Kicheche. Unanogesha Sana mbwa wewee mbaka una nifurahishaa brother Apo Ana cheza Sana lkn kicheche hakuna mbwa yoyote wakuku gusaa mbwa ndoige wewee😂😂😂😂😂😂😂👍
Watanzania bana tunapenda kuiga vitu vsivyo na maaana. Eti Kama nime.......naombeni like zangu,sidhani Kama inamaana Yaan Kaz wafanye wengine like wapewe wengine
Ubwa kicheche😂😂😂😂
Kutoka kenya one love 💕 like Zang wakuu
Ongera kazi mzuli kaka
@@aishally1505 thanks 🙏
Asante ubwa kicheche
Muendelezo jamani
Umbwa kicheche 🤣🤣🤣, wa🇧🇮 munipe likes jameni 🤣🤣🤣🤣
Kicheche nishida😀😄😂🤣🤣
Haha uratwenza
Chukuw mbwa ww
th-cam.com/video/p6QvLeqNvl4/w-d-xo.html
Pumbav zenu
Aki nimefatilia hizi movie zote Hadi nilikua na stress Hali Sasa nacheka tuu ,nipe likes Leo plz , mKenya mimi🙏😋
Pole nn shida?
th-cam.com/video/p6QvLeqNvl4/w-d-xo.html
👆👆👆👆👆👆. naomba nisaidie kushare
Pole sana sister 🙏🏿
watch later then
MWANAMKE MWENYE JINSIA MBILI
Umbwa malaya 🤣🤣kama unamkubali kicheche nipewe likes zangu hapa all the way from Kenya 💥💥❤
Kicheche kazi nzuri Sana mkuu 👍🔥🔥🔥 naitwa MALIMA
Kicheche. Unanogesha Sana mbwa wewee mbaka una nifurahishaa brother Apo Ana cheza Sana lkn kicheche hakuna mbwa yoyote wakuku gusaa mbwa ndoige wewee😂😂😂😂😂😂😂👍
sanaaaa, mbwa chawa
th-cam.com/video/p6QvLeqNvl4/w-d-xo.html
th-cam.com/video/p6QvLeqNvl4/w-d-xo.html
Kumbi kicheche ni mzuli ivi anapo toa kofia, nawapenda aisée 🇨🇩🇨🇩
Much love from Kenya🥰pumbavu zako kicheche mbwa amrishi puur Tg omori🤣🤣🤣
Wakenya mshafika, mbwa sisi, pumbavu zetu😂😂😂
Mbwa kucheche,pumbavu zangu
Kicheche nakupenda sana kutoka congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥💪☝🏾☝🏾💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wewewwww Tanzania nzima sija Pata wakunipa raha kama Na wewe nakupenda akia mungu
Kumbafu zako kicheche🤣🤣🤣🤣 this is hilarious.. much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenyans hit that like button 🥰
Wa Kenya tuko Kwa wingi😜😜
⁴
MWANAMKE MWENYE JINSIA MBILI
❤
🎉🎉😢@@MBINGATV😂😂😢😂🎉😂😂😅😢
Nimeona kicheche bila kofia Kwa mara ya kwanza😂😂😂😂😂
hhhh
😁😁😁mi too
C,rr
Kicheche the best kwangu 🤣😂🤣😂🤣😂aise jmaa angu Mungu akuinuwe zaidi na zaidi 🙌🙌🤗🤗🤣😂😂😂😂
Al the way from USA, but originally from Rwanda, much respect to you Mr. kicheche.
🙌
Same ❤️🔥👍
Tanzanians 🇹🇿 don't know how we Kenyans 🇰🇪 we love them ❤. Wapi likes za watanzania ❤
, , /,, , ,, , ,, , ,,, , e, .
Why do you think?
Hey
MWANAMKE MWENYE JINSIA MBILI
Za tanzania ziko poa
Kicheche mtu wng wanguvu i like you bro by jackasongo from vunja mbavu family
Kuanzia Leo naitwa jini kicheche kikofia amprishpool😂😂😂
From Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪 bro am proud of you, " MBWA MIMI" 🤣🤣😂😂
KICHECHE NI FUNDI SANA 💥💥💥❤️❤️❤️ FROM 255 NAOMBA LIKES NYINGI NA MIMI.
LATIFAAA.....MBWAAA LATIFA
PUMBAVU ZAKEE🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣mpuuzi sana yeye 🤣🤣🤣🤣🥰
😂😂😂😂😂 my god, kumbe kila mtu anapenda utajiri wa bure😂
I love Tanzanians. I know I have tanzanian blood in my blood stream now that my grandma came from there. Beautiful movie
Nawakubari kutoka Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🔥🔥
Pamoja sana
fnhrwylillihuyjguyliukko
Tangu mwaka uanze hii ndo comedy Kali Sana kuliko zote
Mbwa kicheche kumbavu zako....gongeni likes wanangu I'll be back soon
Nzuri sana kaka kicheche🔥
Ila kicheche nafurahi sana nice job
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kicheche ndio umfiche viatu kwenye suti🤣🤣🤣🤣love you all guys
Fantastic it teaches us that free things are dengerous sometime.
Kicheche nakukubali na wakenya wote..🇰🇪🇰🇪
This comedy us the best of all ,🔥🔥 I rank it 100%
Bite chrwaje💞💞💞💞❤️❤️❤️
Jini kivheche jini kikofia more love from Kenya
Love from Kitui Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mbwa mimi 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 😄 wallahi ata mwarabu akiniudhi nikiangalia hivi huwa nacheka
Hapo unaweza kujikuta unacheka wakatiunaegiza😂
Jini kicheche, mupuzi ,umbwa zake... ,let's support him guys for more likes , subscribe...🎉🎉🎉❤❤❤
Daaah kicheche ,wewe miyayusho kweli unazingua sana unanifurahisha kweli unavojitambulisha kwenye bahati ya mwenzio
Nakubali mzee wa kazi
So much love from Kenya kicheche wanifurahisha sana
Kicheche na bongo mmetisha sana😂😂😂😂👏👏👍
Wekicheche ungekuwa unacheza kirasiku rakini unacherewa wewe sema tunakubari sana umbwawee unanipa furaha kutoka Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼
You’re very talented bro kicheche keep it up 🔥🔥
Nakubali sana kazi zako kaka
Majiran kuna mwiz apa mwenye mkorogoo kicheche ❤️❤️❤️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka Hadi machozi
Watatumaliza round hii😂😂😂
MASHALLAH THIS VIDEO CLIP IS GOOD SO MUCH 👌 😍 👍 👏 😊 ❤️ 👌 😍 👍
apochacha
Umbwa jini kicheche nakubali baba from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hii imenivunja mbavu,mbwa kicheche.254 ndani sana
Just be you 😂😂😂😂 Kila Mtu na Maisha Yake ,, Mbwa Kicheche sio Shida zake 🤭🤔😆😆😆
Kicheche 😂😂😂😂 mbwa kibonge. Naomba épisode 2
Kitambiiii I love u nakupenda, umbwa ww Love u from 🇰🇪🇰🇪
Aki kicheche mbinguni utaionea Netflix 😂😂😂😂... loads of love from 254 🇰🇪
Gonga like kwa kicheche 🤣🤣from 🇧🇮🇧🇮
😂😂😂LATIFA YUPO FASTA KWENYE MIAMALA
🤣🤣🤣dah hii nchi ngumu Sana ,jini kicheche amrishpul😂
KWAIYO me jini 😀😀😀😀mnatuonea Sana majina yetu
Mbk usm
Jamani sija chelewa nipeni like zang mbwa mm pumbavu zenu😂😂😂
Ndo mnaniacha, koma😂😂 Hii nyumbaje? Baki nayo mama😂😂💀💀💀 Rwanda 🇷🇼 tunawapenda♥️♥️
It’s fire 🔥 I do like this dude #Ubwawewe!
Kicheche ni shida nyingine ktk EA Comedy. Dah shikilia hapo hapo kaka uko juu na unauwa kinoma🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Kicheche yuo are so Talented
😂😂😂kicheche hapuliz kwel si kwa kuchekesh hvi 😂😂😂leo nmekubli san hii video 🔥🔥
Noma Sanaa 💯💯💯🔥🔥
Namkubali saaaaaaana kicheche kutoka uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
🤣🤣🤣🤣🤣yani munafurahisha sana kabisa. Afu kicheche umwa mimi 🤣🤣🤣🤣
Tanzania talent nying sana sema tu shida wanapenda kung'ang'ana na wale wale
Beat Nimelipenda jmn
Mbwa chawa 😂😂🤣
Gonga like apo 💯
Wonderful guys
MWANAMKE MWENYE JINSIA MBILI
Pumbavu zako🤣🤣🤣much love from 🇰🇪🇰🇪
Hey best
😂 😂 😂 Love from 🇴🇲 🇧🇮 💖 jamonii Nawapenda bure
Hey best
Niimerudia zaidi ya mara3😆😆😆😆😆😆😆😆Mbwaaa chawaaa
Mnaongea2 ilapia nyinyi amuwezi khushi najini,
Wa kwanza Leo jaman nipen na mim like zanguuu
😂😂😂😂😂kicheche nakuhubali from Kenya 🇰🇪
Kicheche ww ujengewe sanamu pumbavu zako
wakwaza nipeni like zangu
🤣🤣🤣🤣 Wallah life n Ngumu sanaa Imagine Mtu anapiga uchawa mpaaka kw Jin
Asante sana Ku saison 3 lakini saison 2 hai ishe Salama 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
nakupenda sana kicheche imbwa kicheche 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍
Kazi nzuri sana jamn, haswa bonge anajuwa
Kicheche forever 💥💥💥
dm
uqo
."0 ufnc
,
Ryp
😄😄😄😄😄 one love from Kenya kicheche nsalimie clam
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kicheche mwaribifu Saana kweli
Love from Burundi
Daaaaah,huyu kicheche amenifanya nitumie pesa nyingi sana kwenye bando
oyaaaa kicheche Yan ingeendelea kdg ingekaa poa sanaaaa
Je l'aime beaucoup❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩BENI ville
Nimecheke sana mbwa kikofia 😂😂
Duuuh mzee kicheche umenichekesha paka ninatowa machozi😁😁😁🤣🤣
Watanzania bana tunapenda kuiga vitu vsivyo na maaana.
Eti Kama nime.......naombeni like zangu,sidhani Kama inamaana
Yaan Kaz wafanye wengine like wapewe wengine
Bora umeliona hilo wanakera
😂😂😂😂mdomo umeunganika n mkorogo🙌🙌🙌nyie
Kichehe Kagoma Kwenda nyumbani😂😂😂😂😂😂
Amprishpool TG.omori Mr bregedia😂😂
kicheche eeeeeeeeeee
mmbwaa kicheche n😂😂😂😀🙏😘💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💣💥💥💥💥💣💥💥💥💥💥💥💣💣💥💥💥😍
Umbwa mkorogo🤣...much love from Kenya.Likes zangu basi na Mimi.
Waaau HK mumenimbaba nyinyi wote mpaka nmecheka thanks
Oy uyoo mganganimemuelewa sn pumbavu zakeeee 😅😅😅
Até que enfim o Kicheche hoje tirou chapéu
Okay
🤣🤣🤣 brigedia kicheche e terrivel.
Español
Xxxx
Kweli ata mm ndio naona kicheche akivua kofia leo
Kicheche anaweza sana
Leo ndo nmeona kichwa ya kicheche yote anakaanga mrembo😂😂
Kicheche number1 nakukubali brother tunaitaji Part2
Kecheche, 😁😁funny guy
PART TWO TUNAITAJI Tafadhali
Kicheche umetisha kabsa mwamba nakukubali sn 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wakenya, kama umeskia Atwoli akisema "ala, ala...🤣🤣🤣", gonga like