KUTOKA KUWA MWALIMU HADI KUWA MUIGIZAJI, CLAM NI BOSS WANGU,BAILA ASIMULIA HISTORIA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 170

  • @skysportsandEntertainment717
    @skysportsandEntertainment717 ปีที่แล้ว +18

    Huyu muandishi ni very talented akipata nafasi ya kuajiliwa media kubwa zaidi kama Azam tv clouds wasaf ndo mutaelewa nn anacho. Anajua

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 ปีที่แล้ว +20

    Uvae vizuri huyo bailam amuige Rich rich inafaa

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 ปีที่แล้ว +13

    Anajua sana bailam mashaallah

  • @leonardadd
    @leonardadd ปีที่แล้ว +11

    Bailam nimekubali ukarimu wako,madam ana maswali ukikosea utavuruga👍

  • @Alkibosstz
    @Alkibosstz ปีที่แล้ว +17

    Kama unakubali uyu jama ni noma weka like zake 1k na mtangazaji saiz 📌👏

  • @adamshirima5880
    @adamshirima5880 ปีที่แล้ว +10

    Mbona jamaa anafanana na Single Mtambalike!!

  • @lightnessgoodluck8123
    @lightnessgoodluck8123 ปีที่แล้ว +7

    Anajuaa Sanaa huyu yaani ana kipaji automatically ana hisia za kulia na anajua kuchezaa nafasi zote anazopewaa all the best

  • @drmdee
    @drmdee ปีที่แล้ว +5

    Mbn mwandxh hujui kuhoj unachanganya mtiririko haujakaa vzl

  • @SharifuAlbughul-ls4mw
    @SharifuAlbughul-ls4mw ปีที่แล้ว +3

    Uyo dad mwandishi nampenda San anavyooongea Yan dah mama mae😊

  • @jackierama1817
    @jackierama1817 ปีที่แล้ว +15

    Nilikuwa namsubir kwa ham huyu bailam 🤞🤞 mwamba anajua mpk bs

  • @danielngove
    @danielngove ปีที่แล้ว +12

    I just love this guy...yupo real sana na anajua kuact

  • @pendopascal1899
    @pendopascal1899 ปีที่แล้ว +12

    Nakupenda sana❤️❤️❤️❤️

  • @amidjaja5695
    @amidjaja5695 ปีที่แล้ว +12

    Bailam nampenda sana anajielewa

    • @zainzain1163
      @zainzain1163 ปีที่แล้ว

      Bailam nampenda sana akiwa na vailet

  • @DanteAhDiTicha
    @DanteAhDiTicha ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda Kakangu mkubwa umenifumbua macho

  • @aysha9932
    @aysha9932 ปีที่แล้ว +6

    Alaf uwatafte rahma na Kim pia uwahoji🥰

  • @abigaelchege2059
    @abigaelchege2059 ปีที่แล้ว +5

    Nampenda Sana huyu kakaa ...huku Kenya ananikosesha usingizi jamani

  • @saidikapacha
    @saidikapacha ปีที่แล้ว +7

    Jamaa namfananisha na Single Mtambalike. Anajua sana

  • @user-ch4vp9oj7e
    @user-ch4vp9oj7e ปีที่แล้ว +2

    Mshkaji namuelewa sana yupo serious kweli kwwnye kuigiza respect broo

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +7

    Bailam anajielewa wengine kwa vile ni comedi hata wakihojiwa wamekaa kikomed

  • @bitricekamyomoza
    @bitricekamyomoza ปีที่แล้ว +1

    Apunguze bei

  • @margretnjuguna2949
    @margretnjuguna2949 ปีที่แล้ว +6

    Bailam ako sawa namkubali sana

  • @sadamhuseni
    @sadamhuseni ปีที่แล้ว +4

    Daah huyu jamaa namkubali sana, aiseeeeee

  • @juvenalselemani42
    @juvenalselemani42 ปีที่แล้ว +1

    Unajua unajua unajua kwel

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 ปีที่แล้ว +3

    Teacher Nasri mwalimu wa mwanagu aliemfundisha a e i o u St. Prince Mbande

  • @jacquesmulalirya1704
    @jacquesmulalirya1704 ปีที่แล้ว +7

    Mwandishi mimi nakupenda haki from kongo 🇨🇩

  • @pendopascal1899
    @pendopascal1899 ปีที่แล้ว +8

    Nampenda sana bailam

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana twakukubali sanaaaaaaa bailam Mungu azidi kukuongoza vyema ishaallah

  • @ihuriroGroup
    @ihuriroGroup ปีที่แล้ว +2

    Love from Burundi

  • @alexkweka3104
    @alexkweka3104 ปีที่แล้ว +1

    Uko poa kaka nakubali

  • @lameckmwansa4785
    @lameckmwansa4785 ปีที่แล้ว +3

    Kweli wamefanana baraha na sauti pia

  • @robinhomesuza8906
    @robinhomesuza8906 ปีที่แล้ว +1

    Oya mbengo.kwn uyo dada kichwani ana vipele au vip

    • @pieremchome5202
      @pieremchome5202 ปีที่แล้ว

      Mwenzenu hana nywele ndo maana anavaa kofia

  • @ramirezsaane7444
    @ramirezsaane7444 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri mwamba tafaut na wengine ambao mbwembwe nyingi na majigambo

  • @maisara1275
    @maisara1275 ปีที่แล้ว +1

    Nassir national nasli

  • @julianayesayamwailolo8240
    @julianayesayamwailolo8240 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji tamka maneno uzuri bhanaa si Velo ni Vero

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 ปีที่แล้ว +9

    Likogo
    😂😂😂😂😂yaan wewe dada jitahidi maana bado safari ni ndefu hata hiyo kofia mmmmh. Sawa bwana

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 ปีที่แล้ว +3

      uyu tutaenda nae hiv hiv mpk tutazoea

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣mi kofia tu

    • @Halimamaere
      @Halimamaere ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂Ntamupea ingene abadili

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mwamba Ana juwa sanaa

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +13

    Nampenda huyu baba jamani

  • @samsonmutuku1803
    @samsonmutuku1803 ปีที่แล้ว +5

    Nice job jamaa wetu watching from Kenya

    • @magrethtuma5843
      @magrethtuma5843 ปีที่แล้ว +1

      Ila huyu baba kumbe yuko serious kweli mi najuag ni uigizaji tu

  • @ndogolofadhila6203
    @ndogolofadhila6203 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda tu we mkaka

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 ปีที่แล้ว +37

    Mwandishi unatupotezea radha na hiyo kofia we ni mwanamke suka mama Achan na hayo makofiah ya kizee wara hayakupendezi

  • @lilianmoyo316
    @lilianmoyo316 ปีที่แล้ว +2

    Kaka waigiza vizuri sana nakupenda sana

  • @YusraYusra-hg7wu
    @YusraYusra-hg7wu ปีที่แล้ว +1

    Mashallah napenda Sana bahlam💓💓

  • @maisara1275
    @maisara1275 ปีที่แล้ว +1

    Nassir

  • @leonardodeogratiasdeograti697
    @leonardodeogratiasdeograti697 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa namkubari 🔥🔥🙌

  • @bekawasimba6854
    @bekawasimba6854 ปีที่แล้ว +2

    Good work

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 ปีที่แล้ว +7

    Mashavuuuuuù

  • @juventusjeremiah-fv8mf
    @juventusjeremiah-fv8mf ปีที่แล้ว +1

    Duh sista uko vizuli in maswali umeolewa lakin

  • @jemamsham3355
    @jemamsham3355 ปีที่แล้ว +2

    Si ww2 kaka wamakonde wote niwazaifu

  • @lulutweve6057
    @lulutweve6057 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana wewe kaka

  • @ezekielmkama905
    @ezekielmkama905 ปีที่แล้ว +1

    Unachoshangaaa ni ualimu au vp na ww mtangazaji bhana

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc ปีที่แล้ว +2

    Huy kaka mm napendaga yuko makin sana na kaz yake

  • @naomimwampondele3905
    @naomimwampondele3905 ปีที่แล้ว

    Mi nampenda bailam usiliasi wake anaonyesha ndoualisia wake yupo vzr

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji acha maringo maana inakufanya uchanganye kwenye R unaweka L

  • @RashidRashid-wv9ud
    @RashidRashid-wv9ud ปีที่แล้ว +1

    Ley mwambie Steven mweusi arudi kushabikia yanga Kama alivyorudi nassib mondi

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 ปีที่แล้ว +1

    Muoji na mtipe dada

  • @suhailaabdul2579
    @suhailaabdul2579 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba Namuelewa sana na ni Rich ajae

  • @Mary_suip
    @Mary_suip ปีที่แล้ว

    This is my request to mbengo tv,Kuna mdada fulani ana shape,makalio makubwa hivi alifanyaga kazi na Steve mweusi tokea zamani wakiwa na husna,embu mtafute tunatamani sana kusikia kutoka kwake.

  • @edhaomar2853
    @edhaomar2853 ปีที่แล้ว +1

    Nataka kujua huyu jamaa machozi yatoka wapi kwenye maigizo

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji sema Mara siyo Mala,Nassir si Nassil.

  • @simonmachupa6767
    @simonmachupa6767 ปีที่แล้ว +1

    Anaweza sana

  • @SWEETGALKHAN_001
    @SWEETGALKHAN_001 ปีที่แล้ว +3

    This guy is my crush to be honest 😅💯💯❤📌love you from Kenya

    • @SultanSA15
      @SultanSA15 11 หลายเดือนก่อน

      Mmmh

  • @magretcosmas-xg6nz
    @magretcosmas-xg6nz ปีที่แล้ว +1

    Dada iyo kofia unavaa Kila siku jaman badilisha hata nyingine basi au unazo kumi afu rangi ni moja

  • @aysha9932
    @aysha9932 ปีที่แล้ว +3

    Kuuliza c ujnga baba asma Ndo huyo kicheche😃 ama n nan mwngne

  • @tanzngentv3336
    @tanzngentv3336 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mdgo wang ray upo bike honger uandish unaufanyia hak

  • @wemambonge6256
    @wemambonge6256 ปีที่แล้ว +1

    Yuko vizuri saana huyu kaka

  • @Bongomtaanitv
    @Bongomtaanitv ปีที่แล้ว +1

    Pokeà pongezi gwiji wangu 🎉

  • @o.ballek.e4265
    @o.ballek.e4265 10 หลายเดือนก่อน

    My favorite Aaaaah sheeeeenziiiiiiii😂😂I like that piece of your shenzi😁😁

  • @nanjaboy232
    @nanjaboy232 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo lamtangazaji anaongea SANA anauliza maswali zakijinga pia hangoji kujibiwa" JAMAA MADINI NIMENGI KWAKE ila mtangazaji akili ndogo SANA!

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 ปีที่แล้ว

      Sure, na L na R zinamsumbua sana

  • @Bongotimemedia
    @Bongotimemedia ปีที่แล้ว +5

    aliye sikia masindano like apa
    zifike 300🤪🤪🤪

    • @janethmgimba3084
      @janethmgimba3084 11 หลายเดือนก่อน

      watu tuko makini kuliko ata anae ulizwa maswali khaa

    • @janethmgimba3084
      @janethmgimba3084 11 หลายเดือนก่อน

      sihami tanzania

  • @reginaeca8975
    @reginaeca8975 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 ปีที่แล้ว +2

    Wewe mwandishi wa habari maswali yako ni ya kipuuzi sana.
    Anza kuwauliza umezaliwa na una miaka mingapi na elimu yako unefikia wapi.
    Mengine yanafata baadae.
    Jitahidi uulize maswali ya msingi yanayomhusu mhusika.
    Maswali ya wasanii wengine unapoteza muda tu.

  • @user-el7ys8dm9c
    @user-el7ys8dm9c ปีที่แล้ว

    Hongera sana bailam

  • @mosesniragira853
    @mosesniragira853 ปีที่แล้ว +3

    Bailam nilikua nakufananisha na single mtambalike, kumbe sio!!! Duuuh nilidhani kua ndio wew ulicheza Katika filam ya #Sabrina 😅😅😅😅🙄😅🙄

  • @realramjen3270
    @realramjen3270 ปีที่แล้ว

    Umefanana kwa mbali na rich rich

  • @annabelkadzo5470
    @annabelkadzo5470 ปีที่แล้ว +2

    Dada unakaaa mgumu c angalau usuke tukuone

  • @pauljosseph
    @pauljosseph ปีที่แล้ว

    Mwandishi ukivua koffia appo utaeleweka asa mi sjakusoma kabisa wemzul vua vaa / suka please 🙏

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 ปีที่แล้ว +10

    Mashallah this guy knows real acting. I like him

    • @newswireKenya
      @newswireKenya ปีที่แล้ว +1

      very true he makes the acting real, he is great

    • @mika.m.msanya2169
      @mika.m.msanya2169 ปีที่แล้ว +1

      Umesaau kumuuliza ana watoi

  • @salmaramadhan-yj2wl
    @salmaramadhan-yj2wl 5 หลายเดือนก่อน

    Mitumba mikokoteni😂😂😂😂 we bailam bnh

  • @lovenesskyungai7882
    @lovenesskyungai7882 ปีที่แล้ว +2

    Dada iyo kofia ni ya mkataba

  • @johnchitete
    @johnchitete ปีที่แล้ว +3

    Namuona Single mtambalike wa siku zijazo 😅😅

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa yuko poa sana nachompendea hanaga majivuno kivile afu kingine yupo serious na kazi zake

  • @breezysaspect6172
    @breezysaspect6172 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥💯

  • @AYUBU.MSANGAWALE
    @AYUBU.MSANGAWALE ปีที่แล้ว +4

    Sana

  • @salmamkwenda2988
    @salmamkwenda2988 ปีที่แล้ว +1

    Yaan kama Mie tu mtoto Wa Kwanza na mwwisho Kwa mama

  • @abichanabii8696
    @abichanabii8696 ปีที่แล้ว

    Sana sana

  • @ayushjhay4361
    @ayushjhay4361 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo kicheche ni bake asma

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 ปีที่แล้ว +3

    We dada iyo kofia

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 ปีที่แล้ว +1

      Kofia imekuw kofia🤣🤣

  • @ramajuma4063
    @ramajuma4063 ปีที่แล้ว +1

    Baba tengenezeni movies ya love full najua itashika sana yani scene zako sakutweswa kimapenzi siko Sawa

  • @mathayolaurence9226
    @mathayolaurence9226 11 หลายเดือนก่อน

    THE BIG BOSS mmeua

  • @ezekielmkama905
    @ezekielmkama905 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji uwe unampa nafasi ya kujibu

  • @halimaahadi6539
    @halimaahadi6539 ปีที่แล้ว

    Bailam anafaham sanaa aisee

  • @maxmilianimwakaniki2671
    @maxmilianimwakaniki2671 ปีที่แล้ว +1

    Bailam huna baya kaka unajua mpaka unakera nakukubar sana

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 ปีที่แล้ว +1

    Nakkubali sn bailam

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa namkubali anaeza igiza

  • @alencleophace2182
    @alencleophace2182 ปีที่แล้ว

    Wewe dada mtangazaji uko na maswali mazuri technically

  • @-zj2zd
    @-zj2zd 11 หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana bailam

  • @shadakpotos482
    @shadakpotos482 ปีที่แล้ว +1

    Uyu dada mtangazaji namu kubali sana😍✨❤ na napenda matcho👀 yako ni mazuri sana😍😍😍❤❤❤

  • @shaibusaidimusa240
    @shaibusaidimusa240 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji una maswali madhaifu sana ebu jitahidi kuuliza maswali ya msingi ili tupate kujifunza nasisi

  • @udydydhcjcud6974
    @udydydhcjcud6974 ปีที่แล้ว +3

    I want to be your friend brother, there are things I want to learn from you

  • @ramadhanichuka3583
    @ramadhanichuka3583 ปีที่แล้ว

    Ntafute tupge stor za Congo