Pole sana mtoto mzuri kwa kumpoteza mama kazi ya mungu Haina makosa Heshimu hisia zako upo sahihi naona ukiwa muigizaji mkubwa sana. Halafu kuhusu mbengo TV Pia Nawakubali sana Napendekeza mkiwa mna muhoji mtoto wa kike Itapendeza Awepo wa Kiume hali Kadharika ikiwa ni wa kiume Ndo Uwepo wewe wa kike Kitapendeza Sana.
Huyo ndo mkorogo wa nyoko😂🤭🤭❤️❤️ nilicheka sana alipoambiwa na mbwa kicheche kuwa mkrogo ndo unampendezesha.😂😂😂 Na rafiki ake wa kike aliekaa akasapoti.
Mwajuma.......wewe n mbwa.......for sure they are talented nawapenda sana na vai.....pole dada kwa kumpoteza mama mzazi naujua ujungu huo.....tufanye nini n kumshukuru Mungu kwa yote na kungangana na maisha nakutakia mema
Queen napenda sana comedy zako pole kupoteza mama much love ❤ from kenya 🇰🇪
Mbengo TV huyu mdada ni mzuri sanaa mwambieni nampendaa Sanaa kutokaa kenyaaa
Wangapi wamesoma na Bado wanachoma mkaa🔥🔥🔥🔥🔥
"Hii kitu iko dani ya moyo," anasema dada huyu. Nakupenda dada kitenda mimba.🙏🙏💟
Huyu dada wa kuhoji ana sauti tamu🥰🥰
Pole sana mtoto mzuri kwa kumpoteza mama kazi ya mungu Haina makosa Heshimu hisia zako upo sahihi naona ukiwa muigizaji mkubwa sana. Halafu kuhusu mbengo TV Pia Nawakubali sana Napendekeza mkiwa mna muhoji mtoto wa kike Itapendeza Awepo wa Kiume hali Kadharika ikiwa ni wa kiume Ndo Uwepo wewe wa kike Kitapendeza Sana.
Nipi Burundi 🇧🇮 ila nakubali sana hawa ma comedy, huyu mtangazaji yuko vizuri sana. Ningependa niiuwe jina la Instagram yake. Hongereni sana🙌🙌🙌
Namupenda sana uyo mutangazaji,duuu, kazi nzuri from Oman 🇴🇲🇴🇲👍👍
Binafsi huyo dada namkubali sana, much love from united states 🇺🇲
Nimemuonea huruma da mama yake angalikuwepo now angefurahi sana mafanikio ya mwanae💔🙏🏽 may his beloved mother rest in peace
Nakupenda kutoka New York City na kukubali sana Queen
Jornalist sauti yako na theway unahoji so superb!
Pole sana kwakumpoteza mama I napenda kaz zako sana dada mungu akiongezea uzid kwenda mbele zaid
Huyo ndo mkorogo wa nyoko😂🤭🤭❤️❤️ nilicheka sana alipoambiwa na mbwa kicheche kuwa mkrogo ndo unampendezesha.😂😂😂 Na rafiki ake wa kike aliekaa akasapoti.
😁😁😁😁ha ha haaaa anaongeza kichwa kicheche🤩clam😘💋💯QEEN
Nakupend San qeen💝💕💋n pole San kw kupotez mum bt God will protect you love you mwaaah
Sorry for losted your mother be strong my dear friend ❤️ NAKUPENDA kutoka Australia 🇦🇺 ukinikubalia ntakuja Tanzania 🇹🇿 kukuowa.
Dada hodary kwenye kuigiza mashaallah 🤞❣
Pole sana dadangu Kwa kumpoteza mama
Mwajuma.......wewe n mbwa.......for sure they are talented nawapenda sana na vai.....pole dada kwa kumpoteza mama mzazi naujua ujungu huo.....tufanye nini n kumshukuru Mungu kwa yote na kungangana na maisha nakutakia mema
Wow mashallah uwa nnafanya kazi nzuri
Uyu dada napenda sana nauyo kicheche mambo Yako bwana boss mjinga mumoja
Wewe mtoto malikia kazi zako nazipenda sana hasa zile za single mama wewe fundi sana mungu Akuongezee kipaji chako
#aboi_4rm_makambako mtangazaji uliza maswali yatakayo fundisha watu wanaotaka kuingia ktk tasinia sio kuuliza makalio ndo tabu ya watangazaji ambao hamja soma mmeokotwa tuu mtaani
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣unajua kuwaigizia watu kuwa nimpole tutakutana saloon kwa da husna
Hhhhhhh
Daaaaah uyu dada kumbe mpole iv daaaaah
Mtangazaji upo vizuri sana yaani una wa shinda wengi sana ni chuki tuu zawa tanzania kukosa kuku fikisha juu zaidi
Pole sana Queen Kwakumpoteza mama yako 😭😭
Namkubali sana kicheche mbwa mimi🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂nmecheka mbwa ww
@@sarhafrancis8824 hahaha 😂😂😂😂
love yu from PYONGYANG N.korea
Ni mzuri kwelikweli lkn ubaya wake n kusema et hasomagi comment za mashabiki wake
Queen 👑 ww n mzuri Kaa jina lako mwenyewe.napenda movie zako na nafurahishwa nazo.ila nakuuliza swali vp umeolewa ww ??
Kapole jaman kazuri qeen love you
Queen hiyo nisauti Yako kweli 🇨🇩👍🌟
Big up dada ...ww upo vzr san kwny kuhoji unapangilia maswal san...
Nakupend saaaan kabis 💖
Uyu dada mi napenda sana yéyé🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huyu ako mrembo Zaidi..ni vyenye Niko Kenya Nairobi natumai ningempata kama mke wa kwangu ningefurahia kumweka katika ndoa na kumtunza vyema kimaisha
She is very talended and impressive
Pole Sana qeen umenitoa mashozi mama ndo Kila kitu kikubwa Kila wakati mwombee dua mama
Anajua San uyo sister
Kweli
Huyo muda ni mrembo love from bujumbura
Kwanini uliacha shule you must continue with a school ineed your like
Very humble lady
Pole xana queen usijali pambana tu utafaulu
Queen pole sana kwa kumpoteza mom pia ongela kwa sanaa tunazikubali by Queen paulo Tanzania on
Nakupenda gueen kutoka cape town
Ila pole kumpoteza mama...mzazi
Ndo shida ya wabongo hii,,, umemwambia asilie tena unaendeleza story za kufiwa,,,
😂😂😂😂
@@maherzain615 😂😂
Hahaha 😂 banawee
🤣🤣🤣🤣
Hata ndio nashangaa
Hii group yao wasanii wote Wana ujuzi wa Hali ya juu
Queen mchumba wangu ntarajiwa na kupenda sana sio siri....
Pole sana tupo wengi wamwisho ambao hatuna mama Yani Leo ww mdada hata mm umenitoa machozi tupoe Kwa sote
queen polee mama husilie❤
Watoto wamwisho ni wanadekakweli poledada🇸🇪✊
Naomba umenambia kazi zake nzuri sana ila wafanye movie
Queen mzuri Sana na pia anaweza sanaaaaa❤
Pole Sana da Queen kwa kumpoteza mama ila mungu akusaidie uende mbele zaid
Pole daa kw kumupoteza mama yko
kumbe ni mpole ivyo ila nimempenda macho ya aibu flani so beautiful
Pole sana mpk nimetoa chozi na mimi
Dada uyu mzuli atali ❤❤❤
Pole Sana kwa kufiwa na Mama
Kwan una Tshirt na kofia hiyohiy au mbengo hali ngumu😅😅 mbwa kurudia nguo...pumbavu zako🥱
Humu kuna watu malaya sio pw. Kule kwa ndoige mtu ampenda na huku kwa huyu nae apendwa hivi umalaya utaachwa lini wakulungwa ? 😂😂😂
Hongera,kwa,makario
😃huyu mtangazaji ni mhuni aisee
I feel much love 2 u queen
Anasauti nzuri pole kwa msiba ukikipata
Queen 👑 😍 😍 😍 😍
Pole kumpoteza mama jamani pole sana
queen pole husilie ❤
Uko vizuri kwenii
Tunawapata 5/5🇧🇮🇧🇮🇧🇮Mko vizuli kbs
Kazi njema bro ni musa kithi mmkenya halic
Yani wew dad unasauti nzuri Kama wew ulivyo
Uyo mwanamke namupenda kwelii ningekua pembeni yake nimemuoa kwelii ananimaliza snaa
Napenda kazi zake huyu dada
Hahaha ,,,hujaoga siku 4 ,ugenini we noma
Kadada kanakohoji nimekupenda sema kofia hiyo badili
Mm naenda nyumbani kula chapati na maharage
Qeeuni Ilove you somuch nakupenda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mtu mwenyewe anaongea kama anaumwa anakunywa uji usio na sukari 😏😏😏😏😏
Pole mwaya kaz hata Mimi pia miaka kumi mbili sasa lkn Kama kaondka Jana
Queen napenda sana
🇹🇿MWANDISHI NAKUKUBALI UPO❤💯
Pole dada ake
Hyu mtangazaji ni mzuri ila kivyangu namuona kama tom boy
❤️❤️💓🌹Queen
Unanipa huluma pôle gukosa maman 😭😭😭😭
🇧🇮🇧🇮🇧🇮from buja👊👊👊
Love her ❤❤❤❤
Tunasubili hvo vitu sema ww mwandishi nakukubali sana
napenda sana hiyo haya ya queen, ana onekana kuwa ni mtaratibu kabisa.
Nimelia sana na mm nimemkumbuka mamangu
Polee
@@FathimaFathima-yq1xv shukran mwaya Allah ampe MAMA flidaus insha Allah
@@MunaMuna-tn3go Amin amin nass tuko nyum yao
@@FathimaFathima-yq1xv Allah atupe mwisho mwema
Nampenda huyu madam anajibu visuri nakumbe mpole hivi
Huyu dada matangazo nimemlove
KUMBE KALIO OG SIO HING HONG CHINA 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi ni wa Buzi kiekiekiekie.
Uyu dada nampenda
Naskia Raha ikiwa na kicheche