Hussein Machozi - Kwa Ajili Yako (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @HusseinMachozi
    @HusseinMachozi  3 ปีที่แล้ว +532

    Listen To Hussein Machozi All Songs:
    Apple Music: music.apple.com/tz/artist/hus...
    Spotify: open.spotify.com/artist/20okz...
    AudioMack: audiomack.com/hussein-machozi
    Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
    Mdundo: mdundo.com/a/234831

    • @daisymoses9625
      @daisymoses9625 3 ปีที่แล้ว +11

      Kwa ajili yako....bado inatesa sana....much love from Kenya

    • @nasrahabdallah2743
      @nasrahabdallah2743 3 ปีที่แล้ว +6

      @@daisymoses9625 naipenda mno hiii nyimbo ludi tanzania bwana bulo

    • @Thug-life212
      @Thug-life212 3 ปีที่แล้ว +4

      2021 October

    • @margaretwambuiR
      @margaretwambuiR 3 ปีที่แล้ว +3

      Hussein

    • @dioffbukah2699
      @dioffbukah2699 3 ปีที่แล้ว +4

      Oct 23 2021

  • @brianamwai5658
    @brianamwai5658 ปีที่แล้ว +210

    Kama bado unaikubali hii ngoma 2023 wapi likes zake from Kenya 🇰🇪

  • @LatifaAbbas-f3m
    @LatifaAbbas-f3m 10 หลายเดือนก่อน +86

    Kama Bado unamkubali hii ngoma 2024 gonga like hap

  • @xyanicsheith
    @xyanicsheith ปีที่แล้ว +368

    This song never gets old . It's 2023 and still vibing with it😊✨

  • @MaddieMoreno-i7i
    @MaddieMoreno-i7i 11 หลายเดือนก่อน +397

    2024 na bado unaifeel hii ngoma gonga like

  • @Amos-e9q
    @Amos-e9q 8 หลายเดือนก่อน +143

    2024 april ambao tuko hapa tujuane kwa like🎉❤

    • @mishelkariuki2650
      @mishelkariuki2650 8 หลายเดือนก่อน +2

      Niko hapa 2024 April 17th

    • @AlfredKagure
      @AlfredKagure 7 หลายเดือนก่อน +1

      wueh...walai sijui but i just love it😌😌😌😌

    • @SafiBizoza
      @SafiBizoza 2 หลายเดือนก่อน

      Nipo 2024

  • @lenakendi1123
    @lenakendi1123 4 หลายเดือนก่อน +135

    AUG 2024 still my song❤,Kama wapenda hii ngoma pita na like

    • @leonitamuchai4449
      @leonitamuchai4449 4 หลายเดือนก่อน +1

      22 August 2024

    • @normanwabwile-rn1xr
      @normanwabwile-rn1xr 4 หลายเดือนก่อน +1

      24\8\2025

    • @benreborn
      @benreborn 3 หลายเดือนก่อน +2

      29 ndaaani 😅

    • @benreborn
      @benreborn 3 หลายเดือนก่อน +2

      29 ndaaani 😅

    • @amoslutgel6981
      @amoslutgel6981 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂tutaenda wapi wakati saiv nyimbo hakuna
      Tuna wapiga kelele

  • @officialbryzy5487
    @officialbryzy5487 3 ปีที่แล้ว +587

    No song sounds better than this. Actually this song sounds new everyday @Machozi we need more of this. 2021 who backs me up???🇰🇪

  • @clintonnyamongo7799
    @clintonnyamongo7799 2 ปีที่แล้ว +251

    It's March 2022. The song still hits differently. Goood old times.

  • @thegitamo
    @thegitamo 3 ปีที่แล้ว +149

    Kama its giving u the same sweet feeling from back then...Nipe like ju hii song imetulea tukiwa wachanga💯

  • @winifridagama8990
    @winifridagama8990 11 หลายเดือนก่อน +12

    Ni 2024 lakini wimbo km umetoka Jana 🎉🎉❤

  • @mathewmumia1668
    @mathewmumia1668 3 ปีที่แล้ว +152

    Hatuangalii most trending Hatuangalii kikiki tunaangalia mziki mzuri wenye maadali na mafunzo kwenye jamii jamani wapi likes za tetemesha record pamoja na msanii hussein machozi... Mziki ni message ila sio mdundo💥💥💯

    • @eroterastus8026
      @eroterastus8026 3 ปีที่แล้ว +1

      Music that only explain content..kudoz Hussein machozi

    • @elishaedson861
      @elishaedson861 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli mwanangu

  • @derrahnanah7781
    @derrahnanah7781 3 ปีที่แล้ว +219

    most are kenyan's supporting this song now cant get tired for this

    • @janecchororei7270
      @janecchororei7270 3 ปีที่แล้ว +2

      Yeah dude Kenyans are the only supportive fans kwa ii east Africa yote

  • @yusufkituyimunialoyusuf9252
    @yusufkituyimunialoyusuf9252 2 ปีที่แล้ว +6

    Nakumbuka Huu wimbo.ndani ya Mambo mseto Na mazazi willy tuva .ilikua 2006 .mi nilikua darasa la nne

  • @danielndiwa1736
    @danielndiwa1736 3 ปีที่แล้ว +1242

    kama bado unafeel hii ngoma 2021 nipee likes🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shaddymcheshi7085
    @shaddymcheshi7085 2 ปีที่แล้ว +34

    Kama unaamini Mzazi Willy M. Tuva alichangia pakubwa kukuza vipaji basi jiunge nami kumpa Thumbs Up 👍👍

    • @lucynjoroge5643
      @lucynjoroge5643 3 หลายเดือนก่อน +1

      Aliendaga wapi 🥰🥰

    • @shaddymcheshi7085
      @shaddymcheshi7085 3 หลายเดือนก่อน

      @@lucynjoroge5643 bado yupo Kwenye redio

    • @joshuasakwa1548
      @joshuasakwa1548 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@lucynjoroge5643Mzazi bado Ako radio citizen

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 หลายเดือนก่อน

      ​@@lucynjoroge5643Yupo hdi Leo

  • @weyaojinakubwa3793
    @weyaojinakubwa3793 3 ปีที่แล้ว +29

    'Nachkua nafasi kuongea nawe kwa wimbo.........' this when music was a tool for communication
    The best feeling ever naomba likes please

  • @theedreamervisuals
    @theedreamervisuals 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    2024 Dec tarehe 22 nabado nafeel hii ngoma❤

  • @enockndale8472
    @enockndale8472 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyakati bongo ilikua true bongo. Tafadhali likes za hussein machozi zidrope hapa kama hii song bado inakutouch .Listening from Kenya +254.

  • @mutabarukasulaiman3403
    @mutabarukasulaiman3403 3 ปีที่แล้ว +271

    I listened to this song for the first time in 2009 and it still brings good old memories till now (september 2021). I’m dropping this comment so that when someone likes it i get reminded about this all time bongo hit. Like if machozi was and will always be your favourite bongo artist 👍

    • @raheemnoor1929
      @raheemnoor1929 3 ปีที่แล้ว +1

      Hit song

    • @marynnmbura1120
      @marynnmbura1120 3 ปีที่แล้ว +2

      ofcourse

    • @GeorgeOrwel
      @GeorgeOrwel 2 ปีที่แล้ว +1

      you are a munyarwanda or at least your name is...am a munyarwanda too. love this song. gob bless !

    • @mutabarukasulaiman3403
      @mutabarukasulaiman3403 2 ปีที่แล้ว +1

      @@GeorgeOrwel yeah i’m Rwandese brother

    • @georgeodero3008
      @georgeodero3008 ปีที่แล้ว

      Nostalgic,i was in class 8

  • @Jafaroo._
    @Jafaroo._ ปีที่แล้ว +10

    2024 We Still VIBING 🔥🔥

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka mjomba angu alkua akiipenda hii nyimboa ndio alinifny nkampend Hussein Machozi ila leo hii hyupo RIP uncle 😭

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 3 ปีที่แล้ว +10

    Jamaaaani eee wahenga wenzangu dondosheni likes kila mkikujaa kwa fundii wetuu🔥🔥

  • @supermetroinsurance
    @supermetroinsurance 11 หลายเดือนก่อน +47

    It's 2024 and this song slaps like yesterday. I loved this song back in the day .

  • @paulnyakxx
    @paulnyakxx 2 ปีที่แล้ว +114

    I was in class 6 when I heard this song. I am now a dad with my first born, and I still love this song as much as I did when I was in class 6. Good songs just don't age.

  • @akramally4742
    @akramally4742 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kama una feel hiii ngoma 2025 naomba like🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Fakemu
      @Fakemu 9 วันที่ผ่านมา +1

      Naona huku inje mnapenda na kupendwa 😅

    • @akramally4742
      @akramally4742 8 วันที่ผ่านมา +1

      Hahahaha muhimu❤

    • @shawn-the-first.1643
      @shawn-the-first.1643 7 วันที่ผ่านมา +1

      Pitiable kwangu

  • @robertkingmastar7395
    @robertkingmastar7395 ปีที่แล้ว +5

    This so is more of memory. Yanikumbusha mrembo mmoja nilikuwa nampenza nakumtamani sana lakini bahati mbaya akapendwa na jamaa mwingine akampajika mimba na hiyo mimba ikamuua akafa 😭😭😭😭😭😭😭. Kila wakati nikiskia hii ngoma nakumbuka nikama Jana na Sahi ni 2023. Muziki na sana, msanii kio Cha jamiii sio kama wasanii wa Sasa tunatafuta ubabe hatuimbi mafunzo. Mungu akubariki Hussein Machozi

  • @christinenyawira6716
    @christinenyawira6716 10 หลายเดือนก่อน +15

    Wapi likes za 2024❤

  • @joharibashiri2446
    @joharibashiri2446 3 ปีที่แล้ว +13

    Jamani nyimbo ndio hizi Kama bado wapitia uku tujuwane bas 🇧🇮🇴🇲❤️

  • @davidnyamu7801
    @davidnyamu7801 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ni mwaka 2024, Anguka nayo hainiingiii hata. This is a real TBT! Moja fire🔥

  • @puritynyambura2283
    @puritynyambura2283 3 ปีที่แล้ว +105

    I used to listen to this song back then nikiwa class 6. Now am a graduate and am still listening ....this voice

  • @carentoo2494
    @carentoo2494 8 หลายเดือนก่อน +35

    My Kenyan people gather here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪2024 and still hits🎉

  • @furahamacheku5554
    @furahamacheku5554 11 หลายเดือนก่อน +7

    It's 2024 and I came back for dc song😊

  • @maggevintany1228
    @maggevintany1228 20 วันที่ผ่านมา +1

    Haya tunaosikiliza hii ngoma 2024👍

  • @AmusedMonarchButterfly-vo1xc
    @AmusedMonarchButterfly-vo1xc 10 หลายเดือนก่อน +6

    Watu wa 2024 .... valentine ❤

  • @EugineOkello-h6m
    @EugineOkello-h6m 23 วันที่ผ่านมา +2

    Who are still with me listening this song🔥🔥💯 2024😂😂😂

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 ปีที่แล้ว +1

    Wamba wa Zamani hao
    Maana Wimbo kafia Geto Ulifundisha Sana na Uliogopesha Watyu Kulala na dem ndani ya Geto la Mwanaume

  • @WildNatureSafari
    @WildNatureSafari ปีที่แล้ว +15

    2023 mtangazaji usiweke..... still in love with the song Kenya love 🥰🤗

  • @tracymayanae6335
    @tracymayanae6335 2 ปีที่แล้ว +33

    Proud to be from this generation where Hussein Machozi, Matonya, TMK, Z Anto, Professor Jay and others dominated the Bongo music scene.

  • @roseraudhi297
    @roseraudhi297 3 ปีที่แล้ว +129

    These are the kind of words I want to hear in my marriage life....future hubby I wish you drop by 😭😭

  • @kayleenonkoba5629
    @kayleenonkoba5629 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimetunga special kwa ajili yako mrembo😊😊
    Gosh!
    I juss want my own person who could be singing for me😩❤

  • @PHILIPKIPIOR
    @PHILIPKIPIOR 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kama bado unawatch hii wimbo nipe mkono❤

  • @AyamndaiobeIsolomukata
    @AyamndaiobeIsolomukata หลายเดือนก่อน

    Ulienda wapi mwamba namkumbuka demu wangu kipindi icho iyi ngoma iyiiii! hadi Léo bado ipo♥️♥️♥️

  • @queenbaiby1728
    @queenbaiby1728 3 ปีที่แล้ว +27

    Ningali apo kwa old songs like no one 💪💪💪...story za lamba sukari Mara sijui nikikupea utawezana toka uko alaaaaaahhhh🚶🚶🚶🚶🚶

  • @alkutibaadamu2892
    @alkutibaadamu2892 3 ปีที่แล้ว +2

    Mung alitupa waimbaji alafu akatupa Hussein Machozi

  • @kuzminkoba2722
    @kuzminkoba2722 11 หลายเดือนก่อน +4

    Napenda sana

    • @kuzminkoba2722
      @kuzminkoba2722 11 หลายเดือนก่อน

      Nachukua nafasi kuongea nawe kwa wimbo......my soul feels 100%, where did this go

  • @steffimakeba2430
    @steffimakeba2430 11 หลายเดือนก่อน +1

    My man dedicates this song now❤2024....Eiiiii....nguvu ya kuacha huyu natoa wapi

  • @tumainimfinanga8750
    @tumainimfinanga8750 3 ปีที่แล้ว +5

    Huu wimbo hauchuji hata kidogo. Machozi alituliz akili Sana kwenye huu wimbo

  • @bizzyjunior_tz
    @bizzyjunior_tz 9 หลายเดือนก่อน +20

    2024 kama upo hapa like ziwe nyingi

  • @kindnessalltheway9241
    @kindnessalltheway9241 3 ปีที่แล้ว +4

    Hawatungi tena kama hizi jamani.....sahi ni kiki tu
    Mob love Machozi ..
    #kenya#

  • @SilasBundi-zg2et
    @SilasBundi-zg2et 16 วันที่ผ่านมา

    Welcome 🎉meru mwari 🔥

  • @ngangadaniel6847
    @ngangadaniel6847 ปีที่แล้ว +3

    Much love from Ng'ang'a from Kenya.
    Wimbo mzuri sana.Napenda sauti yako na ujumbe mzito.

  • @kevinmaina6233
    @kevinmaina6233 ปีที่แล้ว +1

    Ata Leo Bado ni moto sana

  • @leilamaur
    @leilamaur 3 ปีที่แล้ว +106

    a few years later and this song still gets me in my feels. proud of you hussein machozi.
    love from England

  • @JohnMtatiro-kx4jw
    @JohnMtatiro-kx4jw 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoma hatari sana hii 2009 hiyo na bado inaishi big up machozi hussein

  • @ClaraClarisha-v9t
    @ClaraClarisha-v9t 8 หลายเดือนก่อน +11

    Who is here 2024,,,much love to this perticular masteepice enjoying the hit untill date from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 ปีที่แล้ว +9

    "We don't search for old songs
    We search for gold memories"
    Every best strike chords of my heart ❤️🎶🎶 SAUTI hii sikia, SINGATIA MREMBO USIPUZI HUU WIMBO"🎶🎶🎶🤗

  • @_ceddie
    @_ceddie ปีที่แล้ว +28

    This song never gets old😭😭♥️we need more of this 2023

    • @shamybint1948
      @shamybint1948 ปีที่แล้ว +3

      It's still hot walla 😂😂😂can't imagine was in class 5 until now still enjoying it

  • @Lamplight-x8f
    @Lamplight-x8f 21 วันที่ผ่านมา

    Dec 2024 ❤ bongo za zamani 🙌🙌🙌

  • @amanimkambala6240
    @amanimkambala6240 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimeandika sana kwenye balua za mapenzi huu wimbo kishule shule

  • @irenekemei6458
    @irenekemei6458 2 ปีที่แล้ว +2

    I remember that time when this song kwa Mara ya Kwanza went on air ikiwa introduced by mzadee yaani willy m Tuva I was listening to mambo mseto,Radio citizen ama kweli time flies, ilikuwa kali Sana ❤️❤️❤️

  • @AbbyLopez-g3t
    @AbbyLopez-g3t 5 หลายเดือนก่อน +7

    Team 2024...eish mapenzi ikianza madays😂

  • @hamisihamadi1776
    @hamisihamadi1776 ปีที่แล้ว

    Sogea karibu yangu, tulia kabisa.
    Lala kifuani kwangu, sinzia kabisaa. ...❤

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 ปีที่แล้ว +4

    2023 desemba nipo hapa namalizia mwaka inshallah ❤❤❤❤kwa ajili yakoo🎉

  • @chaba_boy_tz7287
    @chaba_boy_tz7287 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hii ngoma daah..! Kumanina Sana.

  • @jojojojo8586
    @jojojojo8586 4 หลายเดือนก่อน +3

    hi am bageshi... this song is just wow💯💯❤❤ big up if you are here 2024

  • @lucynjoroge5643
    @lucynjoroge5643 3 หลายเดือนก่อน

    This was favourite son kwa muchaina master and mwana mwende coro fm weeee 🥰🥰🥰🥰🥰 miss those days my all time song

  • @denhyongotu3827
    @denhyongotu3827 3 ปีที่แล้ว +46

    How did this song not hit millions 🙆‍♀️

    • @tmosagustino6770
      @tmosagustino6770 3 ปีที่แล้ว

      Actually nimekumbuka ii vibe nkakam apa, tuliibeba kwa akili toka enzi zile

    • @jacobtee5178
      @jacobtee5178 ปีที่แล้ว

      Not enough smartphones then

  • @JamilasandaleSandale
    @JamilasandaleSandale 8 หลายเดือนก่อน +1

    Namshkuru mungu mpaka dakika hii nipo hai huu wimbo kipindi nipo kinondoni mwaka 2006 nimeinjoy

  • @mariammgaya5182
    @mariammgaya5182 10 หลายเดือนก่อน +3

    Let's go 2024

  • @johngervas-yw1es
    @johngervas-yw1es 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ jamn mi naipenda snaa hii nyimbo sanaaa na sijawai kuichoka ata kidg

  • @franklinokari1527
    @franklinokari1527 3 ปีที่แล้ว +111

    Back in the days,,2009 used too sing this jam to my girlfriend in class 8😂😂😂 I still love this song.Machozii super star manze.much love from Nairobi Kenya.

    • @harunmwadali8561
      @harunmwadali8561 3 ปีที่แล้ว +1

      I Rem this guy after DP Ruto was nicknamed Hussein Machozi after the crying incident.

    • @sallymwasi
      @sallymwasi 3 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @nymohtravis6497
      @nymohtravis6497 3 ปีที่แล้ว +3

      N I was the galfriend

    • @nymohtravis6497
      @nymohtravis6497 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @harrydastukwa666
      @harrydastukwa666 3 ปีที่แล้ว

      @@nymohtravis6497 we ndo ulkua dem wa Frank sasa ama😂😂😂😂

  • @mwamposaa65
    @mwamposaa65 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaka 2025 nakskilza ii ngoma inataka wengne BDO wadogo 2mekuwa miaka 23 xx naiskiza upew maua yako ❤❤

  • @Euphoria2381
    @Euphoria2381 ปีที่แล้ว +6

    TikTok brought me here again after so Long they don't make music like this anymore 🥺
    "Kwa ajili yako naimba"
    "Sauti hii sikia"
    "Habari hii pokea"
    "Zigatia mrembo"
    "Usipuuze mrembo"

  • @gracewanguig1327
    @gracewanguig1327 2 ปีที่แล้ว

    Heko Hussein , huu wiko Kila siku Huwa kama umeuimba tu. Swadakta!

  • @otienohillary1743
    @otienohillary1743 ปีที่แล้ว +7

    I like the song….he chose the right word at the right place ❤❤it’s late 2023 and the words are in still in place ……talent to its fullest ❤️❤️❤️❤️

  • @MamWadar
    @MamWadar 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nipe like zangu kama unaisikiliza mwaka 2024🎉

  • @dianaikasye7861
    @dianaikasye7861 3 ปีที่แล้ว +7

    Nan yuko kuicheck hii ngoma June 2021???.... Hii song ni 🔥🔥🔥🔥

  • @mercyshilako5002
    @mercyshilako5002 2 ปีที่แล้ว

    Weeee hii wimbo ilifanya nikaepa shule ,, from Kenya more love

  • @agnesahingula1697
    @agnesahingula1697 3 ปีที่แล้ว +24

    Loved this song nikiwa class 7 buck then and I still like the song!!much love hussein macho zii from 254❤❤❤❤❤👍👍👍👍the song is lit🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mudabest7267
    @mudabest7267 9 หลายเดือนก่อน +1

    🎉wale wa 2024 ambao bado tunaupenda huu wimbo tujuane

  • @josephochiengaggieoyuga9800
    @josephochiengaggieoyuga9800 2 ปีที่แล้ว +20

    12/13 years later but it sounds like it was released last night. 😍😍 The chemistry in this piece weeeeeu Kenyans... Mko kweli hold that ka glass then let us toast for more life and God's blessings tukisakata bongo!

  • @AdamuRashidi-qo7re
    @AdamuRashidi-qo7re ปีที่แล้ว +1

    2023 ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jefferson8123
    @jefferson8123 3 ปีที่แล้ว +46

    Each word make sense...I guess you took a long time to compose this perfect melody....do this once more

  • @johnmapunda99
    @johnmapunda99 2 ปีที่แล้ว

    Multiple talented, footballer and musician!Bongo fleva tamu kama hizi zimekwenda wapi jamani?

  • @bilha_nyawera
    @bilha_nyawera 3 ปีที่แล้ว +31

    I loved this song back in primary school, I still love it to date. Big up Hussein🇰🇪

  • @sarahkhaemba4158
    @sarahkhaemba4158 ปีที่แล้ว +1

    Acha niseme hadharani kila mtu asikie,napenda ngapenda ii nyimbo siku zote

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 3 ปีที่แล้ว +19

    Nahitaj like zangu jmn wadau ambao hatuuchok huu wimbo🙏

  • @melas.l.5293
    @melas.l.5293 ปีที่แล้ว

    nimekupa nafasi kubwa ndani ya roho yangu😍 sauti hii sikia🤩

  • @fabiolamshana6143
    @fabiolamshana6143 3 ปีที่แล้ว +4

    Wallah hii ngoma haiwez kuchuja...I still feel the same taste of this song..in 2021

  • @KevoRotich-ub9cf
    @KevoRotich-ub9cf หลายเดือนก่อน

    Tamu Sana hii💥
    Alaf huyu Jamaa anafanana na Defender Flani wa Arsenal (Gabriel. Magalheas) kwa umbaaali😊

  • @stnashofficial5399
    @stnashofficial5399 3 ปีที่แล้ว +7

    Muda huo Niki weka kwenye ringtone Kali Sana 🔥 wekeni likes Kama una mukubali husen machozo kwa jili yako 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍❤️

  • @bettywamuwakio3284
    @bettywamuwakio3284 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii machozi jamani mapenzi wewe

  • @lazarushoolahan730
    @lazarushoolahan730 3 ปีที่แล้ว +7

    Tuva mambo mseto wapi likes zake

  • @joshuasakwa1548
    @joshuasakwa1548 2 หลายเดือนก่อน

    2010 nikiwa form 3 nilikuwa naimba huu wimbo kuliko machozi mwenyewe, 2024 bado utamu uko pale pale

  • @victorkipkiruicheruiyot6778
    @victorkipkiruicheruiyot6778 8 หลายเดือนก่อน +23

    Kama uko 2024 piga like

  • @joycefeza3124
    @joycefeza3124 11 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zilizo naujumbe mkali Kabisa,naukubali hadi sasa,from DRC❤

  • @al4classic691
    @al4classic691 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali sana mwana wa kwetu machozi kama machozi💥💥💥

  • @normanmoriasi49
    @normanmoriasi49 ปีที่แล้ว +1

    Wale bado 2023 na mbele tutakuwa bado tunatune hii song,show some love

  • @GasGarage_GG
    @GasGarage_GG ปีที่แล้ว +3

    "We will all die. The goal of life is not to live forever, but to do something that will"