUTAFSIRI SHERIA NA KUTOA HAKI!
Ndugu mtangazaji,wewe mwandishi wa habari unahoji maswali ya msingi sana uko vzr kaka
Huyu jamaa yuko vizuri sana siyo wale wajinga wa Wasafi
Wasafi ni machawa wa mama wa kizimkazi@@yahyamalolo3202
The issue trends transcends and oversees barriers and crosshairs of Tanzanian democracy and tradition
Wakili yupo vizuri katoa mifano ya kesi za nyuma kaeleza vifungu vya sheria za nchisheria za bung la jmTe navifungu vya katiba kfafanua viongo wenye kinga na kutuelewwsha ukubwa wa mahakama katika kutia haki 🙏
Kwa maana hizi.. Kuna haja ya makusudi kufumua hii katiba. Haya makinga kinga tuyatoe. Tutakwenda vzr sana.
Kwa kweli nchi hii tunayo rasirimali ya kutosha ktk sheria, ila viongozi wanajaribu kwa Nguvu zote kujifanya miunguwatu, fedha za kodi zetu zinatumika vibaya kupindisha na kupinga haki kwa maslahi ya wachache.
Kiufupi vifungu vya sheria vinakanyagwa ili serikali ishinde,hongereni kwa kujitahidi kuonyesha kuwa inawezekana kuishtaki serikali bali kuishinda ni ndoto
Mko sawa mawakili hawazimalinzi sheria kuzisoma mpina anayo haki
Hongera ya nini ameshashindwa aibu
Kwa hali hii wananchi tusipotoka hadharan tukafanya maandamano tutaishia kulia na kunyanyaswa vibaya mno CCM wanafanya makosa na ufisadi lkn wanateteana, KATIBA MPYA na TUME HURU ni lazma kwaajil ya maendeleo ya taifa, CCM kuendelea kuatamia Katiba mbovu na Tume mbaya ya uchaguz lengo lao ni kuendelea kutunyonya, wao waendelee kunemeka, kama wananchi tunataka na sisi tushiriki kwenye KEKI ya taifa inatubid tuinuke hadharan tudai Katiba na Tume ya uchaguz
Tunawapata vizuri hapo mlipo
Mpna❤🎉
Mm naomba kuelekezwa nianzie wap. Nataka kumshtaki mkuu wajeshi la polisi na polisi kwa ujumla, waniambie ni sheria ipi au kifungu gani kimekataza maandamano, je ni kifungu gani cha sheria wanachotumia kuwakamata viongoz wapinzani wa serekali ya ccm. Kwann chadema tu na sio vyama vinngine. Tunataka kila mmoja ajue wajibu wake
Umawaza poa san🎉🎉
Nabii LEMA aliwaambia mkiwaondoa wapinzani mnamalizana wenyewe sasa umetimia unabii wenyewe
Nabii wa dini gani huyoo
@@BakaryOmallyYa haki na ukweli
Dini ya baba paroko@@BakaryOmally
@@leokamil6284 ahaa tutakutana baada ya pumzi kukatika wewe na nabii wako tambeni tuu ktk mapito ya dunia
@@BakaryOmally Stupid!
PALE WASOMI WANAPOONGEA KISOMI 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Tanzania tunategemea mahakama. Ndiyo chombo kilicho baki.
Yaani mpina kusema ukweli anasimamishwa asiende bungeni aisee hii nchi
Mpina baba lao,
Kwa nini Kinga ya kushitakiwa?
Wanashelia ndio wanaongiza kutumika katika zuruma
Mpna testi urasi ichi una ijua sana kaka
Tatizo katiba yetu inatakiwa kutungwa update. Inamapungufu mengi wengi wanaisigina
CCM kwa CCM unategemea Nini hapo.warabu wa pemba wajuana kwa vilemba. Zimwi likujualo halikuli likakumaliza. Hapo nyasi ndio zinaumia
Kwa mtazamo wangu naona mhimili wa mwisho wa haki Tanzania ni rais wa nchi kama mnapinga kamwulizeni Ndugai.
KATIBA....KATIBA...KATIBA....SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA ZOTE ZIFUATE NA KUWA CHINI YA KATIBA.
Naamin Mpina utashinda kwa Niab ya watz wote
huyu anafaa kuwa wakili wangu
Kweli kunampungufu mengi sana kwenye katiba na Sheria la nchi hii
Umeelewaka wakili ,kushitakika kutaongeza umakini katika utendaji na uongozi , HAKUNA ALIE JUU YA SHERIA,.
Ndiyoooo
uko vzr wakili msomi
Safi wakili
Mukiiba musihojiwe. Upuuzi huwo nimutu mjinga tuu anaweza asihojiwe.
Kumbe ndo maana wanatoa watu bungeni na kupokea wabunge wasio na sifa kwa kujua kuwa wao ndo Wana mamlaka, wafundisheni,
Kitendo Cha Katiba kuwa na Vifungu vinavyowapa kinga baadhi ya viongozi huko ni kupunguza uwajibikaji na kuweka mazingira ya kuweza kutowajibisha baadhi ya viongozi wanapofanya makosa, hapo dhuruma ya haki ndo inaanzia hapo, na kuonesha kwamba Kuna watu wako juu ya Sheria kwamba wao hawawez kuguswa na Sheria, Katiba MPYA ni Sasa
Nimekuelewa Wakili msomi
Watu hawa wanajiwekea Kinga ndio maana Wana jeuri sana
Wasahajiwekea Kinga ya kutoshitakiwa ili waendelee kufanya madudu. Hovyo kabisa Tanzania
kwanini waweke kinga ina maana wao ni bora kuliko wanadamu au wananch sasa kama wao wamewekewa kinga ina maana wao wapo juu ya katiba hapo tunataka katiba mpya kwa kweli haiwezekana baadhibya sheria ziwahusu watu fulan na wengine sheria ziwahukum hapana si haki kabisa
Kupitia shauli hili maamuzi yake yatakwenda kufungua Demokrasi ya kweli na Maamuzi hayo yatakwenda kukiheshimisha Taifa.
Hii ishu ya mpina na bunge naona kama ni maigizo tu.
Kumkingia mkosaji kwakutotuhumiwa kwa mfano viongozi wetu wa juu nikuiwekea mpaka mahakama ambayo ndio sheria ya kutoa haki,je hao wanao wekewa kinga hawako sawa katika neno binadamu wote ni sawa wote wanastahili haki sawa kwa ujumla watanzania tukazanie katiba yetu itengenezwe tena kwa marekebisho mengi sio kidogo kwani wanao wekewa kinga ni Mungu
IQ❤❤
Ubaya Ubwela wanashelia kama huyu jamaaa wapo wap
Mtu aliye na masilahi hawezi kuhusika kwenye maamuzi Hiyo imekaa vizuri
😊
Big up 🎉🎉🎉😊
Wape dozi hao machawa
YANGA wakutafute uwe mwanasheria WAO Hakika unajua
Kiukweli ni vyema mahakama kusimamia vz ktk kutafsiri sheria vzr ili kuepusha conflict of interest
Katiba mpya ya mzee wetu walioba lakin hii hapana
Ningetamani sana kila kiongozi awe madarakani au nnje akikoroga achapwe
Hizo kinga hazina Afya kwa Masilahi Mapana ya Taifa letu. Ndiyo maana Katiba Mpya inahitajika kwa sasa. Kiongozi mzuri anayetetea haki hatakiwi kuogopa na kuweka kinga ya Kitoshitakiwa. Ni Dictatorship tu ndiyo huweka Kinga ya Kutoshitakiwa
Mbona chadema mwanachama haruhusiwi kumushitaki kiongozi mahakamani kwa mujibu wakatiba ya chadema?
Ability yako nindogo sana,jifunze fuatilia Acha kuropoka
Huyu wakili ni kichwa
Mchawi ni katiba iliyopo inatunyima haki kama wananchi tunaongozwa na miungu isiyo hojiwa kitu kinacho tuumiza wananchi
Mpina mpina. Hayaa. Mpina.
Ndo maana TUNATAKA KATIBA MPYA
True
@@joshuarose6756kweli
Hii Kinga ya baadhi ya viongozi ndio inasababisha hata hao waliowekewa Kinga wanauza hata lasilimali za inchi na kufanya mambomabaya Kwa hili wanainchi na wasomi wasiposhilikiana hakuna usawa
Mheshimiwa mtego wako mtamu sana ...akipenya Mh.Bashe hii 😂 sijuii ngoja tusubiri ,wajuzi washeria wanasema pameshachangamka.
Hii nchi imekua 0 na isio faa nazani tunaitaji katiba mpya
Ni 0*0=0
Mpina apewe haki yake huyu bashe bamoja na spika wote hao niwatafunaji wa hii nchi
Mwakani wabunge wazembe hawanq chao
Kuna umuhimu mkubwa wa vyama vingi bungeni
Jispka laovyo kbsaaa
Hovyooooo kweli kweli 😢😢😢😢
🎉🇹🇿
Mwamba ameonge na kaongea tena kameza madini kama na soma kitabu cha sheriya
CHINI YA KATIBA
Kwanini serikali haitaki kesi hii isikilizwe? ,, mambo ya ajabu kabisa katika nchi hii.
Jamhiri au Serikali Inahusikaje Kesi ya Mhimili wa Bunge?
HAMNA KESI HAPO KWA KATIBA HII
Utasikia eti hakuna aliye juuh ya shelia
Na hao walio wekewa ulinzi kwa kuto shitakiwa inakuweje tatizo tunalindana yani afrika shidah sana
Haki huinua taifa